Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Haya mkuuLakini soyo jeuri. Nyakyusa anaweza kukupiga hata ngumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuuLakini soyo jeuri. Nyakyusa anaweza kukupiga hata ngumi
Hukuona shida Kwa kauli ya mfungwa ?hv mfungwa anaeza ropoka tu bila kushuhudia ?Hili an
Andiko zuri ,ila lipo kimkakati ,kwamba mtu flani akitimiza majukum na kwa sababu mtu flani hajapenda atakuondolea vyeo vyako sio ,vyeo unaweza chukua cha msingi tunaishi, interview ya uyu bwana niliiangalia vizuri , sikuona kosa ,na kumbuka JPM alikua na shida sana kuleta vitisho hasa kwa hawa maafisa vyombo vya ulinzi , hata kule songwe au ukanda ule wakati wa ziara moja hivi ,alisikika akimwambia afisa mmoja kwamba akiamua anafikili hivyo vyeo atakua navyo ,clip ipo you tube.
Hata Germany kuna wiki ya kumtukuza Hitler. Yaani wale waliokuwa wanampenda wanafanya kumbukumbu pia.Hitler dunia nzima inajua aliyoyafanya, sasa kumbe huyo Magufuli hata dunia haimtambui kwa hayo maovu halafu ndio useme hata Shetani anamuogopa?
Shetani mama na baba yako nyumbu mkuu wewe!Shetani mama na baba yako nyumbu mkuu wewe!!
Kumbe umekubali!! Asante!Shetani mama na baba yako nyumbu mkuu wewe!
Hayo ya kutukuza sijui yameingiaje, mimi nazungumzia Hitler anajulikana historia yake dunia kote kwa mambo aliyoyafanya. Sasa nashangaa unataka tumuone Magufuli alikuwa muovu kiasi cha kuogopwa hadi na shetani halafu hata dunia haimtambui kwamba kuliwahi kuwa na kiongozi muovu huko Tanzania. Nadhani wewe ndio unataka kumkuza huyo Magufuli aonekane alikuwa bonge la kiongozi muovu, ajabu unaishia kutaja matukio ambayo wanayajua watu binafsi waliyotendewa tu.Hata Germany kuna wiki ya kumtukuza Hitler. Yaani wale waliokuwa wanampenda wanafanya kumbukumbu pia.
Siwezi kushangaa kuona hata watanzania na qewe Tz mbongo ukiwa mmoja wapo wanamtukuza Magufuli, kila mmoja ana respond kadri alivyoathiriwa.
Uonezi tu mbona hakumjibu magafuli vibaya? Mimi mwenyewe maisha ya kumnynyekea mtu kupita kiasi siyawezi bana.Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale, wakajipanga kumpokea.
Punde si punde, hayati Magufuli akawasili na bila kupoteza muda akaomba kuongea na wafungwa ili asikie matatizo yao kama ilivyoada yake.
Wafungwa walifurahi sana kumuona Rais, basi wakaambiwa watoe kero zao. Wakazungumza wengi mpaka ilipofika kwa mfungwa mmoja aliyeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Mmoja ya wafungwa waliopata nafasi ya kuongea na hayati Magufuli alikuwa ni Kalikenye Thomas Nyamboge, mfungwa mwenye ulemavu wa ngozi, aliyekuwa anatumikia kifungo cha Miaka 30 jela.
Mfungwa Kalikenye yeye akatoa kero yake kuhusu Afisa Usalama wa Gereza hilo, Afande Mwasifiga kuwa anashirikiana na wafungwa wengine kwa kuwapa simu waongee na watu wa nje ya Gereza kinyume na utaratibu uliowekwa lakini pia anashirikiana na baadhi ya wafungwa wenye hela kuingiza simu kwenye Gereza hilo la Butimba.
Mfungwa wa miaka 30 Jela, Bwana Thomas Kalikenye akaendelea kumsagia kunguni Afande kuwa, msako ukipita simu hazionekani na wao akina Thomas wasiohusika na kuingiza simu wanamwagiwa vitu vyao kama vile Karanga, Sukari, Sabuni na saa nyingine vinachukuliwa kwa nguvu na team ya Afande Mwasifiga.
Ghafla hayati Magufuli anabadilika na kuuliza yuko wapi huyo Afande Mwasifiga? Afande anatokea na kupiga saluti na kuanza kujibu shutuma.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Afande Mwasifiga anaanza kubishana na Rais Magufuli kuhusu suala la uwepo wa simu kwa wafungwa katika Gereza la Butimba.
Afande Mwasifiga katika ubishani wake akamuambia Rais Magufuli, “huyu alitaka kuniinua” Maneno hayo yalimchefua sana Rais.
Magufuli akamwambia afande kuwa”inaonekana una dharau sana wewe” akawa ameshakasirika huku wasaidizi wa Rais wakimtonya Afande Mwasifiga aombe msamaha kwa Rais. Kweli akaomba msamaha huku akipiga saluti, lakini haikusaidia kitu.
Kama utani Rais Magufuli akamwambia ninaweza nikang’oa hizo nyota zako hapo (huyu Afande alikuwa na nyota mbili).
Basi Rais akaachana nae akamalizia kuongea na wafungwa kama alivyopanga ana akatoa agizo kwa Mkuu wa Gereza la Butimba, ole wake mfungwa yoyote aliyetoa kero anyanyaswe, basi atachukua hatua mara moja. Akamaliza akaaga akaondoka zake.
Usiku wake, Afande Mwasifiga akapokea maelekezo kuwa ameondolewa Gereza la Butimba na kupewa uhamisho wa kwenda Ukerewe.
Sambamba na hilo, akavuliwa nyota yake moja alitoka kuipata siku chache kabla ya kubishana na Rais. Hivyo basi akabaki na nyota moja tu badala ya mbili kama hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi yake.
Kama haitoshi, baada ya miezi sita akiwa katika kituo chake kipya cha kazi, akastaafishwa kwa maslahi ya umma na utumishi wake ndani ya Jeshi la Magereza ukawa umefikia kikomo.
Ikumbukwe alipewa miaka mitano ya ziada jeshini baada ya kupewa nyota ya pili kabla ya kuipoteza nyota hiyo kutokana na kubishana na Rais.
Ukawa ndio mwisho wa Afande Mwasifiga, aliyepata kuwa Mkuu wa Usalama ndani ya Gereza la Butimba na waliopata kufanya nayr kazi wanakwambia alikuwa ni mjivuni, kiburi kwelikweli.
Kwasasa amerudi kwao Mbeya akiwa ni mkulima akiendeleza maisha baada ya kustaafishwa kwa maslahi ya Umma!View attachment 3164402
Ukiua umeua tu hata kama hujulikani. Kuua mtu mmoja bila hatia kama Ben Saanane ni sawa tu na kuua mamia ta watu. Binadamu ana nafasi moja tu ya kuishi, hivyo unapomuua unafanya dhuluma isiyo mithilika.Hayo ya kutukuza sijui yameingiaje, mimi nazungumzia Hitler anajulikana historia yake dunia kote kwa mambo aliyoyafanya. Sasa nashangaa unataka tumuone Magufuli alikuwa muovu kiasi cha kuogopwa hadi na shetani halafu hata dunia haimtambui kwamba kuliwahi kuwa na kiongozi muovu huko Tanzania. Nadhani wewe ndio unataka kumkuza huyo Magufuli aonekane alikuwa bonge la kiongozi muovu, ajabu unaishia kutaja matukio ambayo wanayajua watu binafsi waliyotendewa tu.
Kama ni hivyo basi Magufuli hana cha ajabu kama ambavyo unataka tumchukulie, watu wanauwana kila siku. Watu wanauwa hadi watoto zao wadogo.Ukiua umeua tu hata kama hujulikani. Kuua mtu mmoja bila hatia kama Ben Saanane ni sawa tu na kuua mamia ta watu. Binadamu ana nafasi moja tu ya kuishi, hivyo unapomuua unafanya dhuluma isiyo mithilika.
Ulitaka auliwe mama yako Tz mbongo ndiyo ukubali UKATILI wa Magufuli??
Maccm ndani ya siku 67 hamtaamini macho yenu, mnaua ,mnateka ,mnaharibu uchaguzi na kutengeneza mfarakano kwenye jamii , kisa v8 , na viyoyozi, mmoja nimemuona akiwa kwenye kiti cha kimamlaka bila kutojua hayo mambo yapo yalivyo kwa sababu yapo na miiko yake ya Mungu, Ni Rais wa nchi hii anatakiwa kukalia viti vya namna hii tu, kueni na adabu ,tukutane ndani ya siku 67 asema Bwana , tulimwambia jiwe akashubaza shingo.Hukuona shida Kwa kauli ya mfungwa ?hv mfungwa anaeza ropoka tu bila kushuhudia ?
Tafiti unasema watz 3 kati ya 4 ni wehu , naanza kuamin
Unamchukiq JPM kias kwamba hujali kuhusu kauli ya yule albino
Mimi ningekuwq ktk viatu vya JPM Ile kauli ya yule mfungwa ingenifanya nianza upya kufanya uchunguz hapo gerezan na yule afande angekuwa ndan kusubir uchunguz zaid
Jamaa ana pua kama filimbi😁😁😁😁🙌🙌Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale, wakajipanga kumpokea.
Punde si punde, hayati Magufuli akawasili na bila kupoteza muda akaomba kuongea na wafungwa ili asikie matatizo yao kama ilivyoada yake.
Wafungwa walifurahi sana kumuona Rais, basi wakaambiwa watoe kero zao. Wakazungumza wengi mpaka ilipofika kwa mfungwa mmoja aliyeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Mmoja ya wafungwa waliopata nafasi ya kuongea na hayati Magufuli alikuwa ni Kalikenye Thomas Nyamboge, mfungwa mwenye ulemavu wa ngozi, aliyekuwa anatumikia kifungo cha Miaka 30 jela.
Mfungwa Kalikenye yeye akatoa kero yake kuhusu Afisa Usalama wa Gereza hilo, Afande Mwasifiga kuwa anashirikiana na wafungwa wengine kwa kuwapa simu waongee na watu wa nje ya Gereza kinyume na utaratibu uliowekwa lakini pia anashirikiana na baadhi ya wafungwa wenye hela kuingiza simu kwenye Gereza hilo la Butimba.
Mfungwa wa miaka 30 Jela, Bwana Thomas Kalikenye akaendelea kumsagia kunguni Afande kuwa, msako ukipita simu hazionekani na wao akina Thomas wasiohusika na kuingiza simu wanamwagiwa vitu vyao kama vile Karanga, Sukari, Sabuni na saa nyingine vinachukuliwa kwa nguvu na team ya Afande Mwasifiga.
Ghafla hayati Magufuli anabadilika na kuuliza yuko wapi huyo Afande Mwasifiga? Afande anatokea na kupiga saluti na kuanza kujibu shutuma.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Afande Mwasifiga anaanza kubishana na Rais Magufuli kuhusu suala la uwepo wa simu kwa wafungwa katika Gereza la Butimba.
Afande Mwasifiga katika ubishani wake akamuambia Rais Magufuli, “huyu alitaka kuniinua” Maneno hayo yalimchefua sana Rais.
Magufuli akamwambia afande kuwa”inaonekana una dharau sana wewe” akawa ameshakasirika huku wasaidizi wa Rais wakimtonya Afande Mwasifiga aombe msamaha kwa Rais. Kweli akaomba msamaha huku akipiga saluti, lakini haikusaidia kitu.
Kama utani Rais Magufuli akamwambia ninaweza nikang’oa hizo nyota zako hapo (huyu Afande alikuwa na nyota mbili).
Basi Rais akaachana nae akamalizia kuongea na wafungwa kama alivyopanga ana akatoa agizo kwa Mkuu wa Gereza la Butimba, ole wake mfungwa yoyote aliyetoa kero anyanyaswe, basi atachukua hatua mara moja. Akamaliza akaaga akaondoka zake.
Usiku wake, Afande Mwasifiga akapokea maelekezo kuwa ameondolewa Gereza la Butimba na kupewa uhamisho wa kwenda Ukerewe.
Sambamba na hilo, akavuliwa nyota yake moja alitoka kuipata siku chache kabla ya kubishana na Rais. Hivyo basi akabaki na nyota moja tu badala ya mbili kama hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi yake.
Kama haitoshi, baada ya miezi sita akiwa katika kituo chake kipya cha kazi, akastaafishwa kwa maslahi ya umma na utumishi wake ndani ya Jeshi la Magereza ukawa umefikia kikomo.
