Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

Sidhani kama kujua siku halisi ya kifo chake inaweza kusababisha Mwl Nyerere asipewe utakatifu mkuu wangu MohdMorse.

Du! Wakuu tungesubiri kwanza mchakato wa utakatifu kwanza kwa Mzee wetu JKN.
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

mi huwa napenda sana mtu anapocriticise kitu aweke ukweli wake..
 
Kumbuka usemi huu...no research no right to talk... usitafute umaarufu usio na tija,enhee baada ya kusema hayo unatuambia nini? kama kweli umemiss babu hii PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA inatosha.
 
Tareh halisi ya kufa Nyerere wewe kwako inakusaidia nini? Mzee wa watu mwacheni, amekamilisha yake, apumzike kwa amani.

Mzee menyewe alikuwa amechooka tayari na alikuwa anazuia walafi kujiuzia na kuuza mashirika ya umma, Ulitegemea wamfanye nini?
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

Tupe tarehe sahihi maana we unaijua vema.
 
Akiwa kafa tarehe 14 au 24 au 4 au uitakayo wewe. Inatusaidia nini?

Ikiwa maiti (Nyerere) mwenyewe hawezi kujisaidia. Tarehe yake ya kufa ina maana gani?
 
Mimi nakataa Nyerere kuitwa Mtakatifu haiwezekani. Aliyenyanganya watu nyumba kachukua shule za makanisa eti leo ni mtakatifu hakuna kitu kama hicho naaza kuwa na mashaka na hao watakafifu wengne
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Nafikiri umburula unakusumbua kama unaijua siku yake halisi aliyokufa si u ngesema. Watu mnaoishi kwa matukio ni shida sana hata mandela mmevumisha mara oo obama akiondoka tu ndio itatangazwa maana alishaaga sikiu nyingi. Sasa si huyo bado yupo. Uchuro tu.
 
Hapa tunataka kuchokoza mada gani tena? Hoja ya maana hapa ingekuwa ni kuungana na wale wanaodadisi kwamba kwanini Nyerere alikufa kifo cha "utata", lakini sio lini alikufa. Watu wanasema mengi mitaani, kwamba baba wa taifa alikufa kupisha watu wafanye mambo yao. Kama hili tunaweza kulijadili, itakuwa vema,.
 
Nyerere alikufa tareh,1,10,jumatano,na kilichofanyika n jambo la kawaida la maandaliz ya mazishi,na ikatangazwa wiki mbili baadae.ni kawaida
 
Mi nawe nani mburula ? Jitaidi ku think great and try to avoid half knowledge will endanger you. Bado na ntaandelea kulisimamia hili .

Nafikiri umburula unakusumbua kama unaijua siku yake halisi aliyokufa si u ngesema. Watu mnaoishi kwa matukio ni shida sana hata mandela mmevumisha mara oo obama akiondoka tu ndio itatangazwa maana alishaaga sikiu nyingi. Sasa si huyo bado yupo. Uchuro tu.
 
Mi nawe nani mburula ? Jitaidi ku think great and try to avoid half knowledge will endanger you. Bado na ntaandelea kulisimamia hili .
Ooh masikini unatia huruma. si ungesema basi kafa lini we mwehu. Hivi unajua Sharon wa Israel mpaka leo anapumlia mashine.
 
Sharon peke yake ndiye unaemjua? Vipi Fidel Castro,Mandela na wengine bado wapo hai. Kwa upande wa Nyerere RIP tumuache apumzike kwa amani.

Ooh masikini unatia huruma. si ungesema basi kafa lini we mwehu. Hivi unajua Sharon wa Israel mpaka leo anapumlia mashine.
 
hata kama ni kweli amekudanganya, tufanye sasa amesema ukweli utafanya nini au uakusaidia nini wewe? utamfufua, au.................... whats ur argument! leteni constructive ideas wadau tujengane.............. ushauri vitumu andika kwenye jocks
 
Secret
Kujua kuwa alifariki siku flani inasaidia kujua kua kumbe mleta taarifa alitudanganya siku halisi na kama alitudanganya siku halisi je tutaendelea kuamini kuwa ugonjwa uliomuua aliotuambia mtoa taharifa ni kweli? Kumbuka unapotaka kutatua tatizo huwezi kuanza kutatua madhara hapo utakuwa mtaalamu kanjanja ila kama wewe ni mtaalam kweli utaanza na chanzo cha tatizo and then utakuja madhara and finally conclusion. Sasa ukijua hayo utagundua kuwa kuna faida za kujua exactly correct date and not approximately date concerning the death of Nyerere.
Siyo Mkapa peke yake aliyetudanganya kwani hata kina BBC, CNN na RFI pia walishiriki katika uongo huo.
 
bora kama mkuu Abunwasi umelitambua hili na sijajua madhumuni yao ilikuwa ni nini kutamka uongo kama huu.RIP MWL NYERERE.

Siyo Mkapa peke yake aliyetudanganya kwani hata kina BBC, CNN na RFI pia walishiriki katika uongo huo.
 
Back
Top Bottom