Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

MAELEZO YAFUATATAYO HAPA CHINI YALITKIWA KUWA POSTED HUMU J3 YA TAREHE 08/09/2025

UPDATE: MONDAY, 08TH SEPTEMBER 2025
UTAFITI ULIOAMILIKA
SIMILAR INCIDENCES TANO (5) AMBAZO
ZIMEKUWEPO KWA SIKU NYINGI KWENYE
MAZINGIRA YA MHUSIKA AMBAZO HAPO KABLA
ALIKUWA ANAZICHUKULIA KUWA NI
COINCIDENCES TU
MAELEZO YA UTANGULIZI
Ilipofika jana J2 ya tarehe 07/09/2025; kwenye
similar incidences hizi zilizokuwepo kabla
iliongezeka (similar) incidence nyingine mpya ya
sita iliyopelekea mhusika ku-confirm kuwa hizi
hazikuwa similar incidences tu bali pattern
Stori yenyewe inaanza kama ifuatavyo:
Kuna watu waliopo kwenye mazingira ya mhusika
waliofikia idadi ya watano hadi sasa, ambao wana
attributes zainazorandana na attributes za
mtangazaji mmoja maarufu wa TV Jina la pili la mtangazaji huyu ambaye baadhi tu ya
taarifa zinazomhusu zinapatikana kwenye link hii
hapa chini, linatengeneza KEY na jina la pili la Mama
wa Kiroho wa mhusika
Kama kuna chochote cha muhimu kitakachojitokeza
kwenye maelezo haya ya mhusika kuhusiana na
mtangazaji huyu, basi mhusika anapenda
kuwataarifu wasomaji wa taarifa hizi kuwa
mtangazaji huyu hahusiki na taarifa hizi
zinazoendelea juu yake isipokuwa naye atakuwa
ametumika tu kama ambavyo wamekuwa
wakitumika wasanii (ACTORS) wengine ambao
baadhi yao mhusika tayari ameshawaongelea humu
Kwa hiyo, mtangazaji huyu naye vile vile, atakuwa
ametumika tu kama ambavyo wamekuwa
wakitumika kwa mfano, wasanii kama akina
ANNISETHA wa ITV Kwa hiyo, attributes za mtangazaji huyu zimefanana
na atributes za watu wengine wanne waliopo
kwenye mazingira ya kila siku ya mhusika, na pia
mtu mwingine mgeni wa tano aliyefika Kanisani kwa
mhusika jana J2 ya tarehe 08/09/2025
NAMNA MFANANO WA ATTRIBUTES ZA WATU
HAWA ULIVYO
MTU WA KWANZA
Kama ilivyoelezwwa hapo juu, kwa kuanzia Mama
wa Kiroho wa mhusika amefanana na mtangazaji
huyu kwa njia ya jina lake la ubini; jina hili
linatengeneza KEY na jina la ubini la mtangazaji
huyu
Baada ya Mama wa Kiroho, wengine wote waliobaki
wamefanana na mtangazaji huyu kwa sura; na hawa
ni wafuatao
MTU WA PILIHuyu ni mmojawapo wa TELLERS wa Benki aliyepo
kwenye tawi la Benki ya mhusika. Teller huyu
amefanana sana kwa sura na mtangazaji huyu
MTU WA TATU NA WA NNE
Watu wengine tena ambao nao pia wamefanana
kwa sura na mtangazaji huyu ni waumini wawili
wafuatao waliopo Kanisani kwa mhusika.
• Mtoto mkubwa wa SYSTEM ambaye alifunga
ndoa hivi karibuni
• Binti ambaye bado ni mgeni kiasi Kanisani hapo,
na ambaye amekuwa akihudhuria Ibada ya pili
Karibia mara zote binti huyu huwa anakaa almost
mstari mmoja na mhusika, ila kwenye viti vya safu
nyingine ya pili kulia kwa mhusika, ikiwa ni kwenye
safu inayofuata immediately baada ya ile ambayo
mhusika huwa anakaa
MTU WA TANO
Huyu ni mgeni aliyefika Kanisani jana J2 ya tarehe
