Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
John Okelo amewahi kuiongoza Zanzibar...!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndie alikuwa na kauli ya mwisho Zanzibar kwa siku chache baada ya mapinduzi, kosa alilofanya ni kukabidhi madaraka kwa karumeJohn Okelo amewahi kuiongoza Zanzibar...!!?
Kosa lake kubwa ni ugalatia wake.Ndie alikuwa na kauli ya mwisho Zanzibar kwa siku chache baada ya mapinduzi, kosa alilofanya ni kukabidhi madaraka kwa karume
Mimi siyo Mkiristo.Wagalatia wanamchukia AMINI kwa hali na mali na kumzushia mengi yasiyo ya kweli kisa Uislamu wake
Haya ukimaliza muandike na huyu wako alichokifanya mana wanasema sadaka huanzia nyumbni ila ww umeanza kwa jirani
😅Afrika na ngono ni kama uji na mgonjwa..Acha maendeleo tuendelee kuyasikia kwa jirani tuu
Yaan, vijana wakifanikiwa kiuchumi , utaona marathon zao kwenye ngono.
Alter wanazotokea mkuu !Yaan, vijana wakifanikiwa kiuchumi , utaona marathon zao kwenye ngono.
Wakipata madaraka utaona ngono zinavyoshika hatam...
Yan ngono kwa mtu mweusi ni ugonjwa
Duuu,jamaa lilikuwa noma sana4
Malyam alirudishwa hospitali ya umma. Alibaki hospitali kwa majuma kadhaa. Mwezi Juni alipopata nafuu, aliruhusiwa kutoka hospitali, akatumia nafasi hiyo kuondoka Uganda kwa madai ya kutafuta matibabu zaidi. Hakurudi! Alisafiri kwenda jiji la London akiwaacha watoto wake sita wakiangaliwa na wake wengine wa Amin.
Baada ya Malyam kuondoka, duka lake kwa amri ya Amin liliporwa vitu vyote. Kwa wakati huo, baba yake Malyam, Mzee Kibedi aliyekuwa na miaka sabini, aliamriwa na Amin achukue duka lile. Kibedi alitambua duka halikuwa na kitu lakini kwa sababu ya kumuogopa Amin, kila siku aliamka asubuhi, akaenda kuuza duka tupu!
Tutazame upande wa Kay. Baada ya Amin kuachana na Kay, baba yake Kay, Mwinjilisti Adroa alitaka kusafisha jina la familia. Aliomba suluhu na Amin na aliomba Amin amsamehe binti yake. Amin ambaye hakuwa anafahamu kama Kay alikuwa na mimba ya mwanaume mwingine, alikubali kumjengea nyumba nyumbani kwao, Arua.
Mwaka 1974 mwezi Agosti, Kay alikamatwa na kuwekwa ndani kwa tuhuma ya kumiliki silaha kinyume cha sheria. Jambo hili bila shaka yoyote ilikuwa amri ya Amin. Hata silaha aliyotuhumiwa kuwa nayo, alipewa na Amin kwa ajili ya ulinzi binafsi. Amin ni mtu muungwana, alifika kituo cha polisi kumsalimia Kay. Hapo wakaanza kuzozana Kay akiwa nyuma ya nondo. Mwanamke alipiga kelele, “Huwezi kunifunga kwa sababu ya kumiliki silaha ambayo ulinipa mwenyewe.” Amin akajibu mashambulizi kwa kumuita malaya aliyestahili adhabu ile.
Baada ya malumbano, Amin aliondoka akimuacha Kay nyuma ya nondo mpaka asubuhi alipohojiwa. Alipoulizwa kama ni kweli alikuwa na silaha alijibu, “Ndiyo, silaha hizo ni mali ya mume wangu.” Alipewa onyo kisha akaachiwa.
Hata hivyo, Kay hakuchukua muda mrefu!
