Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Inabidi tumsikilize mpaka mwisho, alafu ndio tujue tunafanyajeSasa tufanyaje ndugu katibu?
Na kampiga chini kwa kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tumsikilize mpaka mwisho, alafu ndio tujue tunafanyajeSasa tufanyaje ndugu katibu?
Na kampiga chini kwa kosa gani?
kilemba ni pesa unayomlipa mpangaji ili akuachie fremKilemba ni nini? Ufafanuzi tafadhali.
Hapa kkoo kilemba nakumbuka nililipa milion 90Niambie hii ni nini enyi madali frem mpya na kilemba
Mzee Baba nifanyie basi mpango wa pisi ya Generation Z huko 254?Japo wanaume huwa ni kama tumerogwa, hapo utakuta labda keshatemana na Judy.
Kinyume cha Judi yani nimkopee mwanaume hela tena hawara tu ambae hajawekeza chochote kwangu😀😀😀 ngumu sana, msema kweli mpenzi wa Mungu hiyo roho sina hata wazo tu halijawahi kukatiza kichwani kwangu kwanza nitawehuka nitakimbia kawe nikakanyage mafutaWewe moyo wako upoje? 😉
Umefanya nimecheka peke yangu hapa 😅Kinyume cha Judi yani nimkopee mwanaume hela tena hawara tu ambae hajawekeza chochote kwangu😀😀😀 ngumu sana, msema kweli mpenzi wa Mungu hiyo roho sina hata wazo tu halijawahi kukatiza kichwani kwangu kwanza nitawehuka nitakimbia kawe nikakanyage mafuta
😂😂😂 Mambo ya kucheza na topeUmeshindwa kupata utajiri kizembe sana.
Kaka???Hapa kkoo kilemba nakumbuka nililipa milion 90
HahaaaaaaView attachment 3034632
unafeli wapi mlokole mlevi, dondosha ilo season lote hapa, achana na masuala ya j3
Wewe hadithia vyote lakini isijekuwa ulimtenda Judy wa watu baada ya kupata pesa.
Nasubiri story…
Nini weweee story yako ulininyima🚶🚶🚶🚶🚶