07/09/2025. Mgeni huyu alifika Kanisani hapo akiwa amemsindikiza binti mwingine ambaye alifika kwa
ajili ya kutangaza uchumba
Mgeni huyu naye vile vile, amefanana na
mtangazaji aliyetajwa hapo juu na hivyo
amefanana pia na mtoto wa SYSTEM
KWA WAUMINI AMBAO WALIBAHATIKA
KUMUONA BINTI HUYU MGENI JANA JUMAPILI
Kwenye kipindi kile cha mwisho cha kuhitimisha
IBADA KUU, walipokaribishwa waimbaji wa PRAISE
AND WORSHIP, binti huyu naye aliambatana na
waimbaji hao na hivyo alipandisha juu
madhabahuni na waimbaji wengine wenyeji kwa
ajili ya kuimba
• Kwa wale ambao hawakumtazama vizuri mgeni
huyu alipokuwa yupo juu madhabahuni,
watakuwa walidhani kuwa ni yule mtoto wa
SYSTEM; mwimbaji wa P&W Kanisani hapo
• Hata hivyo, kwa J2 ya jana, mhusika hakuwahi
kumuona mtoto wa SYSTEM Kanisani ila haimanishi kuwa hakuwepo; possibly alikuwepo
ila yeye haukushiriki kwenye uimbaji
COINCIDENCES NYINGINE MBILI MUHIMU
ZILIZOJITOKEZA J2 HIYO
Kuna zile ngoma zinaitwa DRIUMS ambazo
zimekuwa zikitumika kwenye uimbaji wa P&W na
ambazo zilianza kutumika rasmi baada ya Ibada
kuwa zimehamia kwenye Kanisa jipya. Hapo kabla,
kikundi cha PRAISE AND WORSHIP (P&W) kilikuwa
hakitumiii ngoma
• Zilipoanza kutumika, DRIUMS hizi zilipelekea
KEY ya muziki wa P&W kuhamishwa na
kusababisha muziki huo kuwa ni KELELE TUPU,
tofauti na muziki wa awali ambao ulikuwa
unapigwa na kikundi hicho
• Ngoma hizi vile vile, zimekuwa zikipigwa na
watu tofauti tofauti na mara ya mwisho kabisa
ikiwa ni miezi michcahe iliyopita, zilikuwa
zikipigwa na yule mtoto wa Engineer ambaye amejiunga na kikundi cha P&W miaka yah vii
karibuni tu
Hata hivyo, takribani miezi mitatu au minne
iliyopita, mtoto huyu aliacha kupiga ngoma hzi, na
baaa ya hapo kwa mara ya kwanza tena, ngoma
hizi zilipigwa na mtu mwingine mgeni J2 ya jana
tarehe 07/09/2025 na ambaye mara baada ya
kumaliza kuzipiga ngoma, aliondoka kwenye ibada
KWA MAANA KUWA ALITOKA NJE YA NYUMBA YA
IBADA
KILICHOTOKEA WAKATI IBADA YA P&W
ILIPOKUWA INAENDELEA
Mhusika alimuona mtu mgeni, baba wa makamo
akiwa anapiga ngoma hizo ambazo zilikuwa na
miezi kadhaa bila kupigwa na mtu yeyote
• Baada ya Ibada ya P&W kuhitimishwa, mpiga
ngoma huyo alishuka kutoka kwenye
madhabahu, akapitiliza moja kwa moja kwenye
geti kuu la kulia na kutoka nje ya Ibada • Tangia muda huo, mhusika hakumuona tena
mpiga ngoma huyo Kanisani hadi mwisho wa
Ibada
Vinginevyo coincidence nyingine muhimu
iliyojitokeza kwenye tangazo la uchumba ni kwamba
Binti aliyehusika na tangazo hilo alikuwa pia
amebeba attibutes za majina ya ubini wa viongozi
wawili mhumu ambao ni KAIMU WA KM-A pamoja
na aliyewahi kuwa MWALIMU WA SEMINA YA
ROHO MTAKATIFU wa Februari 2012

In the war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
Kitambo Sana nilisomaga hii thread, baadae mambo yakawa mengi nikakosa muda, very interesting. Mapambano yako pande zote, kiroho na kimwili. Dunia imechafuka Sana hata sehemu za Ibada mambo yako ndivyo sivyo.
 
