Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

This is a logical non sequitur fallacy.
Kiran
Wewe dada yangu una nongwa sana, Magu kutekeleza majukumu yake ndio kujimwambafy. Kwa hiyo ulitaka awaache wajingawajinga ambao ni waonevu?

Ila wewe nishakustukia tokea muanze kula mlo mmoja wa jioni kwa sababu ya Bwana wako kufukuzwa kwa vyeti feki unamchukia kweli Magu.
 
Huyu jamaa lazima ni mhaya maana neno ambalo anaweza andika kwa Kiswahili analiandika kwa kingereza.
 
Alishinda kitu gani wakati alifukuzwa kazi na wengine wanasema alishakufa tayari ulitaka aendelee kuwanyanyasa wafugwa?
 
Kuna yule mfungwa mlemavu wa miguu, yeye alipopata nafasi ya kuongea akaanza kukimwaga kisukuma mwanzo mwisho.

Akaulizwa na Magu, kosa lako nini akajibu
Baba mie walinikamata wanasema eti nimemtomba mariam.

Magu akajibu iliwezekanaje wakati una miguu mibovu? Au mguu wa katikati unafanya kazi?

Halafu kalikenye mwenyewe (albino) alisha achiliwa huru.
 
Mkuu

Mkuu hapa umeongea Neno, Ni kweli kabisa Uongozi unahitaji busara Sana, Watu unaowadharau na kuwaona wadogo wanaweza kukuangusha usiamini.
Halafu pia, haki haitakiwi kufanyika tu, inatakiwa kuonekana kuwa imefanyika.

Watanzania wengi hawaheshimu kanuni hii.
 
Sijachangia kimahaba!!

Kama mshindi ni afande, mbona hajarejeshwa kazini?

Amri ya magufuri bado ipo palepale pamoja na kua hatuko nae!!

Afande alikua na tuhuma za unyanyasaji lakini bado akaongea na mkuu wa nchi kama anaongea na mtoto au afande mwenzie walie lingana cheo!!

Toa mahaba mahaba halafu uniambie wewe na mwanao hamna mipaka ya mahusiano?

Boss wako tu hata kama ana miliki mashine moja tu ya kusaga nafaka, huwezi kumjibu kama unavyo jibizana na mshikaj wako mnaecheza na draft hapo mashinen. Leo ndio uje umjibu mkuu wa nchi kama unavyo jisikia?? Hata kama umemzidi umri bado boss ni boss tu utamwita baba/ mzee huku umekusanya mikono na kushusha kichwa chako chini.

SIKU NYINGINE UNAPO CHANGIA JITAIDI KUPUNGUZA MAHABA KUNA WEMGINE HATUFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE TUNAJIKITA KWENYE MAADA TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…