Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

Wasalaam

Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike.

Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali, niliamua nirudi mtaani na keki kugawia watoto wanaoishi mtaani kwetu.

Katika purukushani hizo kuna mdogo wa kike wa rafiki yangu ambaye tumeshibana mno naye alikuwepo kwenye mgao huo kwani kipindi hiko alikuwa na miaka 13 tu.
Huyu binti ndiye amefanya leo nitue mzigo wa mahusiano ambayo tumeyaanzisha 2025, chanzo ni hii keki.

Tuvumiliane nipo hom siku ya mapumziko leo nitakuwa naandika nusunusu.
kupigana chini kwenye mahusiano kwasasa sio jambo geni au la kushangaza sana gentleman.

umepigwa chini wewe au umempiga mtu chini, basi tena ndio imeshatokea hivyo,
songa mbele na maisha yako kwa uhuru na amani na itapendeza zaidi 🐒
 
PART SIX

Niombe radhi kwa niliowakwaza na ntakaowakwaza, kwani kuna baadhi ya maneno yanatoa mianya kwa wahusika kushughulikia matatizo yao, vile vile kwa upande wa pili natoa fursa kwa vijana, hawa hasa ndio nimewalenga wajue mianya. So samahanini sana kwa ntakaowaharibia mishe zao.

maisha ya utafutaji yaliendelea kama kawaida kipindi hiki niliongeza miradi mingine miwili mikubwa, niliwaza siku nikifariki mapema, familia yangu itateseka hivyo niliwaza nifanye biashara ambayo hata nikifariki familia itapata cha kujiendeleza.

Wasingeweza kurithi udalali wangu, ujanja wangu na purukushani zangu

Moja ya imani niliyonayo ni ukitaka kuinuka lazima uwe na miguu ya kukuinua (binary), hivyo nilifungua duka rasmi la spare kwani nilikuwa nauzia tu home, nilipokulia nilikuwa na chumba changu. Spare zote nilikuwa naweka humo.

Kwa upande wangu huwa naaminigi sana kwenye kupanda na kushuka, hata kama hutopata hasara basi ipo siku moyo wako utakuuma kama fidia ya hasara kwenye biashara unayofanya.

Kanuni yangu ni moja naamini hasara kwenye biashara ndio mdundo wenyewe wa ngoma, wazungu wanaita failure is the rythm of bzness. Hivyo changamoto zozote zikitokeaga skuwahi kuumia sana, huwa nafunga mkanda maisha yanaendelea.

Kwa mfano siku moja, nilipata hasara kubwa ya kupotelewa na mzigo wenye thamani ndefu kiasi kwa uchumi wangu wa kuungaunga. kupitia Shirika kubwa la ndege la waarabu wa kaskazini. Kutoka Guangzhou kuja Dar, mzigo ukiutrack unaonesha ulitoka vizuri China na kwenda kwenye nchi yao, lakini baada ya hapo ulitakiwa uje Dar lakini hauoneshi umeenda wapi.

Basi nikafanya taratibu ndani ya siku kama 5 hivi nikaenda ofisini kwao karibia na Serena hotel, majibu yaliyotoka ni kwamba mzigo upo ila utachelewa kuja ndege zipo chache.

Nikasubiri karibia mwezi, ndipo Station manager wa hiyo kampuni akanipa ruhusa ya kwenda Swisport kujaza Claimform. Process zilifanyika form ikajazwa nikarejesha kupitia Watsap.

Lakini ngoma bado ikawa ngumu kupata fidia kila siku kampuni yao ya bima inashughulikia, nikapata wazo la kufungua Kesi TCAA na kweli wakaisimamia chap, viongozi wa kampuni wakaitwa picha linaanza manager kaja mpya. Madai yake yanasema.

Kwanza mzigo haujaja kisheria, mzigo wenye thamani kubwa ni lazima uuclaim kule China, thamani yake ili ndege ikucharge kutegemeana na thamani ya mzigo,

badala yake maagent wengi wanampatia abiria mizigo, analipia ticket then ile mizigo kampuni za ndege huwa zinaoffer ukiwa na Kg zaidi ya 100 nafikiri, unapunguziwa bei, kisha unasafirisha kwa RISK yako mwenyewe yaani kuna maelezo kabisa hata uwe na Kg 300 lolote likitokea hawahusiki, utalipwa tu ile Checkin baggage yako.

Pili wanadai nilichelewa kufungua madai pale Swisport kisheria ni ndani ya siku 7, licha ya kujitetea kwamba wao ndio wamenicheleweshea lakini ngoma ilikuwa Ngumu.

Basi kesi ikaisha hivyo japo waliahidi kunipa free tickets kama fidia ya hasara hiyo.

Hii michezo huwa inafanyika sana kwa wenzetu waarabu, mzigo ukiskaniwa na wakiona unathamani, na wakijua unapita kihuni nao wanaruka nao. Hata hapa bongo michezo hiyo ipo sana.

