Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Na wewe heshimu uhuru wa mwengine, hapo tutaenda vizuri tu. Sio kisa mtu unayemchukia wewe mwengine asipomchukia unasema anamuabudu.Kila mmoja ashinde mechi zake. Wewe wa kumuabudu Magufuli endelea, na mimi niliye m-condemn niache nitumie uhuru wangu wa maoni. Wasomaji wataamua