Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,521
TUKIO LA PILI JUMAPILI YA TAREHE 18/06/2023
HILI LILIFANYWA KWA USHIRIKIANO WA OFISA WA NYUMBA PAMOJA NA JIRANI WA MHUSIKA ANAYEISHI NYUMBA ILIYO CHINI YA MHUSIKA, WING YA PILI YA JENGO
Huyu jirani waliyeshirikiana naye anaonekana kama yupo nyumbani siku zote ila hapendi ajulikane kama yupo
Kwa hali hiyo ameamua kutokutumia gari ili aonekane kama hayupo ukizingatia ukweli kuwa haonekani mara kwa mara
Kuna swala jingine la watu kupaki magari na kutokuyatumia, ambayo ni topic nyingine ndefu.
Topic hii mhusika atakuja kuitolea maelezo huko mbele ya safari. NI MAIGIZO lakini yenye maana fulani kubwa
NAMNA MAFUNDI WALIVYOFANIKIWA KUINGIA TENA NDANI NYUMBANI KWA MHUSIKA
J2 hiyo mhusika akiwa ametokea Kanisani, baada ya kumaliza kula, aliamua kwenda kupumzika kidogo chumbani kwake.
Mafundi hao walikuwa wametumwa na OFISA WA NYUMBA na walihitaji kuweka mota (mchnganyiko wa cement, maji na mchanga) kwenye sehemu ya juu ya dirisha la kwanza kabisa upande wa kushoto kama unaingia ndani nyumbani kwa mhusika
Mafundi hao walisema kuwa fundi mwenzao aliyekuwa anafanya kazi nje alikuwa ame-recommend sehemu hiyo ya ndani ya nyumba ya mhusika, iwekewe mota halafu ndiyo aweze kuendelea vizuri na kazi yake kule nje
Fundi aliyeingia mara ya pili kwa ajili ya kuweka mota ndani nyumbani kwa mhusika, ni yule ambaye huwa anaongea Kiswahili kwa lafudhi kama ya watu wa kule nyumbani kwetu Kigoma; Waha
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
COMING UP NEXT:
MATUKIO YA HIVI KARIBUNI YA OFISINI
…………………….inaendelea

- Baada ya kuwa zimepiata takribani dakika 45, musika alisikia mlango wake ukiwa unagongwa kwa nguvu sana
- Mhusika alidhani kuwa pengine labda walikuwa ni watoto rafiki zake; wakati mwingine huwa wanakuja kumgongea wakiwa wamekosea balance ya nguvu inayohitajika kwa ajili ya kugonga mlango
- Hapo mhusika alitoka chumbani na kwenda kufungua mlango
Mafundi hao walikuwa wametumwa na OFISA WA NYUMBA na walihitaji kuweka mota (mchnganyiko wa cement, maji na mchanga) kwenye sehemu ya juu ya dirisha la kwanza kabisa upande wa kushoto kama unaingia ndani nyumbani kwa mhusika
Mafundi hao walisema kuwa fundi mwenzao aliyekuwa anafanya kazi nje alikuwa ame-recommend sehemu hiyo ya ndani ya nyumba ya mhusika, iwekewe mota halafu ndiyo aweze kuendelea vizuri na kazi yake kule nje
- Mhusika aliwaruhusu mafundi wakaingia na kuweka mota hiyo
- Wakati wanafanya kazi hiyo, yeye alikuwa yuko busy anaongea na rafiki yake kutoka nyumba jirani ambayo baba mwenye nyumba anasemekana kuwa hayupo; kitu ambacho mhusika ana mashaka nacho