Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

PART THREE

Kiukweli nilijituma mno na vya kutosha kijiwe changu kilikuwa maeneo ya k.koo, tena niliingia kwa vita sana. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anaitwa Jack ana uongozi alinipokea na kuniambia kiingilio laki 2, nimetanguliza laki laki nidaiwe. Cha ajabu kesho nakuja kazini asubuhi, boda ikala cheni za kutosha na kutakiwa kupelekwa msimbazi police, kosa nimevamia kituo.

Nilijitahidi kujitetea lakini ngoma ilikuwa ngumu, uzuri huyo Jack wanamfahamu alipigiwa simu wakamjulisha anirudishie pesa yangu kwani kijiwe kimejaa, hiyo ndo ilikuwa pona yangu nikaachiwa boda yangu. Lakini ndani ya week pesa nazungushwa.

Niliamua kuweka roho ya utakatifu pembeni, me mwenyewe nimekulia town wajinga wakuja hawaniambii lolote nikamfata brother wangu wa kitaa bondia af mwanajeshi mapambano yake yanarushwa hadi azam tv. Alinipanga saa 4 asubuhi tukutane k.koo. hapo nimechafukwa roho.

Picha linaanza kaja na nguo za kazi, af pale kijiweni mixer boda kumshobokea. Kauli yake moja umetii. Alitafutwa jack popote alipo na kupewa masharti hadi saa 6 pesa iwe imepatikana. Kabla ya saa 6 mzigo ulifika. Akamega 50k. 50k akanipa nizuie af akanikabidhisha mbele ya boda wote, pale kijiweni akasema "ole wake mjinga yoyote amzingue"

Nilijisikia sana amani. Pembeni minong'ono tu. Ohh watu wa system. Mara hela nyingine za moto. Niliishia kucheka na maisha yakaendelea.

Kwenye utaftaji siku zote naamini sana kwenye uaminifu. Nilijitahidi sana kuwa mwaminifu kwakila kazi nitakayokutana nayo. Nilipenda kusaidia pale ninapoona mtu anauhitaji. Safari ya elf7 kukupeleka kwa elf3 niliona jambo la kawaida mradi tu nimesaidia.

Kwenye hii kazi boda wengi wanapata hela ila ile commitment ya kusave hela ndio inawashinda, na wengine wanajitetea kwenye maisha kwa kununua viwanja wakidhani wanajiokoa kumbe wanajiangamiza.

Wema wangu ulikuja kulipa, kuna siku amekuja abiria mdada kwa pesa aliyotaja asilimia kubwa walikataa kwenda hiyo sehemu. Me nilijitoa mhanga nikamwambia twende nikusaidie. Kufika dada ananipa mzigo nimpelekee mahala na tukabadilishana number za simu. Alinilipa kabisa safari zote 2.

Baada ya siku kama tatu simu inaingia number ngeni, kupokea akajitambulisha dada.

"Hujambo dogo, unanikumbuka?"

"Hapana nikumbushe"

Alinikumbusha na kuniambia gari yake imepata changamoto nimbebe nimpeleke job.

Uzuri ile siku nambeba nilipomfikisha kwake na nilipokuwa na kaa si mbali sana na nakumbuka pia aliniuliza unakaa wapi, nikamjulisha si mbali sana na anapokaa.

Safari ikaanza mpaka town. Namshusha kwenye duka moja la dawa kubwa tu la jumla. Nikapewa changu nikapita hivi.

Namshukuru Mungu na sitakuja kumsahau huyu dada kwenye maisha yangu popote alipo amenifungulia njia ya mafanikio na kujitambua. Duniani watu wema wapo wengi mno. Fanya wema ukutane na wema.

Itaendeleaa...
 
PART FOUR

Baada ya siku kama 3 hivi za kumbeba nakumbuka hiyo siku aliniita ofisini na kunipa chai ya maziwa na mkate. Na kuniambia

"Dogo, kwanini ukinileta usiwe unasubiri niwe nakupa na baadhi ya order uwe unanipelekea kwa wateja"

Kiukweli nilifurahi mno kwani boda wengi k.koo niliowakuta ndoto yao kubwa ni kupata kazi ya delivery. Uzuri wa delivery unaweza beba order hata za watu wanne wanaokaa eneo moja na kila mtu akakulipa pesa yake ya usafiri.

Ukizingatia kipindi hiko mjini kulikuwa hakukaliki kulikuwa na Tambaza (kampuni ya Auction iliyokuwa inafanya kazi chini ya jiji ili kuzuia pikipiki zisiingie mjini). Kilichonisaidia nilikuwa napenda kujiongeza, nilikuwa na minara (watu unaoweza kuwapigia simu wakupe info/walipo tambaza, na wanafanya movement kuelekea wapi.)

Minara yangu ilikuwa nakuja labda kwa muuza juice ya muwa tunapiga stori za maisha tunabadilishana number ndo imetoka hiyo ushakuwa mnara. Hasa machinga wenye maeneo permanent ya kufanyia biashara barabarani.

Hili lilisaidia mimi kudumu kwa muda mrefu mjini bila kupelekwa Yard. (Kukamatwa)

Tuendelee. Sikumkubalia dada moja kwa moja kwa kuonesha shauku niliyonayo, nakumbuka nilimwambia tu, tutafanya kwanza taratibu nione ugumu wa kazi na nizoee mazingira ya kuwa mbali na sehemu yangu ya rizki.

Siku hiyo nakumbuka alinipa mzigo unaenda masaki kuna hospitali flani hivi ya wazungu. Nimesahau jina la hiyo hospital, inajina la mtu, picha linaanza nimefika mvua inanyesha kubwa mno, lakini nilijiongeza nikanunua nyron kubwa zile k.koo nikavingisha box iliyobaki nikavaa, nikapiga punda mpaka masaki mwisho, kuuliza nikaelekezwa nikafika chap. Mzigo unaacha mapokezi, receipt na invoice unapeleka kwa manager.

Mungu saidia manager ananiona wakati naingia, wacha amwage sifa kwa dada nilipotoa mzigo. Pia alinipenda miongoni mwa boda waliokuwa wanampelekeaga mzigo kidogo mimi ndo tulikuwa tunaelewana lugha.

Dada alifurahi sana kwa kitendo nlichofanya kwani kilimuongezea credit ya uaminifu kwa wateja. Huwa Nina tamaduni ya kufanya kitu kwa moyo hata kama malipo madogo ikiwa tu tumeshakubaliana lazima nikifanye kwa moyo ili kutengeneza uaminifu.

Siku zilisogea kazi zilipigwa delivery za kutosha dada alinipa sana madili ya hela. Aliniamini mno, nakaa na hela kibao za wateja kesho nampelekea ofisini. Ndani ya miezi 6 akiba nina 5 milions. I was very exited kuona nimepata kitu kwenye ile kazi. Kwa siku nilikuwa nasave 40k au 50k ikipungua 30k mwisho 20k

Niliishi na dada kama ndugu, na alinifundisha vingi sana kwa kupitia mahusia, aliwahi niambia "nisikubali simu yangu iwe inatumika muda mrefu wakati wa kazi kama hiyo simu siyo ya kazi," "simu yangu ni roho yangu muda wote viambatane na mwili" nilizingatia sana alivyokuwa ananiambia na alinipenda. Nilitambulishwa kwa watu kama mdogo wake, ndugu zake asilimia kubwa niliwafaham, na mumewe pia alinipenda kama mdogo wake.

Dada alinitoa sana ushamba wa mjini mbinu chaf za wanawake kwa wanaume, maumbea kibao, mwanamke wa kuoa ni yupi. Kinondoni kule njia ya kuelwkea makaburini kuna sehemu kuna salon kibao za kike, alijitahidi nizoee mazingira hayo kwani nilikuwa muoga muoga, hahaha nikajifunza vingi sana, nikawa mafia.

Nakumbuka mume wake alikuwa ananipa full tank ya pkpk kituo Total pale nyamwezi na uhuru.

Siku zote nyakati nzuri huwa hazidumu. Nami pia nilijiandaa kwa hilo kila nyakati huwa ndio kanuni yangu. Dada alianza kunichanganya na matatizo ya familia yake. Ugomvi na mumewe na mimi ntahusika, me boss wangu dada ananipangilia, jamaa akiniuliza najibu kama dada alivonipanga. Mwisho wa siku anabanwa mm naonekana msaliti dah!

Hii situation inawakuta sana boda ndio maana wasiokuwa na koromeo wanaonekana wasaliti.

