NAMNA MAZUNGUMZO YA MCHAKATO WA ULIOPELEKA KUBADILISHWA KWA VITASA VYA MILANGO HII MIWILI ULIVYOANZA
J3 ya tarehe 08/05/2023, MWI alifika ofisini kwa mhusika na kumuuliza habari ya funguo za vitasa vya milango ya ofisi yake, na mhusika alimjibu kuwa funguo zote zilikuwepo isipokuwa kitasa cha grill tu ndiyo kibovu
- Mbali na hilo, mhusika alimjulisha MWI kuhusiana na swala la mlango ambao ulikuwa haufungi ambao nao pia pamoja na kuwa katika hali hiyo, funguo zake nazo zilikuwepo
- Baada ya maongezi yao, wawili hao walikubaliana kuwa MWI ataongea na MFD ili aweze kushughulikia sawala la vitasa vyenye matatizo
Zaidi MWI alikuwa amekuja na taarifa nyingine nzuri kwamba kulikuwa tayari kuna mfanyakazi mwingine mpya pale idarani ambaye amesharipoti baada ya kuajiriwa, na ambaye atakuwa anakaa kwenye ofisi moja na mhusika
- MWI alimjulisha mhusika pia kuwa mfanyakazi huyu alikuwa tayari yupo mazingira ya ofisini muda huo na kuahdi kuwa angempitisha baadaye maofisini akimtambulisha kwa wafanyakazi wengine na kwake pia
- Maongezi yao siku hiyo yaliishia hapo na baada ya hapo MWI aliondoka.
Hiyo ilikuwa J2
J3 ikapita, MWI na mfanyakazi mpya hawakuonekana ofisini kwa mhusika, isipokuwa fundi wa kutengeneza vitasa ndiyo aliwasili.
FUNDI WA KUTENGENEZA VITASA KUTOKA MTAANI AWASILI IDARANI NA KUBADILISHA VITASA VYA MILANGO MIWILI
Muda mfupi kabla ya fundi kuwasili idarani, MFD alikuja na kuingia kwenye chumba cha maabara ya MR X na kuanza kufanya kazi zake akiwa humo.
Fundi aliwasili idarani na kumkuta MFD akiwa anaendelea kufanya kazi kwenye maabara ya MR X
Baada ya fundi kuwasili,
MFD alifungua mlango wa maabara hiyo na kuanza kuongea na mhusika akiwa yupo ndani ya maabara hiyo, akiwa amesimama usawa wa mlango
- MFD alimweleza mhusika kuwa fundi wa kurekeibisha kitasa ndiyo huyo aliyekuwa amesimama nje kwenye korido
- Fundi huyu alikuwa amesimama kwenye kikorido kilichopo kati ya maabara ya MR X na ofisi ya mhusika
Kwa haraka haraka mhusika alijua kuwa
kitasa atakachoanza nacho fundi ni kile cha GRILL ambacho kina wiki kadhaa sasa bila kufunga
- Hata hivyo MFD alimwelekeza fundi kwenye kitasa kile ambacho tofali lake limepishana na tundu la bati
- Baada ya hapo, mhusika alimuuliza MFD kuwa fundi huyo alikuwa ametoka wapi na kabla MFD hajajibu, fundi mwenyewe aliwahi na kujibu kuwa alikuwa ametoka kwenye CARPENTRY UNIT ya kwenye gereji ile ambayo mhusika huwa anafanyia matengenezo ya gari lake
Fundi alianza kazi na kitasa hicho, na kabla hajakikimaliza MWI naye aliingia na kumkuta fundi akiwa anaendelea na kazi yake
Baada ya kuwasili MWI alimwelekeza fundi abadilishe pia kitasa cha mlango ule mwingine wa pili
- Hata hivyo, mhusika alishauri MWI kuwa kitasa hicho kisibadilishwe kwa sababu hakikuwa na kasoro yoyote na funguo zake zote zilikuwepo
- Still, MWI aliona ni busara nacho pia kikabadilishwa, na baada ya hapo aliondoka na kumwacha fundi akiendelea na kazi yake
- Wakati huo wote MFD alikuwa tayari amesharudi na ku-hiberate teana ndani ya maabara ya MR X
FUNDI AMALIZA KAZI NA KUKABIDH KOPI MOJA YA FUNGUO KWA MHUSIKA MHUSIKA NA ZINGINE KUONDOKA NAZO
Fundi alimaliza kazi na kumkabidhi funguo mbili mhusika na hatimaye kumuaga na kuondoka, MFD akiwa yupo ndani ya maabara na MWI naye akiwa tayari ameshaondoka
Kesho yake Alhamis, MWI alifika ofisini kwa mhusika akiwa na mfanyakazi mgeni, walisimama kwenye kikorido akamtambulisha mgeni kwa mhusika na hatimaye MWI kumkabidhi mgeni funguo za vitasa vipya viwili vilivyokuwa vimewekwa mlangoni
Baada ya hapo, mhusika alimkaribisha mgeni ili akae kidogo ofisini lakini mgeni alitoa uddhuru kuwa alikuwa na kazi ambayo tayari alikuwa anaifanya kwenye maabara nyingine ya MR X, kazi aliyokuwa amepewa na MR X mwenyewe
Still, mgeni alikubali kuingia na kukaa kidogo ndani na wakaongea kidogo na mhusika na hatimaye aliondoka
Hiyo ilikuwa J3 na possibly fundi alikuja J4.
Kwa hiyo,
funguo alizokabidhiwa mhusika, hakuzichukua kutoka kwa MWI moja kwa moja, bali alikabidhiwa na fundi aliyekuja kutengeneza vitasa vya milango, baada ya fundi kuwa amekamilisha kazi yake
…………………..itaendelea
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA