UPDATE: TUESDAY, 25TH JULY 2023
KABLA HAJAANZA KUONGELEA KWA KINA SWALA KWAMBA KWA SASA, KM-A NA MR X WANAFANYA KAZI KATIKA CELLULAR NA ATOMIC LEVELS……………….
Katika hili, mhusika anawaomba wasomaji waangalie
uhusiano huu ulipo kati ya wanyama na mimea, kwa kuzingatia mfanano uliopo kwenye ANATOMY HIERARCHIES za makundi ya viumbe hawa, yaani
link iliyopo kati ya ANIMAL KINGDOM ANATOMY HIERARCHY na PLANT KINGDOM ANATOMY HIERARCHY
A: ANIMAL KINGDOM
1.0 BODY
ORGANS
2.0 ORGANS
3.0 CELLS
- MEMBRANES
- CYTOPLASMS
- NUCLEUS
B: PLANT KINGDOM
4.0 PARTS OF PLANT
5.0 PLANT ORGANS
6.0 PLANT TISSUES
7.0 PLANT CELLS
- MEMBRANE
- CELL WALL
- CYTOPLASMS
- NUCLEUS
Ukiangalia mfanano uliopo kwenye mojawapo ya vipengele viwili hapo juu, yaani kile namba 3.0 na kile cha namba 7.0,
vyote vina CELLS ambazo pia zina MEMBRANES, CYTOPLASM na NUCLEUS
Kwa hiyo ukizichukulia a ANATOMY HIERACHIES hizi mbili za wanyama na mimea kama DATABASES, hapa unakuwa na database mbili zenye uwezekanao wa kuwa na FOREIGN KEY yeyote kati ya MEMBRANES, CYTOPLASM NUCLEUS au CELL
Mbali na hilo, TISSUES nazo pia zipo kwenye HIERARCHIES hizi mbili na hivyo nazo zinaweza kutumika kama FOREIGN KEYS kati ya database hizi mbili
Kwa hiyo kwa UHUSIANO huu, tuseme kwa mfano,
TISSUES ZA MTI ULIOKATWA na ambazo zinaweza kuonekana na macho ya nyama, zikirushiwa pepo, zina uwezo kusambaza pepo huyo kwenye TISSUES za wanyanma wote akiwemo BINADAMU
Vile vile CELLS za miti hiyo zikirushiwa pepo, zina uwezo wa kusambaza pepo kwenye CELLS za wanyama wote, BINADAMU pia akiwa ni mmojawapo
Vinavyoonekana kwa macho ya nyama vinaposhindikana kwenye zoezi hili, MIVROCOPES zinaweza kutumika kuhamishia pepo huyo kwenye CELLS kwa WANYAMA na kwenye ATOMS kwa MADA
HITIMISHO
Kwenye jengo analoishi mhusika,
kuna lundo la miti iliyokatwa na kuzungushiwa kwenye ghrorofa hilo takribani miezi miwili sasa; miti ambayo wakati mwingine inaweza kutumika vibaya na watu wasio na nia njema
Still, mhusika hana uhakika sana kama ukarabati huo ulihitaji resources za namna hiyo, na hata kama ulihitaji
kwa kazi ambayo bado inahitajika kufanyika pale,
resources hizo zisingemaliza muda wa zaidi ya wiki mbili (2) zikiwa zimezungushiwa kwenye ghorofa hilo. Kwa sasa, miti hiyo inakaribia miezi miwili, au hata imeshavuka
Katika hili, ombi la mhusika ni kwamba
kama ukarabati umesimama, kuna haja ya kuiondoa miti hiyo na ukarabati utakapokuwa unaendelea tena, NGAZI zinaweza kutumika badala ya miti hiyo
KULE KANISANI NAKO KWA KM-A
Hivi karibuni vimetengenezwa
VIKAPU VIPYA VYA KUKUSANYIA SADAKA VIKIWA NA VISHIKIO VYA MTI
- Haijulikani ni tatizo gani lilitokea kwa vikapu vila vya zamani, kwa sababu almost vilikuwa ni vipya
- Mhusika angekuwa na mamlaka, angeweza kulimuuliza KM-A ni tatizo gani lilitokea kwenye vikapu vile vya zamani
- Adha mhusika hajawahi kusikia tangazo Kanisani kuwa vikapu hivyo viliwahi kuwekwa wakfu
Huyu mtu anaichezea sana hii nchi utafikiri ni KARATA zake
………………………itaendelea