Ikumbukwe alipewa miaka mitano ya ziada jeshini baada ya kupewa nyota ya pili kabla ya kuipoteza nyota hiyo kutokana na kubishana na Rais.
Ukawa ndio mwisho wa Afande Mwasifiga, aliyepata kuwa Mkuu wa Usalama ndani ya Gereza la Butimba na waliopata kufanya nayr kazi wanakwambia alikuwa ni mjivuni, kiburi kwelikweli.
Kwasasa amerudi kwao Mbeya akiwa ni mkulima akiendeleza maisha baada ya kustaafishwa kwa maslahi ya Umma!View attachment 3164402
Magufuli alikuwa mpuuzi sana kwenye ubishiubishi na watendaji.
Najua serikalini wapigaji wengi na rais anatakiwa kukomaa, ila Magufuli alikuwa anabishana kwa ligi. Hataki kushindwa.
Ila kiboko yake ni yule jamaa aliyebishana naye kuhusu kuweka lift hospitali, Magufuli akamuuliza kwani wewe nyumbani kwako kuna lift? Jamaa akamjibu nyumbani kwangu si hospitali.
Halafu jamaa hata hakujibu kwa kiburi, ni kama alikuwa anamuelewesha rais tu kitaalamu lift hospitali ni muhimu, kuna wagongwa wataihitaji. Magufuli na ushamba wake hataki kuelewa somo.
Pale wenye akili walimuona Magufuli mjinga sana kulinganisha hospitali na nyumbani kwa mtu.
Shusha mzigo mwingine tunausubiria.Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale, wakajipanga kumpokea.
Punde si punde, hayati Magufuli akawasili na bila kupoteza muda akaomba kuongea na wafungwa ili asikie matatizo yao kama ilivyoada yake.
Wafungwa walifurahi sana kumuona Rais, basi wakaambiwa watoe kero zao. Wakazungumza wengi mpaka ilipofika kwa mfungwa mmoja aliyeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Mmoja ya wafungwa waliopata nafasi ya kuongea na hayati Magufuli alikuwa ni Kalikenye Thomas Nyamboge, mfungwa mwenye ulemavu wa ngozi, aliyekuwa anatumikia kifungo cha Miaka 30 jela.
Mfungwa Kalikenye yeye akatoa kero yake kuhusu Afisa Usalama wa Gereza hilo, Afande Mwasifiga kuwa anashirikiana na wafungwa wengine kwa kuwapa simu waongee na watu wa nje ya Gereza kinyume na utaratibu uliowekwa lakini pia anashirikiana na baadhi ya wafungwa wenye hela kuingiza simu kwenye Gereza hilo la Butimba.
Mfungwa wa miaka 30 Jela, Bwana Thomas Kalikenye akaendelea kumsagia kunguni Afande kuwa, msako ukipita simu hazionekani na wao akina Thomas wasiohusika na kuingiza simu wanamwagiwa vitu vyao kama vile Karanga, Sukari, Sabuni na saa nyingine vinachukuliwa kwa nguvu na team ya Afande Mwasifiga.
Ghafla hayati Magufuli anabadilika na kuuliza yuko wapi huyo Afande Mwasifiga? Afande anatokea na kupiga saluti na kuanza kujibu shutuma.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Afande Mwasifiga anaanza kubishana na Rais Magufuli kuhusu suala la uwepo wa simu kwa wafungwa katika Gereza la Butimba.
Afande Mwasifiga katika ubishani wake akamuambia Rais Magufuli, “huyu alitaka kuniinua” Maneno hayo yalimchefua sana Rais.
Magufuli akamwambia afande kuwa”inaonekana una dharau sana wewe” akawa ameshakasirika huku wasaidizi wa Rais wakimtonya Afande Mwasifiga aombe msamaha kwa Rais. Kweli akaomba msamaha huku akipiga saluti, lakini haikusaidia kitu.
Kama utani Rais Magufuli akamwambia ninaweza nikang’oa hizo nyota zako hapo (huyu Afande alikuwa na nyota mbili).
