Mkapa awapa neno wanaotaka Magufuli aongoze mihula mitatu

"Maaana miaka hii minne amebadiliks" ooollghjkk nimeerewa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Hata ungemleta Trump akasimamia Uchaguzi, JPM 2020 atashinda kwa kura nyingi. Mnajidanganya hasa watoto wa mitandao

Kwanza tume huru sio kwa ajili ya ccm au Magufuli kushindwa, bali ni kupatikana kwa mshindi asiyeacha shaka. Ni kweli Magufuli anaweza kushinda ila sio kwa kiwango anachokitaka, ndio maana haitaki hiyo tume huru maana hana uhakika wa kushinda kama anavyotaka. Inaonekana hiki kitendo cha yeye kufanya siasa pekee yake, na kusifiwa yeye tu unaamini anakubalika sana. Subiri aingie kwenye ushindani kisha iwepo tume huru kisha uje uchukue mrejesho.
 
Hata mi najua Magufuli hatataka kukaa zaidi ya vipindi 2, ila sisi ndio tutamshinikiza akae miaka 25.
Hata wabunge huwa wanasema "wazee wamenituma".
 
Hata mi najua Magufuli hatataka kukaa zaidi ya vipindi 2, ila sisi ndio tutamshinikiza akae miaka 25.
Hata wabunge huwa wanasema "wazee wamenituma".

Anataka sana, sema watu ndio hawataki zaidi ya wale wanaofaidika na madaraka yake.
 
hii sifa ya MKAPA kuwa rais wa awamu ya 4 umeipata wapi na JK alikuwa awamu ya ngapi 😡 muache kukurupuka
 
Watanzani hatuwezi kumpa tena uraisi huyo labda Polisi jesh na usalama lakini 20/20 hatobowi kabisa huyu jiwe
Usitumie watanzania kwani wanao piga kura wote wanakad za vyama vyao na wanamapenzi na vyama vyao hamna mtanzania wa kawaida alie wahi kwenda kupiga kura wala kuchagua mtu mfano ni mm kwanza siamin katika siasa na wala siwez poteza muda kwenda kupiga kura eti nachagua fulan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BWM amefanya mengi kwa nchi yetu kiuchumi na kwenye ujenzi wa siasa za vyama vingi. Hata hivyo kuna maeneo ambayo hata mwenyewe anakiri alikosea. Mojawapo ni uuzwaji wa mashirika y umma bila kufuatilia baada ya kuyauza kama NBC, pili kutumia nnguvu kupita kiasi katika kunyamazisha upinzani wa CUF mwaka 2001 huko Zanzibar na kusababisha mauaji.

Tanzania itakusamehe Mkapa ikiwatu kwa kutumia ushawishi wako na nguvu zako kama Rais msatafu uliyetokea kwenye vyama vingi, UKAMZUIA huyu John Magufuli asigombee u-Rais tena hata mwaka huu 2020. Hiyo miaka 5 inamtosha, ameharibu nchi kwa kiwango kikubwa sana . TUNASEMAINATOSHA HEBU MLETENI MWINGINE. Hata Bernard Membe anatosha.

Kinyume cha hapo Mkapa utalaumiwa vizazi na vizazi kuwa ulkuwa unaona akiharibu na uka kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…