Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Nshomile wa Muleba siku ile uliniotea mbwa wewe nilikuwa nimetoka bar nilishtua kidogo, nataka rematch nilipe kisasi. Halafu hukunipiga ngumi bali ulitumia nyundo na niliiona ndio maana nikakimbia. Kabla ya kuonana tulipanga tukikutana tutapigana ngumi sasa nyundo ilikuwa ya kazi gani.
 

Tulikubaliana kuwa mtu akizidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza mwenzako.

Hakuna polisi wala hakuna kutibiana
 

KUMBE UPO HUMU MJINGA WEWE

NJOO TENA UONE SAFARI HII MEMBER WA JF WAJE WAWE MASHAHIDI NA WAREKODI VIDEO KBSA
 
.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inabidi mtafute weekend moja irudiwe na mashahidi kadhaa tuwepo hapo[emoji41]
 
Jamani msifike huko kikubwa kusameheana na kusonga mbele!
 
Mkuu pole Sana πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutawandalia rematch tena
Mkuu naomba uwe promoter wa hii rematch, nataka kumuonesha mimi ni nani, sina kitambi kama anavyojinadi ila alikuja na nyundo akanipiga nayo mara nne kichwani na mbili nilizipunch zikatua mkononi, hala nilipo nauguza majeraha nikipona nataka marudio na wewe uwe shuhuda na ikiwezekana ulete mrejesho jukwaani.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…