……………….inaendelea
MAMBO MUUHIMU YALIYOJIRI OFISINI NDANI YA WIKI HIZI MBILI
PILI: UGENI OFISINI KWA SENIOR MSTAAFU WA KIKE (SMKE) AHLAMIS YA TAREHE 13 APRIL 2023 NA AMBAO MHUSIKA ULIMSHANGAZA KIDOGO
Ugeni huu ulifanywa na SENIOR mwingine kutoka kwenye ile idara nyingine ambayo iliwahi kuungana na idara ya mhusika na kutengeneza MAJOR UNIT
Huyu ni SENIOR tu kama walivyo ma-SENIOR wengine kwenye taasisi, kwa maana kuwa yeye ni SENIOR ambaye bado hajastaafu (
tumwite SENIOR PLANE-SP)
Kilichomshangaza mhusika kuhusiana na SP, ni namna SP alivyo-
behave siku hiyo, tofauti na ambayo amekuwa akimuona siku zote kwa sababu angalau wanafahamiana, japo siyo kwa sana
Huyu SP aliwahi pia kuwepo kwenye kile kikao cha uchaguzi wa
Mkuu wa Taasisi zilizoko Dodoma na Nzega, kilichowahi kufanyika
mwezi March 2021; na alikuwa ni mmojawapo wa wagombea wa nafasi hiyo ila kwa bahati mbaya yeye kura hazikuweza kutosha na safari yake iliishia siku hiyo
NAMNA MHUSIKA ALIVYOMUONA SP SIKU HIYO AKIWA NDANI YA JENGO
Siku hiyo, mhusika alimuona SP akiwa yuko kwenye sakafu ya ghorofa ya kwanza akiwa amechukua uelekeo wa kule iliko ofisi ya mhusika
- Pale katikakati njiani kuna chumba cha Kompyuta ambacho kulikuwa na mtu ndani yake. SP alifungua mlango na kuingia ndani ya chumba hicho
- Baada ya takribani saa moja au moja na nusu hivi; na katika wakati ambao mhusika alikuwa tayari ameshasahua kama aliwahi kumuona SP anaingia kwenye chumba cha kompyuta, mhusika alinyanyuka kwenye kiti chake ili aelekee juu washrooms
- Baada ya mhusika kufunga mlango wa ofisi yake; akiwa ameshaanza kutembea akiwa kwenye korido, SP naye alitoka kwenye chumba cha kompyuta
- Huku nyuma yake mhusika, SMKE naye alitoka nje ya ofisi yake na kusimama kwenye korido
Kwa hiyo kwa kipindi hicho, mhusika akawa yupo katikati ya SMKE na SP, huku wakati huo SP akiwa anatembea kuelekea ofisini kwa SMKE na mhusika naye anatembea kuelekea kule SP alikokuwa anatokea
- Walipokaribina (mhusika na SP), mhusika alimwita SP, si kwa jina bali kwa title ya ofisini, lakini SP hakuitikia na wala hakuonyesha dalili zozote za kutaka kuongea na mhusika au kusalimiana naye
- Kwa hiyo mhusika na SP walipishana plane bila kuongea wala kusalimiana, kitu ambccho hakkikuwa cha kawaida sana
Matendo haya yote yalifanyika ndani ya kipindi cha sekunde chache sana kwa sababu ofisi hizi ziko kwenye korido moja na hazina umbali wowote
Baada ya tukio hilo, mhusika alipandisha juu na baada ya kutoka huko, aliirudi tena ofisini na kuendelea na kazi zake
- Safari hii haukupita muda mrefu sana, SP alitoka ofisini kwa SMKE ambayo iko hatua chache tu kutoka pale mhusika alipokuwa amekaa
- SP alitoka akiwa peke yake
- Baada ya kutoka, hatua kama mbili hivi mbele alisimama kidogo mahali karibu tu na mlango wa ofisi aliyokuwa ametoka, akawa anasoma kitu kwenye ubao wa matangazo ukutani upande wa kulia kwake
HITIMISHO
Kwa sababu mara ya kwanza mhusika alimwita SP na hakuitikia, safari hii mhusika hakumsemesha tena SP kwa sababu kama angemsemesha halafu SP akaamua kurudi na kuingia ofisini kwa mhusika, kwa mtu aliyekuwa mbali akiwaangalia au Kamera,
ingeonekana kuwa SP allitwa na mhusika na hivyo SP kulazimika kurudi na kuingia ofisini kwa mhusika
Mhusika aliushangaa kidogo ugeni huu kwa sababu walionana kwa karibu sana na SP lakini kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kuongea wala kusalimina tu
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA