#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

UPDATE: THURSDAY 26TH OCTOBER 2023

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!

TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA OFFICE MATE -2 《OM-2) WA MHUSIKA


OFFICE MATE-2 (OM-2) YUPO OFISINI LAKINI KWA MUDA WA ZAIDI YA WIKI TATU SASA, BADO ANAENDELEA KUONYESHA DALILI ZILIZO VERY STRONG ZA KUKWEPANA NA KARIBIA KILA MTU ALIYEPO IDARANI

MOSI: NDANI YA KIPINDI CHA WIKI SABA MFULULIZO, OM-2 AMEKUWA AKIKWEPANA NA WAFANYAKAZI WA USAFI KWA KILA J3 KWA JUMLA YA WIKI SITA, UKIONDOA
MOJA TU AMBAYO WALIWAHI KUMKUTA AKIWA YUPO OFISINI

PILI: OM-2 WANAKWEPANA PIA NA MKUU WA IDARA ISIPOKUWA
ANA MAWASILIANO YA KARIBU SANA NA BINTI MMJOJA TU MWAJIRIWA MPYA AMBAYE HUWA ANAFIKA KUJA KUONANA NA OM-2 OFISINI MARA KWA MARA

MARA ZOTE, BINTI HUYU HAKAI KWENYE OFISI ILE AMBAYO MKUU WA IDARA ALITANGAZA KUWA AMEMPANGIA, OFISI AMBAYO HUWA INATUMIWA PIA NA ADMINISTRATIVE OFFICER WA MAJOR UNIT

KWA WIKI KADHAA SASA, BINTI HUYU AMEKUWA AKIONEKANA KWENYE KORIDO TU NA PIA KWA MUDA MFUPI SANA OFISINI KWAO MHUSIKA NA OM-2

BINTI HUYU NI YULE AMBAYE WANAFANYA KAZI PAMOJA NA MUME WAKE KWENYE IDARA

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIENI KESHO


In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
ZAIDI NI KUWA GARI LA MHUSIKA LILIHUJUMIWA TENA LIKIWA KWENYE PARKING NYUMBANI USIKU WA JUMAMOSI YA KUAMKIA J2 YA TAREHE 15/10/2023 NA LEO ALHAMIS ALILAZIMIKA KULIPELEKA TENA GARAGE KWA AJILI YA MATENGENEZO, GIA ZILIKUWA ZINAINGIA KWA SHIDA SANA

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY 26TH OCTOBER 2023

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!

TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA OFFICE MATE -2 《OM-2) WA MHUSIKA


OFFICE MATE-2 (OM-2) YUPO OFISINI LAKINI KWA MUDA WA ZAIDI YA WIKI TATU SASA, BADO ANAENDELEA KUONYESHA DALILI ZILIZO VERY STRONG ZA KUKWEPANA NA KARIBIA KILA MTU ALIYEPO IDARANI

MOSI: NDANI YA KIPINDI CHA WIKI SABA MFULULIZO, OM-2 AMEKUWA AKIKWEPANA NA WAFANYAKAZI WA USAFI KWA KILA J3 KWA JUMLA YA WIKI SITA, UKIONDOA
MOJA TU AMBAYO WALIWAHI KUMKUTA AKIWA YUPO OFISINI

PILI: OM-2 WANAKWEPANA PIA NA MKUU WA IDARA ISIPOKUWA
ANA MAWASILIANO YA KARIBU SANA NA BINTI MMJOJA TU MWAJIRIWA MPYA AMBAYE HUWA ANAFIKA KUJA KUONANA NA OM-2 OFISINI MARA KWA MARA

MARA ZOTE, BINTI HUYU HAKAI KWENYE OFISI ILE AMBAYO MKUU WA IDARA ALITANGAZA KUWA AMEMPANGIA, OFISI AMBAYO HUWA INATUMIWA PIA NA ADMINISTRATIVE OFFICER WA MAJOR UNIT

KWA WIKI KADHAA SASA, BINTI HUYU AMEKUWA AKIONEKANA KWENYE KORIDO TU NA PIA KWA MUDA MFUPI SANA OFISINI KWAO MHUSIKA NA OM-2

BINTI HUYU NI YULE AMBAYE WANAFANYA KAZI PAMOJA NA MUME WAKE KWENYE IDARA

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIENI KESHO


In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Aisee!
 
BAADA YA TUKIO LA MHUSIKA KUPOTEZA FUNGUO AKIWA YUPO PEKE YAKE OFISINI:
PATTERN YA MIENENDO YA OFFICE MATE-2 (OM-2) AMBAYO IMEKUWA IKIMUONYESHA OM-2 KUISHI KWA KIFICHO NDANI YA JENGO LA IDARA


KAMA ILIVYODOKEZWA HAPO JUU, NDANI YA KIPINDI CHA WIKI MFULULIZO ZIPATAZO SABA HADI KUFIKIA LEO HII, OM-2 AMEONANA NA WAFANYAKAZI WA USAFI OFISINI KWAKE KWENYE J3 MOJA TU, NA J3 HII IMETOKEA KWENYE KIPINDI BAADA YA MHUSIKA KUWA AMEPOTEZA FUNGUO ZA OFISI

YALE YA MUHIMU YALIYOJIRI KWENYE J3 MOJA HIYO AMBAYO MFANYAKAZI WA USAFI ALIWAHI KUMKUTA OM-2 AKIWA YUPO OFISINI

BAADA YA KUMPISHA MFANYAKAZI, OM-2 ALIENDA AKASIMAMA NJE YA OFISI KWENYE VERANDA, SEHEMU ILE AMBAYO MHUSIKA HUWA ANAPENDA KUSIMAMA MARA KWA MARA

MHUSIKA NAYE PIA ALIKUWEPO SEHEMU HIYO

SIKUHIYO OM-2 ALISIMAMA KWENYE NGUZO AMBAYO HUWA KWAKIASI FULANI
IMEIXIBA KAMERA ILIYOPO SEHEMU HIYO

BAADA OM-2 KUSIMAMA HAPO, MUDA HUO HUO ALIKUJA PALE MFANYAKAZI MWINGINE WA KIUME, YULE MWENYE GARI MPYA YENYE NAMBA ZA E-SERIES NA AMBAYE WALIWAHI KUKUTANA NA MHUSIKA KWENYE PAY COUNTERS ZA DUKA JIPYA LILILOPO MAENEO YA JIRANI, MIEZI KADHAA ILIYOPITA

HAPO OM-2 ALIIPA KISOGO NGUZO NA KUANZA KUONGEA NA MFANYAKAZI HUYO MWINGINE, KITU KILICHOPELEKEA WATU WSLIOKUWA WANAPITA BARABARANIJIRANI NA ENEO HILO, WASIWEZE KUZIONA KWA UFASAHA SURA ZA WATU HAWA WAWILI

SIKU HIYO ILIKUWA NI MARA YA KWANZA KWA OM-2 KUONEKANA AKIWA YUPO ENEO HILO, KWA SABABU KWA SAFARI ZINGINE CHACHE MNO AMBAZO WAFANYAKAZI WA USAFI WAMEKUWA WAKIMKUTA YUPO OFISINI TANGU AAJIRIWE, OM-2 AMEKUWA AKIWAPISHA OFISINI NA KWENDA SEHEMU NYINGINE: HAPO KWENYE VERANDA AMEKUWA HAKAI HAPO WAKATI WA USAFI

KWA KUMBUKUMBU ZAKE MHUSIKA,
TANGU OM-2 ARIPOTI OFISINI, J3 HIYO ILIKUWA NI SIKU YA NNE YA OM-2 KUKUTWA YUPO OFISINI WAKATI WA USAFI

KWA J3 HII HUSIKA, MFANYAKAZI WA USAFI ALIKUWA NI MMOJA, NA ALIKUWA NI HUYU BINTI MGENI AMBAYE AMELETWA IDARANI SIKU ZA HIVI KARIBUNI

BAADA YA USAFI KUMALIZIKA NA HATIMAYE OM-2 NA MHUSIKA KURUDI TENA OFISINI KWAO

BAADAYE TENA OM-2 ALITOKA OFISINI NA KWENDA KUSIMAMA PALE PALE KWENYE VERANDA, ILA SAFARI HII KWENYE ENEO LILE AMBALO LIKO ACCESSIBLE NA KAMERA ZA JENGO

HAPO HAPO OM-2 AKWA TENA ACCOMPANIED NA MTU MWINGINE, YULE BINTI MFANYAKAZI MPYA WA IDARA AMBAYE WAPO PAMOJA NA MUME WAKE IDARANI,

BINTI HUYU ALIKUJA NA KUANZA KUONGEA NA OM-2 HUKU WAKIWA WAMESHIKA ZILE RAILINGS ZA KWENYE VERANDA, NA NYUSO ZAO WOTE WAWILI WAKIWA WAMEINAMISHA CHINI NA KATIKA NAMNA AMBAYO HAIKUWA TENA RAHISI KWA WATU WALIOKUWA WANAPITA BARABANI MAENEO YALE JIRANI, KUWEZA KUXIONA KWA UFASAHA NYUSO ZA WAWILI HAWA

NDANI YA WIKI HIYO YA USAFI, ILIPOFIKA J5 YA WIKI HIYO, OM-2 HAKUONEKANA TENA OFISINI HADI ILIPOFIKA J5 YA WIKI NYINGINE ILIYOFUATA, YAANI J5 YA TAREHE 17/10/2023

KWENYE SIKU HIZO AMBAZO OM-2 ALIPOTEA OFISINI, MKUU WA IDARA (MWI) AMBAYE ALIKUWA YUPO KWENYE LIKIZO YSKE YA MWAKA, ALIANZA KUONEKANA TENA IDARANI, NA ALIKUJA KUPOTEA TENA BAADA YA OM-2 KUANZA KUONEKANA TENA OFISINI.

HATA HIVYO KWA WIKI HII, WOTE OM-2 NA MWI WAMEKUWEPO MAZINGIRA YA OFISINI LAKINI HAWAKUWAHI KUKUTANA MAXINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA.

KUNA SIKU WIKI JANA MWI ALIRUDI OFISINI GHAFLA AKIWA NA WAGENI AMBAO ALIKUJA NAO HADI KWENYE CHUMBA CHA MICROSCOPE KILICHO JIRANI KABISA
NA OFISI YAO MHUSIKA, NA WAKATI HUO OM-2 ALIKUWA AMETOKA KIDOGO NJE YA OFISI, HAKUWEPO NDANI OFISINI

VINGINEVYO WATU WENGINE WATANO AMBAO KWA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI WAMEFANIKIWA KUFIKA OFISINI KWA MHUSIKA NA KUMKUTA YUPO PAMOJA NA OM-2 NI WAFUATAO

WA KWANZA NI KIJANA KUTOKA KWENYE ILE IDARA NYINGINE AMBAYE ALIWAHI KUACHA KWA GHAFLA KIFAA OFISINI KWA MHUSIKA

WA PILI
NI BINTI MWAJIRIWA MPYA NA MTAALAMU WA IT KUTOKA KWENYE IDARA ILE NYINGINE

WA TATU NI BINTI MWINGINE MWAJIRIWA MPYA PIA N.A. KUTOKA KWENYE IDARA HIYO HIYO NYINGINE, AMBAYE HUWA ANAKUJA KUMUUULIXIA PALE TU OM-2 ANAPOKUWA HAYUPO OFISINI

BINTI HUYU ALIPITA KUMUULIZIA OM-2 SIKU YA J4, NA KESHO YAKE J5 OM-2 ALIRUDI TENA OFISINI BAADA YA KUTOKUONEKANA KWA WIKI NZIMA

WA NNE NI KIJANA MWAJIRIWA JUNIOR STAFF AMBAYE ALIWAHI KU-TRAINI KWENYE KITENGO CHA MATETEMEKO YA ARDHI
VINGINEVYO MTU MWINGINE WA TANO NI SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMKE) AMBAYE ALIWAHI KUMUONA WAKIPSHANA N.A. OM-2 KWENYE KORIDO WIKI ILIYOPITA
..................inaendelea
 
BAADA YA OM-2 KUWA AMEPOTEA OFISINI KWA WIKI NZIMA: BAADHI TU YA WATU WALIOFIKA OFISINI NA KUMKUTA MHUSIKA YUPO PEKE YAKE OFISINI

WA KWAZA NI KIONGOZI WA NGAZI ZA JUU WA TAASISI AMBAYE PIA ALIWAHI KUWA MKUU WA IDARA YA MHUSIKA KWENYE KIPINDI CHA MWAKA 2015/2016. HUYU HUWA ANA KAWAIDA YA SIKU ZOTE YA KUPITA OFISINI KWA MHUSIKA KWA AJILI YA KUMSALIMIA

OM-2 NA KIONGOZI HUYU WA NGAZI ZA JUU WANAFANYA KAZI KWRNYE SECTION MOJA NDANI YA IDARA

WA PILI NI YULE BINTI MTAALAMU WA IT KUTOKEA KWENYE IDARA ILE NYINGINE. KWA MUDA HUU MFUPI, BINTI HUYU AMEFIKA OFISINI HAPO MARA MBILI; MARA YA KWANZA OM-2 AKIWA HAYUPO NA MARA YA PILI OM-2 AKIWA YUPO

WA TATU NI BABA WA RAFIKI WAPYA WA MHUSIKA. HUYU NAYE ALIFIKA KWENYE SIKU HIZO AMBAZO OM-2 ALIKUWA AMEPOTEA KWA MUDA OFISINI NA BAADA YA OM-2 KUWA AMERUDI TENA, BABA HUYU HAKUWAHI HATA TU KULE KUONEKANA KWENYE KORIDO

ZAIDI NI KUWA HUYU BABA WA RAFIKI WAPYA WA MHUSIKA, NI OFFICE MATE WA KAIMU MKUU WA IDARA ALIYEKUWA AMEACHIWA IDARA BAADA YA MWI KUWA AMECHUKUA LIKIZO YAKE YA MWAKA

VINGINEVYO BINTI AMBAYE HUWA ANATUNZA MAFAILI KWENYE OFISI JIRANI, YEYE AMEKUWA AKIFIKA OFISINI KWAKE MARA KWA MARA KATIKA VIPINDI VYOTE VIWILI, YAANI KWENYE KIPINDI AMBACHO OM-2 ALIKUWA AMETOWEKA OFISINI NA KWENYE KIPINDI BAADA YA KUWA AMERUDI TENA.

TOFAUTI NA KARIBIA WATU WENGINE WOTE AMBAO WAMEKUWA WAPO IDARANI, BINTI HUYU YEYE ANAWEZA KUWA NI MTU AMBAYE AMEKUWA AKIMUONA OM-2 MARA NYINGI ZAIDI KULIKO WRNGINE WOTE

BAADA YA OM-2 KUWA AMERUDI TENA OFISINI: MTU MWINGINE MUHIMU ALIYEFIKA OFISINI KWAO NA KUMKUTA MHUSIKA AKIWA YUPO PEKE YAKE OFISINI

HUYU NI MTU AMBAYE ALIKUWA ANA ZAIDI YA MWAKA MMOJA AU MIWILI BILA KUONEKANA MAZINGIRA YA OFISINI HAPO; NI YULE FUNDI WA VIFAA VYA ELECTTONICS

HUYU ALIFIKA DARANI WIKI JANA KWA AJILI YA KUJA KUONANA NA YULE MUME WA BJNTI, OFISA AMBAYE HUWA ANAHUSIKA PIA NA UANGALIZI WA CHUMBA CHA MICROSCOPES.

HUYU ALIFIKA KWENYE CHUMBA HICHO NA KUKUTA MWENYEJI WAKE AKIWA BADO HAJAFIKA MAENEO HAYO NA HIVYO MHUSIKA KULAZIIMIKA KUMKARIBISHA NA KUKAA NAYE OFISINI KWAKE KWA DAKIKA KAFHAA KABLA MWENYRJI WAKE HAJAFIKA NA KUMCHUKUA

FUNDI HUYU NAYE ALIFIKA NA KUKUTA OM-2 AKIWA AMETOKA KIDOGO NJE YA OFISI.
HIYO ILIKUWA NI IJUMAA YA WKKI JANA TAREHE 20/10/2023

VINGINEVYO KWA KIPINDI CHOTE HIKI AMBACHO HAYA YOTE YAMEKUWA YAKIENDELEA

OM-2 AMEKUWA HAENDI LUNCH KAMA AMBAVYO IMEKUWA KAWAIDA YAKE HAPO KABLA ISIPOKUWA AMEKUWA AKISHINDIA CHAI NA KARANGA TU AMBAZO HUWA ZINAUZWA NA KATIBU MHUTASI WA MWI

WAJATI WA CHAI, AMEKUWA HAKAI NA STAFF WENZAKE KWENYE CHUMBA CHA CHAI BALI HUWA ANAFIKA KWENYE CHUMBA HICHO NA KUCHUKUA NAJI YA MOTO TU AMBAYO HUWA MUDA WOTE YAPO KWENYE HEATER AMBAYO HUWA HAIZIMWI

OM-2 AKISHATOKA OFISINI KWENDA KUCHUKUA CHAI, DAKIKA MBILI NI NYINGI ANAKUWA AMESHARUDI TENA OFISINI N.A. KUKAA NA AKISHAKAA OFISINI KWAJE KWENYE KITI, HATOKI HATA DAKIKA MBILI KUNYOOSHA MGONGO KWENYE VERANDA

KWA HIYO MUDA WOTE ANAKUWA AMEKAA KWENYE KITI OFISINI NA IKITOKEA AKATOKA NA KUVHUKUA ANFALAU MUDA MREFU KIDOGO WA DAKIKA KADHAA BILA KUWEPONOFISINI ISIVYO KAWIDA, UJUE ALIPEWA SIGNAL YA KUONDOKA OFISINI KWA MUDA KWA SABABU KUNA WATU WALIOKUWA WANATARJIWA KUFIKA MAENEO HAYO KARIBU N.A. AMBAO HAWAKUTAKIWA KUMUONA.

KWA HIYO IMEKUWA KAWAIDA KWAMBA OM-2 ANAPOKUWA AMETOKA KWA MUDA MREFU KIDOGO, NI LAXIMA ATATOKEA MTU AU WATU MAENEO HAYO NA WAKISHAONDOKA, NDIYO ANARUDI TENA OFISINI

MFANO MZURI KATIKA HILI NI WIKI JANA WAKATI MWI IDARA ALIPOFIKA MAENEO YALE AKIWA NA WAGENI WA KICHINA

MHUSIKA KWA MARA NYINGINE ANAOMBA MSAADA ILE UTOTO HUU UKOME KABISA
MUDA WA KUCHEZA N.A. WATOTO ANAYO WA KUTOSHA KULE KANISANI NA PIA NYUMUBANI KWAKE MAHALI ANAPOISHI
................inaendelea
 
NDANI YA KIPINDI HUSIKA, WATU WENGINE ZAIDI WALIOBALHATIKA KUMKUTA OM-2 OFISINI

MTU MWINGINE TENA NI BINTI MWAJIRIWA MPYA KUTOKA KWENYE ILE IDARA NYINGINE, AMBAYE HAPO KABLA, J4 ALIWAHI KUFIKA OFISINI AKIMUULIZIA OM-2, N.A. BAADA YA HAPO, OM-2 AKATOKEA TENA OFISINI KESHO YAKE J5 YA WIKI HIYO

BAADA YA BINTI HUYU KUMKOSA OM-2 J4 HIYO, BINTI ALIENDA AKARUDI TENA KESHO YAKE J5 NA HIVYO KUMKUTA OM-2 YUPO AKIWA AMESHARUDI TENA OFISINI

VINGINEVYO KUNA STAFF MWINGINE AMBAYE KWA SASAYUPO MASOMONI NJE YA NCHI AMBAYE NAYE ALIBAHATIKA KUMKUTA OM-2 AKIWA YUPO OFISINI.

OM-2 AMEAJIRIWA KATIKA KIPINDI AMBACHO STAFF HUYU ALIKUWA TAYARI YUPO MASOMONI ILA SIKU WALIPOONANA OFISINI NA OM-2, STAFF HUYU ALIKIRI KUMFAHAMU OM-2 KWA SABABU ALIWAHI KUMFUNDISHA.

STAFF HUYU NI YULE AMBAYE AWALI ALIKUWA ANASOMA INDONESIA
STAFF HUYU ALIONEKANA OFISINI KWA SIKU MBILI MFULULIXO N.A. BAADA YA HAPO AKATOWRKA TENA HAFI LEO
................inaendelea
 
KWA KUZINGATIA MADA ILIYOPO GEWANI MUDA HUU; YALE YA MUHIMU TU YALIYOJIRI UPANDE WA OM-2 NDANI YA WIKI HIZI MBILI

KWA WIKI YOTE ILIYOPITA, MHUSIKA AMEKUA AKIFIKA OFISININ NA KUKUTA OM-2 AKIWA AMESHAFIKA, HUKU LAPTOP COMPUTER YAKE IKIWA IPO MEZANI IMEWASHWA

HATA HIVYO KWA WIKI HII UKIONDOA SIKU YA MOJA AMBAYO NI JANA ALHAMIS, MHUSIKA AMEKUWA AKIFIKA OFISI NA KUKUTA OM-2 AKIWA TAYARI AMESHAFIKA, ILA HAYUPO OFISINI AMETOKA KIDOGO, HUKU LAPTOP COMPUTER YAKE IKIWA HAIPO MEZANI BALI IMEFUNGIWA KWENYE BEGI DOGO AMBALO OM-2 AMEKUWA MARA ZOTE AKILIWEKA JUU YA MEZA YAKE

KWA SIKU YA J3 YA WIKI HII TAREHE 23/10/2023, MFANYAKAZI WA USAFI ALIYEFIKA OFISINI HAPO, ALIMJULISHA MHUSIKA KUWA OM-2 HAKUWEPO OFISINI HAPO KWA SABABU ALIKUWA YUPO MAHALI FULANI NJE YA JENGO LA IDARA ANASIMAMIA MTIHANI WA SUPPLEMENTARY

KWA SIKU MBILI ZA J4 NA J5 MHUSIKA HAKUWEZA KUJUA OM-2 ALIKUWA AMEELEKEA WAPI ASUBUHI BAADA YA KUWA ANAFIKA OFISINI NA KUKUTA OM-2 AKIWA AMETUA TU BEGI LAKE JUU YA MEZA NA KUONDOKA PASIPO KUWASHA COMPUTER YAKE

MBALI N.A. HAYO, KUNA KITU KINGINE NOTABLE AMBACHO KILITOKEA J4 ALASIRI KWENYE MUDA WA KUANZIA SAA 9 ALASIRI

SIKU HIYO, OM-2 ALMUAGA MHUSIKA AKIMWELEZA KUWA ANATOKA KWENDA KUSIMAMIA MTIHANI MWINGINE

BAADA YA KUPITA TAKRIBANI SAA NZIMA, OM-2 ALIRUDI OFISINI NA KUMJULISHA MHUSIKA KUWA KATI YA WANAFUNZI 11 WALIOKUWA WANATAKIWA KUFANYA MTIHANI HUO, NI MMOJA TU AMEFIKA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI NA AMEKUSANYA KAZI YAKE BAADA YA SAA MOJA TU

KUHUSIANA NA SIKU YA JANA ALHAMIS YA TAREHE 26/10/2023

KWA MARA YA KWANZA NDANI YA WIKI HII, MHUSIKA ALIFIKA OFISINI NA KUMKUTA OM-2 AKIWA YUPO OFISINI AMEWASHA COMPUTER YAKE ANAENDELEA NA KAZI ZAKE

KABLA MHUSIKA HAJAWASHA COMPUTER YAKE, UMEME ULIKATIKA ILA GENERATOR LA UMEME HALIKUITIKIA KUUPOKEA MKATIKO HUO WA UMEME KAMA ILIVYO KAWAIDA TAKE; POSSIBLY HALIKUWA NA MAFUTA

BAADA YA MHUSIKA KUKOSA UMEME, ALIAMUA KUPELEKA GARI LAKE GEREJI, GIA ZILIKUWA ZIKISUMBUA KWA TAKRIBANI WIKI MBILI.

KULE ALENDA AKAFANIKIWA KUREKEBISHIWA TATIZO, JAPO MAFUNDI WALILALAMIKA KUWA KULIKUWA NA KITU KINGINE TENA CHA ZIADA AMBACHO KILIKUWA KIMEFANYIKA KWENYE GARI AMBACHO PIA KILIONEKANA WAZI KUWA ZILIKUWA NI HUJUMA

BAADA YA MHUSIKA KUTOKA GEREJI NA HATIMAYE KURUDI TENA OFISINI


OM-2 AKAFANYA KITU KINGINE TENA AMBACHO NDIYO KIMEPELEKEA TAARIFA HIZI ZOTE KULETWA HUMU JUKWAANI

KWA HALI HIYO, UKIACHILIA MBALI MATUKIO YA AWALI YA OM-2 KUJIFUCHA FICHA, MHUSIKA ANAOMBA IELEWEKE KUWA TAARIFA ZILIZOLETWA HUMU KIINI CHAKE HASA NI MWENENDO WA OM-2 ALIOUONYESHA HASA NDANI YA WIKI HII KUANZIA J3 HADI JANA ALHAMIS

MARA BAADA TU YA MHUSIKA KUINGIA NDANI YA JENGO, AKIWA YUPO GROUND FLOOR, ALIMUONA OM-2 AKIWA AMEBEBA COMPUTER YAKE ANAOTKEA KWENYE OFISI UPANDE ULE ZILIPO OFISI ZA ALIYEKUWA KAIMU MKUU WA IDARA AIYEPITA JUZI, AU KULE AMBAKO IPO OFISI YA ADMINISTRATIVE OFFICER WA MAJOR UNIT

HII ILIONYESHA KUWA, BAADA YA MHUSIKA KUONDOKA KWENDA GEREJI, OM-2 NAYE PIA ALITOKA OFISINI AKIWA PAMOJA NA COMPUTER YAKE

BAADA YA KUTOKA, OM-2 AKAWA AMEMTEGEA TENA MHUSIKA WAKATI WA KURUDI OFISINI NA ALIPORUDI, OM-2 ALIMUWAHI MHUSIKA KWA KUTANGULIA MBELE YAKE, MHUSIKA AKAWA YUPO NYJMA N.A. OM-2 AKIWA MBELE WAMEONGOZANA

K,ITENDO HIKI AUTOMATICALLY KILIKUWA KINAMKINGA OM-2 NA KAMERA ILIYOPO KWENYE KORIDO ISIWEZE KUMUMULIKA OM-2 WAKATI ALIPOKUWA ANARUDI OFISINI AKIWA AMEBEBA LAPTOP YAKE

ALITOKAJE YA OFISI AKIWA NA LAPTOP HIYO HILO SASA NI SWALA JINGINE AMBALO MHUSIKA HAWEZI KULIFAHAMU.

TAARIFA NYINGINE ZA NYONGEZA ZITAFUATA BAADAYE

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
KUHUSIANA NA MITIHANI YA SUPPLEMENTARY: ILIVYO KAWAIDA KWA MITIHANI YOTE YA SUPPLEMENTARY PALE IDARANI

MITIHANI HII HUWA HAIFANYIKII NJE YA JENGO LA IDARA KWA SABABU WATAHINIWA WA AINA HIYO HUWA NI WACHACHE MNO NA HIVYO KUPELEKEA VYUMBA VYA KUFANYIA MITIHANI HIYO KUWA VINGI KULIKO IDADI YA WANAFUNZI

HII INAONYESHA WAZI KUWA WAKATI WAFANYAKAZI WA USAFI WANAFIKA OFISINI KWA AJILI YA USAFI SIKU YA J3 WIKI HII, OM-2 ALIKUWA MAHALI FULANI TU AKIWA AME-HIBERNATE NA SI KWAMBA ALIKUWA ANASIMAMIA MTIHANI

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 30TH OCTOBER 2023

KUHUSIANA NA TATIZO LILE LILE LILILOTOKEA MARA MBILI NDANI YA KIPINDI KIFUPI SANA KWENYE GARI LA MHUSIKA KWA SIKU ZA HIVI KARIBUNI

COINCIDENCES ZA TATIZO HILO NA ABSENCE YA MR X MAZINGIRA YA OFISINI


Mara ya kwanza tatizo hilo lilitokea mara tu baada ya MR X kusafari

Baada ya siku kadhaa kupita, MR X alirudi na hatimaye alisafiri tena

Baada ya MR X kusafri tena mara ya pili, tatizo hilo nalo lilijirudia tena kwa mara ya pili

HITIMISHO

Ikumbukwe kuwa kabla ya matukio haya mawili ya siku za hivi karibuni kwenye gari la mhusika, mara ile ya mwisho hujuma zilipokuwa zimefanyika kwenye gari hilo; mhusika aliomba msaada akisema kuwa kwa sababu ilikuwa tayari imeshajulikana kuwa ambaye huwa anahusika na matukio hayo ni MR X, mhusika aliomba msaada wa MR X kudhibitiwa ili asiendelee tena kufanya hujuma kwenye gari hilo

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
 
TAARIFA MUHIMU ZA MUDA HUU KUHUSIANA NA OM-2:
OM-2 BADO ANAKWEPANA NA WAFANYAKAZI WA USAFI NA WATU WENGINE PIA

Kwa leo WATU WA USAFI hawajafika kabisa ofisini kufanya usafi, kitu ambacho siyo cha kawaida


Hata hivyo, kwa mara nyingine tena leo OM-2 aliweza kuonekana mazingira ya kwenye veranda wakiwa pamoja na mhusika; sehemu ambayo kawaida huwa wanapumzika wakiwa wanasubiria wafanyakazi wa usafi wanapokuwa wanafanya usafi ofisini kwao

Kwa mtu aliyewaona wakiwa maeneo hayo ya veranda, chances ni kwamba atakuwa alidhani kuwa watakuwa walikuwa wamewapisha wafanyakazi wa usafi kumbe hapana, haikuwa hivyo

KABLA HAWAJAONEKANA HAPO KWENYE VERANDA, OM-2 ALITOKA KWANZA KABLA YA MHUSIKA NA HATIMAYE KUMTEGEA NA KWENDA KUM-J0IN MHUSIKA ALIPOKUWA AMETOKA


Kilichotokea asubuhi hiyo ni kwamba mhusika alitoka kuelekea washroom na hatimaye kwenda kupumzika mahali pale kwenye veranda, na baadaye OM-2 naye alim-join mahali pale

  • Ilikuwa ni baada ya OM-2 kuwa ameondoka ofisini kabla ya mhusika na kuelekea sehemu nyingine, na hatimaye kumtegea mhusika alipokuwa yupo kwenye veranda na kwenda kum-join pale
  • Wakiwa wapo maeneo yale, muda si muda walitokeza MWI mstaafu wa 2006-2012 wakiwa na binti mgeni idarani na kuja kusimama karibu na pale walipokuwa mhusika na OM-2
Hapo hapo OM-2 aliondoka ghafla na kurudi tena ofisini na wala hakuweza kusalimiana nao

Asubuhi wakati mhusika anawasili mazingira ya ofisini, alimkuta OM-2 akiwa tayari ameshawasili ofisni

Kwa muda huu, OM-2 ana zaidi ya masaa matatu hayupo ofisini amelekea sehemu nyingine baada ya kuwa amepigiwa simu na mtu

Leo wafanyakazi wa usafi leo wameahirisha kufika kwa ajili ya usafi

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: TUESDAY, 31ST OCTOBER 2023

TAARIFA MUHIMU


OM-2 amepata safari ya dharura na hivyo leo amesafiri kuelekea mkoani

Kwa sasa mhusika yupo peke yake ofisini,; kuanzia leo hii

Taarifa zaidi zitafuata baadate

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA KUHIMU KUHUSIANA NA MATUKIO HAYA AMBAYO YAMEKUWA YAKIENDELEA OFISINI KWAO MHUSIKA NA OFFICE MATES WAKE WAWILI

ULINGANIFU WA BAADHI YA MAMBO KATI YA OM-1 NA OM-2


OM-1 alikuwa ni mwoga na alikuwa anaweza kupaniki kwa urahisi sana anapokuwa yuko kwenye mission

OM-2 yeye ni mtulivu sana, jasiri sana na asiyekuwa na paniki ya aina yoyote

Zaidi ni kuwa OM-2 anaonyesha kuwa ana watu wa uhakika zaidi nyuma yake, tofauti na alivyokuwa OM-1

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: WEDNESDAY, 02ND NOVEMBER 2023

KWA VIONGOZI WA KANISA A

USHAURI KUHUSIANA NA MBARAKA UNAOENDELEA HAPO KANISANI MUDA HUU

The idea is superb
, isipokuwa mhusika analo ombi la kuongezea kwenye mbaraka huo ushauri ufuatao

Kabla hajaendelea zaidi, mhusika anapenda kuwataarifu viongozi wa Kanisa A kuwa kwa kipindi hiki, yeye hatakuwa na nafasi ya kushiriki kwenye mbaraka huo kifedha ila ushiriki wake ni kama huu ufuatao hapa chini

BAADA YA KIASI X KILICHOKUSUDIWA KUKUSANYWA KUWA KIMETIMIA, MHUSIKA ANASHAURI MAMBO YAFUATAYO YAFANYIKE

Tofauti na plan iliyopo sasa ya kununua gari jipya, gari hilo jipya lisinunuliwe na badala yake mambo yafuatayo yafanyike

  • Iagizwe INJINI MPYA (BRAND NEW), ZERO KILOMITA, kutoka Japan, ije ifungwe kwenye gari lililopo sasa ambalo BODI YAKE BADO NI MPYA KABISA
  • Baada ya hapo, gari hilo lipelekwe kwenye gereji za wachina kwa ajili ya ukarabati wa ndani na wa nje na ikiwezekana libadilishwe kabisa rangi pamoja na material zake za ndani, ili rangi iliyo ndani ya gari iweze kuendana na ile iliyoko nje
Baada ya hapo, INJINI KUUKUU ifanyiwe ukarabati na hatimaye iuzwe

  • Pesa itakayopatikana kutoka kwenye injini ya zamani, iongezewe na ifikie kiasi cha kununua gari nyingie aina ya IST kwa ajili ya yule BIBI KIONGOZI MSTAAFU
  • Haya yote yanaweza kufanyika kwa kutumia si zaidi ya asilimia 40 ya kiasi X kitakachokuwa kimepatikana
KIASI KITAKACHOKUWA KIMEBAKI BAADA YA HAYA YOTE KUWA YAMEFANYIKA, APEWE MHUSIKA WA TUKIO KWA AJILI YA INVESTRMENT YA MUDA MREFU

Kiasi kitakachokuwa kimebaki tuesme asilima 60 au zaidi, apewe mhusika wa tukio kwa ajili ya ku-invest kwenye mradi wa muda mrefu kama vile KUNUNUA APARTMENT ZA SERIKALI ZINAZOUZWA CHINI YA SAMIA HOUSING SCHEME

Hata kama si kununua apartment, basi anaweza akaziwekeza kwenye mradi wake wa muda mrefu possibly uliopo, au anaoweza kuuanzisha kwa kutumia hiyo asilimia 60

USHAURI WA TAHADHARI KWA WAUMINI WA KANISA A NA VIONGOZI WAO

Wakati mwingine wamekuwa wakitumia fedha nyingi kufanya investment ambazo zinawafanya waonekane kuwalisha samaki mdomoni viongozi wao, badala ya kuwapatia BOTI KWA AJILI YA KUVUA SAMAKI

Gari jipya ambalo ni BRAND NEW, tayari lipo likiwa limepaki hapo Kanisani; na hivyo possibly kwa ushauri huu hawana haja ya kununua gari jingine jipya

Magari yenye ZERO KILOMETA huwa yapo Serikalini tu na kwa baadhi ya watu wachache sana maarufu tu kama vile akina “MO”

Gari la aina hiyo waumini wa Kanisa A wanalo tayari na ndiyo wanalotakiwa kumpa kiongozi wao, kama kweli wanampenda

Unless kama Kiongozi mhusika wa tukio anapendelea zaidi mpango uliopo sasa ambao uko tofauti na ushauri huu uliotolewa hapa

Ni ushauri kutoka kwa mhusika

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 03RD NOVEMBER 2023

COINCIDENCE NYINGINE MUHIMU KUHUSIANA NA NAMBA ZA MAGARI; AMBAYO HAPO KABLA MHUSIKA ALIKUWA HAJAWAHI KUIGUNDUA


Kuna mfanano mwingine pia wa namba za usajili za gari la mama wa kiroho wa mhusika na lile la mhusika, japo ni wa mbali kidogo

Mfanano huu mhusika aliubani J2 iliyopita ya tarehe 29/10/2023 baada ya mama wa kiroho kuhudhuria Ibada ya pili J2 hiyo. Kawaida mama huyu huwa anahudhuria Ibada ya kwanza

NAMNA MFANANO WA NAMBA HIZO ZA USAJILI ULIVYO


Kati ya tarakimu tatu zinazounda namba ya usajili ya gari la mhusika, tarakimu mbili zimefanana na zile zilizoko kwenye namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho

Mbali na tarakimu hizi mbili kufanana, tarakimu hizo zipo pia kwenye mpangilio uliofanana kwamba kwenye namba ya usajili ya gari la mhusika, tarakimu ya kwanza imefanana na tarakimu ya kwanza ya namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho, na vile vile tarakimu ya tatu nayo imefanana pia na tarakimu ya tatu ya namba ya usajili ya gari la mama wa kiroho

Tuseme kwa mfano tarakimu tatu za namba ya gari la mhusika ni 7-6-5; basi zile za la mama wa kiroho ni 7-2-5; tarakimu ya kwanza na ya tatu kwa magari yote mawili zikiwa zimefanana

KUMBUKUMBU MUHIMU KUHUSIANA NA GARI LA MHUSIKA NA MAMA WA KIROHO WA MHUSIKA

Kwenye wiki ile ya kwanza baada ya mhusika kuwa amelitoa gari lake bandarini mwaka 2013, mhusika aliimjulisha mama wa kiroho (MAKI) kuwa amepta tena gari jingine
  • MAKI alifurahi kusikia hivyo na alimuuliza mhusika kama tayari limeshawekwa wakfu, na mhusika alisema kuwa lilikuwa bado
  • Hapo MAKI alimshauri mhusika alipeleke gari hilo Kanisani katikati ya wiki hiyo siku ya J5 ambako angemkuta MZEE WA ZAMU, ili liweze kuwekwa wakfu
Mhusika alikubali na kweli ilipofika J5, alilipeleka gari hio Kanisani

MZEE WA ZAMU hakuwepo Kanisani siku hiyo

Badala yake alikuwepo Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A) na wasaidizi wake wawili wa kipindi hicho, ambao kwa sasa wote hawapo tena Kanisani hapo

Kwa hiyo gari la mhusika likawa limewekwa wakfu siku hiyo na machine hii KM-A pamoja na wenzake wawili

Taarifa zaidi kuhusiana na namna gari hili lilivyowahi kuwekwa wakfu, zipo kwenye post ya awali hii hapa #740

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: MONDAY, 06TH NOVEMBER 2023

MAIGIZO OFISINI


OM-2 AMERUDI OFISINI LEO J3 YA TAREHE 06/11/2023 NA KUANZA KUIGIZA KARIBIA KILA KITU AMBACHO MHUSIKA ALIWAHI KUKIONGELEA KWENYE POST ZAKE ZILIZOPITA WIKI JUZI ZILIXOHUSIANA NA OM-2, IKIWA NI PAMOJA NA KUKWEPANA TENA NA WAFANYAKAZI WA USAFI, HAWAJAMKUTA TENA OFISINI LEO

MAMBO HAYA AMBAYO YAMEKUWA YAKIENDELEA LEO NI MAIGIZO PERCE ISIPOKUWA MHUSIKA HAWEZI AKAACHA KUYAONGELEA KWA SABABU, KWA UELEWA WAKE INAWEZA IKATOKEA PIA YEYE AKAYAONA KUWA NI MAIGIZO KUMBE SIVYO BALI NI MATUKIO HALISI YENYE KUBEBA KITU HALISI NDANI YAKE

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: THURSDAY, 09TH NOVEMBER 2023

KWA MARA YA KWANZA TENA LEO WANAFUNZI WAPO CHUMBA CHA MICROSCOPE; JIRANI NA OFISI YAO MHUSIKA

KWA MARA YA KWANZA OM-2 HAJAFIKA OFISINI HADI MUDA HUU; HAYUPO OFISINI HADI MUDA HUU


Wanafunzi wamesharudi kutoka likizo na kwa muda huu wapo chumba cha MICROSCOPES wakiwa pamoja na MR X

Kwa mara ya kwanza OM-2 hajafika ofisini hadi muda huu

Assuming OM-2 anajaribu kuendelea kukwepana na baadhi ya watu idarani, basi kuna kundi kubwa la staff waliopo idarani, ambao wamejitioa mhanga kuhakikisha kuwa wanamu-cover OM-2, mmoja wao akiwa ni MR X

Mbali na hayo,
  • MKUU MAJOR UNIT hayupo, amesafiri
  • MKUU WA IDARA naye pia hayupo, amesafiri
OM-2 yupo ofisini tangu J3 ya wiki hii tarehe 06/11/2023, baada ya kuwa amerudi kutoka safari aliyofanya kwa muda wa wiki moja nzima

VERY RECENT IMPORTANT UPDATE:

Wanafunzi wametolewa tena chumba cha MICROSCOPE muda huu na walipotoka tu OM-2 ameingia ofisini muda huu mara tu wanafunzi walipotoka, akipishana na wanafunzi hao


WaNnaunzi wameingia na kukaa kwenye chumba hicho kwa muda wa dakika kama 10 tu hivi halafu wakatolewa tena. Kawaida wanatakiwa kukaa humo muda wa masaa matatu (3)

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Na inaonekana hata KAIMU MKUU WA IDARA naye pia leo hayupo
 
SENIOR MSATAAFU WA KIKE (SMKE), yeye hayupo ofisini tangu OM-2 alivyorudi kutoka safari, wamepishana
Wiki hii yote SMKE hajaonekana ofisini
 
KUHUSIANA NA HUJUMA ZILIZOFANYIKA HIVI KARIBUNI MARA MBILI KWENYE GARI LA MHUSIKA

MR X alihusika
, japo hakuwepo alikuwa yupo safari

Taarifa zaidi zitawajieni baadaye

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
UPDATE: FRIDAY, 10TH NOVEMBER 2023

YALE YALIYOJIRI OFISNI SIKU YA LEO KWA UFUPI


Kwa siku hii ya leo Ijumaa ya tarehe 10/11/2023, OM-2 yupo ofisini

Asubuhi alikuwa na kipindi ambacho si chake, kwa maana kuwa yeye hajapangiwa kufundisha kozi hiyo ila alikuwa ameenda kumsaidia mtu mwingine ambaye hayupo ofisini

BAADA YA OM-2 KUMALIZA KIPINDI CHA LEO

Alirudi ofisini na kutua begi lake na pasipo kuwasha komputa yake, alitoka tena ofisini na kuelekea sehemu nyingine

  • Kabla hajarudi ofisini, UMEME ULIKATIKA
  • Baada ya umeme kukatika, Katibu Muhtasi wa Mkuu wa Idara (KMWI) alifika ofisni akiwa anamtafuta OM-2
Mara ya mwisho KMWI alifika ofisini hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwezi wa 8 na alifika kwa ajili ya kuwatambulsiaha wanafunzi wageni mabinti wawili kutoka taaisisi nyingine, waliokuwa wamefika idarani kwa ajili ya kufanya mazoezi ya vitendo

  • Siku hiyo pia UMEME ULIKUWA UMEKATIKA, na hivyo aliwatambulisha wanafunzi hao Generator la umeme likiwa linaunguruma
  • Leo vile vile, amefika ofisini na kumkuta mhusika na wakaongea huku Generator la umeme likiwa linaunguruma
Baada ya KMWI kuondoka, OM-2 alifika ofisini akiwa anaongea na simu

Fact ni kwamba ukiondoa muda ule ambao OM-2 huwa anatoka nje ya ofisi kwa ajili ya kuwapisha wafanyakazi wa usafi pale wanapokuwa wamebahatika kumkuta yupo, kwa safari zingine zote akishatoka ofisini, huwezi kumuona mahali pengine popote ndani ya jengo la idara au nje ya jengo la idara

Hata hivyo kwa wiki jana na wiki hii pia, OM-2 amekuwa akionekana pale tu anapokuwa ametoka nje ya ofisi na kwenda darasani, pale anapokuwa yupo kwenye madarasa yaliyopo karibu na ofisi ya MWI

Taarifa nyingine zaidi zitawajieni baadaye

In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Back
Top Bottom