Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwani Ben Mkapa ndiye aliyekuwa daktari wa Kambarage hata umshutumu kuwa alitoa tangazo la kifo kwa kuchelewa?
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.