#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: MONDAY, 12 AUGUST 2020

Inaendelea………………………..

NAMA MHUSIKA ALIVYOWEZA KUKUTANA NA KUMKARIBISHA MHUBIRI/ KIONGOZI MGENI NYUMBANI KWAKE NA YALIYOJIRI KATIKA MAONGEZI YAO

Katika kuelezea kwa kifupi mazingira ambayo yalipelekea mhusika kukutana na Mtumishi Mgeni wa Mungu (MMM), mhusika anaomba awarudishe nyuma wasomaji hadi muda kipindi alipokuwa uhamishoni Kanisa B

Ni kwaba ilikuwa ilikuwa J2 moja mhusika akiwa bado uko huko uhamishoni Kanisa B, ndipo alipobahatika kutana na MMM.

  • IJ2 hiyo MMM alipewa nafasi ya kuhudumu Kanisani hapo
  • Baada ya huduma Ibada kuu J2 hiyo, MMM alifanya mambo mawili makubwa yafuatayo
  • MOJA: Alipitisha harambee kwa muda mfupi sana ambayo ilimuwezesha kukusanya kiasi cha fedha taslimu kisichopungua TZS 400,000/= (laki nne)
  • PILI: Aliwaita mbele ya madhababhu akina mama wajane, kwa ajili ya kuwatamkia baraka. Wakati wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya kuitikia wito huo, akahisi kama wanataka kukwepa wito wake, kitu kilichopelekea awakaripie kwa kuwaambia “NIMESEMA AKINA MAMA WAJANE WAPITE MBELE, ……, KWA SABABU WEWE HATA UKIJIFICHA NI MJANE TU
Maneno hayo yaliyo kwenye bold, hayakumfurahisha sana mhusika kwa sababu hayakuwa yamekaa kiroho sana, na possibly ndiyo yalisababisha amkariri sura MMM tangu siku hiyo, ukizingatia kuwa aliokuwa anawaita kwa ajili ya mibaraka, lilikuwa ni kundi la watu ambao halitakiwi kuburuzwa kwa namna yoyote ile na mtu yeyote yule bila kujali mburuzaji ni mtumishi wa Mungu ama la

Zaidi ni kuwa siku hiyo MMM alijitambulisha pia kwa umri wake akisema kuwa ana miaka zaidi ya 80. Hapa sasa ilikuwa ni kabla ya April 2017

BAADA YA MHUSIKA KURUDI TENA KANISA A AKITOKEA UHAMISHONI KANISA B APRIL 2017:

Ilitokea kwa mara nyingine tena, MMM akaonekana na akapewa nafasi ya kutoa huduma kwenye Ibada kuu, safari hii sasa kwenye Kanisa jingine, yani Kanisa A

  • Hiyo sasa ilikuwa ni August /Septemba 2018
  • Ilikuwa ni zaidi ya mwaka tangu mhusika akutane kwa mara ya kwanza na MMM
  • Mhusika alimkumbuka MMM
  • Wakati wa huduma kanisani hapo, MMM aliuliza akitaka kujua ni waumini wangapi waliokuwa wanamfahamu
  • Baadhi ya waumini walinyosha mikono, mhusika akiwa ni mmoja wao
  • Baada ya huduma J2 hiyo, safari hii MMM hakufanya harambee kama alivyofanya kule Kanisa B, wala hakuombea wajane isipokuwa alitoa namba yake ya simu kwa Kanisa zima
  • Namba hii ilikuwa ni kwa wale watakaohitaji msaada kutoka kwake
  • Mhusika naye alichukua namba hiyo ya simu
  • Ndani ya wiki iliyofuata, mhusika aliwasiliana na MMM kutaka kujua kama alikuwa na nafasi; alikuwa anahitaji msaada kutoka kwa MMM kwenye mambo kadhaa yayokuwa yakimtatiza kwa kipindi hicho
  • MMM alikubali kuwa nafasi anayo, na mhusika aliwasha gari na kuanza safari ya kumfuata sehemu aliyokuwa amefikia, kwani yeye alikuwa ni mgeni hapa dare s Salaam
  • Kwa maelezo yake, MMM alisema kuwa anachunga Kanisa moja huko Kongwa, Dodoma
  • Alikuwa amefikia Moshi Hotel iliyopo Manzese Tip Top
Mhusika hakupata shida ya kumfuata kwa sababu yeye amekulia meneo hayo, na kuna rafiki yake ambaye ana ofisi maeneo, nyuma ya hiyo Moshi Hotel. Walikubaliana kukutana kwenye kituo cha mafuta kilichopo karibu, na mhusika alifika hapo kwa muda waliokubaliana na kumchukua MMM. Kitu cha pekee alichokiona kwa MMM siku hiyo ni kuwa alikuwa amevaa kofia. Na kwa sababu mara mbili zote alizowahi kukutana na MMM huyo ilikuwa ni katika mazingira ya Kanisani, mhusika hakuweza kujua kama MMM alivaa kofia kwa siku hiyo tu au huwa anavaa siku zote. Hili swala la kofia ni muhimu kulijua kwa sababu wakati mwingine limekuwa likitumiwa na watu kama comouflage ya wao kujificha ili wasijulikane kirahisi na watu wasiohusika, especially wanapokuwa wapo kwenye secret mission. Kwa mfano mstaafu ambaye mhusika amewahi kumwongelea huko nyuma, yule aliyewahi kukaribishwa katika mazingira ya ofisini kwa mhusika na kuendesha kikao ambacho kilithibitisha ulipwaji wa maslahi ambayo mhusika amekuwa akiyadai kwa miaka kadhaa pasipo mafanikio, naye pia alivaa kofia siku hiyo, ilhali katika kipindi chote ambacho mhusika alipata kumfahamu mtu huyu (kabla ya kustaafu kwake), hakuwahi hata siku moja kumuona akiwa amevaa kofia, kwa kipindi cha takribani zadi ya miaka 15. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika siku hiyo kumuona mtu huyu naye akiwa amevaa kofia pia

Wakiwa ndani ya gari wakielekea nyumbani, mhusika ilibidi aweke wazi mambo kadhaa kwa MMM akimweleza kuwa yeye (mhuiska)

  • Anahitaji msaada wa kiroho lakini si mafundisho ya kwenye Biblia wala si maombezi
  • Anahitaji kuelekezwa tu namna ya kutatua baadhi ya mambo ya kiroho ambayo yamemtatiza
  • Alisisitiza kuwa HAHITAJI KULISHWA SAMAKI, ANAHITAJI KUFUNDISHWA NAMNA YA KUVUA SAMAKI. Kwa hiyo alisisitiza sana kuwa msaada aliuohitaji kutoka kwa MMM unatakiwa uwe kwenye mfumo wa namna hiyo
Baada ya MMM kuwa amesikia hitaji la mhusika, yeye alijibu kwa kifupi tu akisema NGOJA KWANZA TUFIKE NYUMBANI

Baada ya MMM kufika nyumbani, mhusika alieleza kwa kina kilichokuwa kinamsibu.

  • lilikuwa ni tatizo la bidhaa alizokuwa ananunua kurushiwa mapepo lakini kwa wakati huo, alikuwa hajui kama hata bidhaa nazo zinaweza zikarushiwa au zikawa na mapepo.
  • Alikuwa anaona madhara na kujua kuwa yanatokana na bidhaa hizo, lakini alikuwa hajui kama ni mapepo, na alikuwa hata hajui hata namna ya kulitatua tatizo hilo
  • Yeye kwa wakati huo, alikuwa anajua kuwa ni binadamu tu anayeweza akarushiwa pepo na si bidhaa au kiumbe kingine tofauti na binadamu
Mhusika atalielezea kwa kina swala hili atakapokuwa anatoa wasifu wake wa nyuma wa kiroho kwenye sehemu itakayofuata. Kwa sasa itoshe tu kueleza kuwa alikuwa ananunua bidhaa ambazo akishakuwa nazo ndani nyumbani kwake au akishaanza kuzitumia, zinaonyesha kuwa haziko kawaida, na kwamba alikuwa na uwezo wa kujua hilo tu lakini pasipo kuwa na ujuzi wa namna ya kulirekebisha

Kwa hiyo, kwa kifupi tu ni kwamba mhusika alimkaribisha MMM ili ampe msaada wa namna ya kutatua tatizo hilo na kama ikiwezekana, apate msaada wa mafungu kutoka kwenye Maandiko Matakatifu yanayoweza kumsaidia kuziwekea kinga ya kiroho, bidhaa hizo alizokuwa akinunua

Baada ya mhusika kuwa amemweleza MMM hayo yote wakiwa tayari wapo nyumbani kwa mhusika:

  • MMM akawa hatoi majibu yanayoeleweka, au majibu ya moja kwa moja
  • Akawa anauliza uliza maswali zaidi, halafu mhusika akiyajibu, MMM anarukia tena kwenye kitu kingine au anauliza swali jingine tofauti
Hatimaye wawili hawa walipoteza FOCUS yao ya kufundishana KUVUA SAMAKI, badala yake waliingia kwenye KULISHANA SAMAKI, na ilipofikia hatua hiyo, mhusika alistukia anamuona MMM anasimama na kuanza kufanya maombi ya kimya kimya huku akigusa:

  • Kila kitu kilichokuwa sebuleni kuanzia viti meza, meza ya TV, TV yenyewe, Radio n.k
  • Kuta za nyumba huku akiwa anatembea, mikono akiwa ameiweka juu ya kuta mithili ya mtu aliyewekwa ukutani akisechiwa na Polisi baada ya kuwa amekamatwa
MMM akiwa amebadilika na kuwa katika mood ya namna hiyo, angeweza hata kufungua mlango wa kuingia master bedroom, ili aendelee na maombi hayo ila aligundua kuwa mhuiska hakuwa tayari kwa hili

Kwa ufupi tu ni kwamba, mpaka hapa MMM:

  • Hakufanya kile alichokuwa amemwahidi mhuiska kuwa atafanya, maana wakiwa bado wako njiani mhusika baada ya kuwa ameeleza hitaji lake kwa MMM, mwenyewe alijibu kwa kusema NGOJA KWANZA TUFIKE NYUMBANI
  • Kufika nyumbani kwa mhusika kwake ilikuwa muhimu zaidi kuliko kufanya kile ambacho mhusika alikuwa amemwitia / ameomba asaidiwe. Target kubwa ya MMM ilikuwa kufika nyumbani kwa mhuiska
  • Alianza kufanya maombi ya kimya kimya nyumbani kwa mhusika, kitu ambacho mhusika hakuwa anahitaji
  • Hakuweza kumwonyesha mhusika tiba halisi ya tatizo alilokuwa nalo, bidhaa alizokuwa akinunua na hatimaye kupelekea matatizo anapozitunia
  • Hakufanya kile ambacho aliitiwa, alifanya kile alichotaka kufanya mwenye, na hakufanya hivyo kwa bahati mbaya au kwa kupitiwa
As a temporary measure, yeye (mhusika) chochote kile kilichokuwa kinamletea matatizo alikuwa anakitupa bila kujali gharama. Kuna kipindi aliwahi kuchana na kutupa kiatu kipya ambacho alikinunua kwa TZS 180,000/= . Pia ni bidhaa nyingi tu za thamani ambazo alikuwa akizitupa, mostly sabuni za kuogea na vitu kama kahawa au majani ya chai

Wakati MMM anakaribia kuondoka, ndiyo mhusika akaomba angalau amwachie pia mafungu ya kwenye Biblia, na ndipo MMM alipomtajia kutoka kichwani, mafungu ambayo tayari ameshayaongelea hapo juu, ambayo ndiyo yalipelekea sasa mhusika kuona pattern nyingine kwenye mafungu aliyokuwa natumia Kiongozi Mkuu wakati akifundisha mafundisho yenye kichwa SISI NI WATU WA NENO pamoja na LUPENDO KATIKA UTUMISHI WETU.

Vile vile, wakati mhusika anamchukua MMM kumrudisha Hotelini, mtu huyu alirudia kufanya kosa jingine tena. Aliuliza swali akisema HILI GARI NI LA KWAKO AU LA OFISINI?

Hili swali lilimpa indicator nyingine tena mhusika kwa sababu MMM

  • Alifika nyumbani kwa mhuiska na kukiri kuwa kuna majirani zake na mhusika anawafahanu, na kwamba alishawahi kufika nyumbani kwao
Hawa walikuwa ni wale ambao kwa sasa ni wastaafu na kwa muda huu walishahama. Kipindi hicho walikuwa bado wapo, ila walikuwa wameshabadilisha nyumba ya Ibada kutoka Kanisa A na kuhamia Changanyikeni

  • Alikuwa anajua kuwa nyumba hizo ni za watumishi wa umma
  • Si mtu ambaye uelewa wake uko katika kiwango (au hata kukarinbiana tu na kile) cha kutoweza kutofautisha kati ya namba za usajili za gari ambalo ni la umma na lile ambalo ni la mtu binafsi
  • Alikuwa ameziona namba za gari la mhusika kipindi mhusika anampokea MMM na kumchuka pale kituo cha mafuta Shekilango

….itaendelea

2Wakorintho 5:14

2Wakorintho 5:15

2Wakorintho 5:17

2Wakorintho 5:14

14
Maana, upendo wa Kristo watubidisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba mmoja alikufa kwa ajili ya wote, basi walikufa wote;

2Wakorintho 5:15

15 tena alikufa kwa ajili ya wote, ili walio hai wasiwe hai tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa akafufuka kwa ajili yao.

2Wakorintho 5:17

17 Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

MUBARIKIWE TENA NA BWANA​

NEXT: 1 Yale ambayo mhusika alikuja kuyabainisha kuwa MMM alikuwa ametumwa kuja kuyafanya nyumbani kwake mhusika

2 Wasifu wa kiroho wa mhusika tangu aanze kuwa muumini wa kanisa A hadi siku wanakutana na MMM

MwiH
elly obedy
Yaani mpaka sabuni zimetumiliziwa kwako?

MMM umemwita mwenyewe ametumwa kivipi?
Nashangaa unamtuhumu MR. X lakini bado ni marafiki.
Unawatuhumu viongozi lakini unawaheshimu na kuwanyenyekea

Hii ni homa hii bosi[emoji1][emoji1]naendelea kusoma
 
Nimefanikiwa kuisoma nusu, labda kesho ntaendelea, inanishughulisha sana sababu nikizembea sielewi inabidi nirudie[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
UPDATE: WEDNESDAY 03 FEBRUARY 2021

KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A:

KAMA MATUKIO HAYA YALIYOTOKEA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI YATAKUWA SIYO CINCIDENCES, BASI LAZIMA YATAKUWA NI MAIGIZO YALIYOKUWA YAMEPANGILIWA KWA UTAALAMU WA HALI YA JUU SANA

Kama matukio hayo yatakuwa siyo coincidences bali yalipangwa, basi wahusika wakuu watakuwa ni wafuatao

NAMBA MOJA: Kiongozi Mkuu

  • Huyu ndiye alianza kwa kufungua milango wakati anafundisha somo la hivi karibuni lililokuwa linahusu nafsi, roho na mwili pamoja na milango mitano ya fahamu (macho, pua, masikio, ngozi, ulimi)
  • Alikuwa anafundisha kwa kutumia watu aliokuwa anawasimamisha mbele ya madhabahu muda wote akiwa anafundisha somo hilo
Baada ya kufundisha somo hilo, alipotea madhabahuni, kwa maana ya kuwa hakuwahi kusimama tena madhabahuni kwenye siku za Jumapili kwa ajili ya kufundisha maandiko matakatifu.
Hapo sasa akawa tayari ameshamliza kazi moja ya kufungua mashambulizi ya kiroho kwa baadhi ya waumini kupitia viungo hivyo vya waumini (milango mitano ya fahamu), ikiwa ni pamoja na mashambulizi kwa kupitia nafsi (akili, fikra mawazo)

Baada ya hapo tena, ndiyo sasa baadhi ya waumini wakatokea kulalamikia kuona visivyostahili kuonekana.

Kama kweli vitu hivi walivyovilalamikia vilikuwa ni halisi na si malalamiko ya hewani tu, basi inaonekana kama vilikuwa vimepangwa. Vilianza kufanyiwa kazi siku Kiongozi Mkuu alipoanza kufundisha somo tajwa hapo juu. Somo hilio lilikuwa limekusudiwa kufungua milango ya kuwashambulia watu kwa njia ya milango hiyo mitano ya fahamu, yaani

  • Macho-kuona
  • Pua-kunusa
  • Masikio-Kusikia
  • Ngozi-uzinzi (feeling) ikiwa ni pamoja na joto (ubaridi, umoto) unashambulia kupitia ngozi ya mwanadamu
  • Ulimi-ladha, kuonja kupitia ulimi ikiwa ni ni pamoja na kula chakula
Kwa hiyo mapando yote yalifanyikia kule kweye picha za ajabu, kama kweli zilikuwepo. Na ndiyo sababu Kiongozi Mkuu hakuwa amehudhuria

NAMBA MBILI: Mhubiri wa uzinzi

Inaonekana kama kilichokuwa kinaendelea yalikuwa ni maigizo yaliyokuwa yamelenga kuja kuruhusu baadaye Kiongozi Mkuu kutoa tangazo la uzinzi akiwa amesimama madhabahuni

Inaonyesha kama ni maigizo kama ya wale waliowahi kubadilisha imani halafu KM akaja akawatangaza kama wazinzi, kama na hayo nayo yalikuwa ni maigizo pia

Maelezo ya kina kuhusu huyu mtu Mhubiri wa Uzinzi yatafuata baadaye. Anaonekana kama anawatoa kafara watoto wake kwa kuwa anawadhalilisha Kanisani

Maigizo hayo yamehitimishwa na Kiongozi Mkuu kwa kusimama madhabahuni na kutoa tangazo la uzinzi

NAMBA TATU: “MR X”

Huyu ndiye aliyemhamasisha mhusika kwa ajili ya mchango wa harusi, na alitoa

  • Mr X alikuwa mmojawapo wa wanakamati wa kamati ya harusi hiyo ambayo mshiriki mmojawapo amefukuzwa ushiriki na harusi hiyo kufutwa kabisa kuwa haitakuwepo tena kwa sababu ya uzinzi
  • Inaonyesha kama ili kutekeleza mkakati huu wa kutoa tangazo hilo la uzinzi madhabahuni, sadaka pia ilikuwa inahitajika pia
  • Na kama ni hivyo basi michango iliyotolewa na waumini kwa ajili ya harusi hiyo ndiyo imefanya kazi ya sadaka iliyohitajika kwa KM kusimama madhabahuni na kutoa tangazo hilo la uzinzi

HITIMISHO

Kama matukio haya siyo coincidences za kawaida tu, basi watu hawa wanaelekea kubaya, yaani Kiongozi Mkuu na watu wake

Mwandishi wenu atarudi kwa ajili ya maelezo ya kina zaidi, ila inaonyesha kama ambacho kimekuwa kikiendelea kanisani, ni maigizo matupu

Maelezo ya kina zaidi na yenye ufafanuzi murua yatafuata baadaye, possibly siku nyingine

EBR. 6:4-6 SUV

Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
 
Yaani mpaka sabuni zimetumiliziwa kwako?

MMM umemwita mwenyewe ametumwa kivipi?
Nashangaa unamtuhumu MR. X lakini bado ni marafiki.
Unawatuhumu viongozi lakini unawaheshimu na kuwanyenyekea

Hii ni homa hii bosi[emoji1][emoji1]naendelea kusoma
A very biased and negative inclination with a very wrong timing. Maana sasa utakujja kutetea hata yale ambayo wao walishakiri. Wewe ukimuona mtu chizi anaokota makopo barabarani unamchukia? Je vipi tuseme mtoto wako siku moja anatoka shule huku akiwa anaokota makopo barababani, akiwa ana akili timamu?
 
Wacha nimalize ukute nacomment kwa haraka
 
Nimefanikiwa kuisoma nusu, labda kesho ntaendelea, inanishughulisha sana sababu nikizembea sielewi inabidi nirudie[emoji1787][emoji1787]
Huyu kuna watu anaongea nao
Yeye na watu wake wanaelewana vizuri tu
 
Mleta mada ni yeye halafu anasingizia mtu mwingine, au kusema uongo siku hizi sio dhambi?

Anyway mimi nataka kujua kama mleta uzi ameoa? Ana watoto? Anaishi nao?
Makanyaga
 
NYONGEZA MUHIMU

……………………………………inaendelea

MATUKIO ALIYOWAHI KUKUMBANA NAYO AKIWA NJE YA NCHI, NJE YA AFRIKA

INCIDENCE YA TATU
KWENYE TUKIO HILI

Akiwa huko nje ya nchi kwenye chuo ambacho maelezo yake ameyashayatoa hapo, na akiwa anaishi kwenye Hotel inayomilikiwa na chuo hicho, kuna kipindi ilitokea yakabandikwa matangazo kwenye mbao za matangazo yakionyesha kuwa

  • Kuna siku fulani kutakuwa na kusanyiko la wanafunzi wa Kimataifa (International Students) kwenye mojawapo ya jiji kubwa sana nchini humo na ambalo ni jiji la kimataifa
  • Wanafunzi wote wa kimataifa wanakaribishwa kuhudhuria kusanyiko hilo ambalo ni kwa ajili ya kuwawezesha waweze kufanya networking
  • Utaratibu ni kuwa mtu atatakiwa kujilipia nauli ya kwenda na kurudi, na akisharudi atatakiwa kuwasilisha tiketi ya safari yake kwenye mamlaka ya chuo halafu tarudishiwa nauli atakayotumia
Mhusika kuona hivyo aliamua kutokuikosa safari hiyo kwa sababu kadhaa kama zifuatazo:

  • Aliwahi kuishi kwenye jiji hilo miaka kadhaa nyuma na tangia aondoke alikuwa hajawahi tena kurdi kwenye jiji hilo
  • Ni mwenyeji (mpaka sasa) kwenye jiji hilo kiasi kwamba alikuwa halazimiki kuhitaji mtu wa kuambatana naye kwenda kwenye kusanyiko hilo
Hapo Hotelini alipokuwa anaishi, kwenye ghorofa aliyokuwa anakaa, chumba chake kilikuwa jirani na vyumba vya vijana wenzake wawili wa ki-Tanzania, mmojawapo akiwa ni yule ambaye walisafiri wote siku wanarudi nyumbani Tanzania

  • Hawa watu watatu vyumba vitatu vilikuwa vimepangana kwenye ghorofa hiyo waliyokuwa wanaishi
  • Mhusika aliwashirikisha wenzake hawa kuhusiana na kusanyiko hilo, lakini wao wakawa hawana nia ya kuhudhuria
  • Kwa hiyo siku ilipowadia, mhusika aliondoka asubuhi na kuelelkea kwenye kusanyiko hilo, na alifanikiwa kufika japo kwa kuchelewa, baada ya kupitiliza kituo ambacho alitakiwa abadilishe train
Mhusika alikaa huko mchana wote na ilipofika jioni alirudi chuoni kwake

  • Alipofika hotelini, pale mapokezi alimkuta tena yule binti rafiki yake, alikuwa zamu ya jioni siku hiyo
  • Asubuhi siku hiyo wakati anaondoka, alikuwepo mtu mwingine pale mapokezi
  • Mhusika hakuwa amemweleza rafiki yake kuwa atakwenda kuhudhuria kusanyiko la wanafunzi nje ya mji
  • Rafiki huyu wa mapokezi alihoji kwa kumuuliza mhusika kuwa alienda wapi siku hiyo, na mhusika naye alimjibu kama ilivyoppaswa
Mpaka hapa, inaonyesha kama

  • Huyu mtu alijua kuwa mhusika alikuwa ameondoka mazingira ya mji ule kwa sababu wakati mwingine mtu anaweza akawa hajaonekana mapokezi lakini akawa yuko chumbani siku nzima, au yuko madarasani
  • Swali “ulienda wapi leo” linamaanisha kuwa huyu mtu alikuwa na uhakika kuwa mhusika hakuwepo chumbani kwake, wala darasani
  • Kitendo cha mhusika kupitiliza kituo cha kubadilisha train; assuming kulikuwa na watu ambao walikuwa wanamsubiria kwenye destination point ya kule ambako alikuwa anaelekea, na pasipo yeye mwenyewe kujua, kulisababisha watu hao kutokuweza kumuona akishuka kwenye train katika muda waliokuwa wameutarajia kwa sababu alichelewa kufika baada ya kuwa amepitiliza na kwenda sehemu nyingine, na hatimaye akaenda kugeuza tena
  • Binti rafiki (au yaweza hata akawa mtu mwingine tofauti na yeye)) alikuwa na watu kwenye destination point ya mhusika, aliokuwa anawasiliana nao kwa ajili ya kuhakikisha kuwa mhusika amewasili huko
  • Binti huyu (au yaweza hata akawa mtu mwingine tofauti na yeye) atakuwa alishangaa kuona wale waliokuwa kwenye destination point wanampa taarifa kuwa mtu bado hajaonekana katika muda uliotarajiwa, wakati yeye alikuwa ana uhakika kuwa aliondoka na kuelekea huko
  • Binti huyu kwa namna yoyote ile, alikuwa amepata taarifa za kuwa mhusika hakuonekana kwenye destination point kwa muda uliokuwa umetarajiwa na ndiyo maana aliporudi tu ilibidi binti amuulize swali “ulienda wapi leo”
HITIMISHO:

Inaonyesha kama hadi mhusika anarudi Hotelini jioni hiyo, binti huyu alikuwa bado hana uhakika kama kweli mhusika alienda kule walikokuwa wametarajia kuwa angeenda, na kwa hali hiyo alikuwa amehofia kuwa hajafanya kazi yake vizuri kwa kuwalisha taarifa ambazo siyo sahihi, wenzake aliokukwa anawasilana nao, kama kweli walikuwepo

Kama haya yaliyopo hapo juu ni sahihi, basi binti alifanya makosa kuuliza swali hilo kwa sababu linampa advantage mlengwa, ya kung’amua mambo kadhaa ambayo kwa malengo waliyokuwa nayo wao, hawakutakiwa kutoa nafasi hiyo

MUBARIKIWE TENA NA BWANA

COMING NEXT:

TUKIO LA PILI, NJE YA NCHI, NDANI YA AFRIKA
Humu kila mtu adui[emoji23][emoji23][emoji23]na binti nae amegeuka adui ghafla

Mbona wengi unawaanza wewe baadae wanageuka wanatumiwa? Nilifikiri anayekuwinda ndio anakuanza mwenyewe sasa binti umemtongoza wewe angekuwa katumwa si angejirahisisha? Yeye alikusubirisha

Au unataka kusema kuna watu wanadeal na watu wote wanapogundua uko jirani nao?
 
Kwa jinsi uzi unavyoenda hilo jambo la tatu la kumtaka aende kuonana na daktari inaonyesha jamaa wanamuona anarukwa na akili. Kuna details ndogo ndogo sana anazikuza.

