SIKU YA J5 AMBAYO OFFICE MATE 1 (OM-1) ALITUMWA NA BOSSXX KWENDA GEREZANI KUNUNUA VIFAA NA HATIMAYE OM-1 KUPOTEA MOJA KWA MOJA MAZINGIRA YA OFISINI SIKU HIYO HUKU KESHO YAKE ALHAMIS AKIWA ANATARAJIA KUSAFIRI
MAELEZO YA UTANGULIZI
Asubuhi hiyo kabla OM-1 hajaelekezwa kwenda kununua vifaa, MNUNUZI WA GARI (MWG), aliingia ghafla ofisini kwao mhusika na kumkabidhi OM-1 kifaa ambacho kwa
comments zake MWG wakati anakikabidhi kwa OM-1, zilionyesha kuwa OM-1 alikuwa amesahahu kukipaki pamoja na vifaa vingine ambavyo walitakiwa kusafiri navyo kwenda field,
kesho yake Alhmisi
Kwa hiyo MWG alimkabidhi OM-1 kifaa hicho huku MWG akimweleza OM-1 kuwa kingeweza hata kumgharimu muda wake OM-1 kutoka filed na kukirudia kwa sababu alikuwa amesahau kukipaki
Kwa kipindi cha takribani miezi mitano ya uwepo wa OM-1 mazingira ya ofisini, ilikuwa ni mara ya nne siku hiyo, kwa mhusika kuwaona MWG na OM-1 wakiwa wanaongea au wakiwa wako pamoja
OM-1 alirirpoti ofisini mwishoni mwa mwezi
March 2023 na kipindi hicho ilikuwa ni katikati ya
mwezi August 2023
Mara ya kwanza mhusika kuwaona MWG wakiwa pamoja ilikuwa ni mwezi wa tatu,walikuwa wameongozana wote wakitokea kwenye maabara ya MR X wanashusha ngazi kuelekea ground floor
Ilikuwa ni katika kipindi ambacho mhusika na OM-1 walikuwa bado hawajafahamiana kwa sababu walikuwa hawajatambulishwa bado; na hivyo ilikuwa ni katika kipindi ambacho,
OM-1 alikuwa anatumia mda wake wote wa ofisini, kwenye maabara hiyo ya MR X
Mara ya pili mhusika aliwahi kumkuta OM-1 akiwa yupo ofisini kwa MWG wanaongea, na baada tu ya mhusika kuingia humo, OM-1 alitoka nje ya ofisi hiyo
Hapa ilikuwa ni katika kipindi ambacho OM-1 alikuwa tayari ameshatambulishwa kwa mhusika na hivyo kwa kipindi hicho alikuwa tayari ameshakuwa ni office mate wa mhusika
Mara ya tatu, mhusika aliwaona OM-1 wakiwa wanaongea na MWG, baada ya MWG kuingia ofisini kwao mhusika na hatimaye MWG kumkabdihi kitu OM-1
kwa mara kwanza kitu ambacho mhusika hakuweza kukiona
Baada ya makabidhiano kati ya OM-1 na MWG kufanyika siku hiyo, jioni hiyo majira karibu na saa 10 jioni, mafundi wa vibao vya milango waliwasili mazingira ya ofisini kwao mhusika
Baada ya mafundi kuwasili, muda huo huo OM-1 alishauri kwa mara nyingine tena kuwa aanze kuyahamisha mafaili yaliyokuwa yamepangwa juu ya meza ili ayaweke juu ya
shelves zilizomo ofisini humo
- Kwa picha iliyopo hadi muda huu, inaonyesha wazi kuwa siku hiyo pia kulikuwa na coordination kati ya MWG, OM-1 na mafundi wa vibao vya milangoni
- Jana vile vile, J4 ya tarehe 12/09/2023, kulikuwa na coordination pia kati ya MWG na kati ya MWG, na mafundi wa vibao vya milangoni
Mara ya nne mhusika aliwaona OM-1 wakiwa wanaongea na MWG, baada ya MWG kuingia ofisini kwao mhusika na hatimaye MWG kumkabdihi kitu OM-1
kwa mara pili
Hii ilikuwa ni kwenye tukio hili la hivi karibuni ambalo mhusika ameshalielezea hapo juu
- Baada ya OM-1 kukabidhiwa kitu hicho na MWG siku hiyo, ndiyo baadaye kidogo BOSS XX aliwasili ofisini na kumwelekeza OM-1 akanunue vifaa gerezani
- Kitu alichokabidhiwa OM-1 NA MWG siku hiyo, mhusika alikiona na kilfanana kama DIGITAL MULTIMETER
Kwa hiyo katika kipindi chote cha takribani miezi mitano ambayo OM-1 amekuwepo mazingira ya ofisini,
ni mara hizi nne tu ambazo mhusika alibahatika kuwaona MWG wakiwa pamoja na OM-1 huku kila tukio la kuwaona wakiwa pamoja LIKITUMIA MUDA USIOZIDI HATA ROBO DAKIKA
……………………….inaendelea