Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
- Thread starter
- #2,541
UPDATE: TUESDAY, 28TH JULY 2025
KABLA MHUSIKA HAJAENDELEA NA MADA KUHUSIANA NA “MATCHES”
TUKIO JINGINE MUHIMU ALILOKUMBANA NALO MHUSIKA KANISANI SIKU YA J2 YA TAREHE 13/07/2025
J2 hii ndiyo ile ambayo mhusika alifuatwa washroom na Askari ambaye jina la ubini wake linatengeneza KEY na jina la ubini la kiongozi ambaye ana jina la kwanza linalofanana na maneno CHRIST
Mara tu baada ya Ibada kuhitimishwa, mhusika alielekea kwenye parking na kukuta gari yake ikiwa imezibwa na gari nyingine ambayo ilikuwa ni ya mwisho kwenye mstari aliokuwa amepaki, huku mbele yake kukiwa na nafasi kubwa ambayo ilionyesha dhahiri kuwa hapakuwa na uazima wowote wa gari hiyo kumziba mhusika
Sehemu nyingi za parking zilikuwa zipo wazi kutokana na waumini kuwa ni wa Ibada ya kwanza, na hivyo ilionesha kuwa wakati mtu huyu anapaki gari pale, Ibada ilikuwa tayari imeshaanza, huku dalili zikiwa zinaonyesha wazi kabisa kuwa parking nyingi zingeabai wazi wakati wa Ibada hiiyo
Mbali na hilo, kitendo cha gari la muumini huyu kuwa la mwisho kwenye mstari huo, kulikuwa kunatoa nafasi ya yeye kupaki katika namna ambayo asingeweza kumziba mhusika iola hakufanya hivyo
Hii inaonyesha dhahiri kabisa kuwa muumini huyu alikuja kupaki pale kwa kusudi naalum la kumziba mhusika
Aliyekuwa amepaki kwa mtindo huu, ni mwanmama ambaye aliambatana na kitoto ambacho mhusika aliwahi kuleta maelezo yake kupitia baadhi ya maelezo yaliyopo kwenye post hii hapa #1,543 ,
Kitoto hiki ni kile kichowahi kufanyiwa matibabu na madaktari wetu, na siku ya maelezo husika yaliyopo kwenye post tajwa, kiliwahi kuambatana na Mzee wa Kanisa mwenye jina linalofanana na la mwanasiasa maarufu nchini
DHANA YA MHUSIKA BAADA YA KUKUTA GARI LAKE LIKIWA LIMEZIBWA KWA MAKUSUDI NA GARI JINGINE
Mhusika alidhani kuwa gari hilo litakuwa ni la mmoja wa akina mama walikuwa wamebaki kwa muda kwa ajili ya kikao, baada ya kuwa wmetangaziwa kubaki kwa muda mfupi baada ya Ibada
Baada ya mwenye gari kuwa amejitokeza, pamoja na kuwa kweli alikuwa ni mwanamama, lakini bado hakuwa miongoni mwa wale ambao walikuwa wamehudhuria wito wa tangazo lile ambalo lilikuwa limewaomba akina mama kubaki kwa muda
KILICHOKUWA NYUMA YA PLAN YA MAMA HUYU SIKU HIYO
Mama huyu alimziba mhusika kwa makusudi nia ikiwa ni kumsubirisha ili waweze kuongozana wote njiani wakati wa kurudi, na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kumuona mama huyu akiwa anapita njia ambayo mhusika huwa anapita
Walipofika jirani na Mlimani City kwenye mataa ya Super Star, mhusika alimpata mama huyu akiwa ameismama kwenye mataa hayo ambayo rangi zake zinafanana na baadhi ya rangi zilizopo kwenye ngazi za kupandishia juu ya Madhabahu ya Kanisa A
Kwa hiyo kilichokuwa kimetokea ni kwamba tangazo la akina mama liliwekwa ili iwe kisingizio cha mama huyu kuwepo Kanisani akiwa anaranda somewhere huku akiwa ameziba mhsika, na hatimaye baada ya hapo, waweze kuongozana wote njiani kuelkea kwenye mataa ya Super Star
Message ya scenery yote hii hapa ni kwamba yale mataa ya Kanisani ambayo yapo chini kwenye ngazi za kupandishia madhabahuni, siku hiyo yalikuwa yamepoteza signal na mama huyu ndiye aliyekuwa amepewa assignment ya kuyafanyia renewal wakati wa kurudi nyumbani
Karibia mara zote, kazi hii huwa inafanywa na yule Profesa rafiki wa Security Guard, lakini nadhani siku hiyo naye ilibidi apumzike
Kwa hiyo hizo taa za bararabani ambazo watu wanazitumia ili wasije wakapata ajali, huwa zinatumika pia kwa mambo mengine
Baada ya J2 hiyo kupita, ilipofika Alhamis ya tarehe 17/07/2025 ndiyo pale mhusika alipopokea barua kule ofisini kwake, ya kufukuzwa kwenye nyumba anayoishi
Gari ya mama huyu iliyokuwa imemziba mhusika J2 hiyo, tarakimu zake mbili za namba ya usajili, zinafanana na za gari la mhusika ikiwa ni pamoja na mpangilio wake
UP NEXT:
CODE YA MATCHES
…………inaendelea

- Huyu mama alitakiwa kuwepo kwenye kikao hicho cha akina mama lakini yeye hakuhudhuria na still; huku nje kwenye parking alikuwa amemziba mtu katika namna ambayo haikuwa na ulazima wowote wa kumziba
- Mbali na hayo, mama huyu alikuwa yupo nje anaranda randa sehemu nyingine huku akiwa anajua fika kabisa kulikuwa na gari la mtu mwingine ambalo alikuwa ameliziba kwa makusudi
- Angalau sasa kwa sababu hakuwa amehudhdhuria kikao, mama huyu angewahi sasa kwenye parking kumpisha mhusika