kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 834
- 2,410
- Thread starter
-
- #21
Nitajitahidi kuandika ndefu ndefu kidogo. Basi tutaonana nikimaliza kuandika ndefu.Mkuu kocha Nabi si uiandike yote ndio uiweke?
Naomba samaree lo
Duh,mahusiano ambayo tumeyaanzisha 2025, chanzo ni hii keki.
Unaotea au unaamini.Huyu alompiga tukio atakua ni aina ya mwanamke anaeweka brichi kichwani na ana kipini wanavaa madera tu wanapenda kusutana kuliko kula
sijui kwanini hii episode ya tano imeniudhi,🤨PART FIVE
Nilianza kazi ya delivery za spare na kujifunza taratibu spare za magari, kazi zinazofanya, bei, n.k. kutokana na kuwa kuwa sharp kwenye kufanya delivery, ndani ya muda mfupi, wateja walipenda huduma yangu, wengi wakawa wananitafuta private, kwani watu wa madukani wengi wavivu kupokea simu.
Hili ni fundisho kwa wenye maduka wote, usikubali wateja wawe na access ya kupiga simu kwa boda wako ili wamuagize order za dukani kwako, utakuja kulia. Kama una mambo mengi ajili mtu kwaajili ya kazi za simu tu. Pia simu za ofisi ziwe za ofisi tu, zisitumike kwa shughuli nyingine.
Usikubali wafanyakazi watumie simu zao kupigia wateja, wawe wanatumia line za ofisi, akiacha kazi na simu aache. Watu wengibwa dwlivery wanajua machimbo ya vitu vya bei rahisi mbali na maboss wanavyofikiria. Wanajua kila umafia wa maboss, na mbinu chaf wanazocheza ili kupata mafanikio ni vile tu ubongo wao wengi umelala.
Kutokana na sifa zangu za uaminifu na kujituma, nilijikuta nafanya kazi ofisi 3 na zote naaminika na kuperform vizuri. Hapo hakuna anayepajua ninapokaa, lakini naaminika naondoka na kitabu cha invoice kwenye kampuni, nafunga hesabu za mwezi nakabidhiwa mizigo narudisha ofisini.
Baadhi ya ofisi nilishare njia za kufanya stocking na kurecord mauzo, ambazo nilijifunza ofisi nyingine, pale wanaposhindwa kuweka vitu sawa kwenye Exel nilijitutumia na kubalance sheets zao. Nakumbuka boss mmoja alinipa computer kama zawadi hadi leo badi ninayo ndani natumia.
Nilikuwa napewa docs za kwenda kutoa mizigo sehemu mbali mbali, silent ocean, mokha, shamwaa, mama lao, maagent wadogo, mpaka abilia waliokuwa wanakuja na mizigo kutoka china, dubai, uturuki, nilifahamu pia hadi maagent wa kutuma pesa hizo nchi, kuna kipindi dollar ilikuwa mwiba, nilifahamu hadi dollar zinavyopatikana, niliwafahamu wasomali kwa undani, hawa watu ni hatari kwenye madili, dollar wanauziana kama pipi.
Baadhi ya documents zilikuwa zinaonesha mpaka suppliers wanaoingiza mizigo.
Kiufupi niliaminika mno, nilifahamu bei anazochajiwa agent kwenye kutoa mzigo bandalini au airport ni tofauti na bei za raia. Wengi wanalia kuhusu TRA wanavyowabutua airport lakini mwenzio agent anaenda kulipia kilo 1 buku jero.
Niliwafahamu wanaojipigilia simu hadi 20 wakitoka China na jinsi wanavyozimanua wakifika airport bila kukamatwa.
Baadhi ya wafanya biashara wenye wateja wengi mikoani wanashusha bidhaa bei wakijua faida wanapata kwenye delivery. Unakusanya mizigo mitano ya wateja unafunga pamoja, kila mmoja unamcharge bei resonable then ile mizigo unatuma kama mzigo mmoja unajikuta unatengeneza hadi 50,000 kwa siku.
Ukishindwa kabisa, kula na vijana wanaokatisha tiketi za mizigo, wanaongeleka, mzigo wa 50k mnaandikia 20k inayobaki pasu.
Kwenye ndege unaambiwa umechelewa lakini watasha wanasafirisha mzigo kama magufuli terminal vile. Pilika zote hizi zilifanya niwe mafia jijini na kujikuta nafahamu vitu vingi mno hata maboss wakikwama rahisi kutatua shida zao.
Ukiwa kama kijana usipende kuweka maslahi mbele kwenye utaftaji kazi zingine zinakupa experience.
Turudi sasa kwenye mada husika. Nilianza kuaminika na kutengeneza wateja taratibu, nikajikuta wafanyakazi wa baadhi ya ofisi wanaanza mizozo, kwangu haikuwa tabu kwani nimezoea maisha ya mizozo.
Nakumbuka ilikuwa 2022 kama sikosei bi dada tumuite Recho ndo ametoka kumaliza kidato cha 4 si unajua watoto wa kishua hua wanamalizaga shule mapema, akajikuta amedondokea kwenye kazi ya miamala mradi wa familia ambao wanaufanyia kwenye nyumba yao. Huku mimi gari lishawaka moto kwenye biashara, hapo nina pikipiki zimefika kama 5 au 6 nimewapa watu waendeshe kwa mkataba.
Alichanganyikiwa kuona miamala ninayofanya kwa siku plus madereva pikipiki wakienda kuweka pesa kwenye ofisi yao, basi akili yake ilipaa pakubwa sana.
Kipindi hiko sina sana tyme na mapenzi sister alishanipigilia vya kutosha kwenye masuala ya wanawake so sikuona kipya sana. Japo nilikuwa na mtoto wa kishua ambaye sikumuelewa anakaa tabata japo ye alinielewa na ni mkubwa mwenzangu nikiwa na ham namlaghai naishi.
Nilikuwa naona dalili za Recho kunizimia ila ndo vile dogo wa mtaa amekuwa unamuona nikawa navunga af hata 18 hajafika, ukizingatia maza wake ni partner wa biashara sometym nawaambia wantumie milioni inatumwa badae narudisha na ganji.
Mishe za biashara ziliendelea nikaanza kuagiza na mimi vispare kidogo kidogo. Kutoka dubai, magomeni imejaa sana maagent wa mizigo hii ya dubai, yani mtu kila week anasafiri kufunga mizigo na hana hata mzigo mmoja na maisha yanaenda.
Nilifanikiwa kuagiza mizigo china, dubai na uturuki, kule ambapo maboss zangu walipokuwa wanatoa, nikajikuta nafahamiana sana na watu.
Kuna kipindi Recho aliondokaga sikumtilia sana maanani kumbe moyoni alikuwa anaumia mno, lakini aliporudi nakumbuka 2024, gari tayari limewaka, akajikuta anadondokea kwenye mikono ya wanaume mabandidu. Alikuwa amesharefuka vya kutosha rangi nyeupe kwa mbali na ana mwili ule ambao huonekani kama unatembea na mtoto, hips zimetanuka kifua kimekua.
Kifupi alikuwa na kauzuri kwa mbali japo si mzuri. Huu mwaka nilifanikiwa kununua IST ikawa ndo miguu yangu, kazi ya delivery nishaacha sasa nimekuwa muuza spare.
Kaka yake nilikuwa nashare nae sana mawazo ya kibiashara, na kiukweli amenisaidia vya kutosha, kuna kipindi nilitaka kuingia serikalini aliniunganisha na bro mmoja ambaye tunaheshimiana hadi leo, uwezekano ulikuwepo lakini nilichelewa kutoa taarifa. But another year alinitafta bro, nilishaadvance sikuwa na interest na ile kazi. Much respect for you bro.
Mwaka huo huo 2024 wakaamia nje ya mji ambapo na mm nilipanga huko nikiishi na mama watoto wangu ambaye alikuwa bado yupo chuo anasoma hapahapa dar.
Siku moja naenda home natoka ofisini kumbe Recho alikuwa ananifatilia, akakodi boda hadi kituo cha mbele akashuka, napita naona mtu anapunga mkono. Kusimama anaomba lift nayeye anarudi hom. Moyoni mwangu nilikuwa kawaida na safari ilikuwa kama nus saa hiv. Lakini kwake alikuwa na ujumbe mzito ndani mwake.
Kuongea anatamani, nafsi inamwambia huyu kaka yako, ndani tupo wawili tu. Hakunipa tabu kwani nilishasikia stor zake mtaani hajatulia so nilikuwa makini kutozama kwenye mitego, kwani me mwenyewe ukija bila guard nagawa wastani kwa idadi kama nikikuamulia.
Muda ukaenda nikamshusha alipofika bila kumuongelesha, huwa nikirudigi hm napenda kuweka music nakula ngoma mpaka nafika.
Mahusiano na familia yao yaliendelea mpaka pale nilipopata msiba wa karibu kabisa, walikuja familia nzima kunifariji. Na gari ya bro wake ilitumika katika shughuli zote za msiba, na familia walikuja na gari yao.
Siku zikasogea tukajikuta 2025 rasmi sasa uhusiano unaanza kuchipuka, nikienda kufanya miamala mara anishke mkono, mara msg za kulialia kwenye simu, but i was cool najijua nikiamua kumfanyia mtu umafia.
Nakumbuka kuna X wangu mmoja tumuite Vanesa, kipindi hiko cha ujana tuliwahi peana mimba 2018, lakini kwao walinisaili wakaniona si chochote si lolote wakamtoa mimba. Makazi yake yalikuwa Ununio kwa dada yake. Alinipiga sana matukio huyu mbwa na ndipo na mimi nikakomaa kwenye umafia,
Nilianza na yeye kwanza baada ya kupata mahusia na ujanja kwa dada niliona huyu huyu ndo wa kumtesa. Aliposhoboka tu nikamjaza, pesa ya kutumia kipindi hiko ipo, nadhani hadi leo hatosahau. Nilimtembeza uchi kwenye gari kuanzia msasani hadi nilipokuwa nakaa, njia nzima miguu ameweka kwenye dashboard kiti chake kimelazwa, me naendesha mkono mmoja. Nadhani wakubwa washanielewa.
Alijuta kunijua, hasira nikaenda malizia home kipindi hiko sikai na wife.
Huwaga sipendagi kukurupuka kwenye matukio muhimu hasa ya kutesana, so hata huyu nilikuwa nafahamu nikiingia naye kwenye mahusiano nitamtesa tu. Kwanza nina mtu tayari nishatoa mahali pili sifa yake ya kutoka na baadhi ya wanaume nikajua ni anataka tu kupigwa pipe na kisha atembee. Kumbe bado anakumbuka nilivyomlisha keki tangu akiwa mtoto na alikuwa ruba mwenye mapenzi ya kweli aliyeniletea matatizo mazito.
Itaendelea .............
Ndo maisha tusameheane, sometyme tunakosea ndo kujifunza kwenyewe, am so sory.sijui kwanini hii episode ya tano imeniudhi,🤨
Toa dukuduku lako ewe mwananchi mpenda storysijui kwanini hii episode ya tano imeniudhi,🤨
Umechukia miguu kuwekwa juu ya dashboard bintisijui kwanini hii episode ya tano imeniudhi,🤨
Ongezea kipande kingine mkuuPART FIVE