Halafu huyu si wewe kweli?
Nilishajua namna jamii inavyomuona, ndio maana siku amefika kwa katibu muhtasi tu binti kainua simu
 
Humu kila mtu adui[emoji23][emoji23][emoji23]na binti nae amegeuka adui ghafla

Mbona wengi unawaanza wewe baadae wanageuka wanatumiwa? Nilifikiri anayekuwinda ndio anakuanza mwenyewe sasa binti umemtongoza wewe angekuwa katumwa si angejirahisisha? Yeye alikusubirisha

Au unataka kusema kuna watu wanadeal na watu wote wanapogundua uko jirani nao?
Hii thread siyo ya kurukia katikati. Kule page ya kwanza kabisa kuna disclaimer
 
UPDATE: WEDNESDAY 03 FEBRUARY 2021

KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A:

KAMA MATUKIO HAYA YALIYOTOKEA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI YATAKUWA SIYO CINCIDENCES, BASI LAZIMA YATAKUWA NI MAIGIZO YALIYOKUWA YAMEPANGILIWA KWA UTAALAMU WA HALI YA JUU SANA

Kama matukio hayo yatakuwa siyo coincidences bali yalipangwa, basi wahusika wakuu watakuwa ni wafuatao

NAMBA MOJA: Kiongozi Mkuu

  • Huyu ndiye alianza kwa kufungua milango wakati anafundisha somo la hivi karibuni lililokuwa linahusu nafsi, roho na mwili pamoja na milango mitano ya fahamu (macho, pua, masikio, ngozi, ulimi)
  • Alikuwa anafundisha kwa kutumia watu aliokuwa anawasimamisha mbele ya madhabahu muda wote akiwa anafundisha somo hilo
Baada ya kufundisha somo hilo, alipotea madhabahuni, kwa maana ya kuwa hakuwahi kusimama tena madhabahuni kwenye siku za Jumapili kwa ajili ya kufundisha maandiko matakatifu.
Hapo sasa akawa tayari ameshamliza kazi moja ya kufungua mashambulizi ya kiroho kwa baadhi ya waumini kupitia viungo hivyo vya waumini (milango mitano ya fahamu), ikiwa ni pamoja na mashambulizi kwa kupitia nafsi (akili, fikra mawazo)

Baada ya hapo tena, ndiyo sasa baadhi ya waumini wakatokea kulalamikia kuona visivyostahili kuonekana.

Kama kweli vitu hivi walivyovilalamikia vilikuwa ni halisi na si malalamiko ya hewani tu, basi inaonekana kama vilikuwa vimepangwa. Vilianza kufanyiwa kazi siku Kiongozi Mkuu alipoanza kufundisha somo tajwa hapo juu. Somo hilio lilikuwa limekusudiwa kufungua milango ya kuwashambulia watu kwa njia ya milango hiyo mitano ya fahamu, yaani

  • Macho-kuona
  • Pua-kunusa
  • Masikio-Kusikia
  • Ngozi-uzinzi (feeling) ikiwa ni pamoja na joto (ubaridi, umoto) unashambulia kupitia ngozi ya mwanadamu
  • Ulimi-ladha, kuonja kupitia ulimi ikiwa ni ni pamoja na kula chakula
Kwa hiyo mapando yote yalifanyikia kule kweye picha za ajabu, kama kweli zilikuwepo. Na ndiyo sababu Kiongozi Mkuu hakuwa amehudhuria

NAMBA MBILI: Mhubiri wa uzinzi

Inaonekana kama kilichokuwa kinaendelea yalikuwa ni maigizo yaliyokuwa yamelenga kuja kuruhusu baadaye Kiongozi Mkuu kutoa tangazo la uzinzi akiwa amesimama madhabahuni

Inaonyesha kama ni maigizo kama ya wale waliowahi kubadilisha imani halafu KM akaja akawatangaza kama wazinzi, kama na hayo nayo yalikuwa ni maigizo pia

Maelezo ya kina kuhusu huyu mtu Mhubiri wa Uzinzi yatafuata baadaye. Anaonekana kama anawatoa kafara watoto wake kwa kuwa anawadhalilisha Kanisani

Maigizo hayo yamehitimishwa na Kiongozi Mkuu kwa kusimama madhabahuni na kutoa tangazo la uzinzi

NAMBA TATU: “MR X”

Huyu ndiye aliyemhamasisha mhusika kwa ajili ya mchango wa harusi, na alitoa

  • Mr X alikuwa mmojawapo wa wanakamati wa kamati ya harusi hiyo ambayo mshiriki mmojawapo amefukuzwa ushiriki na harusi hiyo kufutwa kabisa kuwa haitakuwepo tena kwa sababu ya uzinzi
  • Inaonyesha kama ili kutekeleza mkakati huu wa kutoa tangazo hilo la uzinzi madhabahuni, sadaka pia ilikuwa inahitajika pia
  • Na kama ni hivyo basi michango iliyotolewa na waumini kwa ajili ya harusi hiyo ndiyo imefanya kazi ya sadaka iliyohitajika kwa KM kusimama madhabahuni na kutoa tangazo hilo la uzinzi
HITIMISHO

Kama matukio haya siyo coincidences za kawaida tu, basi watu hawa wanaelekea kubaya, yaani Kiongozi Mkuu na watu wake

Mwandishi wenu atarudi kwa ajili ya maelezo ya kina zaidi, ila inaonyesha kama ambacho kimekuwa kikiendelea kanisani, ni maigizo matupu

Maelezo ya kina zaidi na yenye ufafanuzi murua yatafuata baadaye, possibly siku nyingine

EBR. 6:4-6 SUV

Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
 
UPDATE: 1 DECEMBER 2020

KILINACHOENDELEA KWENYE BANDA LA WATOTO HATIMAYE CHAPELEKEA KUTENGULIWA KWA KITENDAWILI CHA SIKU ILE AMBAYO MHUSIKA ILIBIDI APANDE JUU KWENYE MADHABAHU KWENDA KUZIMA FENI ZILIZOKUWA ZIMEACHWA ZIKIWA ZINATEMBEA

Ikumbukwe kuwa huko nyuma, mhusika aliwahi kuleta kisa cha asubuhi ya siku moja, baada ya kukuta hakuna mtu hata mmoja Kanisani, lakini feni za kwenye madhabahu zilikuwa zinatembea, hali iliyopelekea apandishe juu madhabahuni kwenda kuzima feni hizo. Ni kwa sababu switch yake (feni hizo) nayo pia iko pale pale juu madhabahuni

Vile vile kwa hivi karibuni, wiki kama tatu ama nne zilizopita, mhusika alifika Kanisani na kukutana na tangazo lililowahitaji wanaume wote wakusanyike mara baada ya Ibada ya kwanza.

  • Tangazo hili hata hivyo liliwahusu wale waliokuwa wamehudhuria Ibada ya kwanza
  • Yeye alihudhuria Ibada ya pili, lakini wakati tangazo linatoka, alikuwa tayari ameshawasili Kanisani
  • Na kwa sababu liliwahusu wanaume, basi hakuona haja ya kusubiria taarifa za tangazo hilo kwenye Ibada ya pili
  • Aliamua kujiunga kwenye kundi hilo na ili kusikia tangazo hilo
  • Tangazo lenyewe linahusiana na sadaka ambayo karibia ilikuwa inataka ku-expire, kwa sababu huwa inatolewa ndani ya mwaka, yaani kabla haujaisha
  • Taarifa zilizotolewa ni kwamba sadaka hiyo ilikuwa inahitajika, lakini wakati uo huo wanaume wote walikuwa bado hawajatoa sadaka hiyo; ilhali mwaka nao unakaribia kumalizika
  • Kwa hiyo uongozi husika uliwaomba wanaume, wale waliokuwepo tu kwa siku hiyo. kutoa sadaka hiyo, hata kama ni pungufu ya kiasi kilichokuwa kimepangwa kwa kila mwanaume
Baada ya hapo kapu liliwekwa mbele ya madhabahu na watu karibia wote walipita mbele ya madhabahu na kutoa sadaka hiyo, mhusika akiwa mmoja wao. Hatimaye kapu hilo lilichukuliwa pamoja na sadaka. Zaidi ni kuwa sadaka hiyo haikuombewa, kitu ambacho ni cha kawaida sana hapo Kanisa A

KUSANYIKO LA WANAUME SIKU HIYO, UKIHUSIANISHA NA TUKIO LA SIKU ZA NYUMA, LA MHUSIKA KUZIMA FENI ZILIZOKUWA ZIMEACHWA ZIKITEMBEA KWENYE MADHABAHU

Tukirudi nyuma kidogo, siku hiyo kabla mhusika hajajumuika na waumini hao waliokuwa wamehudhuria Ibada ya kwanza

  • Wakati anawasili kanisani hapo akiwa anatokea nyumbani, alivutiwa kupitia kwenye banda la watoto ambalo lipo pembezoni kidogo mwa geti la kuingilia kanisani hapo
  • Kwa hiyo viatu alivyokuwa amevaa, vilikanyaga sakafu ya banda hilo la watoto; ambayo ndiyo nyumba wanayoabudia
  • Baada ya kutoka pale ndiyo sasa akaenda akajumuika na waumini wa Ibada ya kwanza
  • Kwa kipindi hicho alikuwa bado hajagundua kama kuna tatizo kwenye banda hilo la watoto
  • Siku hiyo wakati anapita na kukaa kidogo kwenye banda hilo la watoto, Ibada ya kwanza ilikuwa bado haijaisha na matangazo yalikuwa bado hayajatolewa
  • Ibada ilipofika mwisho ndiyo kukawa na tangazo sasa ambalo lililowahitaji wanaume wakutane mara baada ya Ibada hiyo na hatimaye sasa baada ya hapo, mambo mengine nayo yakapata nafasi ya kuendelea kama yalivyoelezwa hapo juu, sadaka ya wanaume
Hatimaye ibada ya siku hiyo ilipita na mhusika akarudi nyumbani kwake

Baada ya kutoka Kanisani siku hiyo, usiku akiwa amelala akagundua kuwa kuna tatizo mule ndani kwake. Baada ya kuwa amefanya sala na maombi kwa mud, akagundua kuwa tatizo lilikuwa kwenye kiatu alichovaa siku hiyo na ambacho usiku huo kilikuwa chumbani mle alimokuwa amelala

  • Mpaka hapa yeye kwa akili yake akajua kuwa shambulio kwenye kiatu hicho limetokana na kukanyaga sakafu ile mbele ya madhabahu, wakati anatoa sadaka, kumbe hapana
  • Kwa hiyo, kwa siku kadhaa akawa ameendelea kuwa na uelewa huo, kwamba shambulio hilo kwenye kiatu chake lilitokea kwenye sakafu iliyoko mbele ya madhabahu
Baada ya siku kadhaa kupita, akagundua kuwa uelewa wake wa awali haukuwa sahihi, isipokuwa ukweli ni kwamba kiatu hicho alichokuwa amevaa siku hiyo kilitukmika kama nyenzo ya ku-transfer pepo kutoka banda la watoto kupeleka kwenye sakafu iliyopo mbele ya madhabahu.

  • Ni sakafu ambayo wachungaji huwa ni lazima waikanyage pindi wanapokuwa wanaelekea juu madhabahuni
  • Kwa hiyo kiatu chake siku hiyo kilitumika kupeleka pepo kwenye sakafu hiyo iliyopo mbele ya madhabahu
  • Vile vile, mtu mwingine yeyeote aliyekanyaga kwenye sakafu hiyo na kupandisha juu madhabahuni, naye pia alifanya kazi ya kumpandisha pepo huyo madhabahuni
  • Pepo huyo ni yule aliyetokea kwenye banda la watoto

KIONGOZI MKUU AHUDUMU KWENYE IBADA HIYO YA PILI (NADHANI HATA YA KWANZA PIA ALIKUWA AMEHUDUMU YEYE, HANA UHAKIKA) BAADA YA KUWA HAJAFANYA HUDUMA ZA IBADA ZA JUMAPILI KWA KIPINDI KIREFU SANA

  • Mbali na ukweli kwamba tangazo la wanaume kukutana siku hiyo yeye ndiyo alilisisitiza sana mara baada ya kwanza Ibada kuisha, Ibada ya siku hiyo ilihudumiwa na Kiongozi Mkuu na alikuwa anajaribu sana kunena nena kwa lugha akiwa madhabahuni
  • Makofi ya “waliokaa tusimame” pia huwa haachani nayo, na kwa kipindi cha hivi karibuni wakatiwa mgongano huu, anajaribu sana kuya-maintain makofi hayo ili yaonekane kuwa ni ya kawaida sana kwake na kuwa hayana kitu kingine cha ziada
  • Alihudumu Ibada hii baada ya kuwa amepotea madhabahuni (kwa huduma za Ibada kuu za Jumapili) kwa kipindi kirefu sana

KILICHOPELEKEA KUTOLEWA TANGAZO LA KUSANYIKO LA DHARURA LA WANAUME

Kawaida, sadaka huwa zinakusanywa na watumishi kwa kupitisha vyombo maalumu vya sadaka. Kwa hali hii basi, ilionyesha wazi kabisa kuwa uwezekano wa mhusika kuwa angeweza kukanyaga sakafu hiyo iliyo mbele ya madhabahu siku hiyo ulikuwa mfinyu sana kwa sababu si sehemu ambayo waumini walio wengi huwa wanatokea kupita mara kwa mara.

