UPDATE: SUNDAY 26TH DECEMBER 2021: TAARIFA MAALUMU ZIMAZOMHUSU MSHIRIKI WA KANISA B WALIYEKUTANA NA MHUSIKA BENKI ALHAMIS TAREHE 23 DESEMBA 2021, NA HATIMAYE MSHIRIKI HUYU KUMPA MHUSIKA TAARIFA ZA UONGO MKUBWA KUHUSIANA NA KIONGOZI MKUU WA KANISA A (KM-A)
MSHIRIKI HUYU WA
KANISA B ANATAKIWA SASA AENDE KANISA A AKAMUOMBE MSAMAHA KIONGOZI MKUU WA
KANISA A (KM-A)
Mhusika alihama kutoka Kanisa B kurudi Kanisa A, mwezi April 2017
Siku ya Alhamis wiki hii, mhusika akiwa ameneo ya Mlimani City, baada ya kuwa amekamilisha miamala ndani ya mojawapo ya tawi la Benki lilopo hapo, akiwa ndiyo anajiandaa kutoka nje ya benki; alipoukaribia mlango ili atoke nje, aligongana na sura ya mtu ambaye aliitambua na kuikumbuka pasipo shaka.
- Mtu huyu alikuwa ni mshiriki mwenzake mwenye kuheshimika sana na watu wote, waliyefahamiana kipindi mhusika alipokuwa uhamishoni KANISA B
- Kipindi chote mhusika alipokuwa ndani ya benki, hakuwa amemuona mshiriki huyu achilia mbali idadi ndogo sana ya watu waliokuwemo ndani ya benki muda huo
- Hii ni ishara tosha kabisa kuwa katika kipindi chote mhusika alipokuwa bado anashughulika na miamala yake ndani ya benki hiyo, mtu huyu alikuwa bado hajafika mahali pale au alikuwa nje maeneo ya karibu na pale
Baada ya mhusika kusalimiana na mshiriki huyu, walibadilishana mawili matatu na baada ya kuwa amemweleza (mshiriki) kuwa yeye (mhusika) kwa sasa yuko KANISA A, mshiriki huyu aliongea maneno kadhaa kuhusiana na KM-A na ambayo mhusika alikiri kutokuyafahamu wala kusikia yakiwa yametolewa kwa tangazo Kanisani hapo (KANISA A).
- Maneno haya yalihusiana na muamala mkubwa kiasi ambao KM-A anasemekana ameufanya Kanisani hapo, kama yeye binafsi na siyo kwa niaba ya Kanisa, na ambao una utata mkubwa
- Muamala huu ulisemekana ameufanya kwa kushirikina na Uongozi wa juu wa Kanisa ambao KANISA-A liko chini yake
- Baada ya mhusika kutumia vyanzo vyake ili aweze kupata taarifa za uhakika kwa sababu muamala huo alikuwa hajawaki kuusikia ukitangazwa Kanisani, alibaini kuwa mshiriki kutoka KANISA B, alimdanganya mhusika na hivyo alimsingizia pia KM-A
Na ukizingatia mazingira ya namna mhusika walivyokutana na mshiriki huyu hapo Benki, inaonyesha kabisa kuwa
mtu huyu alikuwa ame-calculate wakutane na mhusika maeneo yale ili (mshiriki) aanzishe maongezi yale aliyoongea na mhusika siku hiyo
- Walikutana ndani ya benki mhusika akiwa anataka kutoka, na huyu mwingine naye ndiyo alikuwa anaonekana kuingia mahali pale; kwa sababu kama mshiriki huyo angekuwepo maeneo yale kabla ya hapo mhusika lazima angekuwa amemuona
- Baada ya kuwa wamesalimiana na hatimaye kuongea mawili matatu, mshiriki huyu alishauri watoke nje, wakaongelee nje
Walitoka nje na kuongea mawili matatu na hatimaye kuachana. Wakati wanatoka nje, mshiriki tayari alikuwa ameshaongea kuhusiana na KM-A, na walipotoka nje, hakumwongelea tena
HITIMISHO:
Mshiriki huyu anatakiwa sasa aende KANISA-A akamuombe msamaha KM-A kwa maneno ya uongo na mazito aliyomsingizia siku walipokutana na mhusika. Asipofanya hivyo, mhusika atazitoa humu jukwaani taarifa za alichomsingizia KM-A.
Mhusika atalazimika kufanya hivyo kwa sababu kuu zifuatazo:
Taarifa alizopewa mhusika, assuming mhusika
angekuwa ni dodoki linaloweza kufyonza tu kila kitu, zilikuwa ni bomu la kumlipukia mhusika na kupelekea kuwa na mgogoro mkubwa wa kesi kubwa mahakamani na Uongozi wa juu wa Kanisa zima ambalo makanisa haya A na B, yako chini yake
Kwa hiyo siku hiyo mshiriki huyu alikuwa amemletea mhusika taarifa ambazo zilikuwa ni bomu ambalo lingeweza kuja kumlipukia mhusika, just in case
“not handled with care”
Lakini kwa wakati huo huo, zilikuwa zinamchafua KM-A na kumuweka katika hali ambayo
angeweza hata kufungua kesi kubwa sana mahakamani
Unless kama kulikuwa na colluding kati ya KM-A na mshiriki huyu, ila vinginevyo mshiriki huyu anatakiwa aende ofisini kwa KM-A akamweleze yote kama alivyomweleza mhusika na baada ya hapo amuombe msamaha KM-A
Vile vile anatakiwa atafute namna nzuri ambayo atahakikisha kuwa mhusika anapata taarifa za kuomba kwake msamaha kwa KM-A,
na asipopata taarifa za mshiriki huyu kuomba msamaha kwa KM-A, basi atajua kuwa kulikuwa na colluding kati ya mshiriki huyu na KM-A na atajua nini cha kuandika humu jukwaani baada ya hapo
Asipofanya hivyo, mhusika atazitoa taarifa humu jukwaani, na atapeleka maelezo ya maandishi ofisini kwa KIONGOZI MKUU WA KANISA B, japo hana uhakika kama mshiriki huyu bado anaendelea kuabudu KANISA-B kwa sababu alisahau kumuuliza
Tangu mhusika aondoke KANISA B, ilikuwa ni
mara ya kwanza kukutana na mshiriki wa KANISA B ndani ya benki hiyo, na
mara ya tatu kukutana na mshiriki wa kanisa hilo hilo ndani ya maeneo hayo ya mlimani city
Mhusika anazidi kusisitiza kuwa wale wote wanaojua kuwa wana taarifa za kipumbavu wanaombwa sana wasiwe wanazipeleka kwake kwa sababu huwa hana muda na upumbavu
MUBARIKIWE TENA NA BWANA