Basi Rais akaachana nae akamalizia kuongea na wafungwa kama alivyopanga ana akatoa agizo kwa Mkuu wa Gereza la Butimba, ole wake mfungwa yoyote aliyetoa kero anyanyaswe, basi atachukua hatua mara moja. Akamaliza akaaga akaondoka zake.
Usiku wake, Afande Mwasifiga akapokea maelekezo kuwa ameondolewa Gereza la Butimba na kupewa uhamisho wa kwenda Ukerewe.
Sambamba na hilo, akavuliwa nyota yake moja alitoka kuipata siku chache kabla ya kubishana na Rais. Hivyo basi akabaki na nyota moja tu badala ya mbili kama hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi yake.
Kama haitoshi, baada ya miezi sita akiwa katika kituo chake kipya cha kazi, akastaafishwa kwa maslahi ya umma na utumishi wake ndani ya Jeshi la Magereza ukawa umefikia kikomo.
Ikumbukwe alipewa miaka mitano ya ziada jeshini baada ya kupewa nyota ya pili kabla ya kuipoteza nyota hiyo kutokana na kubishana na Rais.
Ukawa ndio mwisho wa Afande Mwasifiga, aliyepata kuwa Mkuu wa Usalama ndani ya Gereza la Butimba na waliopata kufanya nayr kazi wanakwambia alikuwa ni mjivuni, kiburi kwelikweli.
Kwasasa amerudi kwao Mbeya akiwa ni mkulima akiendeleza maisha baada ya kustaafishwa kwa maslahi ya Umma!View attachment 3164402
BellickNmejikuta namfananisha mwasifiga na afande DERECK kwenye prison BREAK, pale fox river 😊
Tunangojea babu.Bellick
Kila mmoja ashinde mechi zake. Wewe wa kumuabudu Magufuli endelea, na mimi niliye m-condemn niache nitumie uhuru wangu wa maoni. Wasomaji wataamuaKama ni hivyo basi Magufuli hana cha ajabu kama ambavyo unataka tumchukulie, watu wanauwana kila siku. Watu wanauwa hadi watoto zao wadogo.
Mkuu unataka na mie nimchukie Magufuli? Issue sio kukubali hizo tuhuma za ukatili au kukataa bali hiyo chuki ambayo ukiona katajwa Magufuli tu basi unachefukwa unaweka hisia za chuki mbele yani hutaki azungumziwe kwa mengine zaidi ya hizo tuhuma za ukatili tu.
Wewe unachukiwa wangapi wenye kufanya ukatili au chuki yako kwa ukatili ni kwa Magufuli tu? Chuki ni maradhi mkuu inakutafuna.
“Nchi haikombolewi kwa Maombi” Tundu lissu 2024.Maccm ndani ya siku 67 hamtaamini macho yenu, mnaua ,mnateka ,mnaharibu uchaguzi na kutengeneza mfarakano kwenye jamii , kisa v8 , na viyoyozi, mmoja nimemuona akiwa kwenye kiti cha kimamlaka bila kutojua hayo mambo yapo yalivyo kwa sababu yapo na miiko yake ya Mungu, Ni Rais wa nchi hii anatakiwa kukalia viti vya namna hii tu, kueni na adabu ,tukutane ndani ya siku 67 asema Bwana , tulimwambia jiwe akashubaza shingo.
Uchaguzi wa mtaa tu ,mnaondoa uhai wa mtu , subili kiama chenu ,Mungu anasema mtajua hamjui ,ujinga mtupu,alafu unasikia jinga lipo ccm sema imeshinda kwa kishindo ,nani anakataa ccm shinda kwa kishindo katika haki ?
Mungu atawapukutisha kama mchanga,ujinga mtupu.
Pamoja na mapungufu ya nchi hii , Rais alijitahidi imarisha Diplomas ila wajinga wachache wamefanya upumbavu mkuu ,ningekua ndo Rais wapumbavu wa namna hii , ningewanyongelea mbali katikati ya umma, wahusika mmefanya hujuma kubwa , kifua kipana na mamlaka ya kijamii wapi, kwani hu mbeba vyuma wewe subiri Mungu akujibu ndo ujue ,aliekuumba sio baba yako
MUNGU YUPO KAZINI
Vyote vile ila maombi lazima“Nchi haikombolewi kwa Maombi” Tundu lissu 2024.