Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: SATURDAY, 23RD AUGUST 2025

UTAFITI ULIOKMILIKA

.....INAENDELEA KUTOKA JUU

COJNCIDENCES NYINGINE MUHIMU ZILIZOJITOKEZA BAADA YA MTOTO KUWA AME -SYSTEMIZE KULE KANISANI KWAKE MHUSIKA WAKATI WA IBADA YA SIKU YA J2 YA TAREHE 17/07/2025

KESHO YAKE USIKU WA J3 YA TAREHE 18/O8/2025, WATOTO WENGINE WATATU NAO PIA WALI-SYSTEMIZE WAKIWA WAMELALA USINGIZI KWENYE KUSANYIKO LA KIDINI

WATOTO HAWA WALITAJWA MAJINA YAO KUWA NI MARY JACKSON, PASHEN YUSUPH NA LOVENESS KILONZO:; KITU KINACHOONYESHA KUWA WAWILI WAO NI WAJINA WA WAZAZI WA YESU HUKU MWINGINE WA TATU AKIWA NA JINA LENYE UHUSIANO NA MOTIVE YA YESU KUANGIKWA MSALABANI

IKUMBUKWE PIA KUWA MTOTO ALIYE-SYSTEMIZE KANISANI, ALIFANYA HIVYO KUPITIA REFLEX ACTION; KWA SABABU TENDO LA MTU KUTAPIKA HUWA SIYO LA HIARI KATIKA HALI YA KAWAIDA, JAPO IN SOME CASES, MTU MZIMA ANAO UWEZO WA KUJITAPISHA, ILA SI MTOTO MDOGO

VILE VILE TENDO LA MTOTO KUPITILUZA KIFO KUPITIA USINGIZINI KUFUATIA KUSHINDWA KUPUMUA KUTOKANA NA RESPIRATORY SYSTEM KUWA AFFECTED, NI INVOLUNTARY NA HIVYO NI SAWA TU NA LILE LA KUTAPIKA

WATOTO HAWA WAMEFARIKI BAADA YA RESPIRATORY SYSTEM ZAO KUSHINDWA KUFANYA KAZI HUKU WAO WAKIWA HAWANA TENA CONTROL YA KUWEZA KUCHUKUA HATUA YA KUJIKINGA ILI KUU-SUPPORT MFUMO HUO; IN AS MUCH KAMA ILIVYO KWA INVOLUNTARY ACTION ILIYOTOKEA KANISANI ILIYOPELEKEA MTOTO KUTAPIKA

COINCIDENCES NYINGINE MUHIMU ZILIZOJITOKEZA KWENYE MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA KABLA NA BAADA YA TUKIO LA VIFO HIVI KUTOKEA

ASUBUHI YA J3 YA TAREHE 18/08/2025 BIBI MUUZA VITABU (SELLER) ALIFIKA NA KUINGIA OFISINI KWA MKUU WA MAJOR UNIT ( MMU) NA BAADA YA MUDA ALITOKA NA KUONDOKA ZAKE

BIBI HUYU ALIFIKA NA HATIMAYE KUONDOKA PASIPO KUMSALJMIA WALA KUMSEMESHA MHUSIKA AMBAYE HAKUWA MBALI SANA, HUKU MLANGO WA OFISI AKIWA AMEUACHA WAZI

HADI KUFIKIA J3 HII, BIBI HUYU ALIKUWA ANA ZAIDI YA MWAKA PASIPO KUWA AMEONEKANA TENA NDANI YA JENGO LA OFISI ZAO MHUSIKA

BAADA YA HIBI HUYU KUONDOKA J3 HIYO, ALIRUDI TENA SIKU YA ALHAMIS ILA SAFARI HII HAKUMKUTA MMU

BAADA YA KUMKOSA, BIBI ALIAMUA SAFARI HII KUFIKA OFISINI KWA MHUSIKA, AKIWAULIZIA MMU, MWI MSTAAFU 2006-2012 PAMOJA NA MNUNUZI WA GARI, NA ALIKUWA AMEBEBA MZIIGO AMBAO ALIKUWA AMEMLETEA MMU.

BAADA YA MAONGEZI YA MUDA MFUPI KATI YA MHUSIKA NA BIBI, MHUSIKA ALIMWELEKEZA BIBI AKAUACHE MZIGO WA MMU OFISINI KWA MWI. BIBI ALIKUBALIANA NA USHAURI WA MHUSIKA, AKAENDA AKAUACHA MZIGO OFISINI KWA MWI, NA BAADA YA HAPO ALIRUDI TENA OFISINI KWA MHUSIKA AKAMUAGA NA HATIMAYE KUONDOKA

KABLA YA ALHAMIS, MAPEMA ASUBUHI YA SIKU YA J5 ALIFIKA MGENI MWINGINE TENA OFISINI KWA MHUSIKA ALIYEKUWA ANA APPOINTMENT NA MNUNUZI WA GARI, ILA HAKUMKUTA NA BADALA YAKE ALIAMUA KUONANA NA MHUSIKA

JINA LA UBINI LA MGENI HUYU LINAFANANA NA JINA LA KWANZA LA KIONGOZI MKUU WA KANISA A; LIKIWA PIA LINAFANA NA LA MMOJAWAPO WA AUTHORS WA BIBLIA

COINCIDENCES ALIZOZIONA MHUSIKA KUTOKA KWENYE MATUKIO HAYA AMBAYO AMEYAELEZA HAPO JUU

--WATOTO WALIO-SYSTEMIZE KWENYE KUSANYIKO LA DINI WANA ATTRIBUTES ZA SEVENTH
--KUSANYIKO LILILOPELEKEA WATOTO KUFARIKI LINA ATTRIBUTES ZA SEVENTH
--BIBI MUUZA VITABU ANA ATTRIBUTES ZA SEVENTH
--OFISI ANAYOTUMIA MMU ALIPISHWA NA MTU MWENYE ATTRIBUTES ZA SEVENTH
--NYUMBA ANAYOISHI MMU ALIPISHWA NA MTU YULE YULE ALIYEWAHI KUMPISHA OFISI, NA HIVYO NYUMBA HIYO NAYO PIA INA ATTRIBUTES ZA SEVENTH
-- MGENI ALIYEFIKA OFISINI KWA MHUSIKA BAADA YA KUMKOSA MNNUZI WA GARI MWG), ANA ATTRIBUTES ZA SEVENTH, NA PIA VILE VILE CBE
-- MWG NAYE PIA ANA ATTRIBUTES ZA SEVENTH,

ZAIDI NI KUWA SEVENTH INA ATTRIBUTES ZA DSA
NA MWISHO, DSA NA CBE ZINA UHUSIANO NA NAMBA ZA USAJILI ZA VYOMBO VYA USAFIRI

…………..itaendelea TENA


In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
“TIP OF THE YEAR 2025”

BAADHI TU YA MAPROFESA AMBAO NI ROLE MODELS WA MHUSIKA HAPA NCHINI


Hawa ni baadhi tu ya maProfesa ambao mhusika anawakubali sana; wawili wakiwa ni walimu wake na mwingine mmoja, aliwahi kuwa bosi wake

  • Profesa ambaye ni recent retired Governor wa BoT
  • Profesa ambaye ni recent retired Rector wa Chuo cha Biashara (College of Busiess Education); na ambaye aliwahi kumfundisha mhusika somo la IT
  • Retired Profesa aliyewahi kuwepo CoET, UDSM ambaye aliwahi kumfundisha mhusika somo la Project Management wakati wa yake masomo yake ya ngazi ya Masters
Hawa ni baadhi tu ya maProfesa ambao mtu akiwapa kazi; lazima ifanyike kwa standards na pia kama anavyotaka mwenyewe; bila kujali ni Rais wa Nchi ama la!

Na ikitokea ukaona Profesas hawa wanalalamikiwa mahali; ujue fika kuwa ni Siasa; ni kwa sababu wamenyooka kama rula

Zaidi ni kuwa wako smart sana hata kwenye zile appearance zao za nje tu kiasi kwamba ile appearance yao ya nje huwa inatosha kumfanya hata mtu ambaye hawafahamu aweze kujua kuwa ni Profesas
 
KUNA JENGO JINGINE TENA NDANI YA TAASISI

MOJAWAPO YA MAJENGO YALIYO NDANI YA TAASISI AMBALO LIMEKUWA MARA KWA MARA LIKIONYESHA DALILI ZOTE ZA KUWA TISHIO KWA MAISHA YA MHUSIKA


HILI NI JENGO AMBALO MHUSIKA AMEKUWA MARA KWA MARA, AKITENGENEZEWA SABABU ZISIZO ZA MSINGI AMBAZO HATIMAYE HUWA ZINAPELEKEA AKAINGIE NDANI YA JENGO HILO, NA MARA YA MWISHO AMBAYO MHUSIKA ALITAKIWA AKAINGIE KWENYE JENGO HILO HUKU IKIWA NI KWA MARA YA PILI SASA NDANI YA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI, ILIKUWA NI WIKI HII

HATA HIVYO, MHUSIKA HAKWENDA KUINGIA KWENYE JENGO HILO BAADA YA KUBAINI UPUMBAVU ULIOKUWA NYUMA YA TUKIO ZIMA: UPUMBAVU ULIOKUWA UMERATIBIWA NA KATIBU MHUTASI WA MKUU WA IDARA (KMWI) WAKISHIRIKIANA NA MTAALAMU WA IT WA MAJOR UNIT; BAADA YA WAWILI HAWA KUSHIRIKIANA KUBADILI PASSWORD YA OFFICIAL EMAIL ADDRESS YA MHUSIKA AMBAYO HUWA INATUMIA DOMAIN YA TAASISI, NA IKIWA VILE VILE NDIYO EMAIL PEKEE ALIYOKUWA AMEBAKI NAYO, BAADA YA ILE YA PILI KUWA BLOCKED MWANZONI MWA MWEZI WA SITA MWAKA HUU, NAYO VILE VILE IKIWA NI KWA MTINDO ULE ULE WA KUBADILISHWA PASSWORD

HII ALTERNATIVE EMAIL YA MHUSIKA ILIYOKUWA BLOCKED MARA YA KWANZA, NAYO PIA ILIKUWA INATUMIA DOMAIN YA TAASISI NYINGINE NDOGO ILIYO NDANI YA TAASISI MAMA

KWA HIYO HADI KUFIKIA MUDA HUU, EMAILS ZOTE ZA MHUSIKA ZIMESHAKUWA BLOCKED, NA HAWEZI TENA KUSOMA EMAIL ZA OFISI; KITENDO AMBACHO NI MARA YA KWANZA KUFANYIKA TANGU MHUSIKA AINGIE KWENYE AJIRA ZAIDI YA MIAKA 25 ILIYOPITA, HUU NI UPU,BAVU WA KIWANGO CHA JUU SANA

NAMNA ULIVYOFANYIKA UPUMBAVU HUU ULIOPELEKEA HAYA YOTE KUTOKEA

KUNA KI-SECRETARY KIPYA KIMELETWA HIVI KARIBUNI IDARANI, KINA JINA LENYE RHYME YA KKK, HUKU JINA LA MTAALAMU WA IT ALIYEBLOCK EMAIL ADDRESSES ZA MHUSIKA, NALO PIA VILE VILE LIKIWA LINA RHYME HIYO HIYO YA KKK

KWA HIYO HIi NDIYO CODE WANAYOTUMIA WAPUMBAVU HAWA WAWILI LENGO IKIWA NI MHUSIKA AENDE AKAONANE NA MTAALAMU WA IT AMBAYE MARA YA MWISHO WALIWAHI KUONANA MIEZI MICHACHE ILIYOPITA HUKU MTAALAMU HUYU AKIWA AMEAMBTATANA NA MTU MWINGINE AMBAYE UTAFITI WAKE MHUSIKA UMESHAPELEKEA AKAJIRIDHISHA KUWA MTU HUYO NI STRANGER NDANI YA MAENEO YA TAASISI, NA KKK ( IT) AMEKUWA AKIAMBATANA NAYE KWA MALENGO MENGINE TU ANAYOYAJUA YEYE, MALENGO AMBAYO NI TOFAUTI NA YALE YA KIOFISI

MARA YA MWISHO MHUSIKA KUMUONA KKK-IT AKIWA MNEAMBATANA NA MTU HUYU, ILIKUWA NI ASUBUHI MOJA YA SIKU YA ALHAMIS AMBAYO BAADAYE MCHANA WA SIKU HIYO, MHUSIKA ALIPIGIWA SIMU NA OFISA WA NYJMBA ILI AKAONYESHWE NYUMBA ATAKAYOHAMIA

KILE KILICHOFANYWA NA WAWILI HAWA


J3 ASUBUHI BAADA YA MHUSIKA KUINGIA OFISINI, KMWI ALMUOMBA MHUSIKA EMAIL ADDRESS AMBAYO HUWA ANATUMIA, KWA MADAI KUWA KUNA EMAIL ADDRESS MOJA YENYE JINA LAKE AMBAYO ALIKUWA KILA AKITUMA EMAILS, ZILIKUWA ZINARUDISHWA

KWA KUONA KMWI ALIKUWA NA HOJA YA MSINGI, MHUSIKA ALIAMUA KUMPATIA EMAIL HIYO NA KUANZIA PALE SASA, WAKAFANYA MAMBO YAO

HIKI KI-SECRETARY CHA MWI KINA UMBO DOGO TU LAKINI INAONYESHA MAMBO YAKE NI MAKUBWA SANA; NA MBALI NA KUKOSA MAADILI, HATA NIDHAMU HAKINA

BAADA YA EMAIL YA NWANZO KUWA BLOVKED, MHUSIKA ALIFUATILIA NA KUJULISHWA KUWA KESHO YAKE INGEKUWA SAWA LAKINI HADI LEO HAIJAFANYIWA KAZI.

BAADAYE MHUSIKA ALIKUJA KUGUNDUA KUWA ALITAKUWA ARUDI TENA KWENDA KUKUMBUSHIA, KITU KILICHOPELEKEA ASIRUDI TENA HUKO

BAADA YA KUACHA KWENDA KUKUMBUSHIA, NDIYO PLAN NYINGINE SASA YA KU-BLOCK EMAIL ADDRESS NYINGINE ILIYOKUWA IMEBAKI IKATEKELEZWA

VINGINEVYO MARA YA KWANZA AMBAYO MHUSIKA ALIKUWA TRIGGERED KWENDA KUINGIA KWENYE JENGO HILO NA HATIMAYE KUKUTANA NA MAXIGIRA TATANISHI, ILIKUWA NI MWAKA 2017 WAKATI WA MKUTANO WA KIMATSAIFA WA KUCHAKATA DATA ZA MATETEMEKO YA ARDHI

UMEME ULIKATIKA GHAFLA NA MHUSIKA ALIELEKEZWA KWENDA KWENYE JENGO HILO KUONA KAMA MKUTANO HUO UNGEWEZA KUHAMISHUWA HUMO KUTOKANA NA LILE LA AWALI KUTOKUWA NA STANDBY GENERATOR

KUMBE UMEME ULIKATWA MAKUSUFI DIKU HIYO NA KULIKUWA NA PLAN NYJMA YA KITENDO CHA MHUSIKA KUELKEZWA KWENDA KUINGIA KWENYE JENGO.

YAANI NDANI YA MAZINGIRA YA TAASISI YA SERIKALILI WATU WANA PLAN KUFANYA UJAMBAZI NA PASIPO KUOGOPA?

In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
USHAURI KWA NAMLAKA HUSIKA KUHUSIANA NA SWALA LA VIFO VYA HIVI KARIBUNI VYA WATOTO

LABDA MAMLAKA HUSIKA ZINAWEZA KUCHEKI KUONA KAMA HAKUNA GAMBOSHI NYINGINE TENA ILIYOJIFICHA HUKO KWENYE SEVENTH, MITHILI YA ILE ILIYOJIFICHA PALE KANISANI KWAKE MHUSIKA

In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
UPDATE: MONDAY, 25th AUGUST 2025

COINCIDENCES NYINGINE NOTABLE ZILIZOTOKEA KANISANI J2 YA TAREHE 17/08/2025


Coincidences zifuatazo zilijitokeza

  • Kwa mara ya kwanza mhusika alimuona akiwa yupo juu madhabahuni akiimba kwaya, wajina wa Yesu ambaye jina lake la ubini lina silabi tatu, huku silabi mbili za mwanzo zikiwa na maneno YAMBAxxx
  • Kwa mara ya kwanza vile vile, mhusika alimuona muumini mama mmoja akiwa yupo getini, akiwa anauza nyama mbichi ya nguruwe; mama ambaye jina la ubini wake lina silabi tatu, huku mbili za mwisho zikiwa na maneno xxxYAMBA
Kwa hiyo muumini wa kiume aliyeimba kwaya jina lake lina RHYME ya YAMBAxxx huku yule wa kike aliyekuwa akiuza nyama mbichi getini, jina lake lina RHYME ya xxxYAMBA

Vile vile kwa mara ya kwanza
, alimuona mama mwenza wa KM-A akiwa amevaa nguo za rangi ya bluu ile ambayo mhusika aliwahi kuiongelea humu kuwa ina uhusiano na connections za kwenda kwa wajina wa MR X, ambaye anamiliki gari yenye rangi ya bluu ya aina hiyo

UTAFITI MWINGINE AMBAO MHUSIKA AMESHAUKAMILISHA KUHUSIANA NA RANGI HIYO YA BLUU

Wajina wa MR X anayemiliki gari ya rangi ya BLUU, anayo pia gari nyingine aina ya HONDA, old model

  • Mbali na huyu, mkuu wa kitengo cha MATETEMEKO YA ARDHI, naye pia anayo gari aina ya HONDA, new model
  • Mkuu huyu wa kitengo cha MATETEMEKO YA ARDHI, yuko vile vile connected tena na mfanyakazi mwingine aliyepo Idara ya Fizikia, mtaalamu wa vifaa vya Electronics; ambaye jina lake la kwanza lina attributes za “HA” au “KHA”
Mtaalamu huyu ndiye aliyehusika na setup ya vituo vya matetemeko ya ardhi, vyote PERMANENT na TEMPORARY vilivyopo au vilivyoowahi kuwepo sehemu mbalimbali nchini

  • Vituo ambavyo ni PERMANENT bado vipo na vinafanya kazi hadi muda huu, isipokuwa vile ambavyo ni TEMPOTRARY; viliwahi kuwepo kwa idadai ya zaidi ya vituo 30; kwenye miaka kati ya 2007 hadi 2017 ila kwa sasa havipo tena
  • Kwa hiyo watu wanaovaa nguo za bluu ya aina hiyo kama aliyokuwa amevaa mama J2 iliyopita, hawaishii tu kuwa connected kwa wajina wa MR X tu, bali pia kwa watu hawa wawili ambao wako directly connected na waves za kwenye ardhi zinazoitwa SEISMIC WAVES
Vinginevyo, muumini mwenye jina linalomaamisha TREE kwa lugha ya kuzaliwa ya mhusika, kwa mara nyingine tena alikuwepo Kanisani J2 iliyopita ya tarehe 17/07/2025

Taarifa ambazo mhusika ameshazithibitsha pasipo shaka ni kuwa muumini huyu yuko kwenye kitengo cha PROGATAION; especially MEDIA OF PROPAGATION

Kwa waliosoma elimu ya viumbe au AGRICULTURE, fact ni kwamba kuna baadhi ya MITI au mimea ambayo huwa ina tabia ya PROPAGATION; kwa maana kwamba unaweza ukakata tawi la mti wake, ukaenda ukaliotesha kwa kulipandikiza kwenye shina la mti mwingine ulio tofauti, na bado tawi hilo likamea na kustawi na hatimaye kuendelea kuishi na kuzaa matunda huku likiwa limejipachikwa kwenye mti mwingine tofauti

  • Mhusika hana uhakika sana ila MAGUGU YALIYOWAHI KUPANDIKIZWA KWA UJANJAUJANJA KULE ZIWA VICTRORIA; nayo pia yana tabia hii ya PROPAGATION
  • Kutoka kwenye experience yake kama mtoto aliyezaliwa kwenye familia ya wakulima; ukiondoa nyasi za kawaida, karibia magugu yote huwa yana tabia ya PROPAGATION
Kwa hiyo MAGUGU YALIYOPO ZIWA VICTORIA yalipandikizwa makusudi kwa ajili ya PROPAGATION; na Kanisani kwake mhusika kuna muumini wa kiume ambaye yuko kwenye kitengo cha MEDIA ambaye ni WAJINA WA VICTORIA, ila kwa jina lile la kiume

UPNEXT:

Kile ambacho kimekuwepo kwa muda mrefu nyuma ya (tendo) ACT, ACTORS na pia ACTING POSITIONS

………………….inaendelea
 
KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA (TENDO) ACT, ACTORS NA PIA ACTING POSITIONS ZA MAMLAKA YA OFISINI

………………….inaendelea

UHUSIANO WAKE NA SOMO LILILOWAHI KUFUNDISHWA NA KM-A KWA KUTUMIA MAIGIZO MWISHONI MWA MWAKA 2020, LILILOKUWA LIKIHUSIANA NA MWILI NAFSI NA ROHO ZA MWANADAMU


Kwa kutumia mfumo wa kufundisha kwa kutumia maigizo huku akiwatumia vijana wawili waumini wa kanisani hapo, hadi mwisho wa somo lake, KM-A alikuwa amefanikiwa kupata access za VERBS, NOUNS, ADJECTIVES and ADVERBS za neno ACT; ambazo baadhi yake tu ni kama zilivyoorodheshwa hapa chini

  • ACT
  • ACTON
  • ACTABILITIES
  • ACTABILITY
  • ACTABLE
  • ACTED
  • ACTEDON
  • ACTEDST
  • ACTER
  • ACTERS
  • ACTEST
  • ACTETH
  • ACTING
  • ACTINGS
  • ACTION
  • ACTIOBILITIES
  • ACTIOBILITY
  • ACTIOBLE
  • ACTIOBLY
  • ACTIOL
  • ACTIOLITY
  • ACTIONED
  • ACTIONFEST
  • ACTIONFESTS
  • ACTIONING
  • ACTIONISM
  • ACTIONISMS
  • ACTIONIST
  • ACTIONISTS
  • ACTIONIZE
  • ACTIONIZED
  • ACTIONIZES
  • ACTIONIZING
  • ACTIONLESS
  • ACTIONLET
  • ACTIONLETS
  • ACTIONLIKE
  • ACTIONNESS
  • ACTIONS
  • ACTIONY
  • ACTIOUS
  • ACTITATION
  • ACTIVABLE
  • ACTIVANT
  • ACTIVANTS
  • ACTIVATABILITY
  • ACTIVATABLE
  • ACTIVATE
  • ACTIVATED
  • ACTIVATER
  • ACTIVATERS
  • ACTIVATES
  • ACTIVATING
  • ACTIVATION
  • ACTIVATIOL
  • ACTIVATIONIST
  • ACTIVATIONISTS
  • ACTIVATIONS
  • ACTIVATOR
  • ACTIVATORS
  • ACTIVATORY
  • ACTIVE
  • ACTIVELY
  • ACTIVENESS
  • ACTIVENESSES
  • ACTIVES
  • ACTIVISM
  • ACTIVISMS
  • ACTIVIST
  • ACTIVISTIC
  • ACTIVISTLY
  • ACTIVISTS
  • ACTIVITIES
  • ACTIVITY
  • ACTIVIZATION
  • ACTIVIZE
  • ACTIVIZED
  • ACTIVIZES
  • ACTIVIZING
  • ACTLESS
  • ACTOR
  • ACTORESS
  • ACTORESSES
  • ACTORIAL
  • ACTORINE
  • ACTORINES
  • ACTORISH
  • ACTORISHLY
  • ACTORISHNESS
  • ACTORLIKE
  • ACTORLIKE
  • ACTORLY
  • ACTORNESS
  • ACTORS
  • ACTORSHIP
  • ACTORY
  • ACTOUR
  • ACTOURS
  • ACTRESS
  • ACTRESSES
  • ACTRESSY
  • ACTS
  • ACTUATABLE
  • ACTUATE
  • ACTUATED
  • ACTUATES
  • ACTUATEST
  • ACTUATETH
  • ACTUATING
  • ACTUATION
  • ACTUATIONS
  • ACTUATOR
  • ACTUATORS
  • ACTUOSE
  • ACTUOSITY
  • ACTURE
  • ACTURIENCE
  • DEACTIVATABLE
  • DEACTIVATE
  • DEACTIVATED
  • DEACTIVATES
  • DEACTIVATING
  • DEACTIVATION
  • DEACTIVATIONS
  • DEACTIVATOR
  • DEACTIVATORS
  • PROACTICAL
  • PROACTICALLY
  • PROACTIVE
  • PROACTIVELY
Kwa hiyo, kila tendo analoweza kufanya mwanadamu, linaweza kuelezewa na mojawapo ya maneno haya yaliyoorodheshwa hapo

Mojawapo ya maneno NOTABLE kwenye orodha hii, ni neno ACTIVISTS, ambalo at one time ndani ya kipindi cha miezi michache iliyopita, liliwahi kuigizwa na ACTIVISTS kutoka nchi jirani kitu kilichopelekea mamlaka za Nchi kuwarudisha wakiwa bado wapo AIRPORT

Mmojawapo wa activists hao alikuwa na jina lenye attributes za MAR

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO NYUMA YA NENO ACT

………………….inaendelea
 
KILE AMBACHO KIMEKUWEPO NYUMA YA NENO “ACT”

………………….inaendelea


CHRONOLOGY OF EVENTS YA BAADHI TU YA YALE YALIYOWAHI KUJIRI BAADA YA KM-A KUWA AMEHITIMISHA KUFUNDISHA SOMO KWA NJIA YA MAIGIZO


Hadi kufikia siku KM-A anahitimisha somo lake mwishoni mwa mwaka 2020, pepo alikuwa tayari amesharushwa kwenye RHYMES za neno ACT na pia vile vile, kwenye attributes zake, na hivyo ku-affect maneno yote kama yalivyoorodheshwa hapo juu

The problem with RHMES ni kwamba wote MTENDAJI wa tendo na pia OBSERVER wanakuwa ni VICTIM wa kitendo kinachofanyika; na ndiyo maana kwenye utaratibu huu wa RHYMES; ili mtu A aweze kumrushia pepo mtu B, inabidi mrushiwa mwenyewe au mtu B awepo akiwa anashuhudia LIVE tendo linalofanywa na mtu A; au yule ambaye ni mrushaji

Baada ya nyanja zote hizi za neno ACT kuwa zimefanyiwa kazi na KM-A kupitia somo lake la maigizo, baadhi ya matukio muhimu yafuatayo yalifuata

JANUARY 2021

UKARABATI WA DHARURA WA JENGO LA IDARA YA MHUSIKA ULIANZA


Ukarabati huu ulikuwa ni wa dharura kwa sababu ulikuwa unafanyika wakati wafanyakazi wakiwa wapo ndani maofisini mwao na hapakuwa na bango lolote au uzio wowote nje ya jengo wa kuonyesha kuwa jengo husika lilikuwa chini ya ukaratabati

ACTING POSITIONS ZILIZOKUWEPO OFISINI KWAKE MHUSIKA WAKATI HUO

Wakati ukarabati ulipokuwa unaendelea, idara ilikuwa chini ya ACTING Head mwingine mpya, huku MAJOR UNIT nayo vile vile, ikiwa ipo chini ya MMU ambaye naye alikuwa ni ACTING

  • Hadi kufikia March 2021, ukarabati huo ulikuwa bado unaendelea na uliendelea kwa takribani miaka mingine miwili mbele
  • Wakati huo huo, ujenzi mwingine uliowahi kuanza miaka ya nyuma ya 2005, ulikuwa bado unaendelea pale Kanisa A, na hadi leo hii 2025, ujenzi huo bado upo unaendelea
KULE KANISANI KWAKE, ILIPOFIKA MWISHONI MWA AUGUST 2022

Kwa mara ya kwanza KM-A alichukua likizo ya wiki sita (6) na kuliacha Kanisa chini ya uangalizi wa KIONGOZI mwingine ambaye alikuwa ni ACTING

  • Hadi kufikia muda huo, ilikuwa inakaribia kutimia miaka miwili tangu siku KM-A alipohitimisha somo lake alilowahi kufundisha kwa kutumia MAIGIZO
  • Wiki moja kabla KM-A hajarejea kutoka likizo, ACTING wake alitangaza Kongamano la Umisheni la muda wa wiki moja Kanisani hapo; kongamano ambalo mwalimu wake alikuwa ni yule aliyewahi kuwa mwalimu wa Semina ya Roho Mtakatifu iliyowahi kufanyika kanisani hapo mwezi Februari 2012
Kwenye ile J2 ya kwanza kufuatia Kongamano kumalizika, KM-A alichagua KEYS kwa ajili ya kuanza ku-OPERATE kupitia DATABASE, miongoni mwa baadhi ya KEYS hizo wakiwemo wafuatao

  • Madoctor wawili mmoja akiwa ana attributes za SYSTEM na mwingine za ARCHITECTURE
  • Mama mwenza wa mmojawapo wa ma-doctor wawili waliotajwa hapo juu, na ambaye ana attributes za RESOURCES
  • Sesurity Guard mmoja
  • Waumini wengine kadhaa
Baada ya hapo, haikupita miezi miwili tangu haya yote yafanyike, ajali ya ndege ilitokea kule Bukoba; ajali iliyowahi kupambwa na SHUJAA MAJALIWA WA MCHONGO; ambaye aliwahi kupelekewa hadi BUNGENI na akapewa zawadi na waheshimiwa wabunge pasipo wao kutambua kuwa alikuwa ni shujaa wa mchongo

Wakati huo huo, Ilipofika mwanzoni mwa Septemba 2022, mhusika naye aalihitimisha likizo yake ndefu ya wiki nne aaliyokuwa amechukua; na baada ya kurudii ofisini, alikuta MWI ambaye naye pia alikuwa bado ni ACTING, akiwa yupo safari na huku nyuma akiwa amemwachia mkuu mwingine ACTING, ambaye naye baadaye alisafiri na hivyo kumwachia ACTING mwingine-1, na ACTING mwingine-1 naye pia baadaye alimwachia ACTING mwingine-2; ACTING mwingine-2 naye akaja tena akamwachia ACTING mwingine-3; kiasi kwamba kulikuwa na chains ya ACTORS ndani ya kipindi kifupi na mojwapo tu ya ACTORS hawa alikuwa ni MKUU WA KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI pamoja na office mate wa Mnunuzi wa Gari (MWG)

Kwa hesabu ya haraka haraka; kwa seniors wote waliopo hadi mudaa huu idarani kwa mhusika, hayupo hata mmoja ambaye hajawahi kukaa kwenye ACTING position ya Ukuu wa Idara

Ilikuwa ni chain ya ACTINGSHIP ambayo mhusika aliwahi kuishuhudia kwa mara ya kwanza kwenye kipindi hicho cha mwishoni mwa mwaka 2022

ULIPOWADIA TENA MWAKA ULIOFUATA WA 2023

KM- A alichukua tena likizo nyingine kwa mara ya pili; akiliacha Kanisa chini ya ACTINGSHIP na wakati huo huo vile vile, huku ofisni kwake mhusika, MMU naye alichukua likizo iliyoanza kwenye muda ule ule ambao likizo ya KM-A ilianza; na possibly wawili hawa walianza likizo pamoja na kumaliza pamoja pia

………………………itaendelea TENA
KILE AMBACHO KIMEKUWEPO NYUMA YA NENO ACT


In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
UPDATE: TUESDAY, 26TH AUGUST 2025

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”

………………….inaendelea


MATUKIO MENGINE MUHIMU YANALOHUSIANA NA “ACTING” AMBAYO MHUSIKA AMEWAHI KUYABAINI AU KUMBANA NAYO KWENYE KIPINDI KISICHOZIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA

MOSI

TUKIO LA BENKI AMBAKO BADO ANADAI FEDHA ZAKE MILLION 2.5 ZILIZODAIWA KUIBIWA NA MTEJA


Hili ndiyo tukio la hivi karibuni kabisa na linahusiana na tawi la Benki yake, kule ambako hadi kufikia muda huu, bado hajarejeshewa hela zake million 2 na nusu.

Kwa kudokeza tu ni kwamba Mobile Phone Service Provider alishamthibitishia mhusika kuwa mteja wao hakuzichukua fedha hizo bali zilirudi mikononi mwa Meneja wa Benki. Tukio hli lina maelezo mengine ya ziada na hivyo mhusika atakuja kuliongelea baadaye

Hint muhimu tu ni kwamba kwenye mchakato huu, kwa kuaanzia mhusika alitegeshewa Meneja wa Benki ambaye alikuwa ni ACTING

  • Baada ya mhusika kuanza kudai fedha, ACTING huyu alisemekana kuhamishiwa sehemu nyingine ambayo ni Makao Makuu
  • Maelezo zaidi kuhusiana na tukio hili yatafauata siku nyingine
PILI

TUKIO LA OFISINI LILILOHUSIANA NA UCHAGUZI ULIOPITA WA KUWAPATA MKUU WA MAJOR UNIT KWA AJILI YA KIPINDI HIKI TULICHONACHO SASA


Mwanzoni mwa mwaka 2023, Mkuu wa Idara Mstaafu wa miaka ya 2015-2016 (tumwite Mwi-15-16) alipata uteuzi wa kushika nafasi ya juu ya taasisi kama ACTING; nafasi ambayo kwenye ngazi zote za taasisi, ni ya nne kwa ukubwa ukianzia na ile ya Makamu Mkuu wa Taasisi mwenyewe

Ulipofika mwaka 2024 uchaguzi mwingine uliwadia wa kuwapata wakuu wa Major Units mbalimbali zilizo ndani ya Taasisi kitu kilichopelekea kufanyika kwa mchakato unaojulikana kama SEARCH, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kuwapata wakuu hao

Kutokana na hali hiyo, kulikuwepo na Kamati maalumu iliyokuwa inasimamia zoezi hilo kwa kuwasilisha majina ya watu waliokuwa wana-qualify kushika nafasi hizo, kwenye kila idara ili yaweze kupigiwa kura

KILICHOTOKEA WAKATI MCHAKATO HUU ULIPOFIKA IDARANI KWA MHUSIKA

Kamati hii ILIFIKA Idarani kwa mhusika ikiwa na majina ya wanaidara kadhaa kama wagombea, huku mojawapo ya majina hayo likiwa ni la Mwi-15-16, ilhali hadi kufikia muda huo, Mwi-15-16 alikuwa ni ACTING kwenye nafasi hiyo ya juu kama ilivyoelezwa hapo juu

Katika hali ya kawaida, jina la Mwi-15-16 halikutakiwa kuwa miongoni mwa majina ya wagombea wa nafasi hiyo kwa sababu nafasi aliyokuwa anashikilia kama ACTING ilikuwa ni yajuu mno ukilinganisha na hii nyingine iliyokuwa inagombewa sasa; japo pia ile aliyokuwa nayo ilikuwa haim-disqualify kuwa mmojawapo wa wagombea wa nafasi hii nyingine

Na kwa sababu mbele ya mchakato huo kulikuwa na mchakato mwingine tena wa kuwapata Wakuu wa Idara, mhusika alihofia kuwa jina la mkuu huyu lingeweza kurudi tena kwenye mchakato huo mwingine wa kuwapata Wakuu wa Idara; assuming lisingeweza kupitishwa kwa nafasi ya Ukuu wa MAJOR UNIT

Kutokana na hali hiyo mhusika alilazimika kutoa ombi kwa kamati ya SERACH likiwa limeambatana na ushauri ufuatao

Kwamba kwa sababu hadi kufikia muda huo Mwi-15-16 alikuwa ameshakaa kwenye nafasi ya ACTING kwa kipindi kirefu kilichokuwa kinatosha kabisa kuweza kumpima na kuona kama anaimudu nafasi hiyo ama la; mhusika aliiomba kamati izifikishie mamlaka husika ombi lake au ushauri wake kama ulivyo kwenye maelezo haya hapa chini

Kwamba utokana na ukweli kuwa Mwi-15-16 alikuwa tayari ameshakaa kwenye nafasi hiyo kama ACTING kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja; mhusika aliomba kuwa:

  • Mwi-15-16 awe confimed, ili asiendelee kuwa ACTING tena; assuming mamlaka husika zilikuwa zimeshampima na kumuona kuwa anaimudu vyema nafasi hiyo
  • Kama Mwi-15-16 alikuwa anaimudu vyema nafasi hiyo, basi hapakuwa na haja ya yeye kuendelea kuwa ACTING
Vinginevyo mhusika alishauri mamlaka zimuondoe kwenye nafasi hiyo, iwapo tu zilikuwa wamejiridhisha kuwa hana uwezo wa kuimudu vyema nafasi hiyo

  • Lengo la ushauri huo ilikuwa ni kumuondolea mkuu huyu adha ya kuwa anakuwa downgraded kwenda tena kwenye vyeo vingine vya chini ya kile alichokuwa nacho kama ACTING, huku wakati huo huo, akionekana kugombea nafasi hizo na SUBORDINATES wake, kisa tu yeye alikuwa ni ACTING
  • Kwa bahati nzuri, ushauri huu ulifanyikwa kazi na baada ya muda mfupi, ilipofika kwenye miezi ya mwishoni mwa mwaka 2024, mhusika alisikia taarifa za boss wake huyu kuwa confirmed
TATU

TUKIO LA MTI MKUBWA ULIOKUWA UMEANGUKA KWA MIAKA MINGI HUKO KAGERA; NA HATIMAYE KUNYAYNYUKA WENYEWE TENA BILA MSAADA WOWOTE WA EXTERNAL FORCE


Hili ni tukio jingine tena muhimu alilowahi kushiriki mkuu huyu wakati alipokuwa bado ni ACTING

Matukio ambayo mhusika alishawahi kuyaleta humu jukwaani yakiwa yanahusiana na neno au jina miti, likiwemo la mti huo uliokuwa umeanguka kwa miaka mingi na hatimaye kunyanyuka wenyewe tena kule Kagera, mhusika alishawahi kuyaleta humu kupitia posts hizi hapa

#2,261 , #2,162 , #2,280

Vinginevyo kilichotokea kipindi hicho baada ya mti huo kuwa umenyanyuka wenyewe, Mwi-15-16 (ambaye alikuwa bado ni ACTING kwenye nafasi yake aliyonayo sasa), alisikika PUBLIC kupitia MEDIA akiwa anatoa maelezo ya ufafanuzi wa kitaalamu yaliyohusiana na mti huo kunyanyuka wenyewe

………………….inaendelea

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”
 
KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”
…………..inaendelea

NNE
BARUA YA MHUSIKA YA KUFUKUZWA KWENYE NYUMBA ANAYOISHI ALIYOANDIKIWA TAREHE 15 JULY 2025; ILIANDIKWA NA ACTING


Mbali na mapungufu makubwa ya barua hiyo kutokuwa na mhuri wa ofisi ambako ilikuwa imetokea; barua hii nayo vile vile, iliandikwa na mtu ambaye alikuwa ni ACTING

BARUA YA BENKI

TUKIRUDI TENA KWENYE TUKIO LA KWANZA LA MAJIBU YA BARUA YA BENKI KWA MHUSIKA AKIJULISHWA KUWA FEDHA ZAKE ZILIIBIWA NA MTEJA WA MTANDAO WA SIMU


Mapungufu makubwa yaliyopo kwenye barua hii ni yafuatayo

  • Barua haikuwa imesainiwa na Meneja wa Benki; bali meneja ambaye alikuwa ni ACTING ila ambaye aliisaini pasipo kuonyesha kuwa alikuwa ni ACTING
  • Meneja huyu vilevie (ambaye alikuwa ni ACTING), hakutaja jina lake kwenye barua; barua haikuwa na jina la mwandishi wake
  • Barua haikupigwa mhuri wa Ofisi ya Meneja wa tawi la Benki husika, ila iliandikwa kwenye headed paper ambayo ilikuwa ina nembo ya Benki
Wakati mhusika anawasilisha tatizo lake Benki kwa mara ya kwanza kufuatia ushauri aliopewa na Mobile Phone Service Provider wake, ACTING Manager wa Benki alimuomba mhusika amtajie namba ya simu ambako hela zilikuwa zimekuwa diverted

Mhusika aliitaja namba hiyo na wakati huo kumbe tayari pepo alikuwa amesharushwa kwenye RHYME ya maneno na hicho ndicho kilichopelekea fedha zake kuwa diverted makusudi kwenda kwenye namba ya simu ya mtu mwingine ambayo tuseme ni 2222 badala ya kuingizwa kwenye namba yake mhusika ambayo tuseme ni 2122

Maelezo mengine zaidi kuhusiana na tukio hili yatafuata siku nyingine

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”

………………….itaendelea TENA


In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
Ikumbukwe kuwa mambo haya yote yaliyoelezwa hapo juu, yanatokana na utaalamu wa KM-A baada ya kuwa amefundisha somo llililohusiana na MWILI, NAFSI NA ROHO kwa kutumia MAIGIZO
 
UPDATE: FRIDAY, 29TH AUGUST 2025

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”
…………..inaendelea

TANO
IGIZO KUBWA KUZIDI MAIGIZO YOTE LILILOWAHI KUFANYWA NA KIONGOZI MMOJA “MTEULE” NA HATIMAYE KUPELEKEA “MACHO YA NCHI” KUINGILIA KATI


IGIZO hili lilifanywa na “mteule” wa Macho ya Nchi (MYN)” kwenye mojawapo ya siku ya sikukuu za wanawake Duniani za miaka iliyopita hivi karibuni

Akiwa ANAIGIZA kwenye nafasi ya MYN huku akiwa katika mavazi yanayoshahibiana na yale ambayo huwa yanavaliwa na MYN, mteule huyo wa zamani aliigiza kwa kushambuliwa na mamluki ila hatimaye alinusurika baada ya walinzi wake kumuokoa na washambuliaji hao

Hili ndiyo lilikuwa IGIZO baya kabisa kuyazidi maigizo yote ambayo yameshafanyika hadi muda huu

Baada ya tukio hilo kuwa lime-trend kwenye media, hatimaye MYN yalilazimika kuingilia kati na kutengua uteuzi wa aliyehusika na IGIZO hilo

Mengi ya matukio haya ya kuigiza yamekuwa yakiwahusisha zaidi wanafunzi; huku ikiwa ni kwenye sector ile ambayo SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMME) aliwahi kufanya CURRICULUM REVIEW

Ikumbukwe pia kuwa kile ambacho kimekuwa kikifanyika kwenye MAIGIZO haya ni kufanyika kwa matendo yanayokuwa yamelenga kutengeneza matukio halisi kwa kusudi maalum; kwa maana kuwa linatengenezwa tukio halisi; hata la kujeruhi au hata kupoteza uhai wa mtu, huku wakati huo huo, jamii husika ikiwa imekusudiwa kuliona kuwa ni la bahati mbaya; ilhali si hivyo bali la kupangiliwa tu na watu na kwa makusudi maalumu

KILE AMBACHO KIMEKUWEPO KWA MUDA MREFU NYUMA YA NENO “ACT”
…………..inaendelea
 
TUKIO JINGINE KUBWA LA HIVI KARIBUNI ANBALO MHUSIKA ALIWAHI KUTAHADHARISHA KABLA KUWA YALIKUWA NI MAIGIZO PIA

SITA

Hili ni tukio la miezi iliyopita hivi karibuni kuhusiana na mgogoro wa Viongozi wa Kanisa ambalo KM-A huwa anatumika chini yake, tukio ambalo mhusika aliwahi kuliongelea kupitia post hii hapa #2,353

Matukio haya MAIGIZO kwa sasa yanakuwa ni mengi mno kwa idadi kiasi kwamba mhusika hawezi kuyaorodhesha yote humu, ila angalau kwa ushahidi mwingine tu wa ziada, haya hapa chini yanaweza kuwa ni ya msaada; hasa kwa msoamaji yule ambaye ni mpya.

