UPDATE: TUESDAY 20TH MARCH 2023
YALE AMBAYO MHUSIKA HAKUYASEMA KWENYE MAELEZO YAKE KWENYE POST ILIYOPO HAPO JUU
KUHUSIANA NA SCANNING YA GARI LA MHUSIKA KWENYE SIDE MIRRORS ZA MAGARI YA BAADHI YA WAUMINI J2 ILIYOPITA
Mbali na yale yote ambayo mhusika ameshayaeleza hapo juu,
watu wafuatao walifanikiwa kuli-scan gari la mhusika kwa kutumia
side miriros za magari yao, J2 iliyopita
- Profesa: Huyu alili-scan gari la mhusika pale alipoamua kutokuingia ndani ya uzio wa Kanisa kwa kumpisha mhusika ili aingie na yeye kuendelea mbele kwingineko nje ya uzio wa Kanisa
- Mama kiongozi naye pia alifanya hivyo wakati mhusika anasogea nyuma kulipisha gari lake ili aweze kutoka
- MR X naye vile vile wakati alipokuwa anaingia; mhusika naye akiwa anarudi kinyume nyume kuelekea kwenye geti la kutokea nje ya uzio wa Kanisa
Mbali na hao, kuna gari jingine ambalo mhusika alienda akapaki nyuma yake
baada ya kuwa amempisha Mama Kiongozi.
- Hadi Ibada ya pili inamalizika, gari hilo halikuwepo tena; mhusika hakulikuta
- Baada ya kuwa limetoka, gari hilo liliacha nafasi ambayo ingemuwezesha mhusika kugeuza gari na kutoka nje ya uzio kwa njia ya kawaida ya kwenda mbele, mara baada ya Ibada kuwa imemalizika
- Kwa bahati mbaya, nafasi hiyo ndiyo iliwahiwa na hatimaye kuja kuzibwa na IST yenye vioo tinted
Gari hilo nalo pia litakuwa lilii-scan gari ya mhusika wakati lilipokuwa linaondoka mahali pale ambapo mhusika alilikuta limepaki. Gari hilo liliondoka pale kipindi mhusika alipokuwa bado yupo kwenye Ibada ya pili iliyokuwa inaendelea
Vinginevyo
mhusika mwenyewe naye pia alikuwa anaya-scan magari mengine yale yaliyokuwa nyuma yake, ili aweze kupita vizuri pasipo kuyangonga, pale alipokuwa anarudi kinyume nyume kuelekea getini
Na hii ndiyo sababu kubwa iliyokuwa imepelekea magari mengi ya waumini wa Ibada ya kwanza, kutokutolewa nje ya uzio wa Kanisa na kilichopelekea hilo kufanyika ni sababu kuu tatu
- Mosi: Mhusika asiweze kupata nafasi ya kupaki akiwa ameelekeza gari lake kwenye gate la kutokea, kitu ambacho baada ya Ibada kumalizika, kingemruhusu atoke nje ya uzio wa Kanisani kwa kwenda mbele na si kwa kurudi kinyume nyume
- Pili: Mhusika asiweze kupata nafasi nyingine yoyote ile ya kumuwezesha kupaki katika namna ambayo ingemuwezesha kutoka pasipo kururudi kinyume nyume; kama vile nafasi zilizo pembezoni mwa uzio wa kanisa.
Nyingi ya nafasi hizi zilizo pembezoni mwa uzio wa Kanisa, ndiyo zile zilizokuwa zimejazwa na magari ya watu wa Ibada ya kwanza
Tatu: Mhusika aweze kuya-
scan vizuri magari mengine kwa kutumia
side mirrors za gari lake, wakati atakapokuwa, katika ile namna ya kuyakwepa ili aweze kupita vizuri pasipo kuyagonga
Ikumbukwe kuwa madhabahu ya VIOO/ LENSI iko kwenye maabara ya DARUBINI iliyo jirani na ofisi ya mhusika; maabara ambayo iko chini ya MR X
KUHUSIANA NA MAMA WA KIROHO WA MHUSIKA
Kwenye mazingira ya Kanisani, kwa kipindi chote cha mwaka huu wa 2023
ila kabla ya J2 ya wiki juzi (kabla ya J2 ya tarehe 12/03/2023), mhusika aliwahi kuonana na pia kusalimiana na mama huyu mara moja maeneo ya kantini ya chakula
Baada ya hapo, mhusika na mama huyu hawakuwahi kuonana tena kwenye mazingira ayo,
hadi ilipofika tena J2 ya wiki juzi ya tarehe 12/03/2023
Kwenye J2 tajwa, mhusika akiwa yupo kwenye parking anaegesha gari lake, alimuona mama huyu kwa umbali kiasi akiwa na kundi la waumini kadhaa wakiwa wamesimama wanaongea.
Baada ya mhusika kuwa amepaki gari, alinyoosha moja kwa moja kuelekea ndani ya Kanisa na hivyo kwa siku hiyo, mhusika na mama hawakubahatika kuongea wala kusalimiana.
Na mara ya tatu kwa mwaka huu 2023, ndiyo J2 iliyopita mama alipompita mhusika akiwa yupo maeneo ya getini, yeye akiwa ndani ya gari anaondoka kanisani kuelekea nyumbani
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA