Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

hebu tupe uhakika wa hili unalosema??
usikute ndo nyie mkiona mtu kazimia tu tyari mnaanza kafariki na shimo mnachimba kabisa na jeneza kununua.............
kufa kwa mtu kuna process sana tena sio ndogo wewe umeona mandela mara ngap watu wamezusha kafariki??
nchi za watu kila linalohitajika ili kuzuia umauti linafanyika na mtu husemwa kwamba kafariki pindi ubngo wake unapofariki ila kama unaonyesha dalili ya uhai hata kwa micro Amps huyu mtu ataambiwa yuko hai na atasaidiwa ili aweze kupumua..
sema jingine ila sio izi porojo za kitaa