Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

Hakuna mganga wa kweli wala wa uhakika wote ni mawakala wa shetani ambae ni baba wa uongo.

unaingizwa ktk maagano ambayo niwewe ba kizazi chako mtalitumikia..
kifungo cha ukakika hutoki vila neema ya Mungu.

mntafuta wafuasi kwa nguvu kuujaza ufalme wenu. wote uliowakusudia nawatia upofu wasione tangazo hili na naiziba njia yao kukutafuta ...

km Mungu muumbaji aishivyo ktk enzi yake ktk Jina lipitako majina yote Yesu kristo aliye hai.
 
Kwann max asingewek sehem ya kurecord voice ili msimuliaji asipate shida ya kuandika kama riwaya za erik shigongo??
Nakazia,wazo zuri sana hili[emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
2: mchawi hua anajisikia aibu sana katika ulimwengu wa kawaida, lakini amini kwamba uchawi ni utumwa mkuu. Wapo wengi wanatamani kuacha uchawi ila wanashindwa ukishaingia kwenye uchawi, utake usitake utawanga
Sasa kama wewe ni mchawi na unapiga tungi inakuwaje hapo, utawezaje kuwanga huku uko tungi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…