Hii nimeeleza ikawe funzo kwa baadhi ya maagent na wafanyabiashara waangalie steps zao. Ni kheri mzigo uje na Airtanzania hata kama ukipigwa uwe umepigwa humuhumu ndani unaweza ukajua wapi pa kuanzia.

Katika purukushani zote za maisha Recho hakuacha kunitafuta na kunisumbua kwa jumbe zake chombezi, kuna niku nilimtolea uvivu nikamjulisha aache mara moja kwani sina interest nae pia nimeoa na akiendelea nitaitaarifu familia yake.

Hapo ndipo nilipokoleza moto, wanawake kuna muda sijui wapoje, usipomuonesha kama unamponda ndo upendo wake unazidi. Hali ikawa mbaya upande wake. Mara anatumwa boda wa delivery naletewa zawadi, mara msos na jumbe kibao mara najua hujala n.k

Nilifanya maamuzi ya kumpa taarifa bro wake juu ya mwenendo mchafu wa dada yao, nilimpa taarifa zote zinazostahiri, pia na watu anaotoka nao, tabia ya kunywa pombe, kwasababu yote alikuwa ananihadithia kwenye stori za kawaida.

Nilifikisha ujumbe na kuendelea na michakato yangu, kama kawaida Mama recho akikwama kibiashara mimi ndio kimbilio lake la kimawazo so bond iliendelea pakubwa.

Baada ya muda dharau kwa Recho zikaanza mara kupigwa vikumbo bila sababu, maneno ya kejeli sjui naringa kama mwanamke, yote hayo nlivumilia nliona ni utoto tu unamsumbua. Nilimpa jibu moja tu, subiri ukue upate akili ndipo ufanye maamuzi, spendi kuonekana nimekulaghai.

Tangu 2024 hadi 2025 nilivumilia mengi mno, mixer kupitisha wanaume mbele wangu wakibebana kwenye boda. But i didn't care. Siku zikaenda uvumilivu ukanishinda 2025 mwishoni niliamua kuingia rasmi kwenye mahusiano nae kwa lengo la kumpatia anachotaka ili atulize mshono.

2025 mwishoni nilibahatika kununua daladala 2 mpya kama kinga ya kibiashara kama kawaida yangu, kwanza kutengeneza muguu ya kuinukia pili ni njia ya kujihami siku nikifariki familia isiteseke.

Hapa ndipo nilipozidi mchanganya mtoto wa watu, haelewi A, B wala C.

Kijana mpambanaji jitahidi sana uwe na uwezo wa kusave unachokipata, achana kabisa na habari za kwenda na usasa, Namshukuru Mungu nimekuwa nikijali sana vijana hasa wanaotoka mazingira magumu mno, kuna kipindi nilikuwa nalisha watu zaidi ya 8 mchana na usiku na bado nalipa pesa zangu kuwatafutia ujuzi mitaani. Wengine wanakengeuka, wengine wamepata ahueni bas tafrani.

Always huwa sisahau maisha niliyopitia nyuma napenda sana kutoa tip kwa boda, sijawahi lipa pesa halali lazima nizidishe. Naamini kwenye Roho nzuri ndipo amani na furaha hujengeka hata upitie magumu kiasi gani, utafarijika tu kupitia matendo yako mema, haijulikani faraja itakuja ndani ya muda gani lakini haichelewi.

Kipindi hiki sasa nimeshaanza kuishi na mke wangu so nilikuwa namheshimu mno, sikupenda nimtie huzuni kwa madhira ya ujana. Nilimheshim vya kutosha.

Lakini la kwa huyu binti nikaapa kimoyomoyo mke wangu atanisamehe, rafiki yangu na familia yao watanisamehe, kwanza nilikuwa na mishen ya kumbadilisha akili alishaanza chuo na perfomance yake ilikuwa low, pia alikuwa na wanaume ambapo kwa mtoto wa kike haikuwa tabia njema, nilipanga kumkubalia na kutofanya nae chochote ili tu nitumie ushawishi wangu aweze kuishi kwenye mstari.

Kumbe nilikuwa najiongopea, ulimwengu hata hautambui hilo, ulimwengu una njia zake za kufikisha taarifa, msiba mzito kwenye biashara, familia umewadia. Shetani Matako yako.

Niliamua kumuita sehem tulivu ya wazi, nilimchomoa Chuo siku hiyo nilimpa busu za kutosha kukata kiu yake nadhani hakuamini kama ningeweza kufanya tukio lile pale hadharani.

Hii ilikuwa ni mbinu ya kimafia kwani itamfanya awe na maswali na kukufikiria mda wote.

Itaendelea ...........
 
ukiendelea nitag mkuu
 
PXL_20260531_183546917~2.jpg

Itaisha nipo nashughulikia uwekezaji wangu umepata ajali
Nikitulia nitashusha.
 
Back
Top Bottom