MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Ukuryani,kule ukiwa na pesa plus mali kama ng'ombe,majumba wazee wanakuheshimu sana na pia ukawapa hela za pombe...wewe ni mfalme

Naomba nikuulize swali...nimekuwa na marafiki wengi sana wakurya..na nimefika had huko kwenu...swali ni hili..kwanini kila familia moja unakuta baba ana wake wawili?..watoto pia wameoa wake kuanzia wawili...mna shida gan mkuu? Yaani sijji kama nna rafiki hana wake wawili...kha!y?
 
Gado ndiye yule wa gazeti la Sani.?

ama Gado ndiye yule mchoraji mkaazi wa Kenya.?
 
Naomba nikuulize swali...nimekuwa na marafiki wengi sana wakurya..na nimefika had huko kwenu...swali ni hili..kwanini kila familia moja unakuta baba ana wake wawili?..watoto pia wameoa wake kuanzia wawili...mna shida gan mkuu? Yaani sijji kama nna rafiki hana wake wawili...kha!y?
Huu ni ukweli kabisa kama hana wake wawili basi ana mchepuko na umemzalia...hii inasababishwa na nature ya wakurya ya kupenda kuwa na watoto wengi siku hizi imepungua kwa walioenda shule au kukaa mjini
 
Mzee shida yako nini.unataka kugombana na keyboard za simu yako.

Hebu lala mzee ili usiudhike na huu mkasa.

Au niambie mkuu niandikije ili usiudhike Wala kuumia

Uko so insecure na story yako.
 
Back
Top Bottom