Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Yes
 
Mapenzi ni IMANI wapo walio toa vingi na HAWAJAWAI KUHESABU HASARA na njia za mungu kumsaidia mtu zipo nyingi na HAZINAGA MASHARTI so usiwe na MOYO WA KIBINAFSI Kama una nafasi saidia KADRI UWEZAVYO na USIKUMBUKE...
 
Sio kwa mwanaume aina ya dalali,, nimpe k-vant, moyo na pesa tena🀣🀣bado sijajaaliwa huo moyo na siutaki Mungu asinipe
 
Pa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Halafu we dada nimekuota haki ya mungu nimeota umepita mtaani kwangu nikakuita.
Halafu katika ndoto nimekuona kuwa ni bonge la mwanamke eti mrefu halafu chura ipo.eti ukanihoji kuwa nimekujuaje.kiukweli we dada nahisi kweli ww ni bonge la demu.
 
Hii kali na chura nimtoe wapi mimi!!! Ibaki ndoto ikiwa kweli utaishiwa nguvu ukufwe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…