Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #761
SAFARI ALIZOWAHI KUFANYA MHUSIKA AKIPANGIWA NA BOSSX
……………inaendelea
……” alikutana na watu watatu, staff-mates… Wawili walikuwa wanabadilisha ndege kwenda nchi nyingine na mwingine wa tatu alikuwa anasubiria ndege ya kurudi Tanzania.”
SAFARI YA PILI, NJE YA NCHI, NDANI YA AFRIKA
Safari hii lifanyika Desemba 2009, nje ya nchi, ndani ya Afrika, nchi jirani
SAFARI YA MWISHO YA MHUSIKA
Hii aliifanya May 2012
Akiwa yupo Dodoma amepanda kwenye gari la kuja Dar es Salaam, kwa mara nyingine tena.....……” alikutana na watu watatu, staff-mates…
Watu hawa walimkuta mhusika akiwa tayari ameshapanda kwenye gari la kuja Dar es Salaam
Usiku uliokuwa umepita mhusika alilala Kiteto, na asubuhi yake ndiyo akawa amepanda gari kuja Dodoma, tayari kwa safari ya kurejea Dar es Salaam
Baadhi ya maelezo ya safari hii alishawahi kuyaleta humu jukwaani kupitia post hii hapa #504
Kutokana na hali hiyo, mhusika alilazimika kuwaacha pale wenzake hao watatu wakiwa wanasubiria gari hilo, akachukua usafiri mwingine hadi Morogoro na kulala pale. Hakufanikiwa kufika Dar es Salaam siku hiyo, alifika kesho yake
SAFARI YA PILI, NJE YA NCHI, NDANI YA AFRIKA
…..walisafiri wakiwa wawili na Boss X
……………..inaendelea

- Safari hii hakuifanya peke yake, walikuwa pamoja na Boss X
- Ilikuwa ni kwa ajili ya kuchakata data za matetemeko ya Ardhi
- Mkutano huu ulikuwa sawa kabisa na ule uliowahi kufanyika May 2007 ambao mhusika alisafiri peke yake nje ya nchi
- Kwenye safari hii vile vile, wakiwa wapo airport siku ya kurudi baada ya mkutano huo kuwa umeisha,
- ………………..walikutana na watu watatu, wawili staff-mates…na mmoja SENIOR RETIRED STAFF-MATE, ambao nao pia walikuwa wamekuja kikazi kwenye jiji hilo ambalo mhusika na Boss X walikuwa wamekwenda. Watu hawa nao pia walikuwa anasubiria ndege ya kurudi Tanzania.”
- RETIRED SENIOR STAFF-MATE huyu alikuwa ni yule ambaye baada ya yeye kuwa amestaafu mnamo Desemba 2006, nafasi yake ilIchukuliwa na SENIOR MSTAAFU WA KIUME
- Mwingine kwa wakati huo alikuwa ni Mkuu wa MAJOR UNIT aliyokuwa anafanyia kazi mhusika
- Wa tatu alikuwa anatoka kwenye kitengo kimoja na mtu ambaye hivi karibuni, alikutana na mhusika mtaani akiwa na gari lenye namba zenye herufi BJV
- Kipindi wakati mhusika akiwa yuko ndani ya jiji hilo wakiendelea na mkutano wao, hakuwahi kukutana na watu hawa, na wala alikuwa hana taarifa za uwepo wa watu ndani ya jiji hilo
- Kwa hiyo alikutana na watu hawa jioni hiyo wakiwa wanasubiria ndege ya usiku ya kurudi Tanzania
SAFARI YA MWISHO YA MHUSIKA
Hii aliifanya May 2012
Akiwa yupo Dodoma amepanda kwenye gari la kuja Dar es Salaam, kwa mara nyingine tena.....……” alikutana na watu watatu, staff-mates…
Watu hawa walimkuta mhusika akiwa tayari ameshapanda kwenye gari la kuja Dar es Salaam
Usiku uliokuwa umepita mhusika alilala Kiteto, na asubuhi yake ndiyo akawa amepanda gari kuja Dodoma, tayari kwa safari ya kurejea Dar es Salaam
Baadhi ya maelezo ya safari hii alishawahi kuyaleta humu jukwaani kupitia post hii hapa #504
- Kati ya staff-mates hawa watatu ambao mhusika alikutana nao kwenye safari hiyo, mmoja wao walikuwa wanafahamiana na wanaongea lugha moja, mwingine wa pili alikuwa anamfahamu kwa sura tu na wa tatu alikuwa ni mgeni kabisa machoni kwa mhusika
- Yule wanayefahamiana ndiyo alimtambulisha mhusika kuwa hata yule wa tatu naye pia alikuwa ni staff-mate
- IWakati wanapata nafasi ya kutambulishana hivi, ilikuwa ni kipindi walipokuwa wanasubiria gai ikiwa inaendelea na matengenezo pale Dakawa
Kutokana na hali hiyo, mhusika alilazimika kuwaacha pale wenzake hao watatu wakiwa wanasubiria gari hilo, akachukua usafiri mwingine hadi Morogoro na kulala pale. Hakufanikiwa kufika Dar es Salaam siku hiyo, alifika kesho yake
- Akiwa yupo Mororgoro kwenye lodge jioni hiyo, aligundua kuwa tiketi ya safari yake ilikuwa imepotea
- Alipofika ofisini baada ya safari hiyo, alimjulisha Boss X kuwa tiketi yake ilipotea wakati wa safari
- Boss X alimshauri mhusika afanye utaratibu wa kutafuta tiketi nyingine ili aje aitumie kwenye maswala ya kifedha ya ku-retire imprest
SAFARI YA PILI, NJE YA NCHI, NDANI YA AFRIKA
…..walisafiri wakiwa wawili na Boss X
……………..inaendelea