Kwa wasomaji wale wa siku zote, mhusika anaamini kuwa tayari wanao ushahidi wa kutosha kabisa kuhusiana na maigizo haya

SABA
Kwa hali hiyo, BAADHI TU YA MAIGIZO tajwa ambayo mhusika aliwahi kuyaongelea humu yanapatikana kupitia posts zifuatazo
PASIPO KUTOA LINKS, MATUKIO MENGINE YALIYOPITA AMBAYO NAYO PIA YANAYOANGUKIA KWENYE MLOLONGO HUU WA MAIGIZO NI YAFUATAYO

NANE

Mafuriko pekee kuwahi kutokea mara mbli kwenye jengo la Idara ya mhusika, yaliyowahi kumhusisha MR X; pamoja na wajina wake kutokea ofisi za miliki za nyumba

TISA
Matukio ya watu wawili kupigwa stroke, mmoja akiwa ni yule aliyewahi kuwa jirani wa mhusika na mwingine staff-mate wake mhusika aliyepo idarani

Matukio haya NI HALISI isipokuwa yalitengenezwa kwa makusudi kupitia utaratibu huu wa MAIGIZO, huku yakiwa pia yameambatana na attributes muhimu zifuatazo
  • Jina la kwanza la office-mate wa idarani kwa mhusika, linafanana na la mmojawapo wa AUTHORS wa Maandiko Matakatifu Biblia
  • Majina ya watoto wote wanne wa victim wa pili wa stroke; na ambaye aliwahi kuwa jirani wa mhusika, yana attributes za jina GOD
KUMI
Mbali na matukio yaliyoorodheshwa hapo juu, matukio mengine mawili makubwa ya kutengenezwa huku yakiwa pia ni ya kusikitisha sana, ni Tetemeko la Kagera la Septemba 2016 pamoja na ajali ya Ndege ya Kagera ya Novemba 2022

KUMI NA MOJA:
AJALI YA MELI YA MV BUKOBA MWAKA 1996


Circumstances nyingine za ziada ambazo zimejiri kwenye kipindi cha miezi ya hivi karibuni hadi kufikia muda huu, na ambazo mhusika amekuwa akiziripoti humu mara kwa mara, nazo pia bado zinazidi ku-cement kwenye STRONG EVIDENCE zinazoonyesha kuwa AJALI YA MELI YA MV BUKOBA ilikuwa ni ya kutengenezwa, na possibly hii ndiyo imekuwa SOURCE ya MAIGIZO HAYA MENGINE MAPYA ambayo yamekuwa yakiendeea hadi kufikia muda huu

………itaendelea TENA

In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
UPDATE: SATURDAY, 30TH AUGUST 2025
OBSERVATION NYINGINE TENA YA MHUSIKA KUHUSIANA NA KWAYA YA CA ILIYOIMBA WAKATI WA MATOLEO; KARIBIA WAIMVAJI WOTE WALIKUWA NI WAGENI KUTOKA NJE YA KANISA A


WENGI WA WAIMBAJI HAO HASA WALE MABINTI, IKIWA NI PAMOJA NA BITYI YULE ALIYEKUWA ANAONGOZA UIMBAJI KWA KUFUATISHA MANENO YA WIMBO ULIOREKODIWA KAMA KIONGOZI, SURA ZAO ZILIKUWA NI NGENI KABISA KWA MHUSIKA NA ALIZIONA KWA MARA YA KWANZA J2 HIYO

KWA MFANO, MABINTI WOTE WALIOKUWA MSTARI WA MBELE KABISA PAMOJA NA KIONGOZI, MHUSIKA ALIZIONA SURA ZAO KWA MARA YA KWANZA J2 HIYO. UNLESS KAMA MMOJA WA HAO WALIOKUWA MBELE ALIKUWA NI YULE BINTI SECURITY GUARD; ILA KAMA HAKUWA WENYEWE, BASI MABINTI WOTE WALOKUWA MSTARI WA MBELE HUKU WAKIWA WAMEVAA SARE, HAWAKUWA MABINTI WA KANISANI HAPO, BALI WALIKUWA NI WAGENI KUTOKEA KWENYE MAKANISA MENGINE TOFAUTI NA KANISA A

ASSUMING OBSERVATION YA MHUSIKA ALIYOITOA HAPO JUU NI SAHIHI; IMPLICATION YA KILICHOFANYIKA KWENYE IBADA HIYO

KAMA OBSERVATION HII YA MHUSIKA IKO SAHIHI, BASI KM-A ATAKUWA AMEANZA TENA KU-OPERATE KWA KUTUMIA LOCATION; CODE ALIYOWAHI KUITUMIA MWAKA 2022 KWA KUCHUKUA LIKIZO NA BAADA YA HAPO AJALI YA NDEGE ILITOKEA SIKU CHACHE MBELE

MBALI NA HILO, KM-A ATAKUWA ANASHIRIKIANA NA WAIMBAJI WAWILI AMBAO NAO PIA VILEVILE WAMEBADILISHA LOCATION; MMOJA WAO AKIWA NI BINTI AMBAYE SAUTI YAKE IMEKUWA IKISIKIKA KWENYE NYIMBO HIZO ZILIXOREKODIWA

MUUMINI MWINGINE ATAKUWA NI YULE KIONGOZI WA UIMBAJI WA KUSIFU NA KUABUDU AMVBAYE NAYE PIA SIKU HIZI AMEKUWA AKIONEKANA KWA NADRA SANA KWENYE IBADA. HUYU NI YULE MWENYE JINA LINALOFANANA NA MAJI YA KISIMA

In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
KUNA CHANGAMOTO KUBWA ILIJITOKEZA TANGI J3 YA WIKI ILIYOPITA
TAARIFA ZIPO ZINAKUJA
 
MSAADA UNAHITAJIKA
KWA UJUMBE HUU MHUSIKA ANAOMBA MSAADA ILI AWEZE KUPOST TAARIFA ZAKE HUMU JUKWAANI KUPITIA MTANDAO WA COMPUTER.
MHUSIKA AMEZUIWA KUFANYA HIVYO KUTOKA KWENYE SETTINGS ZA LAN ALIYOPO KWA NJIA YA HACKING

M.HUSIKA ANAZO TAARIFA MUHIMU SANA KUTOKEA KULE KANISANI KWAKE AMBAZO ANGEPENDA KUZILETA HUMU. KATKA HALI YA KAWIDA TAARIFA HIZII ALITAKIWA KUWA AMEZIWEKA HUMU TANGU SIKU YA J3 YA WIKI ILIYOPITA TAREHE 08/09/2025
 
MSAADA UNAHITAJIKA
KWA UJUMBE HUU MHUSIKA ANAOMBA MSAADA ILI AWEZE KUPOST TAARIFA ZAKE HUMU JUKWAANI KUPITIA MTANDAO WA COMPUTER.
MHUSIKA AMEZUIWA KUFANYA HIVYO KUTOKA KWENYE SETTINGS ZA LAN ALIYOPO KWA NJIA YA HACKING

M.HUSIKA ANAZO TAARIFA MUHIMU SANA KUTOKEA KULE KANISANI KWAKE AMBAZO ANGEPENDA KUZILETA HUMU. KATKA HALI YA KAWIDA TAARIFA HIZII ALITAKIWA KUWA AMEZIWEKA HUMU TANGU SIKU YA J3 YA WIKI ILIYOPITA TAREHE 08/09/2025
MHUSIKA AMELAZIMIKA KUTUMIA ACCOUNT NYINGINE ILI KUWEZA KUPOST BAADA YA ILE YA MAKANYAGA KUONEKANA KUWA HAIWEZI KIPOST TENA
 