HAPANA HUJANIELWA. SIJABADILISHA ID ISIPOKUWA ILE YA AWALI HAIWEZI TENA KUPOST. SOMA TENA NLICHOA DILA HAPO JUU
Basi watakuwa wameipiga pini
Aidha hii story yako inahusiana na matukio halisi yanayohatarisha usalama wa nchi
Au wamekuchoka….
 
TAARIFA MUHIMU
KUNA MTANDAO MWINGINE TAYARI UMESHAJIJENGA KUTOKEA KWENYE KUNDI LA SEVENTH NA UNAONGOZWA NA MNUNUZI WA GARI. TAARIFA ZAIDI ZITAFUATA BAADAYE
 
MTANDAO HUU UMESHAFIKA HADI KWENYE MOJAWAPO YA SHULE WANAYOSOMA WATOTO WA MHUSIKA HUKO GEITA
 
UPDATE: FRIDAY, 19TH SEPTEMBER 2025

Kabla mhusika hajaendelea tena na tukio la Kanisani alillolitja hapo juu…………

SEHEMU TU YA YALE AMBAYO MNUNUZI WA GARI(MWG) AMESHIRIKI KWENYE TUKIO LA MTOTO
MWINGINE WA PILI WA MHUSIKA
MAELEZO YAUTANGULIZI:
Namna mazingira ya tukio la mtoto wa kwanza
(tofauti na huyu wa sasa) yalivyokuwa
2
Huyu alifunga shule kwa LIKIZO YA PASAKA MWEZI
WA NNE 2022 halafu kwenye likizo hiyo ndiyo
hujuma za afya yake zikawa zmefanyika
• Baada ya hapo, alipelekwa Dispensary na
kutokea hapo akapelekwa moja kwa moja kwa
Daktari Bingwa aliyepo kwenye hospitali ya
rufaa
• Huko hospitalini mtoto alionekana kuwa ana
tatizo lililokuja baadaye kupelekea ASIWEZE
KUTEMEBEA MWENYEWE
MFANANO KATI YA MAZINGIRA YA MTOTO WA
PILI (WA SASA) NA YALE YA MTOTO WA KWANZA
Kwa mtoto huyu wa pili; imetokea tena wakati wa
likizo tena ila mtoto hakuwa ameenda likizo
nyumbani, alikuwa yupo shuleni
Mtoto alikuwa shuleni kwa sababu yupo kwenye
mwaka ambao hakutakiwa kuwa likizo kwa mwezi
huu wa tisa
3
Kwa hiyo wanafunzi wengine shuleni kwake
walikuwa wapo likizo
• Kwenye muda huo wa likizo, mzazi wa mtoto
alipigiwa simu kutoka shuleni akielezwa kuwa
mtoto (wa sekondari) alikuwa anasumbuliwa
na KWIKWI na hivyo akatakiwa kwenda
kumchukua shuleni na kumleta nyumbani
• Mzazi akiwa yupo nyumbani na mtoto,
akashauriwa ampeleke kwa Daktari Bingwa wa
kule kule kwenye hospitali ya rufaa ya kipindi
cha mwaka 2022
• Aliyetoa ushauri kwa mzazi wanafahamiana na
huyo Daktari bingwa
Baada ya kushauriwa, mzazi alimchukua mtoto na
kwenda kuonana na Daktari
Mzazi akiwa tayari ameshaonana na daktari Bingwa,
mhusika akapewa taarifa za tukio; mtoto akiwa
tayari alishapelekwa kwa Daktari Bingwa
4
Baada ya hapo, mtoto alipona na kurudi shuleni
kuendelea na masomo yake
Mtoto ameendelea na masomo hadi wanafunzi
wenzake waliokuwa likizo, walipofungua J3 ya wiki
hii tarehe 15/09/2025; na hapo ndipo alipopishana
nao tena
KILICHOTOKEA BAADA YA WANAFUNZI
WALIOKUWA LIKIZO KUFUNGUA
Mtoto huyu amepishana tena na wanafunzi
wenzake hao kwa sababu mzazi alipigiwa simu
nyingine tena ya nyingine akijulishwa kuwa tatizo la
KWIKWI lilirudi tena huku safari hii likiwa
limeambatana na tatizo jingine la mtoto
KUSHINDWA KUTEMBEA
Kwa hiyo mzazi akatakiwa kwenda kumchukua
shuleni na hadi muda huu yupo nyumbani ila
HAWEZI KUTEMBEA
YALE YALIYOKUWA YAMEJIRI KWA UPANDE WA
MHUSIKA NDANI YA SIKU CHACHE SANA; KABLA
5
HAJAPEWA TAARIFA ZA MTOTO KURUDISHWA
NYUMBANI KUTOKA SHULE AKIWA HAWEZI
KUTEMBEA
Mhusika alikuwa ameshughulika na LEVERS
(nyenzo) ambazo huwa zipo kwenye makundi
matatu ya kuanzia FIRST CLASS hadi THIRD CLASS
Mhusika alikuwa ameshughulika pia na neno HAND
kwa maana ya mkono; ambalo pia linahusiana na
HAND nyingine inayomaanisha kumwachia au
kumkabidhi mtu madaraka
• Ilikuwa ni baada ya kuona Mkuu wa Idara
hayupo idarani kwa kipindi kirefu kiasi, huku
akiwa ame-HAND OVER responsibilities zake
kwa watu wengine
• Mhusika hakuweza kujua MWI alikuwa wapi
kutokana na ukweli kuwa hadi muda huu,
hawezi kusoma emails zake; KKK yule mtaalamu
wa IT bado ametia msimamo
………………………inaendelea
 