Jumatatu asubuhi, tarehe 14 mwezi Agosti saa tatu asubuhi, hospitali ya Mulago ilimpigia simu waziri wa afya wakati huo akiwa Henry Kyemba na ofisi zake zikiwa Entebbe. Alifahamishwa kwamba, daktari wake, Mbalu-Mukasa, alikuwa na hali mbaya hospitali. Mke na watoto wake watano walikuwa hospitali, wote wanaumwa mahututi. Mbalu Mkasa, kijogoo aliyemtia mimba mke wa Amin, alizidisha dozi ya dawa za usingizi kwake mwenyewe, mke wake na watoto. Mtoto mdogo zaidi alionwa baadae akiwa ndani ya kabati na blanketi kichwani. Waziri wa afya alishtushwa na habari hizi, walisoma pamoja chuo na alikuwa daktari mkongwe. Haukupita muda katika kushangaa kwake, akajulishwa kwamba Mbalu Mkasa alipoteza maisha, na matumaini ya kuishi yalibaki kwa mke na watoto.
Inaendelea...
Soma: Jinsi ya Kuandika CV na Barua ya Maombi ya Kazi
4

Baada ya Malyam kuondoka, duka lake kwa amri ya Amin liliporwa vitu vyote. Kwa wakati huo, baba yake Malyam, Mzee Kibedi aliyekuwa na miaka sabini, aliamriwa na Amin achukue duka lile.
Kibedi alitambua duka halikuwa na kitu lakini kwa sababu ya kumuogopa Amin, kila siku aliamka asubuhi, akaenda kuuza duka tupu!
Tutazame upande wa Kay. Baada ya Amin kuachana na Kay, baba yake Kay, Mwinjilisti Adroa alitaka kusafisha jina la familia. Aliomba suluhu na Amin na aliomba Amin amsamehe binti yake. Amin ambaye hakuwa anafahamu kama Kay alikuwa na mimba ya mwanaume mwingine, alikubali kumjengea nyumba nyumbani kwao, Arua.
Mwaka 1974 mwezi Agosti, Kay alikamatwa na kuwekwa ndani kwa tuhuma ya kumiliki silaha kinyume cha sheria. Jambo hili bila shaka yoyote ilikuwa amri ya Amin. Hata silaha aliyotuhumiwa kuwa nayo, alipewa na Amin kwa ajili ya ulinzi binafsi. Amin ni mtu muungwana, alifika kituo cha polisi kumsalimia Kay. Hapo wakaanza kuzozana Kay akiwa nyuma ya nondo. Mwanamke alipiga kelele, “Huwezi kunifunga kwa sababu ya kumiliki silaha ambayo ulinipa mwenyewe.” Amin akajibu mashambulizi kwa kumuita malaya aliyestahili adhabu ile.
Baada ya malumbano, Amin aliondoka akimuacha Kay nyuma ya nondo mpaka asubuhi alipohojiwa. Alipoulizwa kama ni kweli alikuwa na silaha alijibu, “Ndiyo, silaha hizo ni mali ya mume wangu.” Alipewa onyo kisha akaachiwa.
Hata hivyo, Kay hakuchukua muda mrefu!
Jumatatu asubuhi, tarehe 14 mwezi Agosti saa tatu asubuhi, hospitali ya Mulago ilimpigia simu waziri wa afya wakati huo akiwa Henry Kyemba na ofisi zake zikiwa Entebbe. Alifahamishwa kwamba, daktari wake, Mbalu-Mukasa, alikuwa na hali mbaya hospitali. Mke na watoto wake watano walikuwa hospitali, wote wanaumwa mahututi. Mbalu Mkasa, kijogoo aliyemtia mimba mke wa Amin, alizidisha dozi ya dawa za usingizi kwake mwenyewe, mke wake na watoto. Mtoto mdogo zaidi alionwa baadae akiwa ndani ya kabati na blanketi kichwani. Waziri wa afya alishtushwa na habari hizi, walisoma pamoja chuo na alikuwa daktari mkongwe. Haukupita muda katika kushangaa kwake, akajulishwa kwamba Mbalu Mkasa alipoteza maisha, na matumaini ya kuishi yalibaki kwa mke na watoto.
Inaendelea...