  • Ni nadra sana kwa waumini walio wengi kuonekana wamesimama au wakipita kwenye eneo hilo
  • Kwa hali hiyo basi, kulihitajika mechanism ya kumfanya mhusika akanyage kwenye sakafu hiyo siku hiyo
Kwa hiyo kulihitajika mkakati ambao ungeweza kumpelekea asogee na kukanyaga sehemu hiyo, na mkakati huo ulikuwa ni hiyo sadaka ya wanaume ambayo ilikuwa imebakiza siku chache ku-expire

Baada ya hapo Ibada ya pili ilifuata na Kiongozi Mkuu (KM) akapita kiulanini akikanyaga taratibu kwenye sakafu hiyo akipandisha madhabahuni

Kitu cha pekee kabisa alichonacho KM ni kwamba huwa hawezi kupandisha juu madhabahuni siku za Ibada kuu, pasipo kuwa ana nyongeza nyingine ya ziada nje ya nguvu anayotakiwa kuwa nayo mtumishi wa Mungu. Hilo huwa halipo. Akionekana yupo juu madhabahuni, ujue ana ziada nyingine ya pembeni, vinginevyo hawezi. Tatizo tu linakuwa ni kwamba si mara zote anaweza akagundulika na siri zake hizi za ajabu kwa sababu yeye naye anatumia ujanja kuficha. Haya yanayotokea kugundulika pengine yanaweza yakawa ni kama asilimia moja tu ya yale yote ambayo huwa anafanya na yanapita bila kugunduliwa

HITIMISHO​

Tukirudi sasa kwenye tukio la mhusika kuzima feni zilizokuwa zimeachwa zinatembea peke yake madhabahuni, ni kwamba hapa napo mbinu iliyotumika ni ile ile kama ya siku ya sadaka ya wanaume. Tofauti noja kubwa tu ni kwamba alikuwa amevaa kiatu ambacho kilikuwa tayari na shambulizi ambalo hawezi kujua kwa sasa kuwa alikuwa amelipata akiwa eneo gani ndani ya nyumba hiyo ya Ibada.

Kwa hiyo feni hizo ziliachwa makusudi ili mhusika apandishe juu madhabahuni, kiatu chake kilikuwa kinahitajika kikanyage juu ya madhabahu hiyo

Kutokana na ufahamu huu wa uhakika alionao kwa muda huu, mhusika anaomba maangalizo kadhaa yafuatayo

Switch za feni alizozigusa wakati anazima feni, yaweza kuwa zenyewe hazikuwa na uhusiano na motive ya kum-prompt kupanda madhabahuni kwa sababu kinachobainika kwa uhakika kabisa mpaka muda huu, ni kiatu alichokuwa amevaa miguuni

Vile vile tukirudi nyuma kidogo kwenye siku ile ya mgogoro wa Sanitizer, baada ya kuwa amenawishwa Sanitizer kwa lazima, hatimaye aliamua kwenda kunawa tena kwenye bomba la maji lililoko kwenye washrooms za wanaume

  • Baadaye tena wakati wa Ibada, alilazimika kuelekea sehemu hiyo na alipofika huko, akamkuta “mhubiri wa uzinzi” au mnunuzi wa sanitizer, ametangulia huko akiwa ananawa mikono kwenye bomba hilo
  • Hiki kitu nacho kilimfikirisha sana na akadhani kuwa labda pengine ni kwa sababu mhusika aliwahi kugusa bomba hilo siku hiyo hapo kabla wakati anainawa sanitizer ile aliyokuwa amenawishwa kwa nguvu
Yaweza kuwa “mhubiri wa uzinzi” alifanya hivyo makusudi kumfanya mhusika a-concentrate zaidi kwenye kile anachogusa kwa vidole vya mikono yake, na si kwenye viatu ambavyo huwa anavaa miguuni.

MUBARKIWE TENA NA BWANA

elly obedy
Hao walioacha feni ikitembea walijua utakuwa wa kwanza kuingia ili uizime?
 
Hao walioacha feni ikitembea walijua utakuwa wa kwanza kuingia ili uizime?
Nenda kule jukwaa la entertainment kuna thread zinazokufaa huko, hii haikufai itakupotezea muda wako wa kufanya assignment ulizopewa shuleni na walimu wako. Ukifeli masomo usije ukalaumu mtu humu jukwaani tafadhali
 
UPDATE: THURSDAY 04 FEBRUARY 2021

KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A:

KAMA MATUKIO HAYA YALIYOTOKEA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI YATAKUWA SIYO CINCIDENCES, BASI LAZIMA YATAKUWA NI MAIGIZO YALIYOKUWA YAMEPANGILIWA KWA UTAALAMU WA HALI YA JUU SANA

Kama matukio hayo yatakuwa siyo coincidences bali yalipangwa, basi wahusika wakuu watakuwa ni wafuatao

NAMBA MOJA: Kiongozi Mkuu

  • Huyu ndiye alianza kwa kufungua milango wakati anafundisha somo la hivi karibuni lililokuwa linahusu nafsi, roho na mwili pamoja na milango mitano ya fahamu (macho, pua, masikio, ngozi, ulimi)
  • Alikuwa anafundisha kwa kutumia watu aliokuwa anawasimamisha mbele ya madhabahu muda wote akiwa anafundisha somo hilo
Baada ya kufundisha somo hilo, alipotea madhabahuni, kwa maana ya kuwa hakuwahi kusimama tena madhabahuni kwenye siku za Jumapili kwa ajili ya kufundisha maandiko matakatifu.
Hapo sasa akawa tayari ameshamliza kazi moja ya kufungua mashambulizi ya kiroho kwa baadhi ya waumini kupitia viungo hivyo vya waumini (milango mitano ya fahamu), ikiwa ni pamoja na mashambulizi kwa kupitia nafsi (akili, fikra mawazo)

Baada ya hapo tena, ndiyo sasa baadhi ya waumini wakatokea kulalamikia kuona visivyostahili kuonekana.

Kama kweli vitu hivi walivyovilalamikia vilikuwa ni halisi na si malalamiko ya hewani tu, basi inaonekana kama vilikuwa vimepangwa. Vilianza kufanyiwa kazi siku Kiongozi Mkuu alipoanza kufundisha somo tajwa hapo juu. Somo hilio lilikuwa limekusudiwa kufungua milango ya kuwashambulia watu kwa njia ya milango hiyo mitano ya fahamu, yaani

  • Macho-kuona
  • Pua-kunusa
  • Masikio-Kusikia
  • Ngozi-uzinzi (feeling) ikiwa ni pamoja na joto (ubaridi, umoto) unashambulia kupitia ngozi ya mwanadamu
  • Ulimi-ladha, kuonja kupitia ulimi ikiwa ni ni pamoja na kula chakula
Kwa hiyo mapando yote yalifanyikia kule kweye picha za ajabu, kama kweli zilikuwepo. Na ndiyo sababu Kiongozi Mkuu hakuwa amehudhuria

NAMBA MBILI: Mhubiri wa uzinzi

Inaonekana kama kilichokuwa kinaendelea yalikuwa ni maigizo yaliyokuwa yamelenga kuja kuruhusu baadaye Kiongozi Mkuu kutoa tangazo la uzinzi akiwa amesimama madhabahuni

Inaonyesha kama ni maigizo kama ya wale waliowahi kubadilisha imani halafu KM akaja akawatangaza kama wazinzi, kama na hayo nayo yalikuwa ni maigizo pia

Maelezo ya kina kuhusu huyu mtu Mhubiri wa Uzinzi yatafuata baadaye. Anaonekana kama anawatoa kafara watoto wake kwa kuwa anawadhalilisha Kanisani

Maigizo hayo yamehitimishwa na Kiongozi Mkuu kwa kusimama madhabahuni na kutoa tangazo la uzinzi

NAMBA TATU: “MR X”

Huyu ndiye aliyemhamasisha mhusika kwa ajili ya mchango wa harusi, na alitoa

  • Mr X alikuwa mmojawapo wa wanakamati wa kamati ya harusi hiyo ambayo mshiriki mmojawapo amefukuzwa ushiriki na harusi hiyo kufutwa kabisa kuwa haitakuwepo tena kwa sababu ya uzinzi
  • Inaonyesha kama ili kutekeleza mkakati huu wa kutoa tangazo hilo la uzinzi madhabahuni, sadaka pia ilikuwa inahitajika pia
  • Na kama ni hivyo basi michango iliyotolewa na waumini kwa ajili ya harusi hiyo ndiyo imefanya kazi ya sadaka iliyohitajika kwa KM kusimama madhabahuni na kutoa tangazo hilo la uzinzi
HITIMISHO

Kama matukio haya siyo coincidences za kawaida tu, basi watu hawa wanaelekea kubaya, yaani Kiongozi Mkuu na watu wake

Mwandishi wenu atarudi kwa ajili ya maelezo ya kina zaidi, ila inaonyesha kama ambacho kimekuwa kikiendelea kanisani, ni maigizo matupu

Maelezo ya kina zaidi na yenye ufafanuzi murua yatafuata baadaye, possibly siku nyingine

EBR. 6:4-6 SUV

Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.
 
UPDATE-2: THURSDAY 04 FEBRUARY 2021

KWA WAUMINI WOTE WA KANISA A:

……………………..Inaendelea

KIONGOZI MKUU (KM)

Kwa hiyo kilichotokea ni kwamba (assuming matukio haya siyo coincidences), baada ya KM kuwa amefundisha somo linalohusu Nafsi, Mwili na Roho ikiwa ni pamoja na milango mitano ya fahamu:

  • Akawa amepata sasa opportunity ya kufanyia majaribio silaha yake hiyo kuona POTENCY yake namna ilivyo
  • Ni baada ya kuwa amefungua milango ya mashambulizi kupitia maeneo hayo ya mwandamu
  • Sehemu hiyo ya kufanyia jaribio la silaha ya nyuklia, aliyoiunda ikawa sasa ndiyo kule ambako waumini walikaribishwa halafu wakaenda kukumbana na mambo ya ajabu ajabu
  • Baada ya hapo, KM akawa amepta taarifa hizo kwa hiyo akamua kuja kujikosha mbele ya waumini kwa kukemea kilichokuwa kimetokea, rohoni akiwa anachekelea huku akiwasanifu
Mpaka hapa akawa sasa amekamilisha kwa upande wa washiriki, akiwa na uhakika kabisa kwa upande huo kuwa tatizo halipo tena. Hata hivyo bado alikuwa hajakamilisha kazi yake kisawasawa, alikuwa bado amebakiza MADHABAHUNI

Baada ya silaha upande wa washiriki kuwa imefanikiwa, akageukia sasa madhabahuni na kufanya kile alichofanya Jumapili iliyopita

  • Akafukuza mushiriki ambaye alikuwa ni mharusi, na tarehe ya harusi yake akapangiwa mtu mwingine ambaye yeye harusi yake ilitakiwa ifanyike nyuma ya wiki ya yule aliyefukuzwa ushiriki
  • Possbily hii ilikuwa ni katika kujaribu kupunguza maswali kwa watu ambao walijua kuwa tarehe hiyo kuna harusi, lakini cha kushangaza wangefika Kanisani na kukuta hamna harusi. Watu wa aina hii wangeweza kuhoji maswali mengi sana kutaka kujua kuna nini kilitokea kiasi cha kusababisha harusi iliyokuwai imetangazwa kutokuwepo
  • Kupunguza maswali na mashaka hayo, swapping ikawa imefanyika
  • Kwa hiyo watu wa aina hiyo watakuta kuna harusi, na wakishaona ni ya mtu mwingine tofauti na yule aliyekuwa ametangzwa awali, saikolojia yao itawatuma tu kuwa walichanganya hawakusikia matangazo vizuri
Mabadiliko haya ya ratiba ya harusi iliyobaki KM wala hakuweza kuyatangaza kwenye Ibada ya pili, nadhani alikuwa ameshtuka mahlai. Wakati wa Ibada ya pili alitangaza kama ifuatvyo

  • Mwenye hariusi amefukuzwa ushiriki sababu ya uzinzi na harusi yake haitakuwepo
  • Kwamba tarehe 14/02/2021 kutakuwa na kuweka wakfu watoto na hivyo wanatakiwa waletwe Ibada ya kwanza tu kwa sababu Ibada ya pili kutakuea na harusi
Huu ndiyo mtindo alioutumia kutangaza kuwa kutakuwa na harusi tarehe tajwa na kwamba mojawapo ya harusi imefutwa. Mwanzoni kabla ya mabadiliko haya utaraibu ulikuwa kama ifuatavyo:

  • Harusi iliyofutwa ilikuwa ifanyike tarehe 14
  • Harusi ile ambyao haijafutwa ilitakiwa ifanyike tarehe 7
  • Harusi ambyao haijafutwa sasa itafanyika tarehe 14
Kwa hiyo baada ya mtu kufukuzwa ushiriki kwa sababu ya uzinzi, kukafanyika tena swapping ya harusi hizi, iliyokuwa nyuma ikapelekwa kwenye tarehe ya ile iliyofutwa

Kwa hiyo Jumapili ya tarehe 31/01/2021 KM alifunga mwezi mpya kabisa wa mwaka mpya kwa kushambulia madhabahu, assuming kwamba matukio haya siyo coincidences tu! Hapa sasa tayari akawa ameshakamilisha kila kitu. Kwenye washiriki akawa amemaliza, na kwenye madhabahu pia.

J2 iliyopita yalipigwa makofi ya“NAOMBA WALIOKAA TUSIMAMAE” kwa mfululizo kwa muda usopungua dakika tano.

Pia inaonyesha kama kundi lake kubwa linaloshirikiana naye katika mambo haya kwa sasa limehamia Ibada ya pili

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom