Man filandu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 412
- 402
KiranThis is a logical non sequitur fallacy.
Wewe dada yangu una nongwa sana, Magu kutekeleza majukumu yake ndio kujimwambafy. Kwa hiyo ulitaka awaache wajingawajinga ambao ni waonevu?Na ndiyo maana wakuu wanaojimwambafy kwa kauli za "naweza kukuvua nyota" hawatakiwi kujimwambafy hivyo.
Kama kuna tatizo ni suala la kuelezea kimantiki na kulitatua kwa due process tu.
Huo umwamba wa "unanijua mimi nani? nitakuvua nyota" hauna maana sana kwa sababu hatimaye wote tutakufa.
Ila wewe nishakustukia tokea muanze kula mlo mmoja wa jioni kwa sababu ya Bwana wako kufukuzwa kwa vyeti feki unamchukia kweli Magu.