MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Story km ya kutunga hivi, speaking of ndago hakuna ukweli wowote ni story tu za vijiweni
Mzee usiwe nunaongea Kama huna uhakika.

Ukiwa unatoka mwanza au Bunda shuka Kijiji kimoja kinaitwa sabasaba nyuma ya kiabakari na Mazami Uliza kwa mzee Nyanda ni hapo barabarani tu kuu la lami.

Na ukifika tu pale Kijijini uliza stori hii yaani nikutungie kitabu mimi nimekuwa shingongo na huo mda wa ujinga huo napata wapi?

Kama uko dar nenda hapo udsm kamuone mdogo mtu kiringo muulize hili atakuambia.

Then usiwe unaongea vitu usivyovijua ili uonekane tu umeongea

Haya mambo sio ya miaka mingi ni ya juzi tu hapa.
 
Mzee usiwe nunaongea Kama huna uhakika.

Ukiwa unatoka mwanza au Bunda shuka Kijiji kimoja kinaitwa sabasaba Uliza kwa mzee Nyanda ni hapo barabarani kuu la lami.

Na ukifika tu pale Kijijini uliza stori hii yaani nikutungie kitabu mimi nimekuwa shingoni.

Kama uko dar nenda hapo udsm kamuone mdogo mtu kiringo muulize hili atakuambia.

Then usiwe unaongea vitu usivyovijua ili uonekane tu umeongea

Haya mambo sio ya miaka mingi ni ya juzi tu hapa.
Mkuu Mimi sikubishii hii story yako ni ya kweli kabsa ,nilikuwa na rafiki yangu yeye anatokea na Kijiji karibu na butiama alishawah kunipa hii story,sema alinisimulia juu juu,imalizie mkuu achana na ma haters
 
Ila hapa jamvini kuna watu mnakera sana mtu analeta kisa chake hapa mnaanza kumnanga kwani ni lazima kusoma?ukiona hakikuvutii pita kushoto kuna wengine wanakipenda acheni tabia za kichawi jamani, mtu unakuwa na wivu hadi kwenye maandishi!
 
Mkuu Mimi sikubishii hii story yako ni ya kweli kabsa ,nilikuwa na rafiki yangu yeye anatokea na Kijiji karibu na butiama alishawah kunipa hii story,sema alinisimulia juu juu,imalizie mkuu achana na ma haters
Mkuu nimeimaliza labda uulize maswali sasa
 
Back
Top Bottom