UPDATE: MONDAY 4TH DECEMBER 2023
OMBI LA MHUSIKA KWA UONGOZI WA JUU WA KANISA LA TANZANIA AMBAO KANISA ANALOABUDU MHUSIKA (KANISA A) LIKO CHINI YAO; IKIWEZEKANA PAMOJA NA SERIKALI PIA
MHUSIKA ANAOMBA SANA VIONGOZI WA KANISA A WALAZIMISHWE KULIWEKA WAKFU KANISA HILO
(Taarifa hii inazo pia
supplementary information kutoka kwenye tukio hili hapa
#1,494)
Mhusika anauomba uongozi wa kiTaifa wa Kanis A ikiwezekana pamoja na Serikali pia, kama
inawezekana wote kwa pamoja watumie mamlaka yao na hekima yao, kuhakikisha kuwa KANISA A linawekwa wakfu haraka iwezekananyo
KABLA MHUSIKA HAJAENDELEA ZAIDI NA HOJA HII: MACHACHE KUHUSIANA NA RATIBA ZA MAOMBI YASIYOKUWA RASMI KANISA A
Mojawapo ya maombi aliyokuwa anayalalamikia mhusika kwenye Kanisa hilo,
ni yale ya KANISA ZIMA na kwa muda wa siku tatu
Haya ni maombi ambayo yameshahihirsha pattern ya kipekee kabisa kwamba kila yanapofanyika, ajali huwa zinatokea
Kwa sasa, maombi hayo sasa yemebadilika MUUNDO NA KUWA YA KUJITENGA na yanafanyikan kwenye vkundi vyenye majina maalumu na kwa approval ya KM-A
BAADHI TU MAOMBI YA KUJITENGA KWA SIKU ZA HVI KARIBUNI
- Wiki iliyopita kulikuwa na maombi ya SIKU TATU YA KUJITENGA KWA AKINA MAMA PEKE YAO
- Kilichopelekea akina mama hao kufanya MAOMBI YA KUJITENGA na hatimaye ku-block program zingine zote za Kanisa zima; haikuelezwa hasa ni nini kilikuwa SPECIAL kiasi cha akima nama hao kupewa nafasi ya aina hiyo wao peke yao
- Vile vile, wiki hii pia kuna maombi ya SIKU TATU YA KUJITENGA KWA VIJANA huku maombi hayo SPECIAL nayo pia yakiwa hayajulikani ni ya kuombea nini
Mbali na hayo, siku ya
J2 ya tarehe 26/11/2023 WAKATI WA MATANGAZO, kulikuwa na tangzao lililowahusu
WAHUSIKA WAKUU wa tukio hili hapa
#1,494
Wahusika wakuu wa tukio hilo ni mmojawapo ni
yule aliyetangaza tukio na mwingine ni yule ambaye alitangazwa kuhusika na tukio hilo
Kwenye J2 husika, MAJINA YA WATU HAWA WAWILI yalitamkwa tu kutokea madhabahuni wakati wa matangazo; wao hawakuwepo Kanisani
- Kwa walio na kumbukumbu nzuri, kwa sasa maombi ya Kanisan zima kwa siku moja ya Ijumaa tu kwa kila wiki ni kama yamefutwa; hayapo
- Kwa muda mrefu sasa kwenye kila wiki, ratiba za wiki zinatengenezwa katika namna ambayo zinafuta maombi hayo ya siku moja ya Ijumaa, ikiwa ni pamoja na mafundisho ya J5 pia
Hata hivyo kuna kitu SPECIAL kuhusiana na
mafundisho haya ya J5 kwamba:
Yamekuwa na kawaida ya kuwepo kwa mfululizo, pale tuamwalimu wa somo la siku hizo anapokuwa ni KM-A
Masomo haya huwa yanafululiza hata kwa miezi kadhaa yanapokuwa chini ya KM-A na kawaida
MARA ZOTE huwa na anakuwa na somo lenye mwendelezo na kwa miezi kadhaa
Vingnevyo tofauti na KM-A kuwa mwalimu wa mafundisho ya J5; huwa ni nadra sana kwa mafundisho ya siku hiyo kufanyika Kanisa A
Sababu za kwa nini inafanyika hivi kwa mafundisho ya J5 na maombi ya Ijumaa, mhusika tayari alishafanya utafiti na kuzijua siku nyingi nyuma ila atakuja kuziongelea siku nyingine
HTIMISHO: USHAURI WA MHUSIKA KATIKA HILI
Ikiwezekana
kwa hekima kubwa na pasipo kusababisha mgogoro, SERIKALI WAINGILIE KATI wakishirikiana na UONGOZI WA KITAIFA WA KANISA A; kuhakikisha kuwa NYUMBA HII YA IBADA INAWEKWA WAKFU
Kwa taarifa zilizokuwa zimewahi kutolewa na uongozi wa Kanisa A mwanzoni mwa mwaka huu wa 2023, nyumba hii ilitakiwa iwe imewekwa wakfu OKTOBA 2023
Ikumbukwe kuwa ni miaka miwili kamili sasa tangu nyumba hii inaze kutumika na pasipo kuwa imewekwa wakfu
Still, pamoja na tangazo hilo la mwanzoni mwa mwaka, hadi muda huu hakuna dalili zozote za nyumba hiyo kuwekwa wakfu na wala hakuna anayejali kuongelea hilo; VIONGOZI WOTE WAKO KIMYA
Mbali na hilo, pengine labda SERIKALI nao (upanfe wa msajili wa makampuni) wanatakiwa kuwa wanafuatilia na kuhakikisha kuwa kila NYUMBA MPYA YA IBADA INAYOJENGWA NA KUWANZA KUTUMIKA, INAKUWA IMEWEKWA WAKFU; kwa nyumba zile za Ibada ambazo
nyumba kuwekwa wakfu ni REQUIREMENT muhimu kwenye imani yao
Vile vile, wakati wa usajili wa nyumba za Ibada za aina hii, yaani zile ambazo zinazotakiwa kuwekwa wakfu, kuwepo na kipengele cha kumulisha MSAJILIWA kuwa KILA KANISA JIPYA LITAKALOJENGWA NDANI YA TAASISI HUSIKA ILIYOSAJILIWA, MSAJILIWA ATAHAKIKISHA KUWA LIMEWEKWA WAKFU KWANZA KABLA YA KUANZA KUTUMIA
Kati ya vitu ambavyo ni hatari mno kwa ustawi wa usalama na maisha ya watu kwenye nchi, NI MADHABAHU ZILIZO KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZINAZOTUMIKA PASIPO KUWA ZIMEWEKWA WAKFU
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA