Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio litutumbwe huyo kweli mkuu?
Hapo sawa, hata Babu zetu walipigana na Wakoloni pamoja na kuwa na lengo la kuwaondoa lakini pia ilikuwa kulinda heshima ya Nchi.kuweka heshima mkuu
Natala battle na wewe, nami nkikandeJambo Jambo?
Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.
Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM kwa matusi kedekede mpka tukapanga kuonana ili tuzichape na tukawekeana masharti ya kutokuenda na mtu pale tunapokutana.
Jamaa kweli alipanga location maeneo ya Tabata shule uwanjani na mida ya kukutana ilikuwa ni saa 12 jioni na tuzichape baada ya watu wa mazoezi n mpira kumaliza ratiba zao.
Ila kwa machale nilisogea pale saa 10 masaa mawili kabla ya kukutana ili nihakikishe kama hajabeba watu wengine na kunidhuru.
Kweli Jamaa mida ya saa 12:06 alisogea na kigari chake aina ya IST pearl white na nilimjua maana kila mtu alimwambia mwenzake atavaa vipi au ana usafiri gani ili iwe urahisi kwa kutambuana,Sasa yule Jamaa sijui Alijua pengine atakutana na mtu mwenye kitambi na miwani na boyaboya i don know ila ni kama alipigwa na butwaa baada ya kuniona na aliniona kirahisi maana nilisimama katikati ya uwanja namuangalia upande wa lami anakotokea.
Alivyofika akauliza wewe ndo nshomile nikamjibu ndio na haraka nikamwambia Hapa tunazichapa na atakayezidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza wala kufuatana wala polisi wala nini. Akajibu Poa.
Jamaa alikuwa kavaa traki nyeusi na jezi ya Arseno juu mimi nilikuwa nimevaa kadeti na shati la draft tu.
Kwa haraka haraka Tulianza kuzichapa hapohapo nilimtamdika ngumi 6 zikapenya 4 na 2 aliziblock huku yeye akirusha ngumi 3 na ikapenya moja.Jamaa akaanza kuhema sana kurusha ngumi 3 tu, nilimtime nikampa Upper cut 1 ambayo ilimpeleka chini na nikamsubiri ainuke na alipoinuka nili “swing”na Left Jab ya nguvu iliyompeleka chini mara ya 2 na kuanza kuvuja damu puani.
Mlinzi wa Shule ya Mtambani (jirani na tabat shule) alitoka anapiga mayowe kututaka tutoke hapo lasivyo atatuiitia wezi, wakati nahangaika kumjibu yule mlinzi jamaa akaanza kukimbia kuelekea lami kwenye gari lake alilopaki, nikijua anakimbia mazima kumbe kaenda kuchukua Sime kwenye gari na akaanza kuja kuelekea upande wangu kunikata, nilihamaki lakini nikajituliza ili nimzime nalo lasivyo anaweza kunidhuru.
nilimpokonya sime na mbinu ya Sei-Wong mi kwa umaridhawa naikalichukua sime bila yeye kujua namna nilivyolipora halafu nikamzima na Left swing back kick iliyompeleka chini na safar hii hakuinuka na alianza kulia kilio kikubwa akiomba msaada kwa watu.
Walinzi wakaitana wakaanza kuja upande wetu, nikaona jau hii nikachora mpka road na kudaka boda mpka njia panda chang'ombe.
Toka hapo [mention]Medecin [/mention] hajibu PM zangu, kama yumo akome na siku nyingine akirudia niko free kumkanda tena.
* Usiache kupiga pusha ups walau 100 na squats 50 kwa siku kwa mwanaume, siyo unakulakula na kuwa na likitambi la hovyo.
TUJIFUNZE KUHESHIMU WATU, KAMA HUWEZI UGOMVI TULIZANA.
AVOID EXPECTATIONS TO AVOID DISSAPOINTMENTS.
Nshomile,
kwa sasa Dar es Salaam.
Ukisoma between lines, hawa hawakupigana kwa sababu hizi ID mbili ni za mtu mmoja. Ni kwa macho ya kijasusi tu utagundua hili.Wasioijua tabata shule watakuamin ...lakin hyo shule imepakana na kituo Cha polisi kiasi kwamba mda wote polisi wapo hapo uwanjani ni ngumu kutokea ugomvi eneo Hilo haswa kwa mda uliosema ..acha kudanganya watu
Mkuu naomba uwe promoter wa hii rematch, nataka kumuonesha mimi ni nani, sina kitambi kama anavyojinadi ila alikuja na nyundo akanipiga nayo mara nne kichwani na mbili nilizipunch zikatua mkononi, hala nilipo nauguza majeraha nikipona nataka marudio na wewe uwe shuhuda na ikiwezekana ulete mrejesho jukwaani.
Mkuu naomba uwe promoter wa hii rematch, nataka kumuonesha mimi ni nani, sina kitambi kama anavyojinadi ila alikuja na nyundo akanipiga nayo mara nne kichwani na mbili nilizipunch zikatua mkononi, hala nilipo nauguza majeraha nikipona nataka marudio na wewe uwe shuhuda na ikiwezekana ulete mrejesho jukwaani.
Naona Katia timu hapa pambano lirudiwe
Vip, bado unaroom ya pambano jingine? Nimekuwa interested.
Umetumia mbinu gani kulibaini hili? Una macho ya kijasusi bila shaka.Member mmoja mwenye ID mbili.
Asante
Wasioijua tabata shule watakuamin ...lakin hyo shule imepakana na kituo Cha polisi kiasi kwamba mda wote polisi wapo hapo uwanjani ni ngumu kutokea ugomvi eneo Hilo haswa kwa mda uliosema ..acha kudanganya watu
Yes nataka rematch tena iw neutral ground maana ile siku nahisi alimpanga yule mzee mlinzi aliyepiga yowe kuita watu, alipoona namzidi kwa kipigo yule mzee akaanza kupiga kelele kuwa namuua huyu mjinga, ghafla akatoa nyundo akaanza kunipiga nayo then nikaona watu wanakuja upande wetu wameshika fimbo, nikahisi ni rafiki zake hapo nikaamua kukimbia wasije kuniua maana ilikuwa mitaa yake, next pambano nataka tukapigane neutral ground ili nimuonyeshe mimi ni nani.Naona Katia timu hapa pambano lirudiwe
Respectwhats the motive?
Usikute hata eneo unalolihadithia hulijuipolisi iko upande gani?
Uwanja upo au hamna.
Saa 12 giza wanakuonea wapi na polisi pale muda wote wako ndani.
Jitambue wewe
Wacha tumpe comments ajaze uzi.Umetumia mbinu gani kulibaini hili? Una macho ya kijasusi bila shaka.