Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naunga mkono hojaMimi mende emb namba za Idris inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaMimi mende emb namba za Idris inbox
Mbona imeshaisha kitambo mkuu😁😁😁nakupata sana endelea nayo
Nyeto itakumaliza kijanaHapo mbona hajaelezea vizuri mkuu ilitakiwa aelezee tendo in deep haswaa mm sijaridhika kabisa.
Alitaka amalize kabisa sioNyeto itakumaliza kijana
Umemkatisha utamu..Alitaka amalize kabisa sio
HahaUmemkatisha utamu..
Alitaka alipue kabisa
Nishamaliza mbona
pamoja mekuLeo ndio nimeweza kusoma hadi mwisho. Umejitahidi sana na hongera wengi wanaanzisha wanaishia njiani wanakimbia uzi
😂Cabo deliciuos
KabisaNa iwe funzo kwetu wapambanaji!!
KAZI ni kipimo cha UTU
www.instagram.com
Hapana sio yanguHii ni Account yako dalali mkuu?
Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
Sawa broHapana sio yangu
Ishu ni kuwa huna kipaji sema una story nyingi. Kuna watu wana vipaji vya kuandika na wengine wanavyo vya utunzi. Pia kuna ambao wana vyote viwiliMh simu?
Huwa najaribu kuandika lakini naishia kufuta tu naona ni kazi kubwa sana na ngumu

Nilijua ni mimi peke yangu ndiye nimeruka, kumbe wengi tu hawapendi kusoma mambo hayo kwani hakuna jipya zaidi ya kujitesa bure na kujiona mjingaHivi kwanini wengi automatically tumeruka hiyo sehemu ya kwichikwichi??
nitakuambia nikikamilishaKwa hiyo ulishakutana nandugu zako ?