Soma: Jinsi ya Kuandika CV na Barua ya Maombi ya Kazi
Duuh, hatari sana!4
Malyam alirudishwa hospitali ya umma. Alibaki hospitali kwa majuma kadhaa. Mwezi Juni alipopata nafuu, aliruhusiwa kutoka hospitali, akatumia nafasi hiyo kuondoka Uganda kwa madai ya kutafuta matibabu zaidi. Hakurudi! Alisafiri kwenda jiji la London akiwaacha watoto wake sita wakiangaliwa na wake wengine wa Amin.
Baada ya Malyam kuondoka, duka lake kwa amri ya Amin liliporwa vitu vyote. Kwa wakati huo, baba yake Malyam, Mzee Kibedi aliyekuwa na miaka sabini, aliamriwa na Amin achukue duka lile. Kibedi alitambua duka halikuwa na kitu lakini kwa sababu ya kumuogopa Amin, kila siku aliamka asubuhi, akaenda kuuza duka tupu!
Tutazame upande wa Kay. Baada ya Amin kuachana na Kay, baba yake Kay, Mwinjilisti Adroa alitaka kusafisha jina la familia. Aliomba suluhu na Amin na aliomba Amin amsamehe binti yake. Amin ambaye hakuwa anafahamu kama Kay alikuwa na mimba ya mwanaume mwingine, alikubali kumjengea nyumba nyumbani kwao, Arua.
Mwaka 1974 mwezi Agosti, Kay alikamatwa na kuwekwa ndani kwa tuhuma ya kumiliki silaha kinyume cha sheria. Jambo hili bila shaka yoyote ilikuwa amri ya Amin. Hata silaha aliyotuhumiwa kuwa nayo, alipewa na Amin kwa ajili ya ulinzi binafsi. Amin ni mtu muungwana, alifika kituo cha polisi kumsalimia Kay. Hapo wakaanza kuzozana Kay akiwa nyuma ya nondo. Mwanamke alipiga kelele, “Huwezi kunifunga kwa sababu ya kumiliki silaha ambayo ulinipa mwenyewe.” Amin akajibu mashambulizi kwa kumuita malaya aliyestahili adhabu ile.
Baada ya malumbano, Amin aliondoka akimuacha Kay nyuma ya nondo mpaka asubuhi alipohojiwa. Alipoulizwa kama ni kweli alikuwa na silaha alijibu, “Ndiyo, silaha hizo ni mali ya mume wangu.” Alipewa onyo kisha akaachiwa.
Hata hivyo, Kay hakuchukua muda mrefu!
Jumatatu asubuhi, tarehe 14 mwezi Agosti saa tatu asubuhi, hospitali ya Mulago ilimpigia simu waziri wa afya wakati huo akiwa Henry Kyemba na ofisi zake zikiwa Entebbe. Alifahamishwa kwamba, daktari wake, Mbalu-Mukasa, alikuwa na hali mbaya hospitali. Mke na watoto wake watano walikuwa hospitali, wote wanaumwa mahututi. Mbalu Mkasa, kijogoo aliyemtia mimba mke wa Amin, alizidisha dozi ya dawa za usingizi kwake mwenyewe, mke wake na watoto. Mtoto mdogo zaidi alionwa baadae akiwa ndani ya kabati na blanketi kichwani. Waziri wa afya alishtushwa na habari hizi, walisoma pamoja chuo na alikuwa daktari mkongwe. Haukupita muda katika kushangaa kwake, akajulishwa kwamba Mbalu Mkasa alipoteza maisha, na matumaini ya kuishi yalibaki kwa mke na watoto.
Inaendelea...
Soma: Jinsi ya Kuandika CV na Barua ya Maombi ya Kazi
Usimzaniye marehemu/mwendazake vibaya japo walifanana tabia kwenye kupenda Ngoma/muziki...[emoji3][emoji3]Naomba kitabu cha Idi Amin Field Marshal chenye mastori yote. Stori zake zinachekesha sana. Jiwe asingedhibitiwa angefika pabaya