#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Halafu anashika swtch huku akijua hakuna kitakasa mikono halafu anarudi kwa familia yake
Hapana. Alivyotoka kwenye kitakasa mikono, ndiyo akaenda akashika switch za feni. Anachodai yeye ni kwamba, feni ziliachwa zinatembea makusudi ili baada ya kuwa ameshika kitakasa mikono, akashike switch za feni pia. Inaonyesha KAMA kitakasa mikono alichokuwa ameshika, alitakiwa yeye akkipeleke tena kwenye switch za feni, halafu baada ya hapo, POSSIBLY kuna watu wengine sasa nao wangeenda tena kushika kwenye switch za feni hizo wakati wa kuziwasha tena, kuchukua kile ambacho yeye alikuwa amekiacha kwenye switch hizo.

Ni maswala ya kiroho zaidi, kwa sababu ni mambo ya Kanisani. Hata hivyo bado yeye anakiri kuwa kwa upande mwingine, zinaweza kuwa ni pure coincidences tu za matukio ambayo hayana maana yoyote ile, japo hana uhakika huo pia. Uhakika wa kwamba pattern ya matukio hayo haina maana yoyote HANA, ila pia uhakika kuwa hayana maana yoyote nao pia HANA
 
Napenda SANA haya mambo...!

.....hapa hakuna 'coincidence' there is something in reality!

NB: "What you know limits your perspectiveness.....!"

Tupe updates...usisahau ku nitag, tafadhali nakuomba, hiki kisa ni kizuri sana!

Cha kusikitisha ni ameshaanza kupoteza tafsiri Kwa 20% ....!
 
Tukio muhimu la kipekee sana alilokutana nalo hapo Kanisani sku hiyo ni kuwa kwa mara ya kwanza tangu aanze kuhudhuria Ibada za asubuhi, takribani miaka miwili sasa, alikuwa hajawahi kukuta hakuna mtu Kanisani...
Story yako inaelekea ni ya kutunga au unajisau...wapi ametumia kitakasa mikono hapo wakati umesema kanisani hapakuwepo na mtu kabisa.
 
Hapana. Alivyotoka kwenye kitakasa mikono, ndiyo akaenda akashika switch za feni. Anachodai yeye ni kwamba, feni ziliachwa zinatembea makusudi ili baada ya kuwa ameshika kitakasa mikono, akashike switch za feni pia...
Ila hakuna sehem umeandika kwamba kuna mtu alimforce kwenda kuzima hzo switch za feni au kuwaza zile za parking kwake.

Asicomplicate sana mambo atajiwekea maadui wasio na maana af atakua anaishi kwa hofu mda wote.
 
Ni very possible kama yuko kwenye makanisa ya kinabii wanakoibiana nyota, au makanisa yenye nguvu kubwa kiroho lakini kama ni kanisa Catholic au (KKKT ukiacha haya yenye upako kama la Kimara kwa Mch. Matsai Kijitonyama kwa Mch.Kimaro) hizo nguvu zake za kiroho hakuna hata ambaye anazinotice, changanyikeni ya kufa mtu.
Hapana. Alivyotoka kwenye kitakasa mikono, ndiyo akaenda akashika switch za feni. Anachodai yeye ni kwamba, feni ziliachwa zinatembea makusudi ili baada ya kuwa ameshika kitakasa mikono, akashike switch za feni pia. Inaonyesha KAMA kitakasa mikono alichokuwa ameshika, alitakiwa yeye akkipeleke tena kwenye switch za feni, halafu baada ya hapo, POSSIBLY kuna watu wengine sasa nao wangeenda tena kushika kwenye switch za feni hizo wakati wa kuziwasha tena, kuchukua kile ambacho yeye alikuwa amekiacha kwenye switch hizo. Ni maswala ya kiroho zaidi, kwa sababu ni mambo ya Kanisani. Hata hivyo bado yeye anakiri kuwa kwa upande mwingine, zinaweza kuwa ni pure coincidences tu za matukio ambayo hayana maana yoyote ile, japo hana uhakika huo pia. Uhakika wa kwamba pattern ya matukio hayo haina maana yoyote HANA, ila pia uhakika kuwa hayana maana yoyote nao pia HANA
 
Back
Top Bottom