Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Pole sana mkuu
 
Eneo ulilotaja hapawezi kuwa na ugomvi kivile bila kujaza umati, halafu hapo kuna kituo cha police hata hatua 20 hazifiki, acha uongo wewe
 
🤣🤣🤣
 
Aisee.
Sasa ugomvi wa hapa jf mnaenda nao mpaka mtaani!😳
Hivi mnawezaje?🙄😬
 
KUMBE UPO HUMU MJINGA WEWE

NJOO TENA UONE SAFARI HII MEMBER WA JF WAJE WAWE MASHAHIDI NA WAREKODI VIDEO KBSA
Mkuu pambano lijalo rematch tualikane.
Au kama hautajali nikutafutieni promota na mchezo ukapigwe Coco Beach na wana jf waalikwe hapo.
 
Hivi hivi yaani..
Eti nikasimama uwanjani katika kati.
Ngoja nichomekee neti kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…