UPDAT: 2 JANUARY 2021
INAONYESHA KAMA KUNA MTU MWINGINE MMOJA KWENYE TAASISI NYINGINE TOFAUTI NA KANISANI/ OFISINI KWAKE MHUSIKA, AMBAYE NAYE NI
“ A VERY POTENTIAL THREAT” KWA MHUSIKA
Mwishowe amelazimika kuingia kwenye taasisi nyingine baada ya kuwa amevumilia matukio ya baadhi ya watu kwenye taasisi hiyo kwa muda mrefu, na mengine ambayo hata hayavumiliki. Mtu huyu ambaye taarifa zake zinaletwa kwenu wasomaji,
ni mfanyakazi wa Benki na ambaye si mmojawapo wa mameneja wa tawi la Benki hiyo kwa sababu meneja na kaimu wake walishajitambulisha kwake na anawafahamu
- Kama atakuwa ana cheo basi kitakuwa si kati ya hivi viwili vilivyotajwa hapa juu, na mhusika anakiri kuwa hafahamu cheo cha mtu huyu mbali na kumfahamu kama mfanyakazi wa beki hiyo
- Ni wa jinsia ya kike
- Na kama baadhi ya taarifa zilizotolewa humu zitakuwa ni za bahati mbaya tu kwake kwamba hazimhusu yeye, basi atakuwepo mtu mwingine wa pili na anayefahamiana naye na ambaye huwa wanashirikiana kwa pamoja
Kikubwa zaidi, MTU HUYU ANAONYESHA KUWA, MNAMO JULY 2020 KIPINDI MHUSIKA ANAPATA MSIBA WA GHAFLA WA MDOGO KULE MWANZA, ALIKUWA YUKO COORDINATED NA MAHASIMU WA MHUSIKA AMBAO HUWA WANA-OPERATE MITANDAO MINGINE YA UHALIFU (YA KANISANI NA OFISINI KWAKE MHUSIKA), NA HIVYO ALIJUA PASIPO SHAKA KUWA KUTAKUWA NA TUKIO LA MSIBA KWA MHUSIKA MWEZI HUO, NA KWAMBA MHUSIKA ANGELAZIMIKA KUSAFIRI KWA GHAFLA.
BAADA YA HAPO HUYU MTU WA BENKI ALICHOFANYA NI KUZUIA NOTIFICATION YA SMS KWEMYE SIMU YA MHUSIKA, WAKATI MSHAHARA WA JULY 2020 ULIPOKUWA UMEINGIZWA KWENYE AKAUNTI YA MHUSIKA
- Kawaida mhusika huwa anapata notification ya sms kupitia kwenye simu yake kila wakati kiasi cha pesa kinapoingia au kutolewa kwenye akaunti yake, bila kujali kuwa kiasi hicho kimetolewa au kuingizwa na nani
- Hivyo huwa anapata notifications hizi pia kila wakati mshahara wake unapokuwa umeingia kwenye akaunti yake
- Mnamo mwezi July 2020, mhusika hakupata notification ya sms kwenye simu yake mshahara ulipoingia kwenye akaunti yake
- Muamala huu wa kuingizwa kwa mshahara wake mwezi July 2020, ndiyo transaction pekee iliyofanyika pasipo yeye kupata notification kwenye simu yake, tangu aanze kuitumia akaunti hii tangu alipoifungua kwa mara ya kwanza mnamo August 2018
- Kwa hali hiyo hapo kabla hapakuwahi kutokea hata mara moja, scenerio ya kutolewa au kupokelewa pesa kupitia akaunti hiyo halafu mwenye akaunti akakosa notification ya sms kwenye simu yake.