Siku mbaya kazini ikafika nikamshukuru dada kwa njia aliyonifungulia nikamtafuta na bro kwa heshima ya uanaume, nikawaambia nabwaga manyanga. It was so painful kwangu lakini haikuwa na budi. Iliniuma kwanza kuacha sehemu nzuri ya kipato, pili wapi pakuanza tena maisha, naenda kuanza na moja.

Dada alinipigia sana simu but nilikuwa nishafanya maamuzi ya kiume na kwa mwenendo ule nisingetoboa ningerudi kule kule. Mengine siri ya kambi.

Ndani nina 5 mil naanza maisha mapya. Baada ya week nilifanya maamuzi ya kununua boda mpya na kumkabidhi kijana kwa mkataba. Iliyobaki nikanunua smartphone yenye uwezo kidogo, then nikatafuta pikipiki nyingine used iliyonyooka nikampa mtu mkataba nayo awe analeta 10k kwa mwaka mzima.

Nikarudi kijiweni kwa mara nyingine, wakati huu haukuwa sahihi. Kwani watu kijiweni waliongezeka mno. Kukawa na shift 2, wa asubuhi wanajuana mwisho saa nane hadi 9 na shift ya jioni kuanzia saa 9 alasiri hadi uchoke wewe.

Hali ilikuwa tete kwa siku kupata abiria mmoja ni kawaida. Wengi waliokuwa wanapata ni kupitia abiria wa simu. Kipindi hiko bolt na uber wapo lakini wengi tulikuwa tunawaona wanyonyaji.

Biashara ikafa zaidi abiria wa mbagara, gongo la mboto, kimara wakawa wanapanda pikipiki za kurudi. Kipindi hiko k.koo to mbagara 1500. Hahahaha wacha kabisa.

Niliamua kurudisha majeshi kitaa kwanza nijipange upya town kwa moto.

Roho nzuri ni ibada nikaunganishwa kazi ya kufanya delivery za spare, kutokana na ushauri wa dada kipindi hiko alikuwa ananipa sana michoro wapi kijana unaweza jiinua.

Huku ndipo kulipobadilisha uso wa maisha yangu kiuchumi, na ndipo kuliponikutanisha tena na binti huyu ambaye leo nimefanya maamuzi magumu, kutokana na madhira aliyoniletea.

Itaendeleaa......
 
PART FIVE

Nilianza kazi ya delivery za spare na kujifunza taratibu spare za magari, kazi zinazofanya, bei, n.k. kutokana na kuwa kuwa sharp kwenye kufanya delivery, ndani ya muda mfupi, wateja walipenda huduma yangu, wengi wakawa wananitafuta private, kwani watu wa madukani wengi wavivu kupokea simu.

Hili ni fundisho kwa wenye maduka wote, usikubali wateja wawe na access ya kupiga simu kwa boda wako ili wamuagize order za dukani kwako, utakuja kulia. Kama una mambo mengi ajili mtu kwaajili ya kazi za simu tu. Pia simu za ofisi ziwe za ofisi tu, zisitumike kwa shughuli nyingine.

Usikubali wafanyakazi watumie simu zao kupigia wateja, wawe wanatumia line za ofisi, akiacha kazi na simu aache. Watu wengibwa dwlivery wanajua machimbo ya vitu vya bei rahisi mbali na maboss wanavyofikiria. Wanajua kila umafia wa maboss, na mbinu chaf wanazocheza ili kupata mafanikio ni vile tu ubongo wao wengi umelala.

Kutokana na sifa zangu za uaminifu na kujituma, nilijikuta nafanya kazi ofisi 3 na zote naaminika na kuperform vizuri. Hapo hakuna anayepajua ninapokaa, lakini naaminika naondoka na kitabu cha invoice kwenye kampuni, nafunga hesabu za mwezi nakabidhiwa mizigo narudisha ofisini.

Baadhi ya ofisi nilishare njia za kufanya stocking na kurecord mauzo, ambazo nilijifunza ofisi nyingine, pale wanaposhindwa kuweka vitu sawa kwenye Exel nilijitutumia na kubalance sheets zao. Nakumbuka boss mmoja alinipa computer kama zawadi hadi leo badi ninayo ndani natumia.

Nilikuwa napewa docs za kwenda kutoa mizigo sehemu mbali mbali, silent ocean, mokha, shamwaa, mama lao, maagent wadogo, mpaka abilia waliokuwa wanakuja na mizigo kutoka china, dubai, uturuki, nilifahamu pia hadi maagent wa kutuma pesa hizo nchi, kuna kipindi dollar ilikuwa mwiba, nilifahamu hadi dollar zinavyopatikana, niliwafahamu wasomali kwa undani, hawa watu ni hatari kwenye madili, dollar wanauziana kama pipi.

Baadhi ya documents zilikuwa zinaonesha mpaka suppliers wanaoingiza mizigo.

Kiufupi niliaminika mno, nilifahamu bei anazochajiwa agent kwenye kutoa mzigo bandalini au airport ni tofauti na bei za raia. Wengi wanalia kuhusu TRA wanavyowabutua airport lakini mwenzio agent anaenda kulipia kilo 1 buku jero.

Niliwafahamu wanaojipigilia simu hadi 20 wakitoka China na jinsi wanavyozimanua wakifika airport bila kukamatwa.

Baadhi ya wafanya biashara wenye wateja wengi mikoani wanashusha bidhaa bei wakijua faida wanapata kwenye delivery. Unakusanya mizigo mitano ya wateja unafunga pamoja, kila mmoja unamcharge bei resonable then ile mizigo unatuma kama mzigo mmoja unajikuta unatengeneza hadi 50,000 kwa siku.

Ukishindwa kabisa, kula na vijana wanaokatisha tiketi za mizigo, wanaongeleka, mzigo wa 50k mnaandikia 20k inayobaki pasu.

Kwenye ndege unaambiwa umechelewa lakini watasha wanasafirisha mzigo kama magufuli terminal vile. Pilika zote hizi zilifanya niwe mafia jijini na kujikuta nafahamu vitu vingi mno hata maboss wakikwama rahisi kutatua shida zao.

Ukiwa kama kijana usipende kuweka maslahi mbele kwenye utaftaji kazi zingine zinakupa experience.

Turudi sasa kwenye mada husika. Nilianza kuaminika na kutengeneza wateja taratibu, nikajikuta wafanyakazi wa baadhi ya ofisi wanaanza mizozo, kwangu haikuwa tabu kwani nimezoea maisha ya mizozo.

Nakumbuka ilikuwa 2022 kama sikosei bi dada tumuite Recho ndo ametoka kumaliza kidato cha 4 si unajua watoto wa kishua hua wanamalizaga shule mapema, akajikuta amedondokea kwenye kazi ya miamala mradi wa familia ambao wanaufanyia kwenye nyumba yao. Huku mimi gari lishawaka moto kwenye biashara, hapo nina pikipiki zimefika kama 5 au 6 nimewapa watu waendeshe kwa mkataba.

Alichanganyikiwa kuona miamala ninayofanya kwa siku plus madereva pikipiki wakienda kuweka pesa kwenye ofisi yao, basi akili yake ilipaa pakubwa sana.

Kipindi hiko sina sana tyme na mapenzi sister alishanipigilia vya kutosha kwenye masuala ya wanawake so sikuona kipya sana. Japo nilikuwa na mtoto wa kishua ambaye sikumuelewa anakaa tabata japo ye alinielewa na ni mkubwa mwenzangu nikiwa na ham namlaghai naishi.

Nilikuwa naona dalili za Recho kunizimia ila ndo vile dogo wa mtaa amekuwa unamuona nikawa navunga af hata 18 hajafika, ukizingatia maza wake ni partner wa biashara sometym nawaambia wantumie milioni inatumwa badae narudisha na ganji.

Mishe za biashara ziliendelea nikaanza kuagiza na mimi vispare kidogo kidogo. Kutoka dubai, magomeni imejaa sana maagent wa mizigo hii ya dubai, yani mtu kila week anasafiri kufunga mizigo na hana hata mzigo mmoja na maisha yanaenda.

Nilifanikiwa kuagiza mizigo china, dubai na uturuki, kule ambapo maboss zangu walipokuwa wanatoa, nikajikuta nafahamiana sana na watu.

Kuna kipindi Recho aliondokaga sikumtilia sana maanani kumbe moyoni alikuwa anaumia mno, lakini aliporudi nakumbuka 2024, gari tayari limewaka, akajikuta anadondokea kwenye mikono ya wanaume mabandidu. Alikuwa amesharefuka vya kutosha rangi nyeupe kwa mbali na ana mwili ule ambao huonekani kama unatembea na mtoto, hips zimetanuka kifua kimekua.

Kifupi alikuwa na kauzuri kwa mbali japo si mzuri. Huu mwaka nilifanikiwa kununua IST ikawa ndo miguu yangu, kazi ya delivery nishaacha sasa nimekuwa muuza spare.

Kaka yake nilikuwa nashare nae sana mawazo ya kibiashara, na kiukweli amenisaidia vya kutosha, kuna kipindi nilitaka kuingia serikalini aliniunganisha na bro mmoja ambaye tunaheshimiana hadi leo, uwezekano ulikuwepo lakini nilichelewa kutoa taarifa. But another year alinitafta bro, nilishaadvance sikuwa na interest na ile kazi. Much respect for you bro.

Mwaka huo huo 2024 wakaamia nje ya mji ambapo na mm nilipanga huko nikiishi na mama watoto wangu ambaye alikuwa bado yupo chuo anasoma hapahapa dar.

Siku moja naenda home natoka ofisini kumbe Recho alikuwa ananifatilia, akakodi boda hadi kituo cha mbele akashuka, napita naona mtu anapunga mkono. Kusimama anaomba lift nayeye anarudi hom. Moyoni mwangu nilikuwa kawaida na safari ilikuwa kama nus saa hiv. Lakini kwake alikuwa na ujumbe mzito ndani mwake.

Kuongea anatamani, nafsi inamwambia huyu kaka yako, ndani tupo wawili tu. Hakunipa tabu kwani nilishasikia stor zake mtaani hajatulia so nilikuwa makini kutozama kwenye mitego, kwani me mwenyewe ukija bila guard nagawa wastani kwa idadi kama nikikuamulia.

Muda ukaenda nikamshusha alipofika bila kumuongelesha, huwa nikirudigi hm napenda kuweka music nakula ngoma mpaka nafika.

Mahusiano na familia yao yaliendelea mpaka pale nilipopata msiba wa karibu kabisa, walikuja familia nzima kunifariji. Na gari ya bro wake ilitumika katika shughuli zote za msiba, na familia walikuja na gari yao.

Siku zikasogea tukajikuta 2025 rasmi sasa uhusiano unaanza kuchipuka, nikienda kufanya miamala mara anishke mkono, mara msg za kulialia kwenye simu, but i was cool najijua nikiamua kumfanyia mtu umafia.

Nakumbuka kuna X wangu mmoja tumuite Vanesa, kipindi hiko cha ujana tuliwahi peana mimba 2018, lakini kwao walinisaili wakaniona si chochote si lolote wakamtoa mimba. Makazi yake yalikuwa Ununio kwa dada yake. Alinipiga sana matukio huyu mbwa na ndipo na mimi nikakomaa kwenye umafia,

Nilianza na yeye kwanza baada ya kupata mahusia na ujanja kwa dada niliona huyu huyu ndo wa kumtesa. Aliposhoboka tu nikamjaza, pesa ya kutumia kipindi hiko ipo, nadhani hadi leo hatosahau. Nilimtembeza uchi kwenye gari kuanzia msasani hadi nilipokuwa nakaa, njia nzima miguu ameweka kwenye dashboard kiti chake kimelazwa, me naendesha mkono mmoja. Nadhani wakubwa washanielewa.

Alijuta kunijua, hasira nikaenda malizia home kipindi hiko sikai na wife.

Huwaga sipendagi kukurupuka kwenye matukio muhimu hasa ya kutesana, so hata huyu nilikuwa nafahamu nikiingia naye kwenye mahusiano nitamtesa tu. Kwanza nina mtu tayari nishatoa mahali pili sifa yake ya kutoka na baadhi ya wanaume nikajua ni anataka tu kupigwa pipe na kisha atembee. Kumbe bado anakumbuka nilivyomlisha keki tangu akiwa mtoto na alikuwa ruba mwenye mapenzi ya kweli aliyeniletea matatizo mazito.

Itaendelea .............
 
sijui kwanini hii episode ya tano imeniudhi,🤨
 
Ongezea kipande kingine mkuu
 
Back
Top Bottom