Kwani kwa maisha yake ya kawaida... Ana wadhfa gani hadi afuatiliwe kiasi hicho...!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda SANA haya mambo...!
.....hapa hakuna 'coincidence' there is something in reality!
NB: "What you know limits your perspectiveness.....!"
Tupe updates...usisahau ku nitag, tafadhali nakuomba, hiki kisa ni kizuri sana!
Cha kusikitisha ni ameshaanza kupoteza tafsiri Kwa 20% ....!
Kwa
Kwa hiyo kwa kifupi wakristo mnahujumiana wenyewe kwa wenyewe. Nimekuelewa
Yeye ana nini mpaka afanyiwe vitu vyote hivyo?
UPDATE: WEDNESDAY 05/05/2020 (NYONGEZA MUHIMU)
UHUSIANO WA NCHI YETU NA MATETEMEKO YANAYOENDELEA KUTOKEA HASA KATIKA KIPINDI HIKI
Mhusika wa taarifa hizi anaomba awarudishe nyuma kidogo kuanzia mwaka 2005
Tanzania ipo kwenye ukanda wa matetemeeko, kutokana na ukweli kwamba baadhi ya sehemu zake ziko ndani ya Bonde la Ufa, likiwemo ziwa Tanganyika. Hata hivyo, kabla ya mwaka 2005 kurudi nyuma, matatemeko makubwa (au hata madogo) na yenye madhara yamekuwa ni nadra sana.
Kwa hiyo kwa ufupi anaomba muangalie matukio haya matatu hapa chini
- Desemba 2005 lilitokea tetemeko ndani ya Ziwa Tanganyika lenye ukubwa wa 6.8 kwenye kipimo cha Ritcher
- Mwaka 2012 (April au June) lilitokea tetetemeko likatikisa majengo yote marefu Dar es Salaam na kusababisha taharuki kubwa jijini siku hiyo. Lilitokea ndani ya bahari takriban kilomita 70 kutoka pwani ya Dar es Salaam, na kwenye uelekeo wa Mafia. Hata hivyo, hii ni sehemu ambayo haitarajiwi sana kwa tetemeko kutokea, japo uwezekano pia upo lakini kwa baadhi ya wataalamu waliosomea maswala ya Jiolojia, walidai kuwa “is almost geologically impossible” kwa tetemeko kutokea sehemu hiyo na ilikuwa mara ya kwanza kwa sehemu hiyo kutokea tetemeko katika Historia ya nchi yetu
- Pia Septemba 2016 lilitokea tetemeko na kusababisha maafa Kagera, na lilitokea kwenye maji ndani ya ziwa Victoria
Yapo pia matetetemeko mengine ambayo yameshatokea na kusababisha madhara pia, tukianzia huo mwaka wa 2005 lakini mhusika angeenda kwa sasa kuyamulika haya matatu tu aliyoyataja hapo juu
Awali ya yote, anapenda kuujulisha umma wa wa-Tanzania kuwa mtaalamu aliyekuwa anasomea haya mambo ya matetemeko, alirudi kutoka masomoni Ulaya mwaka 2003, na matetemeko yote yaliyotokea baada ya 2003, yametokea akiwa tayari yupo kazini.
Ukiyaangalia matetemeko matatu yaliyotajwa hapo juu, utakuta kuwa yana sifa kuu nne zinazofanana, kwamba yote
- Yametokea kwenye maji (Baharini, Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria)
- Yametokea kwenye sehemu ambazo kuna uwezekano wa kupatikana Oil na Gas
- Data za matetemeko hutumika kwa ajili ya utafiti wa Oil na Gas. Kwa hiyo matetemeko haya kutokea sehemu kama hizi, yaliashira pia uwezekano wa kutoa mwanga wa kuweza kujua hilo
Ikumbukwe kuwa kabla ya Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, umeme uliokuwa unatiliwa mkazo zaidi ni ule wa Oil na Gas, ukilinganisha na umeme wa maji, na kuna siku niliwahi kumsikia mwanasiasa maarufu akithibitisha kuwa msomi mmoja nadhani Profesa mstaafu kutoka UDSM, aliwahi kufanya utafiti ulioonyesha kuwa haiwezekani kujenga bwawa la kuzalisha umeme wa maji, bwawa ambalo ndiyo linajengwa sasa hivi huko kwa kutumia maji ya mto Rufiji
- Kwa hiyo inaonyesha KAMA umeme wa maji ulikuwa hautakiwi kuwepo kwa sababu ungeweza kuziba ule wa Oil na Gas
- Inaonyesha KAMA mpango wa Oil na Gas ulikuwa ni mkakati uliaonza kuandaliwa siku nyingi nyuma, na unaweza ukawa unahusisha wasomi kwenye taasisi maarufu na nyeti, walio bado ofisini muda huu na wengine ambao tayari wanaweza kuwa wameshastaafu kwa sasa
- Inaonyesha KAMA mpango huu ulikuwa na wafadhili wenye uwezo wa kutoa pesa nyingi kwa ajili ya utafiti wa Oil na Gas, pesa ambazo zisingepatikana just in case Tanzania wange-opt kuzalisha umeme wa maji kabla
MAELEZO MAFUPI NAMNA AMBAVYO DATA ZA MATETEMEKO HUTUMIKA KWENYE UTAFITI WA OIL NA GAS
Kwa waliosoma Fizikia, mawimbi yanayosababishwa na tetemeko, husafiri ardhini na kupita kwenye miamba, kwa kufuata kanuni za namna mwanga ambavyo huwa unasafiri kwenye kitu chchote kile. Kawaida mwanga:
- Husafiri kwenye mstari ulioonyooka, pale unapokuwa unasafiri ndani ya kitu husika (media)
- Huakisiwa (reflected) na au /husharabiwa (refracted) pindi unapokuwa unasafiri kutoka kwenye media moja na kuingia kwenye media nyingine tofauti
- Mwanga unaposharabiwa na media fulani, media hiyo inaweza kujulikana ni kitu gani, kwa kutumia kanuni ya refractive index. Refractive index ya mwanga inajulikana na hivyo chochote kile kinacchoweza kuusharabu mwanga, refractive index yake lazima nayo ijulikane pia, na ikishajulikana, lazima kitu hicho kijulikane ni nini
Tukirudi sasa kwenye mada yetu, mawimbi ya matetemeko nayo vilevile husharabiwa na media iliyoko ardhini, pindi yanapokuwa yanasafiri ardhini, na yakishasharabiwa, kitu kilichoyasharabu lazima kijulikane ni nini, na hivyo kama yamepita sehemu ambapo kuna Oil au Gas, watafiti sasa wanaweza kujua kuwa hapa kuna Oil na au Gas. Kwa hiyo nadharia rahisi kabisa ya uhusiano uliopo kati ya matetemeko na utafiti wa oil na gas, iko namna hiyo
Kwa mantiki hiyo basi, unahitaji uwe umepima matetemeko kwanza sehemu yako ya utafiti wa Oil na Gas halafu ndiyo uweze kujua kama ipo ama la. Kama sehemu ambayo unahitaji kufanya utafiti huo haina matetemeko ya asili ambayo yameshawahi kutokea na yakapimwa, njia pekee unayoweza kutumia ni kusababisha tetemeko, yaani unatengeneza tetemeko la kibinadamu
HYPOTHESIS ALIZONAZO MHUSIKA WA TUKIO HILI KUHUSIANA NA MATETEMEKO MATATU ALIYOYATAJA HAPO JUU
- Inaonyesha KAMA matetemeko aliyoyataja hapo juu ( na si hayo tu, yanaweza kuwepo na mengine pia), yalikuwa ni ya kutengeneza (hayakuwa ya asili), kwa ajili ya utafiti wa Oil na Gas
- Inaonyesha KAMA mhusika alijikuta kwa bahati mbaya akiwa miongoni mwa wahusika wa mtandao huo ambao ulikuwa ni wa siri, lakini mtandao huo ukawa umeshindwa namna ya kumchuka ili awe mmoja wao, ili aweze kutunza siri kama kuna chochote cha ajabu kinaweza kutokea huko mbele ya safari. Kwa mfano, makosa yangefanyika kwa tetemeko lile lililotokea baharini na kusababisha maghorofa kutikisika jinni Dar es salaam. Tuseme tetemeko hili lingeangusha baadhi ya majengo makubwa jijini Dar es salaam na kuua maelfu ya watu! Alitakiwa awe mmoja wao ili aweze kutunza siri kama hizi!
- Baada mtandao huu kuona kuwa hauna namna ambayo unaweza ukamfanya akawa mmoja wao, ndiyo vikaanza sasa vitimbi hivyo, network ikawa imesukwa kuanzia ofisini, nyumbani anapoishi, Kanisani na sehemu zingine zote ambazo huwa anatokea kuwepo.
- Uhakika mkubwa kabisa alionao ni kuwa kiini cha mtandao huo kilianzia ofisini
- Kanisani sasa nako kukatafutwa watumishi wale amabao wapo kwa ajili ya MBESA TU, WACHUMIA MATUMBO, na kukawa na mwitikio mzuri tu na ndiyo sasa ilipofika kipindi hiki cha Corona, zikaanza kutumika mbinu mpya kwa kutumia ubunifu wa Sanitizer.
Unfortunately kumbe tayari alishachoka sana na upumbavu huu, kwa hiyo akasema ENOUGH IS ENOUGH, akasema sasa safari hii come sun come rain, public lazima ijue ni nini kilichoko nyuma ya pazia
ANADHANI SASA KWA MAELEZO HAYA MAFUPI, MNAWEZA KUENDELEA NAYE PASIPO MASWALI MENGI KICHWANI. Maana watu wamekuwa wakiulza maswali sana.
HATA HIVYO BADO ANAKARIBISHA SANA MASWALI TENA KWA WINGI KWA WALE AMBAO WANAYO
Muhimu tu anachopenda kuwausia wa-Tanzania ni kuwa inabdi wawe waelewa, na wenye kupima mambo kwa jicho hata la kumi, kama inawezekana. You can just imagine
“a mere layman” kama huyu bwana anakumbana na mambo kama haya, ije iwe mtu ambaye mmemkabidhi Nchi na anamiliki vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Nchi yenu? Mtu anapowaambia kuwa DIESEL imetest POSITIVE kwa Covid-19 inabidi muelewe!
Kumbukeni kuwa huyu bwana anachowakilisha kwenu kwa sas bado ni HYPOTHESIS, ila na nyie mtazipima na kuona kama kweli hizi bado ni hypothesis tu au pengine you at least need to ratify them to a single, unified theory
ATARUDI KWA AJILI YA KUENDELEA NA MADA ILIYOPO HEWANI SIKU ZOTE.