- Hicho kitu hakikuwahi kutokea kabla, isipokuwa tu kimetokea kwa mara ya kwanza (na ya mwisho pia) mshahara wa July 2020 ulipokuwa umeingizwa kwenye akaunti ya mhusika
- Vile vile baada ya msahahara wa July 2020, mhusika hajawahi kukosa kupokea notification ya muamala wowote uliowahi kufanyika kwenye akaunti yake hadi leo hii January 2021
Benki hii tuiite Benki B (BB) na ambayo mhusika ana akaunti za aina mbili moja ikiwa ni ya fixed deposit na nyingine ya akiba au savings
Melezo ya kina kuhusu mfanyakazi huyu wa BB, yatafuata baadaye. Kwa sasa mhuiska anawaomba wasomaji waangalie machache kuhusiana na Benki A, ambayo mhusika alikuwa mteja wake kabla hajafungua zake kwenye BB. Hata mara baada ya kwuwa mhusika amefungua akaunti zingie mpya kwenye BB mnamo August 2018, bado pia aliendelea kuwa mteja wa Benki yake ya mwanzo, yaani Benki A, mpaka mnamo mwanzoni mwa mwezi April 2020 alipolaznika kuzifunga akaunti zote alizokuwa nazo kwenye Benki A (BA) na kuhamia kwa ujumla BB
Hapo awali kabla ya April 2020, mshara wa mhusika ulikuwa unaingia kupita akaunti yake iliyokuwa BA, na kuanzia April 2020, mshara wake umekuwa ukiingia kupitia BB. Hii ni baada ya kuwa amefunga akaumti zote alizokuwa nazo kwenye BA.
Kwa hiyo mpaka Desemba 2020, mshahara wake umwekuwa ukiingia kupitia akaunti yake ya BB na kwenye miamala ya mishahara yote ya kipindi chote hicho, amekuwa akipokea notifications pindi inapokuwa imeingizwa kwenye akaunti yake, isipokuwa tu kwa mshahara ule wa July 2020. Zaidi ni kuwa mhusika
amewahi vilevile kupata notifications za sms pasipo kukosa hata mara moja kwa miamala mingine yote isiyokuwa na uhusiano na mishahara, ambayo ilishawahi kufanyaika kwenye akaunti yake, kila miamala hiyo ilipokuwa ikifanyika
Kwa kufupisha tunaweza kurudia kwa kusema kuwa:
- Akaunti hizi alizonazo kwa sasa kwenye BB, alizifungua kwa mara ya kwanza mnamo August 2018, na hivyo kabla ya hapo hazikuwahi kuwepo
- Kabla ya hapo mhusika alikuwa na akaunti zinazofanana kiasi na hizi kwenye Benki nyingine ambayo imeelezwa kuwa ni BA
KILICHOPELEKEA MHUSIKA KUFUNGUA AKAUNTI ZINGINE KWENYE BB
Ni kwamba kuna mazingira fulani yalijitokeza mwaka 2018 kwenye BA ambayo hayakuwa mazuri kwake kibiashara na hivyo ikabidi, ahamie BB ila pasipo kuwa amezifunga akaunti za BA kwa sababu mojawapo ya akaunti hizo ilikuwa inatumika kwa ajili ya kupokea mshahara wake.
- Pia alikuwa na akaunti nyingine ya pili kwenye BA ambayo ilikuwa ina-operate kama multiple/variable deposts with fixed terms for withdrawals
- Ilikuwa inaruhusu kuweka pesa muda wowote lakini unachukaua mara moja tu kwa mwaka
- Ilikuwa inatoa interest rate ya chini ya 10% p.a ila juu ya 6% p.a.
- Akaunti hii aliifungua tangu June 2016
- Ilipofika mnamo July 2018, BA walishusha interet rate hadi asilimia sifuri nukta tano (0.5%) kinyume na makubaliano ya mkataba uliokuwepo wa akaunti hiyo, na pasipo taarifa yoyote (and without any official notifications), hali iliyosababisha mhusika kuingia hasara ya kiasi cha takribani shilling million kwa muda wa miezi miwili ya July na August 2018
Kutokana na hali hii, mhusika alilazimika kwenda BB ambao wao walimpa rate kubwa asilimia mbili juu (2% extra) ukilinganisha na rate ile ya mwanzo iliyokuwa inatolewa na BA (kabla BA hawajashusa rate hiyo na kuwa 0.5%)
Baada ya kuwa amefungua akaunti na watu wa BB, mhusika alihamisha fedha yake yote iliyokuwemo kwenye akaunti ya BA na kuihamishia kwenye akaunti ya Fixed Deposit ya BB.
