UPDATE: FRIDAY, 03RD NOVEMBER 2023
COINCIDENCE NYINGINE MUHIMU KUHUSIANA NA NAMBA ZA MAGARI; AMBAYO HAPO KABLA MHUSIKA ALIKUWA HAJAWAHI KUIGUNDUA
Kuna mfanano mwingine pia wa namba za usajili za gari la mama wa kiroho wa mhusika na lile la mhusika, japo ni wa mbali kidogo
Mfanano huu mhusika aliubani J2 iliyopita ya tarehe 29/10/2023 baada ya mama wa kiroho kuhudhuria Ibada ya pili J2 hiyo. Kawaida mama huyu huwa anahudhuria Ibada ya kwanza
NAMNA MFANANO WA NAMBA HIZO ZA USAJILI ULIVYO
Kati ya tarakimu tatu zinazounda namba ya usajili ya gari la mhusika, tarakimu mbili zimefanana na zile zilizoko kwenye namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho
Mbali na tarakimu hizi mbili kufanana, tarakimu hizo zipo pia kwenye mpangilio uliofanana kwamba kwenye namba ya usajili ya gari la mhusika,
tarakimu ya kwanza imefanana na
tarakimu ya kwanza ya namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho, na vile vile
tarakimu ya tatu nayo imefanana pia na
tarakimu ya tatu ya namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho
Tuseme kwa mfano tarakimu tatu za namba ya gari la mhusika ni 7-6-5; basi zile za la mama wa kiroho ni 7-2-5; tarakimu ya kwanza na ya tatu kwa magari yote mawili zikiwa zimefanana
KUMBUKUMBU MUHIMU KUHUSIANA NA GARI LA MHUSIKA NA MAMA WA KIROHO WA MHUSIKA
Kwenye wiki ile ya kwanza baada ya mhusika kuwa amelitoa gari lake bandarini mwaka 2013, mhusika aliimjulisha mama wa kiroho (MAKI) kuwa amepta tena gari jingine
- MAKI alifurahi kusikia hivyo na alimuuliza mhusika kama tayari limeshawekwa wakfu, na mhusika alisema kuwa lilikuwa bado
- Hapo MAKI alimshauri mhusika alipeleke gari hilo Kanisani katikati ya wiki hiyo siku ya J5 ambako angemkuta MZEE WA ZAMU, ili liweze kuwekwa wakfu
Mhusika alikubali na kweli ilipofika J5, alilipeleka gari hio Kanisani
MZEE WA ZAMU hakuwepo Kanisani siku hiyo
Badala yake alikuwepo Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A) na wasaidizi wake wawili wa kipindi hicho, ambao kwa sasa wote hawapo tena Kanisani hapo
Kwa hiyo gari la mhusika likawa limewekwa wakfu siku hiyo na
machine hii KM-A pamoja na wenzake wawili
Taarifa zaidi kuhusiana na namna gari hili lilivyowahi kuwekwa wakfu, zipo kwenye post ya awali hii hapa
#740
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA