Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchambuzi wa mambo si lazima uwe sahihi kwa kadri uonavyowewe!Muhimu: Uzi huu unawafaa sana hasa wale ambao tu huwa wana muda na wanapenda kuchambua mambo kwa kina, vinginevyio kama wewe siyo mmoja wao, unaweza ukaona kana unapoteza muda wako kuufuatilia.
Ni very possible kama yuko kwenye makanisa ya kinabii wanakoibiana nyota, au makanisa yenye nguvu kubwa kiroho lakini kama ni kanisa Catholic au (KKKT ukiacha haya yenye upako kama la Kimara kwa Mch. Matsai Kijitonyama kwa Mch.Kimaro) hizo nguvu zake za kiroho hakuna hata ambaye anazinotice, changanyikeni ya kufa mtu.
Kama wewe ni mzoefu kwa kiasi fulanii katika mambo ya kiroho, na kama umemsoma vizuri, issue ya huyu bwana, assuming kutakuwa na chochote basi kitakuwa ni kitu ambacho kinahusiana na uendeshaji wa Ibada pale Kanisani na si maswala ya kuibiana nyota. Soma vizuri kipengele namba 7 hapo juu. Kama kutakuwa na kitu, basi kuna possibilities mbili ambazo mimi nimeweza kuzianisha
MOJA: Kuna mambo ya giza yanayoendelea pale wakati wa uendeshaji wa Ibada, ambayo yeye kwayo anakuwa ni kikwazo na hivyo inabidi kwanza vifanyike vitu fulani fulani vya kumfubaza kiroho, ili asiwe na upako wa kuendelea kuzuia kinachotakiwa kufanyika wakati wa Ibada AU
MBILI. Yeye mwenyewe pia ana mambo ya giza ambayo inabidi zitumike nguvu zingine za giza kum-coounter attack, halafu ndiyo Ibada ziendelee
In any case, points zote hizi mbili zinaonyesha kuwa kuna Ibada za mambo ya giza zinaendelea.
Kwa hiyo inaweza kuwa yeye naye ni mmoja wa washirika wa Ibada hizo ila YUKO PEKE YAKE PEKE YAKE, au siyo mshirika wa Ibada hizo na hivyo anapelekea zikwame katika uendeshaji wake
Kweli kabisa,kanisani ni jumapili tu au unasemaje dadake diamondSijaelewa lakini watu wa kwenda kwenda kanisani kila kukicha wanazingua sana
Hakulazimishwa ndiyo ila kitendo cha kukuta ziko ON na hapakuwa na mtu, kilim-prompt kwenda kuzizima. Kumbuka kuwa wakati huo alikuwa anaona kila tukio ni la kawaida, mpaka baadaye sasa yalivyokuja kutokea na mengine mbele, ndiyo akaanza sasa kurudi nyuma kwa kuyaangalia na yale yaliyopita nyuma, akaanza kuunganisha dots. Unajua nini ndugu yangu. Tuchukulie mfano mtu akija nyumbani kwako akaleta posa, mkaelewana mahali halafu kumbe ni mwongo akaenda kimoja asirudi, huwezi ukawa na uwezo wa kujua kuwa anakudanganya siku aliyoleta posa, utakuja kujua baada ya siku hiyo. Hii inaonyesha kuwa kuna matukio ambayo maana zake halisi huwa zinakuja kujifunua baada ya kuwa yameshapita na si vinginevyo. Ni kama hilo la huyu mtu kuzima feniIla hakuna sehem umeandika kwamba kuna mtu alimforce kwenda kuzima hzo switch za feni au kuwaza zile za parking kwake.
Asicomplicate sana mambo atajiwekea maadui wasio na maana af atakua anaishi kwa hofu mda wote
Mhusika kwa sasa bado hajanipa ruhusa ya kutaja sehemu, ila amesema kuwa given time, kuna uwezekano mkubwa akaja akatoa ruhusa hiyo muda siyo mrefu kwa sababu alichoruhusu kiruke hapa, ni kama asilimia 0.01% tu ya kile alichowahi kushuhudia tangu aanze kuabudu kwenye nyumba hiyo ya Ibada. Amekuwa kimya tangu mwaka 2011, takribani miaka 9 sasa! Anataka kwanza awe na uhakika kuwa haya matukio yana maanisha kitu na si coincidences tu, kwa sababau wakati mwingine zinaweza kuwa ni coincidences tu za bahati mbaya ambazo hazina maana yoyote!Sema hizo codes umezificha ,ungetaja tu hata jina la kanisa but ndo hivo ukitaja hilo kanisa huyo jamaa atajulikana kwa story ilivyoenda.