MAELEZO YAFUATATAYO HAPA CHINI YALITKIWA KUWA POSTED HUMU J3 YA TAREHE 08/09/2025


UPDATE: MONDAY, 08TH SEPTEMBER 2025
UTAFITI ULIOAMILIKA
SIMILAR INCIDENCES TANO (5) AMBAZO
ZIMEKUWEPO KWA SIKU NYINGI KWENYE
MAZINGIRA YA MHUSIKA AMBAZO HAPO KABLA
ALIKUWA ANAZICHUKULIA KUWA NI
COINCIDENCES TU
MAELEZO YA UTANGULIZI
Ilipofika jana J2 ya tarehe 07/09/2025; kwenye
similar incidences hizi zilizokuwepo kabla
iliongezeka (similar) incidence nyingine mpya ya
sita iliyopelekea mhusika ku-confirm kuwa hizi
hazikuwa similar incidences tu bali pattern
Stori yenyewe inaanza kama ifuatavyo:
Kuna watu waliopo kwenye mazingira ya mhusika
waliofikia idadi ya watano hadi sasa, ambao wana
attributes zainazorandana na attributes za
mtangazaji mmoja maarufu wa TV Jina la pili la mtangazaji huyu ambaye baadhi tu ya
taarifa zinazomhusu zinapatikana kwenye link hii
hapa chini, linatengeneza KEY na jina la pili la Mama
wa Kiroho wa mhusika
Kama kuna chochote cha muhimu kitakachojitokeza
kwenye maelezo haya ya mhusika kuhusiana na
mtangazaji huyu, basi mhusika anapenda
kuwataarifu wasomaji wa taarifa hizi kuwa
mtangazaji huyu hahusiki na taarifa hizi
zinazoendelea juu yake isipokuwa naye atakuwa
ametumika tu kama ambavyo wamekuwa
wakitumika wasanii (ACTORS) wengine ambao
baadhi yao mhusika tayari ameshawaongelea humu
Kwa hiyo, mtangazaji huyu naye vile vile, atakuwa
ametumika tu kama ambavyo wamekuwa
wakitumika kwa mfano, wasanii kama akina
ANNISETHA wa ITV Kwa hiyo, attributes za mtangazaji huyu zimefanana
na atributes za watu wengine wanne waliopo
kwenye mazingira ya kila siku ya mhusika, na pia
mtu mwingine mgeni wa tano aliyefika Kanisani kwa
mhusika jana J2 ya tarehe 08/09/2025
NAMNA MFANANO WA ATTRIBUTES ZA WATU
HAWA ULIVYO
MTU WA KWANZA
Kama ilivyoelezwwa hapo juu, kwa kuanzia Mama
wa Kiroho wa mhusika amefanana na mtangazaji
huyu kwa njia ya jina lake la ubini; jina hili
linatengeneza KEY na jina la ubini la mtangazaji
huyu
Baada ya Mama wa Kiroho, wengine wote waliobaki
wamefanana na mtangazaji huyu kwa sura; na hawa
ni wafuatao
MTU WA PILIHuyu ni mmojawapo wa TELLERS wa Benki aliyepo
kwenye tawi la Benki ya mhusika. Teller huyu
amefanana sana kwa sura na mtangazaji huyu
MTU WA TATU NA WA NNE
Watu wengine tena ambao nao pia wamefanana
kwa sura na mtangazaji huyu ni waumini wawili
wafuatao waliopo Kanisani kwa mhusika.
• Mtoto mkubwa wa SYSTEM ambaye alifunga
ndoa hivi karibuni
• Binti ambaye bado ni mgeni kiasi Kanisani hapo,
na ambaye amekuwa akihudhuria Ibada ya pili
Karibia mara zote binti huyu huwa anakaa almost
mstari mmoja na mhusika, ila kwenye viti vya safu
nyingine ya pili kulia kwa mhusika, ikiwa ni kwenye
safu inayofuata immediately baada ya ile ambayo
mhusika huwa anakaa
MTU WA TANO
Huyu ni mgeni aliyefika Kanisani jana J2 ya tarehe
07/09/2025. Mgeni huyu alifika Kanisani hapo akiwa amemsindikiza binti mwingine ambaye alifika kwa
ajili ya kutangaza uchumba
Mgeni huyu naye vile vile, amefanana na
mtangazaji aliyetajwa hapo juu na hivyo
amefanana pia na mtoto wa SYSTEM
KWA WAUMINI AMBAO WALIBAHATIKA
KUMUONA BINTI HUYU MGENI JANA JUMAPILI
Kwenye kipindi kile cha mwisho cha kuhitimisha
IBADA KUU, walipokaribishwa waimbaji wa PRAISE
AND WORSHIP, binti huyu naye aliambatana na
waimbaji hao na hivyo alipandisha juu
madhabahuni na waimbaji wengine wenyeji kwa
ajili ya kuimba
• Kwa wale ambao hawakumtazama vizuri mgeni
huyu alipokuwa yupo juu madhabahuni,
watakuwa walidhani kuwa ni yule mtoto wa
SYSTEM; mwimbaji wa P&W Kanisani hapo
• Hata hivyo, kwa J2 ya jana, mhusika hakuwahi
kumuona mtoto wa SYSTEM Kanisani ila haimanishi kuwa hakuwepo; possibly alikuwepo
ila yeye haukushiriki kwenye uimbaji
COINCIDENCES NYINGINE MBILI MUHIMU
ZILIZOJITOKEZA J2 HIYO
Kuna zile ngoma zinaitwa DRIUMS ambazo
zimekuwa zikitumika kwenye uimbaji wa P&W na
ambazo zilianza kutumika rasmi baada ya Ibada
kuwa zimehamia kwenye Kanisa jipya. Hapo kabla,
kikundi cha PRAISE AND WORSHIP (P&W) kilikuwa
hakitumiii ngoma
• Zilipoanza kutumika, DRIUMS hizi zilipelekea
KEY ya muziki wa P&W kuhamishwa na
kusababisha muziki huo kuwa ni KELELE TUPU,
tofauti na muziki wa awali ambao ulikuwa
unapigwa na kikundi hicho
• Ngoma hizi vile vile, zimekuwa zikipigwa na
watu tofauti tofauti na mara ya mwisho kabisa
ikiwa ni miezi michcahe iliyopita, zilikuwa
zikipigwa na yule mtoto wa Engineer ambaye amejiunga na kikundi cha P&W miaka yah vii
karibuni tu
Hata hivyo, takribani miezi mitatu au minne
iliyopita, mtoto huyu aliacha kupiga ngoma hzi, na
baaa ya hapo kwa mara ya kwanza tena, ngoma
hizi zilipigwa na mtu mwingine mgeni J2 ya jana
tarehe 07/09/2025 na ambaye mara baada ya
kumaliza kuzipiga ngoma, aliondoka kwenye ibada
KWA MAANA KUWA ALITOKA NJE YA NYUMBA YA
IBADA
KILICHOTOKEA WAKATI IBADA YA P&W
ILIPOKUWA INAENDELEA
Mhusika alimuona mtu mgeni, baba wa makamo
akiwa anapiga ngoma hizo ambazo zilikuwa na
miezi kadhaa bila kupigwa na mtu yeyote
• Baada ya Ibada ya P&W kuhitimishwa, mpiga
ngoma huyo alishuka kutoka kwenye
madhabahu, akapitiliza moja kwa moja kwenye
geti kuu la kulia na kutoka nje ya Ibada • Tangia muda huo, mhusika hakumuona tena
mpiga ngoma huyo Kanisani hadi mwisho wa
Ibada
Vinginevyo coincidence nyingine muhimu
iliyojitokeza kwenye tangazo la uchumba ni kwamba
Binti aliyehusika na tangazo hilo alikuwa pia
amebeba attibutes za majina ya ubini wa viongozi
wawili mhumu ambao ni KAIMU WA KM-A pamoja
na aliyewahi kuwa MWALIMU WA SEMINA YA
ROHO MTAKATIFU wa Februari 2012

In the war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
Back
Top Bottom