Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #661
MAELEZO YA KINA KUHUSINA NA YALE YALIYOJIRI SIKU YA ALHAMISI TAJWA KUANZIA ASUBUHI AKIWA BADO YUKO NYUMBANI HADI ALIPOFIKA OFISINI NA HATIMAYE KUTOKA OFISINI NA KURUDI TENA NYUMBANI
Aliondoka nyumbani akaacha umeme ukiwa umekatika, akafika ofisini na kukuta nako pia umekatika
Baadaye alilazimika kutoka ofisini na kurudi nyumbani baada ya saa 8 za mchana, akiacha umeme ukiwa bado haujarudi, na alipofika nyumbani akakuta umeme umesharudi
Kwa hiyo kwa kifupi, alitoka nyumbani umeme ukiwa umekatika, akafika ofisini na kukuta nako pia umekatika, akatoka ofisini akaacha bado umekatika, ila alipofika nyumbani akakuta kwenye umesharudi
MAELEZO YA KINA KUHUSINA NA YALE YALIYOJIRI SIKU YA ALHAMISI (YA WIKI JANA) YATAREHE 10/06/2021
Kwa hiyo, pamoja na kukuta umeme ukiwa umerudi nyumbani siku hiyo, bado mhusika aliamua kwenda kununua bites kutokana na sababu kuu mbili zifuatazo
MTIZAMO WA MHUSIKA KUHUSINA NA JIRANI WAKE WA ZAMANAI NA YULE WA SASA, AKIWAHUSIANISHA NA MATUKIO HAYA YA HUJUMA KWENYE GARI LAKE
Kwa mtizamo wake yeye anaona KAMA watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika kuratibu matukio haya, kuanzia lile la la kwanza mwaka 2019 hadi haya mengine mawili ya hivi karibuni:
Kuna wafanyakazi wenzake na mhusika (watatu) ambao waliwahi kutoa details au comments zilizoonyesha inconsistency ya wazi kuhusiana na tukio la kukatika umeme huo ofisini na hivyo kupelekea mhusika kuanza kupata picha ya kama kulikuwa na kitu kingine cha nyongeza ndani ya tukio hilo, japo hakuwa na uhakika sana na hilo. Wafanyakazi hawa ni

- Aliondoka nyumbani akaacha umeme ukiwa umekatika; alifika ofisni akauta vile vile umeme vileukiwa umekatika, na aliondoka ofisini akaacha umeme ukiwa umekatika; ila alirudi nyumbani akakuta umeme ukiwa umesharudi
- Alirudi nyumbani mida ya baada ya saa 8 mchana
- Akifika nyumbani baadaye itabidi aende mtaani kutafuta bites kwa ajili ya chakula cha jioni
- Huwa anakula mara moja tu kwa siku, bajeti yake kwa sasa hairuhusu kumuwezesha kula mchana na jioni.
- LABDA KAMA IKITOKEA AKALIPWA STAHIKI ZAKE PAMOJA NA MALIMBIKIZO YA PESA AMBAZO AMEKUWA AKIZIDAI KWA MUDA MREFU SASA, BASI KUNA UWEZEKANO AKAANZA KUWA NA RATIBA YA KULA MCHANA PIA
- Hela hivyo hela anayopata inamruhusu kula mchana na usiku
Kwa hiyo, pamoja na kukuta umeme ukiwa umerudi nyumbani siku hiyo, bado mhusika aliamua kwenda kununua bites kutokana na sababu kuu mbili zifuatazo
- Aliondoka nyumbani umeme ukiwa umekatika, na alitoka ofisini umeme ukiwa umekatika. Kwa hiyo psychologically alikuwa ameji-set katika hali ya kukuta umeme haupo nyumbani pia
- Na kwa sababu sikolojia yake ilikuwa imejijenga katika mazingira ya kukuta hakuna umeme nyumbani, saikolojia hiyo hiyo pia ilikuwa imem-set katika hali ya kula chakula cha jioni tofauti na kile alichokuwa nacho nyumbani kwake
- Shambulio hilo lilitokea mara tu baada ya kuwa amemaliza pilika pilika zake mtaani na hatimaye kuamua kuwasha gari ili arudi nyumbani
- Wakati anageuza uelekeo wa gari ili aanze kurudi nyumbani, ndipo kipindii alipobaini kutokea kwa kasoro ya ghafla kwenye gari yake
MTIZAMO WA MHUSIKA KUHUSINA NA JIRANI WAKE WA ZAMANAI NA YULE WA SASA, AKIWAHUSIANISHA NA MATUKIO HAYA YA HUJUMA KWENYE GARI LAKE
Kwa mtizamo wake yeye anaona KAMA watu hawa wamekuwa wakishirikiana katika kuratibu matukio haya, kuanzia lile la la kwanza mwaka 2019 hadi haya mengine mawili ya hivi karibuni:
- .Inaonyesha KAMA irani wa sasa huwa anatekeleza matukio hayo usiku kwa vitendo halafu huyu wa zamani yeye huwa anatengeneza maigizo siku moja kabla ya tukio ili hujuma zitazofanyika zipelekee mhusika adhani kuwa si hujuma bali ni mashambulio la kiroho
- Kwa hiyo dhana aliyonayo mhusika kwenye matukio haya yote ni kwamba hayana uhusiano wowote wa masmabulio ya kiroho bali ni hujuma za kawaida au kwa lugha nyingine watu huwa wanasema “ordinary organized crime”
Kuna wafanyakazi wenzake na mhusika (watatu) ambao waliwahi kutoa details au comments zilizoonyesha inconsistency ya wazi kuhusiana na tukio la kukatika umeme huo ofisini na hivyo kupelekea mhusika kuanza kupata picha ya kama kulikuwa na kitu kingine cha nyongeza ndani ya tukio hilo, japo hakuwa na uhakika sana na hilo. Wafanyakazi hawa ni
- Wa kwanza: aliyekuwa ni msimamiszi wa ukarabati wa hivi karibuni wa jengo
- Wa pili ni yule ambaye aliwahi kukaimu ukuu wa Idara Januari 2021 , halafu akatokea (katika kipindi hicho) kwamba barua za madai ya stahiki za mhusika alizokuwa akiandika kwenda mamlaka za juu, kuwa zinarudishwa (kwa kutokupitishwa) na hivyo kupelekea mhusika kutofanikiwa kupata stahiki hizo hadi leo hii
- Wa tatu ni aliyewahi kuomba lift kwenye gari la mhusika, kurudi nyumbani kutokea mjini, siku mhusika alipokuwa amehudhuria mkutanoo wa kimataifa ukumbi wa Mwalimu Nyerere mwaka 2017 ; mkutano uliokuwa umeandaliwa na MR Y