Hapo kinachoonekana ni nguvu ya Mungu vs Nguvu za giza au nguvu za giza zinapambana zenyewe.
Huyo jamaa yako amekuwa mtu wa kuconnet dots either kwa hofu zake na hisia tu za kibinadamu lakini mambo kama hayo yapo tunakutana nayo na hatutulii akilini tunalindwa tu na ulinzi wa Mungu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ni miaka miwili tangu aanze kuhudhuria Ibada za kuanzia saa 12 asubuhi na si miezi miwili kama ulivyosema wewe. Kabla ya hapo alikuwa anahudhuria Ibada ya pili inayoanza baada ya saa 4. Kwa hali hii, ni mtu anayehudhuria Ibada ya kwanza tu mwenye uwezekano wa kukuta Kanisani bado hajafika mtu, na akawa yeye wa kwanza kuwepo ndani ya kanisa. Kwa ibada ya pili hakuna uwezekano huo kwa sababu lazima upishane na watu wanaotoka, wale wa Ibada ya kwanza. Kwa hiyo mantiki yake hapa ni kwamba, pamoja na kuhudhuria Ibada ya asubuhi kwa takribani miaka miwili sasa, alikuwa haijawahi kutokea akapata chance ya kufanikiwa kuwa wa kwanza kufika kanisani asubuhi, na kukuta kanisa liko kimya hakuna mtu yoyote, isipokuwa kwa siku hiyo tu aliyoitaja, siku ya feni zilizokuwa zinatembea!Amesema ni miezi miwili tangu uanze kusali kanisani hapo, he katika kanisa lake la awali alikuwa kiongozi? Je, aliondoka huko kwa amani bila mgogoro na mtu?
Pia achukue tahadhali zaidi juu ya CORONA.
Labda wengine wataelewaHalafu anashika swtch huku akijua hakuna kitakasa mikono halafu anarudi kwa familia yake
Unaweza kuwa uko sahihi, ila yeye anadai kuwa stori yake anayonipa haizidi 0.01% ya content ya kile anachokijua, ambacho hakitakuja humu jukwaani. Stay tuned leo kuna updates zinakuja. Ikishafika mwisho nitawajulisaha halafu mutasema kama pengine ni mtu wa kujishuku, au ana maluweluwe ama la!Sema hizo codes umezificha ,ungetaja tu hata jina la kanisa but ndo hivo ukitaja hilo kanisa huyo jamaa atajulikana kwa story ilivyoenda.
Hapo kinachoonekana ni nguvu ya Mungu vs Nguvu za giza au nguvu za giza zinapambana zenyewe.
Huyo jamaa yako amekuwa mtu wa kuconnet dots either kwa hofu zake na hisia tu za kibinadamu lakini mambo kama hayo yapo tunakutana nayo na hatutulii akilini tunalindwa tu na ulinzi wa Mungu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Sema hizo codes umezificha ,ungetaja tu hata jina la kanisa but ndo hivo ukitaja hilo kanisa huyo jamaa atajulikana kwa story ilivyoenda.
Hapo kinachoonekana ni nguvu ya Mungu vs Nguvu za giza au nguvu za giza zinapambana zenyewe.
Huyo jamaa yako amekuwa mtu wa kuconnet dots either kwa hofu zake na hisia tu za kibinadamu lakini mambo kama hayo yapo tunakutana nayo na hatutulii akilini tunalindwa tu na ulinzi wa Mungu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ahame Kanisa kwani kashonewa hapo
Sent From Galaxy S9
Usitudanganye bhna kuna vitu ambavyo ni hatari zaidi. Kama Corona etc
Sent From Galaxy S9
Nitakupa ushuhuda huu.
Kuna mtu aliwahi kuhama kutoka Kanisa A, kwenda Kanisa B, baada ya kikundi kidogo cha watu fulani kuwa kimemubugudhi kikiwa kinashirikiana na viongozi karibia wote wa kanisa A. Wakati anakimbia kutoka A kwenda B, wengi wa waumini aliowaacha A wakajua kuwa yeye ndiyo ana matatizo, kwa sababu haiwezekani viongozi wote washiriki kukuhamisha halafu bado uwe wewe ndiyo msafi. Alipofika Kanisa B akitokea A, alipokelewa vizuri halafu baadaye na huko nako ukaundwa mtandao uliokusudiwa kumhamisha akimbie Kanisa B, akitarajiwa kuwa angeenda jingine, possibly Kanisa C. Baada ya takriban miaka mitatu hivi akiwa Kanisa B, akachoshwa na hila hizo, na akaamua kurudi tena Kanisa A, tofauti na matarajio ya mtandao uliokuwa ukimbugudhi, ili kuthibitisha kuwa yuko clean, na aliporudi tena Kanisa A, this time akatuma taarifa kule alikohama kwa mara ya pili, yaani Kanisa B, akiwajulisha viongozi wake kuwa amerudi tena kanisa A alikotokea wakati anakuja Kanisa B, lakini kama safari hii Kanisa A litarudia tena mchezo wa zamani, atarudi tena Kanisa B, kwa hiyo atakuwa ana-shuttle between churches A and B
Angalia sasa scenerio hii na ujaribu ku-imagine kama huyu mtu angefanya makosa akaenda tuseme Kanisa C pindi alipokuwa akikimbia kutoka Kanisa B; kesi yake ilikuwa ni nzito ambayo hujawahi kuona. A na B wangetengeneza joint forces na kumfuata tena kule C, na dhahiri ingeonyesha kuwa yeye ndiyo mwenye matatizo. At this point in time, hata dola nayo sasa ingekuwa tayari ameshai-trigger kuingia kazini kuwa huyu mtu ana matatizo gani hatulii kwenye makanisa halafu haelewani na viongozi wake?
Sasa nikwambie kitu ndugu yangu, hii dunia fanya upumbavu wote unaoweza kufanya lakini isije ikatokea hata siku moja, ukafanya upumbavu wa kusababisha dola ikaingia kazini. Usije hata siku moja ukafanya kitu cha kui-prompt dola kuingia kazini! Unaona sasa namna ilivyo hatari kubadilisha badilisha nyumba za Ibada?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu acha kumsingizia jamaa yako,ni wewe mwenyewe kabisa
Kama huyu jamaa namfahamu alikuwa mkurigenzi kwenye taasisi fulani hiviNitakupa ushuhuda huu.
Kuna mtu aliwahi kuhama kutoka Kanisa A, kwenda Kanisa B, baada ya kikundi kidogo cha watu fulani kuwa kimemubugudhi kikiwa kinashirikiana na viongozi karibia wote wa kanisa A. Wakati anakimbia kutoka A kwenda B, wengi wa waumini aliowaacha A wakajua kuwa yeye ndiyo ana matatizo, kwa sababu haiwezekani viongozi wote washiriki kukuhamisha halafu bado uwe wewe ndiyo msafi. Alipofika Kanisa B akitokea A, alipokelewa vizuri halafu baadaye na huko nako ukaundwa mtandao uliokusudiwa kumhamisha akimbie Kanisa B, akitarajiwa kuwa angeenda jingine, possibly Kanisa C. Baada ya takriban miaka mitatu hivi akiwa Kanisa B, akachoshwa na hila hizo, na akaamua kurudi tena Kanisa A, tofauti na matarajio ya mtandao uliokuwa ukimbugudhi, ili kuthibitisha kuwa yuko clean, na aliporudi tena Kanisa A, this time akatuma taarifa kule alikohama kwa mara ya pili, yaani Kanisa B, akiwajulisha viongozi wake kuwa amerudi tena kanisa A alikotokea wakati anakuja Kanisa B, lakini kama safari hii Kanisa A litarudia tena mchezo wa zamani, atarudi tena Kanisa B, kwa hiyo atakuwa ana-shuttle between churches A and B
Angalia sasa scenerio hii na ujaribu ku-imagine kama huyu mtu angefanya makosa akaenda tuseme Kanisa C pindi alipokuwa akikimbia kutoka Kanisa B; kesi yake ilikuwa ni nzito ambayo hujawahi kuona. A na B wangetengeneza joint forces na kumfuata tena kule C, na dhahiri ingeonyesha kuwa yeye ndiyo mwenye matatizo. At this point in time, hata dola nayo sasa ingekuwa tayari ameshai-trigger kuingia kazini kuwa huyu mtu ana matatizo gani hatulii kwenye makanisa halafu haelewani na viongozi wake?
Sasa nikwambie kitu ndugu yangu, hii dunia fanya upumbavu wote unaoweza kufanya lakini isije ikatokea hata siku moja, ukafanya upumbavu wa kusababisha dola ikaingia kazini. Usije hata siku moja ukafanya kitu cha kui-prompt dola kuingia kazini! Unaona sasa namna ilivyo hatari kubadilisha badilisha nyumba za Ibada?
Itakuchukua mda sana kuelewa hiiKwani kwa maisha yake ya kawaida... Ana wadhfa gani hadi afuatiliwe kiasi hicho...!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeielewa... Sema si lazima kuonyesha kwamba umeelewa