Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #121
UPDATE 27/05/2020
TUKIO LA TATU: FIRE EXTINGUISHER YA MAJI, ILIYOLETWA NA MR X NDANI YA JENGO LA OFISI, HALAFU BAADA YA SIKU CHACHE, TRANSFOMA YA UMEME ILIYO NYUMA KARIBU KABISA NA OFISI YA MHUSIKA IKALIPUKA
Ilikuwa ni mwaka 2015. Ilitokea ghafla siku moja mhusika akaona mtungi wa Fire Extinguisher uko njiani chini kwenye floor ya korido ya kuelekea mlango wa dharura, ambayo ofisi ya mhusika ipo. Kipindi cha miaka yote huko nyuma, mtungi huo kawaida ulikuwa ulikuwa haukai sehemu hiyo, bali ulikuwa unakaa kwenye attachment yake ndani ya chumba kingine ndani ya jengo hilo, na kwenye ghrorofa (floor) nyingine tofauti. Kwa hiyo mtungi huu ulihamishwa kutoka ghorofa moja kwenda ghorofa nyingine
Katika kutaka kujua mtungi huo ulilwekwa pale na nani, mhusika alipewa taarifa kuwa aliyeuweka pale alikuwa ni Mr X
Hapa matarajio ya Mr X yalikuwa ni kwamba mhusika angechukua hatua ya kwenda kuuzima moto huo kwa kutumia Fire Extinguisher hiyo iliyokuwa ni ya maji, halafu baada ya hapo, mlipuko wa moto wa umeme ungemfuata kwa kufuata mkondo wa gas ya maji. Na kama kweli angefanya hivyo, mlipuko ambao ungetokea pale, possibly ungeweza kulingana na ule wa Lori la Mafuta ya Petroli. Lakini kwa bahati nzuri, mhusika hakufanya hivyo hali iliyopelekea baadaye Mr X akapaniki na kuanza kuongea mambo ya ajabu. Ilikuwa salama zaidi kwake Mr X kama asingefanya kosa la kusema kuwa NIMEWAPIGIA TANESCO WAZIME UMEME.
Blunders za namna hii huwa mara nyingi zinafanyika pale tu ambapo mtu anakuwa ametumia nguvu za giza katika kupanga CRIME yake, na ndiyo yaliyotokea kwa Mr X.
MWANDISHI WENU ATARUDI KWA AJILI YA TUKIO JINGINE MOJA ZAIDI, NALO PIA LIKIWA LINAMHUSISHA MTU YULE YULE MR X

- Kitu cha muhimu ambacho msomaji inabidi akumbuke hapa ni kuwa mhusika na Mr X. ofisi zao ziko jengo moja, ghorofa moja
- Mtungi huu ulikuwa katika sehemu ambayo mhuiska huwa mara zote anapita, akiwa anaelekea au anatoka ofisini kwake
- Hata hivyo, mtungi huu pia ulikuwa katika sehemu ambayo Mr X huwa hapiti pindi anapokuwa anelekea au anatoka ofisini kwake, isipokuwa tu pale anapolazmimika kueelekea sehemu nyingine ndani ya jengo hilo, iliyo tofauti na ofisi yake, na kwa shida maalumu
- Baada ya siku kadhaa kupita tangu uwepo wa mtungi mahali pale, ilitokea ajali ya mlipuko mkubwa sana wa Transformer la umeme ambalo liko sehemu inayotizamana na dirisha mojawapo la nyuma la ofisi ya mhusika
- Kwa hiyo hapa mhusika anchojaribu kueleza ni kuwa ujio wa mtungi wa gas unaonekana KAMA kuhusiana na kulipuka wa Transfoma, kitu ambacho kinaonekana KAMA kilikuwa kimepangwa
- Mlipuko huo uliambatana na cheche za moto pamoja na moshi mzito kuashiria kuwa lilikuwa linataka kuwaka moto
- Na kwa sababu mlipuko huo ulionekana wazi kusababishwa na hitilafu ya umeme, mhuiska alianza kukimbia akitokea ofisini kwake kuelekea nje
- Alipofika usawa wa korido pale ulipokuwa mtungi wa Fire Extinguisher, mhuiska akakutana na mtu mwingine akiulliza, HIVI HATUNA MTUNGI WA FIRE EXTINGUSHER JENGO HILI?
- Mhuiska alimjibu mtu huyo kwa kumwambia kuwa TUNAO ULE PALE
- Baada ya jibu hili, mtu huyo alienda na kuushika mtungi huo halafu akamuuliza, unajua namna ya kuutumia? Mhusika alijibu akasema hajui
- Wakati huo mhusika alikuwa ameshafika sehemu ulipokuwa mtungi huo, na kuanza kuugeuzageuza akiungalia
- Akiwa katika hati hati ya kujadili rohoni aidha auchukue au auache, aliamua kuuacha na kutoka nje
- Hatimaye watu husika (siyo zimamoto) walikuja na kuuzima moto uliokuwa umeanza kufuka kwenye Transfoma hilo, baada ya kuwa wamepewa taarifa.
- Wakati mhusika anahangaika na mtungi wa gas, umeme ulikuwa bado haujazimwa na wala hakuwa na taarifa hizo
- Wakati huo huo, Mr X alikuwa hajulikani alikuwa wapi kipindi hicho kwa sababu hakuwahi kumuona popote wakati kulikuwa na taharuki ndani ya jengo na karibia kila mtu alikuwa ameshatoka nje ya ofisi yake kama tahadhari ya kwanza
- Kwa hiyo inaonyesha KAMA Mr X alikuwa ametegea kwanza kuona kama mhusika atachukua hatua za kwenda kuuzima moto kwa kutumia Fire Extinguisher hiyo
- Kama mhusika angeenda kuuzima moto, Mr X asingewapigia TANESCO kwa ajili ya kuzima umeme huo
- Na kwa sababu Fire Extinguisher ilikuwa ya maji, kujaribu kuzima nguzo ya Transfoma inayowaka moto kwa kutumia mtungi wa maji, kungesababisha mlipuko mwingine mkubwa kuliko ule wa Transfoma lenyewe
- Umeme ungefuata mkondo wa maji na mhusika angepigwa shoti ya umeme na kufa palepale, na pengine na mtu mwingine yeyote ambaye naye angejisahau na kuwa karibu naye
- Hata hivyo, baada ya mhusika kutochukua hatua hizo, na hivyo kupelekea watu wengine kuitwa kuja kuzima moto huo, ndiyo ikabidi sasa Mr X awapigie TANESCO ili wazime umeme, kwa sababu mlengwa alikuwa mhusika na si watu wengine