MNUNUZI WA GARI (MWG)
………………………inaendelea

KILE KINACHOENDELEA KULE ALIKO MTOTO
AMBAYE HAWEZI KUTEMEBEA
Mtoto anatembea kwa kubebwa na watu wawili
akiwa amewaegemea
Kwa hiyo, kinachofanyika kwenye system nzima ya
utembeaji wakati mtoto akiwa amebewa, ni LEVER,
ambayo mzigo unakuwa upo katikati, halafu kulia na
kushoto vikiwa ni EFFORT pamoja na EGEMEO;
ikiwa ni possibly SECOND or THIRD CLASS LEVER
SYSTEM
Kwa hiyo kilichofanyika kwa mtoto huyo ni
kutengenezwa kwa maigizo halisi (ACTION)
yaliyopelekea mtoto kuwa katika hali hiyo
UHUSIKA WA MNUNUZI WA GARI KWENYE
MATUKIO HAYA
Mbali na pilika pilika nyingine nyingi za MWG
ambazo mhusika aliweza kuziona kwenye kipindi
cha hivi karibuni na ambazo atakuja kuzileta humu
baadaye, ilitokea J4 ya wiki hii tarehe 16/09/2025,
kwa mara ya kwanza mwenza wa MWG alifika
ofisini kwao mhusika; akiwa amekuja kumtembelea
MWG
• Katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 25 ya
kuajiriwa kwake mhusika, ilikuwa ni mara ya
kwanza kumuona mwenza wa MWG akiwa
ndani ya jengo la idara.
• Angalau mara moja au mbili, alishawahi
kugongana naye kwenye parking za gari
Baada ya kutoka ofisini kwa MWG, mwenza huyu
alifika ofisini kwa mhusika kwa ajili ya kumsalimia
Mwenza huyu wa MWG alikuwa amesuka nywele
RASTA, ilhali imani ya Kanisa letu huwa hairuhusu
kufanya hivyo
Nywele RASATA ni mojawapo ya HAIR WAVES, huku
maneno yaliyotamkwa kupitia MAOMBI nayo vile
vile yakiwa ni mojawapo ya WAVES
MNUNUZI WA GARI (MWG)
………………..itaendelea TENA siku nyingine

In the war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua
1:5
 
TAARIFA NYINGINE MUHIMU KUHSIANA NA TUKIO HILI LA .MTOTO

KUNA DAKTARI MWINGINE YUPO PALE NYUMBANI AMBAYE MHUSIKA A AZIOMBA MAMLAKA HUSIKA ZICHEKI KUONA KA..A PENGI E YUKO BLCKMAILED
K
 
UPDATE: TUESDAY, 23RD SEPTEMBER 2025
LA MUHUMU ALILOLIONA MHUSIKA KWENYE
TANGAZO LA UCHUMBA WA SIKU YA J2 YA
TAREHE 14/09/2025
MAELEZO YA UTANGULIZI
Awali, kwenye ibada ya J2 ya tarehe 31/08/2025,
ilitangazwa kuwa J2 ya tarehe 07/09/2025
kungekuwa na Meza ya Bwana, kitu ambacho
hakikufanyika na pasipo maelezo kwa waumini ya
kwa nini Ibada hiyo haikufanyika kwenye J2 husika
Chances ni kwamba Ibada hiyo iliahirishwa kimya
kimya baada ya KM-A kuwa amesafiri kwa dharula
kwa mara nyingine tena; hakuwepo Kanisani J2 hiyo
siku ya J2 hiyo ambayo Meza ya Bwana ilitakiwa
kufanyika
• Kutokana na ahirisho hilo, Ibada hiyo ilikuja
kutangazwa upya baada ya KM-A kuwa amerudi
kutoka safari na hivyo ilifanyika J2 ya wiki
iliyopita tarehe 21/09/2025


• Ibada hii iliambatana na tangazo jingine tena la
UCHUMBA; sawa tu kama ambavyo ingetokea
kama ingefanyika kama livyokuwa imepangwa
kufanyika awali kwenye siku ya J2 ya tarehe
07/09/2025; kulikuwa na tangazo la ucumba J2
hiyo
Angalau kwa mara ya kwanza safari hii, matangazo
ya uchumba yamevunja rekodi kwa kufuatana wiki
tatu mfululizo kuanzia J2 ya tarehe 07/09/2025 hadi
ile ya tarehe 21/09/2025
• Hapo kabla, rekodi hii ilikuwa ikishikiliwa na
matangazo aija hii yakiwa ni ya wiki mbili
mfululizo na si zaidi ya hapo
• Ni utaratibu wa kawaida kwamba matangazo ya
uchumba huwa hayatangazwi kabla ya J2 husika
bali hushtukizwa; na yanapendeza zaidi
kutangazwa kwa mtindo huu wa kushtikizwa,
kuliko kama yangekuwa yanatolewa tangazo
jingine la awali kabla ya siku husika kuwa
imewadia


OBSERVATION YA MHUSIKA KWENYE TANGAZO LA
UCHUMBA WA J2 ILIYOTAJWA HAPO JUU
Jina lililotajwa likiwa ni la marehemu mzazi wa binti
aliyeshiriki kwenye tukio la uchumba wa J2 hiyo; na
ambaye aliambatana na mdogo wake; kutokana na
uelewa wa mhusika, mama huyo anao mabinti
wawili tu ambao huwa wanaabudu hapo Kanisa A
na ambao wana sifa zifuatazo
• Binti mmoja mkubwa ambaye ni mke wa mtu na
ambaye aliolewa kabla ya mwaka 2020 huku
mhusika mwenyewe akisihiriki kuchangia harusi
yake
• Binti mwingine mdogo ambaye hajaolewa na
ambaye alishirikiana na binti aliyehusika
kwenye tukio la tangazo la uchumba huo wa
tarehe 14/09/2025
Ikumbukwe pia kuwa binti mwingine wa tatu
aliyeshiriki kwenye tangazo la uchumba wa J2 hiyo,
ni yule mgeni ambaye sura yake IMEFANANA na ya
mtoto wa SYSTEM; na ambaye aliwahi kuonekama

kwa mara ya kwanza kupitia tangazo la uchumba wa
kwanza uliowahi kutangazwa J2 iliyokuwa imepita
nyuma ya tarehe 07/09/2025
SURA YA BINTI ALIYEHUSIKA NA TANGAZO LA
UCHUMBA HUO WA J2 YA TAREHE 14/09/2025
Sura ya binti huyu ILIFANANA NA SURA YA BINTI
YULE MKUBWA ambaye mhusika amemtaja kuwa
aliwahi kuolewa kabla ya mwaka 2020
Kutokana na maelezo haya; mhusika ana dhana
zifuatazo kuhusiana na BINTI HUYU ALIYETANGAZA
UCHUMBA J2 YA TAREHE 14/07/2025
AIDHA
Binti huyi si mtoto wa MAMA MAREHEMU ambaye
jina lake lilitajwa Kanisani J2 hiyo, isipokuwa tu sura
yake imefanana na na sura ya binti mkubwa wa
mama ambaye jina lake lilitajwa; kutokana ukweli
kuwa mama huyo anao mabinti wawili tu kama
ambavyo mhusika amewaelezea hapo juu
AU

MAMA MAREHEMU ambaye jina lake lilitajwa
Kanisani J2 hiyo, anaye pia binti mwingine wa tatu
ambaye mhusika hakuwahi kumfahamu kabla ila
ambaye si MSHIRIKI WA KANISA A; isipokuwa binti
huyu aliamua kuwafuata wenzake ambao huwa
wanaabudu Kanisa A ili aweze kutangaza uchumba
wake kwenye Kanisa mbalo wenzake huwa
wanaabudu
Ikumbukwe kuwa binti huyu aliyetangaza uchumba
J2 hiyo, ANAFANANA SANA KWA SURA na yule binti
mwingine mkubwa ambaye aliwahi kufunga ndoa
kabla ya mwaka 2020
AU
Ndoa ya binti iliyowahi kufungwa kabla ya mwaka
2020 ilipata sababu za msingi za kuwa batili kiroho
na hivyo binti kupata uhalali wa kufunga ndoa
nyingine ya pili
KUHUSIANA NA TANGAZO JINGINE LA UCHUMBA
LILILOFANYIKA J2 ILIYOPITA YA TAREHE 21/09/2025



Ni tangazo la kwanza la uchumba ambalo mhusika
hakubahatika kuwaona kwa sura wachumba wote
wawili kutokana na sababu zifuatazo
Alifika Kanisani na kukuta tangazo la uchumba
tayari limeshapita na hii ilikuwa ni halali kulikosa
kwa sababu aliingia Kanisani dakika chache baada
ya saa nne, ikiwa ni zaidi ya nusu saa tangu
kuhitimishwa kwa Ibada ya kwanza
• Still, mhusika hakuweza pia kuwaona
wachumba hao wakati wa Ibada ya pili kwa
sababu walipata udhuru na hivyo kupelekea
kutokwuepo wakati wa Ibada ya pili; na hali hii
nayo vile vile ilikuwa ni kawaida kabisa
KITU PEKEE AMABCHO HAKIKUWA CHA KAWAIDA
KWENYE TANGAZO HILO ni kwamba picha za
wachumba hao hazikuonyeshwa kwa waumini wa
Ibada ya pili.
• Ukizingtaia ukweli kuwa wahusika wa tukio
hawakuwepo kwenye Ibada ya pili, ilikuwa ni

muhimu kwa picha zao kuonyeshwa kwa
waumini ili waweze kuwafahamu
• Hii ni kutokana na ukweli kuwa picha za watu
wa aina hii zimekuwa zikionyeshwa hata kwa
wale ambao wanakuwa wapo Kanisani LIVE, na
kwa hali hiyo picha za wale ambao
hawakuwepo kabisa kwenye ibada ilikuwa ni
lazima kuonyeshwa

In the war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19;
Joshua 1:5
 
Taarifa zingine muhimu zinafuata ndani ya siku chache zijazo

In the war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19;
Joshua 1:5
 
UPDATE: TUESDAY, 07TH OCTOBER 2025
UTAFITI ULIOKAMILIKA

“Mkasa wa pekee kuhusu PILIKAPILIKA na COVID-19” za kujikinga COINCIDENCES KATI YA

MATUKIOYA KANISANI KWA MHUSIKA J2 ILIYOPITA NA MATUKIO MENGINE MAWILI YALIYOTOKEA KUANZIA WIKI ILIYOPITA HADI LEO
TUKIO LA KWANZA

INCIDENCES KUHUSIANA NA WANANDOA MAARUFU AMBAO WAMEKUWA MARA KWA MARA WAKIZUSHIWA TAARAIFA ZA UONGO KWENYE MITANDAO YA JAMII KUWA WAMEACHANA

Mtumishiwa Mungu aliyehudumu wakati wa Ibada kuu Kanisa A J2 iliyopita tarehe 05/10/2025; muonekano wake na hata kuongea kwake, amefanana kwa kiwango kikubwa sana na mmojawapo wa wanandoa hawa (wa kiume) maarafu waliotajwa kwenye taarifa hii Mtumishi huyu amefanana na mwanandoa huyu ambaye jina lake linatengeneza RHYME na DOUBLE WORD ya neno PILIKAPILIKA; neno ambalo ni mojawapo ya maneno yanayotengeza kichwa cha THREAD hii Baada ya J2 kupita, taarifa ambazo zimekuwa zikitrend mitandaoni kuanzia J2 hadi muda huu ni kwamba kuna mtu ametekwa ambaye jina lake nalo


pia ni DOUBLE WORD, huku likiwa linatengeneza key na RHYME neno PILIKAPILIKA Ikumbukwe pia kuwa hili ni tukio la pili kwa mhusika kuliongelea kuhusiana na mtu huyu aliyetekwa, na la kwanza lilihusiana na mojawapo ya siku ambayo mtekwaji aliwahi kuongea public na Watanzania kupitia media Vinginevyo mtumishi wa Mungu aliyehudumu kwenye Ibada Kuu, alionyesha uzoefu wa kuhubiri katika namna ambayo mhusika alishangaa kwa nini hapo kabla, mhtumishi huyu hakuwa amewahi kupewa nafasi nyingine ya kuhudumu kwenye Ibada Kuu, kitu ambacho kinaashiriria kuwa possibly alikuwa ametunzwa akiwa anasubiria tukio maalumu kwenye siku Fulani maalum Katika kipindi chote ambacho mhusika amekuwepo Kanisa A, hajawahi hata mara moja kumuona mtumishi huyu akiwa anahudumu kwenye Ibada Kuu za J2 kama mhubiri

TUKIO LA PILI

MwanaSayansialiyefika Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa MIAKA 26, na ametangulia mbele ya akiwa na umri wa MIAKA 91 (91 being a reverse number of 19) MWANZO 1:26 —“NA TUFANYE MTU KWA MFANO WETU” “Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, KWA SURA YETU ; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. Baadhi tu ya attributes nyingine alizokuwa nazo mwanaSayansi huyu • Alifika Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka 1960 akiwa na umri wa MIAKA 26 • Amekuwa akifanya mojawapo ya kazi ambazo Mungu (GOD) amezitaja kwenye Kitabu cha MWANZO 1:26 4
I
NAENDELEA.....
 
Jina lake la ubini linatengeneza key na neno
GOD
• Kwenye kipindi chote tangu alipofika Tanzania
mwaka 1960, amekuwa akishughulika na utafiti
uliohusiana na Sokwe, wanyama ambao,
ukiachilia maumbile yao, DNA ZAO
ZIMEFANANA NA ZILE ZA BINADAMU KWA
ZAIDI YA ASILIMIA 90
Tukirudi tena kwenye fungu letu la Biblia:’
“Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano
wetu, KWA SURA YETU



MENGINEYO
Vinginevyo mhusika anafurahi kwamba Kiongozi
Mkuu wa Kanisa A (KM-A) alilitangazia Kanisa kuwa
Kiongozi Mkubwa wa Kanisa alirudi kutoka nje ya
nchi alikokuwa ameenda kwa ajili ya matibabu, J3
ya tarehe 29/09/2025; yaani mwezi uliopita
Mhusika anaamini kuwa Kiongozi huyu aliichagua
tarehe hii kwa ajili ya KUTIA MBARAKA KWENYE

TAREHE NYINGINE KAMA HII YA MWEZI HUU
ambayo ni ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Nchi

Inthe war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
UPDATE: SATURDAY 11/10/2025
UTAFITI UNAOENDELEA
BAADHI TU YA YAIYOMO KWENYE UTAFITI HUO

KUHUSIANA NA UTEKAJI

UTEKAJI UNASABABISHA MALALAMIKO AU LAMENTATIONS

LAMENTATIONS NI MOJAWAPO YA KITABU KILICHOPO KWENYE MAANDIKO MATAKATIFU BIBLIA NA KWA KISWAHILI KINAITWA MAOMBOLEZO

KWA HIYO KWA KIFUPI, UTEKAJI UNARUSHA PEPO KWENYE BIBLIA

MBALI NA HAYO VILE VILE MAOMBOLEZO YANA UHUSIANO NA MSIBA PAMOJA NA SALAMU ZA "POLE"

WAKATI HUO HUO. MSIBA VILE VILE UNA UHUSIANO NA UHAI; NA HIVYO UHUSIANO NA YULE MGOMBEA UBUNGE ALIYEUAWA KULE JIMBO LA HAI

NAHITIMISHA HAYA KWA KIFUPI KWA KUSEMA KUWA "NAOMBA KATIKA JINA LA YESU MWOKOZI ALIYE HAI"

Inthe war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
KWA HIYO KILE AMBACHO KINANDELEA MUDA HUU NCHINI NI MAIGIZO YANAYOTUMIA MATUKIO HALISI KWA AJILI YA KURUSHA PEPO KWENYE MAANDIKO MATAKATIFU BIBLIA, NA PIA KWENYE DAMU YA YESU AMBAYO NI KIINI CHA UKOMBOZI WA MWANADAMU

HILI KANISA LA KM_A KAMA SERIKALI HAWATASHUGHULIKA NALO KWA USAHIHI. LITAIPELEKA HII NCHI MBALI SANA.

KWA KIPINDI KIREFU MNO SASA, TAIFA LIMEKUWA LIKICHEZA MZIKI AMBAO NGOMA ZAKE ZINAPIGWA KUTOKEA KANISA A

Inthe war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
UPDATE: TUESRDAY 14/10/2025

UTEKAJI

KILE ANACHOKUMBUKA MHUSIKA SERIKALI ILIWAHI KUAGIZA TAKRIBAI MIONGO MIWILI ILIYOPITA


TAKRIBANI MIONGO MIWILI ILIYOPITA, SERIKALI ILIWAHI KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VIOO TINTED KWENYE MAGARI YOTE IWE NI YA SERIKALI AU YA WATU BINAFSI. KWA SASA, ZAIDI YA ASILIMIA 99 YA MAGARI YANA VIOO TINTED, NA MHUSIKA HANA UHAKIKA KAMA SERIKALI ILIWAHI KUONDOA MARUFUKU YA MAGARI KUWA NA VIOO TINTED, UKIACHILIA MBALI

DALILI ALIZOZIONA MHUSIKA KUTOKEA KWENYE MAZINGIRA YA OFISINI KWAKE, VIOO TINTED VITAKUJA KULETA MADHARA MAKUBWA ZAIDI YA HAYA YA UTEKAJI, HUKO MBELE YA SAFARI

Taarifa zaidi zinafuata MUDA mfupi ujao
 
UPDATE FRIDAY 24 OCTOBER 2025

.......kabla MHUSIKA hajaendelea na mada yake iliyopo hewani inayohusiana na VIOO TINTED



KUTOKEA KWA AJILI YA TRENI MPYA IKIWA NA MABEHEWA MAPYA HUKU IKIWA INATEMBEA KWENYE RELI MPYA

MHUSIKA ANAOMBA KUMSHAURI ENGINEERI MUCH_BEER ALIANGALIE KWA JICHO PANA TUKIO HILI


YALE MAIGIZO YETU YANAWEZA KUWA YAMEHAMISHIWA KWENYE SGR

KUNA GARI HAPA NCHINI ZINAITWA X-TRAIL

DEFINTION

TRALER: an unpowered vehicle towed by another.

SOURE



Inthe war between falsehood and truth (GOD),
falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5
 
Back
Top Bottom