- Hata hivyo mhusika hakuifunga akaunti hiyo kwenye BA, ila aliamua kuiacha ikiwepo isipokuwa ikiwa ina minimu balance
- Still, mhusika alikuwa pia anayo Savings Akaunti kwenye BA ambayo ndiyo mshahara wake ulikuwa unakuwa posted kupitia akaunti hiyo kila mwezi. Kwa hiyo akaunti hii nayo pia iliendelea kuwepo kwenye BA
Baada ya kuwa amehamishia fedha yake kwenye Fixed Deposit ya BB, huko nako alishauriwa kufungua Savings Account kabla hajafungua hiyo Fixed Deposit, kitu ambacho ni kawaida na ni kizuri na convenient sana kwa mteja pamoja na bakers wenyewe
Kwa hiyo mpaka August 2018, mhusika akawa anamiliki akaunti nne kwenye benki mbili tofauti, mbili zikiwa kwenye BA na zingine mbili kwenye BB, huku mshahara wake ukiwa unaendelea kuingia kupitia BA, yaani benki yake ile ya mwanzo
Zaidi ni kuwa BA ina tawi mahala pa kazi pa mhusika na ndipo alipokuwa amefungulia akaunti zake, ila BB haina tawi mahali hapo japo nayo vileilev haipo mbali kutoka mahala pa kazi pa mhusika
Mahala kule alikoenda kufungua akaunti na BB, nako pia kuna tawi jingine la BA. Kwa hiyo BA wao wako potepote wakati wakati BB wao wapo mahala pamoja
Kwa hiyo, kwa ufupi ni kwamba kushuka kwa riba mpaka 0.50% kwenye BA, ndiko kulimfanya mhusika akafungue akaunti zingine BB ila pasipo kuzifunga akaunti zake kwenye BA. Hata hivyo akaunti hizi (za BA) alikuja baadaye hivi karibuni, kulazimika kuzifunga (mnamo April 2020 takribani miaka miwili baadaye tangu afungue akaunti mpya na BB), kutokana na sababu zingine za msingi zilizojitokeza tena wakati huo; sababu ambazo kama zisingejitokeza, hakuwa na nia ya kuzifunga akaunti hizo. Maelezo ya sababu hizi zilizopelekea afunge akaunti hizi yatafuata baadaye
MWANZO WA MATUKIO YA UHUSIKA WA MFANYAKAZI HUYU WA BB,
PURPOTEDLY TO BE A POTENTIAL THREAT
- Kwa kuzingatia ukweli kuwa mhusika alifungua FDR ya mwka mmoja kwenye BB kuanzia mwishoni mwa August 2018, hivyo ilipofika mwishoni mwa August 2019, akaunti hiyo ikawa imeiva na kuwa ime-expire vilevile
- Siku kadhaa kabla ya kuiva kwa akaunti hiyo, mhusika alifika Benki na kutoa notification ya kukumbushia pesa zake, yaani Principal Amount (PA) pamoja na riba zoe kwa pamoja, zingizwe moja kwa moja kwenye akaunti yake ya akiba, siku ya hiyo hiyo ya kuiva kwa akaunti hiyo, na si ninginevyo
Hata hivyo, baada ya siku ya kuiva kwa akaunti kuwadia, yaani siku ya 366 tangu siku ya kufunguliwa kwa akaunti hiyo, maelekezo ya mhusika hayakuzingatiwa, na mtu aliyehusika na ukiukaji wa taratibu hizi ndiye huyu ambaye maelezo yake yamesababisha mlolongo wa taarifa yote hii
- Ni kwamba siku hiyo jjioni yake mfanyakazi huyu wa BB aliingiza riba tu (bila PA), tena riba iliyokuwa pungufu, kwenye akaunti ya akiba ya mhusika
- Riba aliyoingiza ilikuwa pungufu kwa PA ya million tano (5,000,000/=), yaani PA tajwa hiyo riba yake ya mwaka mzima haikuingizwa, ilikuwa inakosekana
- Na kwa sababu alipost riba iliyokuwa pungufu, alitarajia pia kuingiza PA (kwa muda ambao alikuwa ameupanga yeye kuwa ukifika ndiyo ataingiza PA hiyo) ambayo nayo ingekuwa pungufu pia, ila safari hii kwa kiasi hicho cha shilling million tano
- Baada ya kuona hivyo mhusika alienda BB na kuonana na mfanyakazi husika aliyekuwa amefanya muamla huo na kumpa clarifications ya mapungufu yaliyokuwa yamejitokeza
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika na mfanyakazi huyo kuonana na kuongea
- Mfanyakazi huyu aliyakubali marekebisho yote na kukubali kuyashughulikia haraka iwezekanavyo, kwa kuongeza kiasi cha riba kilichoonekana kupungua na pia kuingiza PA haraka iwezekanavyo kwenye akaunti ya akiba ya mhusika kwa sababu kwa wakati huo FDR tayari ilikuwa imesha-expire na mwenye pesa alikuwa haelewi wakati huo pesa yake hiyo ilikuwa iko kwenye akaunti gani ndani ya taasisi hiyo ya fedha
- Na kama hela hiyo ilikuwa labda tuseme kwenye suspense akaunti, mhusika bado anajiuliza hadi leo kuwa, hiyo suspense account ilikuwa ni ya aina gani
Baada ya mhusika kuachana na mfanyakazi huyo, muda mfupi baadaye
mhusika alipokea notification ya kuingizwa kwenye akaunti yake ya akiba, kiasi cha riba ile iliyokuwa imepungua, ila safari hii tena bila PA.
Mhusika hakumbuki ni siku ngapi zilipita bila ya PA hiyo kuwa posted kwenye aacount yake ya akiba, ila anachokumbuka zaidi ni kwamba:
- Baada ya siku kadhaa kupita, ilibidi arudi tena BB kuonana na mfanyakazi huyo kujua ni nini kilipelekea aache kupost tena PA hiyo kwenye aacount ya akiba ya mhusika na pasipokuwa na notification ya aina yoyote kama walivyokubaliana siku walipoonana kwa mara ya kwanza hapo benki, ukizingatia kuwa namba ya simu ya mhusika ilikuwepo kwenye kila jalada lake lililopo hapo benki. Kwa hiyo mhusika aliamini kuwa kama kungekuwa na sababu ya msingi ya ucheleweshaji wa fedha hizo, mfanyakazi HUYO ANGEWEZA KUMTUMIA MWENYE FEDHA SMS AU HATA KUMPIGIA kumjulisha kitu kilichokuwa kinakwamisha fedha hizo kuingia kwenye akaunti ya mteja wake. (Kuna maelezo mengine yenye uhusiano na haya yaliyoandikwa hapa kwa herufi kubwa, yatafuata huko baadaye)
-
Baada ya mhusika kufika benki, mfanyakazi huyo alitoa maelezo ya udhuru wa mambo mawili kama yafuatavyo, kwamba”
- Authorisation order ya kutoa fedha kutoka kwenye FDR ya mteja na kuziingiza kwenye savings account yake, inayotoka kwa mteja kwenda benki, bado ilikuwa haitoshi kufanya mfanyakazi huyo ahamishe pesa kutoka kwenye account XXXXXXX?????? (ambayo sasa kwa kipindi hiki account hii haikuwa FDR ya mteja mwenye fedha maana FDR iilikuwa tayari imesha--expire siku kadhaa nyuma)
- Kawaida mteja anatakiwa ajaze withdrawal slip pamoja na deposit slip azitoe mwenyewe kwenye FDR yake na kuziingiza mwenyewe kwenye Savings Account yake
Assuming kweli utaratibu pekee unaokubalika ki-benki ulikuwa ndiyo huu ambao mfanyakazi huyu aiuelezeea kwa mhusika, msomaji inabdi akumbuke kuwa,
- Mfanyakazi aliyekuwa anatoa maelezo haya kwa mhusika ndiyo yeye yule yule waliyekutana na mhusika kwa ajili ya ku-clear discrepancy iliyokuwa imejitokeza kwenye kiasi cha riba ambacho mwanzoni kiliwahi kuingizwa kwenye account ya mteja kikiwa pungufu
- Kama utaratibu pekee wa kibenki kwa ajili ya PA ya mteja kuingizwa kwenye Savings account yake kweli ulikuwa uko hivyo, mfanyakazi huyu alitakiwa aliseme hilo mapema siku mteja alipofika hapo benki akiwa anataka PA iingizwe kwenye Saningd Account yake, na wakati huo FDR ikiwa tayari imesha-expire
- Mfanyakazi huyu hakulisema hilo siku hiyo, na mteja alipoondoka mfanyakazi huyu haku-post tena PA kwenye aaccount yake kama walivyokubaliana, na pia alikaa kimya
- Assuming kweli mfanyakazi huyu alikuwa yuko sahihi siku hiyo, na tuseme pengine labda alijisahau kumjulisha mteja utaratibu sahihi na kujikuta amemwacha akaondoka, bado hakuchukua hatua ya kumpigia hata simu mteja huyo kumjulisha kuwa utaratibu wa kuingiza fedha hizo kwenye savings account yake ulikuwa haujakamilika, na kwamba mteja alitakiwa kurudi tena benki kwa ajili ya kuweka sawa utaratibu huo. Hata hili nlo pia, mfanyakazi huyu hakufanya
Kwa hiyo siku mhusika alipofika Benki kwa ajli ya kufuatilia kwa mara nyingine tena swala hili la PA iliyokuwa imegoma kuingia kwenye akaunti yake ya akiba, alifuata maelekezo yaliyotolewa na mfanyakazi huyo na hatimaye hela hiyo iliingia kwenye account stahiki siku hiyo.
Na kwa wakati huo benki hiyo walikuwa wametoa ofa ya rate mpya ya 12% p.a kwa miaka miwili, kwa FDR, lakini kwa yale aliyokumbana nayo mteja kutoka kwa mfanyakazi huyu, alisita kufungua tena FDR nyingine na kuamua kuziacha hela zake kwenye akaunti ya akiba mpaka mwishoni mwa april 2020, yaani zikawa ziko idle kwa muda wa miezi minane mizima, kuanzia August 2019 mpaka 30 April 2020. Siku ya Mei Mosi 2020 ndiyo alipata tena courage ya kufungua tena FDR nyingine ila kwa rate ya kawaida ambayo iko chini ya 10% kwa sababu promotion ile ya 12 % ilikuwa tayari im eshapita.
Baada ya hapo, mwishoni mwa Desemba 2020, alijulishwa na mfanyakazi mwingine hapo benki kuwa kulionekana muamala kwenye akaunti yake, ulioonyesha kuwa takribani Shillingi elfu mbili (2,000/=) ziliingizwa kwenye akaunti yake hiyo kama riba iliyotokana na kiasi cha pesa kilichokuwa kimekuwepo kwenye account yake hiyo ya akiba kwa kipindi cha kuanzia January hadi Desemba 2019, kiasi cha riba ambayo kwa namna yoyote ile kilikuwa haiendani hata kidogo na kiasi cha fedha iliyokuwamo kwenye akaunti hiyo kwa muda wa wa mwaka mzima, hasa ukizingatia ukweli kuwa fedha kubwa yote iliyotoka kwenye FDR ilikaa kwenye account hiyo kwa muda wa miezi mine mizima tangu Septemba 2020 mpaka Desemba 2020,, kiasi kwamba kama angeamua kuziweka tena kwenye FDR kuanzia mwezi huo na kwa rate ya ofa iliyokuwepo ya 12%, kwa muda wa miezi hiyo minne ukiongeza na mingine tena minne ya mwaak huu, riba ya muda huo pekee ambao haufiki hata mwaka, ingechangia kwenye fedha hizo za PA, kiasi cha fedha isiyopungua nillion 6 kwa muda huo tu peke yake.
Baada ya kuelezwa kuwa kuna transaction ya riba ya TZS 2,000/= ilikuwa posted kwenye account yake, alihoji kwa nini walifamua kufanya hivyo. Mfanyakazi huyu mwingine wa sasa, akamshauri aandike barua ya madai kwa rate ya interest ya makubaliano ya kwenye savings account yake wakati alipokuwa anaifungua. Alipoandika barua na kuiwasilisha tena benki, aliikabidhi kwa mfanyakazi huyu na mara tu alipoondoka benki siku hiyo, akapta notification ya sms kwenye simu kiasi cha takribani laki mbili (200,000/=) kimeingizwa kwenye account yake kama UNDERPAID INTEREST, kiasi ambacho ni kidogo mara sita (6-times less) ukilinganisha na kiasi ambacho walikubaliana kama rate ya savings wakati wa kufungua account.
Akarudi tena benki kuuliza nini kilitokea mpaka laki mbili zikaingizwa kama riba kwenye account yake
- Akashauriwa tena arudi akaandike barua ya rufaa
- Akaadika barua safari hii akionyesha kwa ufasaha zadii kiasi cha pesa alichokuwa anastahili kupata kwa rate husika
- Mwanzoni hakuwa amefanya hivyo, alionyesha rate tu na muda, na kuomba aongezewe asilimia moja ya nyongeza juu ya ile riba ya kawaida waliyokuwa wamekubaliana wakati wa kufungua akaunti
- Kiasi cha pesa alichostahili kulipwa kutokana na maombi hayo, hakuwa amekionyesha kwa sababu wao benki wanazo details zote, wangepiga tu kulingna na rate aliyokuwa ameomba wakihusianisha na benki statement ya muda husika
- Mawazo yake yeye yalikuwa ni kwamba kama kiasi hicho kingepungua kulingana na namna ambavyo alikuwa ameomba, basi angechukua statetement na kuitumia kwa ajili ya kuonyesha discrepancy ambayo ingekuwa imejitokeza
Kwa hiyo kwa safari hii ya pili, ilibidi aonyeshe kiasi halisi cha fedha kwenye barua ya madai. Hata hivyo mwisho wa mwaka 2020 kuna kiasi amekiona kimeingia kinachofanana na kile cha mwanzo, ambacho anahisi pengine labda ndiyo hiyo riba tena ya miezi minne ya mwaka 2020, (ile riba ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili miezi mingine minne ya mwaka 2019). Hii riba ya sasa nayo vilevile iko pungufu zaidi ya mara 6 ya kiasi kilichoatakiwa na ambacho mteja alikuwa ameonyesha kwenye madai yake ya hivi karibuni
KILICHOTOKEA HIVI KARIBUNI KUHUSINA NA MFANYAKAZI HUYU AMBAYE HABARI ZAKE ZINAELEZWA HUMU
Wiki jana (wiki ya Christmas), siku ya Jumatano au Alhamis, mhusika alistukia anapokea sms kutoka benki
- Sms haikutoka kwa mfanyakzi anayeongelewa hapa. Ila possibly kwa hawa watoto ambao huwa wanakuwa wapo customer service (CS)
- Ilisomeka ikiwa inaonyesha kama mfanyakazi wa CS alikuwa ameagizwa kumwandikia mteja ujumbe huo
- Ujumbe ulikuwa unamuomba mteja aende Benki akachukue barua ya majibu yake kuhusiana na madai yake ya riba hiyo ya miezi minane ambayo imeongelewa hapo juu
- Sms pia ilisisitiza kuwa kama mteja hana nafasi, basi awajulishe ili wao watume mtu wa kumpelekea mteja huyo majibu ya barua yake, ofisini kwake
Huu utaratibu wa pili wa kuletewa majibu ofisini, mhusika aliubaini kwa uhakika kuwa ndani yake kulikuwa na mtego, isipokuwa kwa utaratibu ule wa kwanza akabaki hana uhakika sana kama nao pia ulikuwa na setup ya mtego ndani yake, yaani ule wa kuambiwa afuate barua ya majibu. Mhusika hakufanya vyote viwili na wala hakuujibu ujumbe huo mfupi, hadi jana Alhamisi (01/01/2020) alipostukia anapata notification ya kiasi kidogo cha fedha kuingia kwenye account yake ya fedha
Kwa kifupi tu I kwamba nmtego huu uliokuwa unataka kutumika hapa, set up yake ana uzoefu nayo kwa kwa miaka kdhaa sasa. Mbinu yake alishawahi kuiongela huko nyuma na akadai kuwa ilibuniwa na wataalamu fulani pindi alipokuwa yuko uhamishoni
KANISA B, KULE AMBAKO ALIDAI KUWA WAPO WACHACHE LAKINI MAJASIRI, WAKATI KANISA A WAPO WENGI ILA WAOGA!
Kwa hiyo, kwa ufupi tu mi kwamba kuna mtu yuko BB ambaye naye amechachamaa, amevaa pensi anatroti, na alerts zote za mhusika zinamuonyesha kuwa mtu huyo yuko katika hali hiyo.
Zaidi ni kuwa kuna pilika pilika zimekuwa zikiendelea ofisini kwa siku kadhaa nyuma hadi kufikia wiki hiyo ya Christmas ambazo details zake asingependa kuzi-disclose sana, ila ambazo zinamthibitishia kuwa ile sms ya kutoka BB ilikuwa na mtego 100%, na ilikuwa na coordination na baadhi ya watu wa ofisini. Na kwa yale ambayo yamekuwa yakiendelea ofisini kwa wiki kadhaa nyuma hadi kufikia wiki hiyo ya Christmas, yalikuwa tayari yameshamuweka kwenye tahadhari ambayo mtego wa aina hiyo kutoka BB au mahali pengine popote pale, alikuwa anautarajia pasipo mashaka yoyote
HITIMISHO:
Kuna maandishi mwandishi aliyabold hapo juu, akidai kuwa kuna maelezo yake ya nyongeza yatafuata baadaye. Maelezo ya nyongeza kuhusiana na maandishi hayo ni kama ifuatavyo:
- Ikumbukwe kuwa wakati PA inasuasua kuingia kwenye savings account ya mhusika mnamo August 2019, hapakuwa hata na sms ya kumjulisha mteja kuwa kuna tatizo lilikuwepo lililokuwa linapelekea PA iisiingie kwenye account yake kwa wakati
- Lakini wiki jana alipokea sms ya kumtaka akachukue majibu ya barua benki, au aletewe ofisini kwake
- Hizi issue mbili mtu akijaribu kuzilinganisha, ataona wazi kabisa kuwa ile ya kwanza ambayo mteja hakuwahi kutumiwa hata sms, ilikuwa na uzito mkubwa muno ukilinganisha na hii ya juzi ambayo mteja alibahatika kutumiwa sms ikimtaka akachukue majibu ya barua yake au aletewe ofisini
Hali hii pekee inathibitisha tena pasipo shaka kuwa hata kwenye issue hii ya pili kulikuwa na jambo lililokuwa limepinda pia
Huyu ndiyo mfanyakazi wa BB na namna anavyojaribu ku-operate kwenye mtandao wa watu hawa,
na ambaye mwezi July 2020 ali-block nofication ya sms ya muamala wa mshahara wa mhusika pindi ulipoingia kwenye account. Kwa wakati huo, the arrangement was simple. Mhusika alitakiwa asafiri kwenda msibani, kwa hiyo alitakiwa awe na pilika pilika nyingi sana za hapa na pale na ndani ya siku moja tu, kabla hajaondoka ghafla kuelekea msibani; huku ruhusa ya mwajiri, huku pilika pilika za benki kwa ajili ya kutoa pesa ya mahitaji akiwa anajiandaa kuelekea msibani, n.k.
NEXT:
Kwa nini alifunga akaunti zote kwenye Benki A (BA) na kuhamia BB moja kwa moja
- Tukio jingine la linaloshahibiana na hili la sasa lililowahi kuhusisha mtu/ watu wa BA kipidi cha nyuma mwaka 2017,
- lilikuwa coordinated na mtu/ watu kutoka BA wakishirikiana na Mkuu wa Idara wa ofisini kwa mhusika, pamoja na MAMA-SENIOR MSTAAFU
Hatua alizochukua mhusika baada ya tukio hilo tajwa
- Aliujulisha uongozi wote wa ngazi ya juu wa taasisi anayofanyia kazi kwa maandishi
- Viongozi wote watano wa mwanzo wa ngazi za juu kabisa kwenye taasisi anayofanyia kazi mhusika aliwapa nakala ya barua ya malalamiko yake juu ya tukio hilo
- Tukio lilihusiana na kutaka kumdhuru mhusika na baada ya hapo wahusika walikuwa wamepanga kuchukua kila kitu chake kilichokuwa benki, yaani fedha yake yote, wakishirikiana na baadhi ya watu wa BA wasiokuwa waaminifu
- Kwa hiyo wahusika walishirkia na baadhi ya bankers wa BA
- Katika tukio hili pia, MAMA-SENIOR MSTAAFU alikuwa miongoni mwao
Kwa kuwakumbusha tu wasomaji ni kuwa huyu MAMA-SENIOR MSTAAFU ni mama ambaye kwenye tukio la hivi karibuni la msiba uliotokea kwa Mkuu wa Idara, ndiye aliwahi kupaki gari pembezoni mwa bararbara jioni moja siku ya Alhamis, barabani nje na nyumbani kwa mfiwa
Mhusika akiwa anapita kurudi nyumbani jioni hiyo, gari ya mama huyu aliiona na akadhani kuwa mama huyu alifika pale kwa ajili ya kuwapa salamu tu ila kumbe haikuwa hivyo. Wakati huo mhusika alikuwa hajajua kuwa kuna tukio la kuondokewa na mtu lilikuwa limetokea nyumbani pale
Mhusika anaomba awe wazi na akiri kabisa bila kuficha kuwa kuna watu ambao kama wasingesoma na wakabahatika kuajiriwa ofisini, katika kutafuta pesa walikuwa ni majambazi tena yale ya kutumia silaha nzito
Mkuu wake wa Idara akiwa mmoja wao! Mhusika anaomba akiri kabisa pia kuwa pamoja na yote haya, kabisa hamchukii hata kidogo mtu huyu isipokuwa anaonge kwa namna jinsi ambavyo huwa anamuona alivyo
EBR. 6:4-6 SUV
K
wa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo, wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.