Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #221
UPDATE: 21 AUGUST 2020
WASIFU WA MHUSIKA KWA KIFUPI SANA
Inaendelea……………….
12 WASIFU WA KIROHO WA MHUSIKA KABLA HAJANZA KUABUDU KANISA A
MwiH
elly obedy
WASIFU WA MHUSIKA KWA KIFUPI SANA
Inaendelea……………….
12 WASIFU WA KIROHO WA MHUSIKA KABLA HAJANZA KUABUDU KANISA A
- Mara ya kwanza anaona LIVE watu wakijaribu kutoa pepo Kanisani ilikuwa mwaka 2011., hapo hapo Kanisa A.
- Hapo kabla, alikuwa anaona kwenye TV tu na alikuwa anadhani kuwa ni maigizo, yaani makubaliano kati ya watumishi wa Mungu na waumini wao makanisani
- Alikuwa hajui kama mapepo wapo, na pia alikuwa hajui maana ya pepo
- Uwepo wa shetani yeye alikuwa anaona ni dhana tu au falsafa, isipokuwa alikuwa anaamini uwepo wa Mungu kwa concrete evidence ambazo details zake hawezi kuzitoa hapa
- Mara ya kwanza kwake kuhakikisha kuwa kuna ulimwengu wa roho ilikuwa pia mwaka 2011, baada ya kusoma kitabu kilichaondikwa na Mtumishi maarufu wa Mungu hapa Tanzania, Mwalimu Christopher Mwakasge
- Kitabu hicho alikinunua Makao Makuu ya KKKT (Luther House, mjini kule City Centre)
- Mara ya kwanza kwake ku-detect pattern isiyo ya kawaida katika maisha yake na hatimaye kung’amua kuwa pattern hiyo haikuwa inaitokana na nguvu za kawaida zinazoonekana kwa macho, ilikuwa mwaka 2010
- Hisia za uwepo wa ulimwengu wa roho, kwake zilianza mwaka 2010. Kabla ya hapo, kila tukio lililokuwa likimtokea, alikuwa analiona na kulifanyia kazi katika tafakuri ya ulimwengu wa macho ya nyama tu basi
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
MwiH
elly obedy