Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #2,241
BAADA YA SIKU KADHAA KUPITA MHUSIKA AKIWA TAYARI ALISHAPEWA TAARIFA NA KITOTO
Kweli babu mgonjwa alionekana kwenye mazingira anayoishi mhusika, akiwa anaishi nyumba namba 12 kama kitoto kilivyowahi kumjulisha
BAADA YA KAMA MWEZI NA USHEE KUPITA TANGU KUWASILI KWA BABU MGONJWA…..
Hapo mhusika aliamua kutoka nje ili aangalie vizuri akiwa yupo mazingira ya nje
Hawa walitumika ku-save option ya mtu kulazimika kuinigia ndani nyumbani kwa mhusika ili kumpa taarifa za msiba; na walichofanya mabinti hawa, kilifanana kidogo na kile kilichokuwa kimewahi kufanywa kabla na MJ siku alipokuwa anamjulisha mhusika juu ya ugonjwa wa mume wake
Baada ya wasichana hawa kumpa taarifa hizo mhusika, walitoweka ghafla na baada ya hapo, mhusika hakufanikiwa hakuwaona tena mahali pengine popote pale kwenye mazingira hayo
BAADA YA MHUSIKA KUSIKIA TAARIFA ZA MSIBA HUO J2 HIYO
Aliamua kwenda kuhani msiba huo ikiwa ni pamoja na kutoa rambi rambi
Watu pekee aliowafahamu kwenye msiba huo ni wenyeji wa msiba wawili mume na mke, Mama jirani (MJ) pamoja na mama mwingine kutoka block jirani lililo karibu na pump ya maji
Majirani wengine wote anaowafahamu mhusika kutoka block zilizo jiirani hawakuwepo kwenye msiba huo
BINTI ALIYEKUWA ANAKUSANYA RAMBI RAMBI
Huyu alifanana sura na mama mwenye nyumba iliyokuwa imefikwa na tukio, na alikuwa na gari aina ya ALPHARD nyeusi
Baada ya msiba kupita siku hiyo; kesho yake gari moja ngeni ilibaki ikiwa imepaki PERMANENTLY kwenye Reserved Parking ya mume wa MJ, na baada ya wiki moja au mbili kuwa zimepita, gari hiyo iliondoka
Mengine ya nyongeza kuhusiana na msiba huu, mhusika tayari alishayaeleza humu kwenye posts zilizowahi kutangulia
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- J2 moja mchana mhusika akarudi kutoka Kanisani na kukuta mazingira ya nyumbani yako shwari kabisa
- Baada ya kula chakula, aliamua kujipumzisha kidpgo kwa dakika kadhaa
- Baada ya kuwa imepita takribani saa moja na nusu, aliamka na alipochungulia nje, aliona mazingira yakiwa yamebadilika kabisa
Hapo mhusika aliamua kutoka nje ili aangalie vizuri akiwa yupo mazingira ya nje
- Ile mhusika anajaribu kufungua mlango tu, pale kwenye ngazi jirani na mlango wa nyumba yake, akakutana na wasichana wawili warembo wakiwa wamekaa kwenye ngazi hizo
- Baada ya kusalimiana na warembo hao, walimjulisha kuwa kuna msiba umetokea nyumvbani kwa JMM
Hawa walitumika ku-save option ya mtu kulazimika kuinigia ndani nyumbani kwa mhusika ili kumpa taarifa za msiba; na walichofanya mabinti hawa, kilifanana kidogo na kile kilichokuwa kimewahi kufanywa kabla na MJ siku alipokuwa anamjulisha mhusika juu ya ugonjwa wa mume wake
Baada ya wasichana hawa kumpa taarifa hizo mhusika, walitoweka ghafla na baada ya hapo, mhusika hakufanikiwa hakuwaona tena mahali pengine popote pale kwenye mazingira hayo
BAADA YA MHUSIKA KUSIKIA TAARIFA ZA MSIBA HUO J2 HIYO
Aliamua kwenda kuhani msiba huo ikiwa ni pamoja na kutoa rambi rambi
Watu pekee aliowafahamu kwenye msiba huo ni wenyeji wa msiba wawili mume na mke, Mama jirani (MJ) pamoja na mama mwingine kutoka block jirani lililo karibu na pump ya maji
Majirani wengine wote anaowafahamu mhusika kutoka block zilizo jiirani hawakuwepo kwenye msiba huo
BINTI ALIYEKUWA ANAKUSANYA RAMBI RAMBI
Huyu alifanana sura na mama mwenye nyumba iliyokuwa imefikwa na tukio, na alikuwa na gari aina ya ALPHARD nyeusi
- Binti huyu alikuwa amevaa nguo ambazo hazikuwa za msiba; zilikuwa ni hizi suruali za kisasa za kubana mapaja na makalio
- Aidha hapakuwa na hema kwenye msiba huu, watu wachache tu ambao hawakuwa wengi kiasi cha kuweza ku-signify uwepo wa msiba, walikaa kwenye parking tu
Baada ya msiba kupita siku hiyo; kesho yake gari moja ngeni ilibaki ikiwa imepaki PERMANENTLY kwenye Reserved Parking ya mume wa MJ, na baada ya wiki moja au mbili kuwa zimepita, gari hiyo iliondoka
- Tangu pale, gari hiyo ilipopaki permantely kwenye parking ya mume wa MJ, ndiyo ukawa umeasisiwa huu mtindo wa magari kupaki permanently kwenye parking fulanui fulani huku yakiwa yana signify maana nzito sana kwenye ulimwengu wa roho
- Kwa kipindi hiki hadi Bajaj, hasa zile zenye rangi nyekundu, nazo pia zimesha-adopt mtindo huu