BAADA YA IBADA KUU KUMALIZIKA HUKU HAYA YOTE YAKIWA TAYARI YAMESHAFANYIKA KWENYE MADHABAHU YA BWANA
HATIMAYE WAKATI WA MATANGAZO ULIWADIA NA HAPO NDIPO KINARA WA MATANGAZO (tumwite KWM) ALIPOAMUA KUCHUKUA NAFASI YAKE TENA J2 HIYO
Wakati wa matangazo ulipowadia, Kiongozi wa Zamu (
tumwite KWZ) alipanda juu madhabahuni kwa ajili ya kutoa matangazo yaliyokuwepo J2 hiyo
- Baada ya kuhitimisha matangazo yake, KWZ alisema kuwa KWM naye pia alikuwa na tangazo na hivyo angependa kumkaribisha KWM kabla KM-A hajapanda kwa ajili ya kuhitimisha Ibada
- Kwa hiyo, KWZ alimkaribisha KWM juu madhabahuni na baada ya KWM kupanda juu madhabahuni, KWM alimnong’oneza kitu KWZ
Baada ya KWZ kuwa amenong’onezwa kitu na KWM, hapo hapo KWZ, aliongezea kitu kwenye matangazo yake aliyokuwa ameyahitimisha muda mfupi uliokuwa umepita
KWZ, alisema kuwa kulikuwa na mabdiliko kidogo kwenye matangazo yake na kwamba
J2 ijayo kutakuwa na sadaka mbili badala ya moja kama alivyokuwa ametangaza awali******** (
hapa Mwandishi anaweka nyota kwenye maneno haya meusi kwa sababu huko mbele kuna ufafanuzi unaohusina na maneno haya utakuja kufuata)
Baada ya tangazo hilo la nyongeza kutoka kwa KWZ, hatimaye sasa KWM alikabidhiwa madhabahu
Baada ya kukabidhiwa madhabahu, KWM alikuja na
tangazo zito la dharula na ambalo siku zote, miaka yote, matangazo ya aina hiyo huwa yanatolewa na KM-A tu; isipokuwa tu pale anapokuwa hayupo; amesafiri
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kusikia tangazo la aina hiyo likitolewa na Kiongozi mwandamizi ilhali KM-A naye pia alikuwaepo
- Still., tuseme labda kama ingetokea kuwa KM-A angekuwa hayupo J2 hiyo amesafiri, bado KWM hakuwa na uhalali wa kutoa tangazo hilo kwa sababu hakuwa zamu
Tangazo hilo lilitakiwa kutolewa na KWZ kama KM-A asingekuwepo
Mpaka hapa, inaonyesha KWM alikuwa amekuwa kwa makusudi
programmed kutoa tangazo hilo; yakiwa ni makubaliano kati yake na KM-A
- Mbali na hilo, hata kwa safari hii vile vile, tangazo hilo nalo lilikuwa linahusisha pia title ya “DR”; title ambayo yaweza kuwa KM-A alikuwa anajaribu kuikwepa kuitaja akiwa juu madhabahuni
- KM-A atakuwa alikuwa anakwepa kuitaja title hiyo, baada ya kuwa ameitumia visivyo miezi kadhaa iliyopita wakati alipokuwa anatoa tangazo la MAOMBI YA ULAWITI NA UFILAJI
Kwa hiyo, hizi zinaweza kuwa ni baadhi tu ya sababu nyingine nyingi zilizopelekea KWM akawa
programmed kutoa tangazo ilhali KM-A alikuwepo
MAUDHUI YA TANGAZO LENYEWE
KWM aliwashtua waumini wote alipotoa taarifa kuwa kuwa mmojawapo wa waumini wa Kanisa A ambaye
title yake ni
“DR”, yeye pamoja familia mbili, familia yake na watoto na familia ya shemeji yake na watoto, wamepata ajali wakiwa wanaelekea Kaskazini
kwa shughuli za kimila
KWM aliongezea akisema kuwa gari waliyokuwa wanasafiria imepinduka na
kuviringika mara tatu na hivyo kupelekea uwepo wa majeruhi kwenye ajali hiyo, ila kwa bahati nzuri hakuna aliyepoteza maisha
Mpaka hapa, mambo kadhaa makubwa yafuatayo yanajitokeza
MOSI: KWA MLOKOLE,
shughuli ya pekee ya kimila anayoweza kufanya ni kujenga makaburi ya wapendwa wake kwa ajili ya kumbukumbu tu na si vinginevyo
PILI: Kwa mlokole vile vile, hakuna Ibada yoyote ambayo huwa inafanyika kabla au baada ya ujenzi wa makaburi ya wapendwa wao
TATU: “DR” aliyetajwa ni mwalimu na katika kipindi hiki, wanafunzi wake wamebakiza wiki chache sana kuelekea kwenye mitihani.
Kwa hiyo kwa wakati huu, uwezekano mkubwa ni kwamba
ni dharura tu kama vile msiba, ambayo inaweza ikamtoa
“DR” Dar es salaam na kumpeleka mbali huko mikoani na
si shughuli za kimila
NNE: Mbali na hayo; kwa wanaomfamu
“DR” ikiwa ni pamoja na gari zake ambazo muda mwingi huwa anapenda kutumia anapokuwa yupo Kanisani;
assuming alikuwa ametumia mojawapo ya gari hizo kwenye safari hiyo; gari hizo haziwezi ku-
sustain majeruhi tu kwa kuviringika mara tatu, bali mambo mengine ya ajabu ambayo,
asante Mungu ameyaepusha hayakutokea; yangekuwa yametokea
Vinginevyo pengine labda kama safari hii
“DR” alikuwa ameamua kutumia
V8 yake kwenye safari hiyo, gari ambayo mara nyingi huwa hapendi kuitumia kwa safari za kwenye Ibada Kanisani
Kwa hiyo baada ya KWM kutoa taarifa hizo kwa waumini Kanisani, kwa hekima ya pekee alienda mbele kwa kuwaomba waumini kuwaombea majeruhi wa ajali hiyo, ambao ilisemekana mmojawapo alikuwa tayari ameshapelekwa hospitali ya rufaa; na waumini nao bila kusita waliitikia wito huo
KILE ANACHOJARIBU KUKISEMA HAPA MHUISKA KWENYE MAELEZO YA AJLI HII
Anachojaribu kukisema hapa mhusika ni kwamba ni
“DR” na familia zake mbili wamepata ajali na anawapa pole sana, isipokuwa taaarifa za ajali hiyo zinaonyesha dalili za kutumika vibaya na watu aliowatuma kufikisha ujumbe kwa waumini. Taarifa zile ambazo
“DR” aliwapa viongozi wa Kanisa A wazifikishe Kanisani, zinaonyesha dalili ya kufika zikiwa zimeambatana na
distortion kubwa sana
Chances ni kwamba safari ya
“DR” ilikuwa ni ya dharula pengine labda kama vile msiba
or something similar na si mambo ya kimila kama ilivyotangzwa Kaniasni
“DR” mwenyewe ndiye aliyekuwa anaendesha gari wakati ajali inatokea, na ilisemekana kuwa alikuwa anaendesha kwa speed ya kati ya 80-100 kilomita kwa saa
………………………………inaendelea