DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
☕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli huyu lofa nilikutana nae pale tabata shule uwanjani, goli la kule karibu na madarasa, gari yangu niliipark uwanjani, tukakutana na kweli tukaanza kupigana. Mwanzoni nilimzidi akaamua kutoa nyundo huku mzee mmoja anapiga kelele. Akanitandika na nyundo kichwani na huku watu watatu wanakuja na fimbo upande tuliopo, nikajua washkaji zake wanataka kunichangia ndipo nikatoka mbio mpaka kwenye gari yangu nikawasha nikaondoka huku kichwa kinaniuma sana kutokana na nyundo aliyonipiga nayo kichwani na mkononi.[emoji16]Huyu medecin aje ajibu hii skendo tubalance,maana Wahaya mnajisifu sana.isije ikawa ulikandwa wewe.
Ningekua sipajui tabata nsingekwambia yote hayo ...baada ya mazoez ya mpira wa miguu Kuna watu wanapiga karet hapo.
Aisee kumbe kweli 😂😂😂Ni kweli huyu lofa nilikutana nae pale tabata shule uwanjani, goli la kule karibu na madarasa, gari yangu niliipark uwanjani, tukakutana na kweli tukaanza kupigana. Mwanzoni nilimzidi akaamua kutoa nyundo huku mzee mmoja anapiga kelele. Akanitandika na nyundo kichwani na huku watu watatu wanakuja na fimbo upande tuliopo, nikajua washkaji zake wanataka kunichangia ndipo nikatoka mbio mpaka kwenye gari yangu nikawasha nikaondoka huku kichwa kinaniuma sana kutokana na nyundo aliyonipiga nayo kichwani na mkononi.
Makubaliano yetu yalikuwa kupigana ngumi, lakini nashangaa akaja na nyundo. Ndio maana pambano la poli nataka wanajf hata wawili wawepo kama mashuhuda pia wamsachi jamaa asiwe tena na nyundo mfukoni.
Ndo Hali halisi hiiUkisoma between lines, hawa hawakupigana kwa sababu hizi ID mbili ni za mtu mmoja. Ni kwa macho ya kijasusi tu utagundua hili.
Mkuu tukutane wapi tuzichape...😊😊😊😃😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣Jambo Jambo?
Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.
Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM kwa matusi kedekede mpka tukapanga kuonana ili tuzichape na tukawekeana masharti ya kutokuenda na mtu pale tunapokutana.
Jamaa kweli alipanga location maeneo ya Tabata shule uwanjani na mida ya kukutana ilikuwa ni saa 12 jioni na tuzichape baada ya watu wa mazoezi n mpira kumaliza ratiba zao.
Ila kwa machale nilisogea pale saa 10 masaa mawili kabla ya kukutana ili nihakikishe kama hajabeba watu wengine na kunidhuru.
Kweli Jamaa mida ya saa 12:06 alisogea na kigari chake aina ya IST pearl white na nilimjua maana kila mtu alimwambia mwenzake atavaa vipi au ana usafiri gani ili iwe urahisi kwa kutambuana,Sasa yule Jamaa sijui Alijua pengine atakutana na mtu mwenye kitambi na miwani na boyaboya i don know ila ni kama alipigwa na butwaa baada ya kuniona na aliniona kirahisi maana nilisimama katikati ya uwanja namuangalia upande wa lami anakotokea.
Alivyofika akauliza wewe ndo nshomile nikamjibu ndio na haraka nikamwambia Hapa tunazichapa na atakayezidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza wala kufuatana wala polisi wala nini. Akajibu Poa.
Jamaa alikuwa kavaa traki nyeusi na jezi ya Arseno juu mimi nilikuwa nimevaa kadeti na shati la draft tu.
Kwa haraka haraka Tulianza kuzichapa hapohapo nilimtamdika ngumi 6 zikapenya 4 na 2 aliziblock huku yeye akirusha ngumi 3 na ikapenya moja.Jamaa akaanza kuhema sana kurusha ngumi 3 tu, nilimtime nikampa Upper cut 1 ambayo ilimpeleka chini na nikamsubiri ainuke na alipoinuka nili “swing”na Left Jab ya nguvu iliyompeleka chini mara ya 2 na kuanza kuvuja damu puani.
Mlinzi wa Shule ya Mtambani (jirani na tabat shule) alitoka anapiga mayowe kututaka tutoke hapo lasivyo atatuiitia wezi, wakati nahangaika kumjibu yule mlinzi jamaa akaanza kukimbia kuelekea lami kwenye gari lake alilopaki, nikijua anakimbia mazima kumbe kaenda kuchukua Sime kwenye gari na akaanza kuja kuelekea upande wangu kunikata, nilihamaki lakini nikajituliza ili nimzime nalo lasivyo anaweza kunidhuru.
nilimpokonya sime na mbinu ya Sei-Wong mi kwa umaridhawa naikalichukua sime bila yeye kujua namna nilivyolipora halafu nikamzima na Left swing back kick iliyompeleka chini na safar hii hakuinuka na alianza kulia kilio kikubwa akiomba msaada kwa watu.
Walinzi wakaitana wakaanza kuja upande wetu, nikaona jau hii nikachora mpka road na kudaka boda mpka njia panda chang'ombe.
Toka hapo [mention]Medecin [/mention] hajibu PM zangu, kama yumo akome na siku nyingine akirudia niko free kumkanda tena.
* Usiache kupiga pusha ups walau 100 na squats 50 kwa siku kwa mwanaume, siyo unakulakula na kuwa na likitambi la hovyo.
TUJIFUNZE KUHESHIMU WATU, KAMA HUWEZI UGOMVI TULIZANA.
AVOID EXPECTATIONS TO AVOID DISSAPOINTMENTS.
Nshomile,
kwa sasa Dar es Salaam.
Sawa bibi ushauri wako ni mzuri ila tulishabishana sana na huyu kijana hapahapa jukwaani, akawa hataki kukubali ndio akaja pm na matusi ya kila rangi, nikamwambia sema uko wapi tuonyeshane umwamba, kumbe kenge huyu kabeba nyundo na ndiyo aliyonijeruhi nayo.Vijana ugomvi siyo sifa, pambaneni humu humu JF kwa hoja. Ya hapa myaache hapa hapa.
Katika kupigana lolote linaweza kutokea, binadam tunatembea na umauti, unaweza hata usimpige mtu, ile mmeshikana tu na wakati wake umefika kadondoka kakata pumzi, unaenda kunyea debe ujana wako wote.
Ushetani wa hapa muuwache hapa hapa.
Mimi nawashauri siku nyingine mkitaka kupigana tangazeni hapa JF tuwatafutie promoter wa mandonga, mkiumizana mpate japo vijisenti vya kufutia machozi.
Taja siku yoyote utakayo kuwa free...popote ntakuja
Sikia Kama vipi tukutane Leo tuzichape tujue Mimi na ww Nani muongokwataarifa yako.
wanaopiga karete wote nawajua hapo ni wazee wa
SERENGETI SHOTOKAN KARATE.
Huwa wanfanya mazeozi siku 4 kwa wiki na siku 3 wanapumzika.
Acha kudanganya watu
Mkuu wewe usipigane nae, kwa ninavyokujua utampiga hata dakika haifiki, huyu niachie mimi nammudu huyu mjinga. Safari ile aliniotea nilikunywa kidogo kukata wenge na aliponipiga na nyundo damu zilitoka nikapatwa kizunguzungu ndio maana niliondoka eneo la tukio.Mkuu tukutane wapi tuzichape...[emoji4][emoji4][emoji4][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wote mburula.Jambo Jambo?
Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana.
Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM kwa matusi kedekede mpka tukapanga kuonana ili tuzichape na tukawekeana masharti ya kutokuenda na mtu pale tunapokutana.
Jamaa kweli alipanga location maeneo ya Tabata shule uwanjani na mida ya kukutana ilikuwa ni saa 12 jioni na tuzichape baada ya watu wa mazoezi n mpira kumaliza ratiba zao.
Ila kwa machale nilisogea pale saa 10 masaa mawili kabla ya kukutana ili nihakikishe kama hajabeba watu wengine na kunidhuru.
Kweli Jamaa mida ya saa 12:06 alisogea na kigari chake aina ya IST pearl white na nilimjua maana kila mtu alimwambia mwenzake atavaa vipi au ana usafiri gani ili iwe urahisi kwa kutambuana,Sasa yule Jamaa sijui Alijua pengine atakutana na mtu mwenye kitambi na miwani na boyaboya i don know ila ni kama alipigwa na butwaa baada ya kuniona na aliniona kirahisi maana nilisimama katikati ya uwanja namuangalia upande wa lami anakotokea.
Alivyofika akauliza wewe ndo nshomile nikamjibu ndio na haraka nikamwambia Hapa tunazichapa na atakayezidiwa anakimbia na hakuna kumkimbiza wala kufuatana wala polisi wala nini. Akajibu Poa.
Jamaa alikuwa kavaa traki nyeusi na jezi ya Arseno juu mimi nilikuwa nimevaa kadeti na shati la draft tu.
Kwa haraka haraka Tulianza kuzichapa hapohapo nilimtamdika ngumi 6 zikapenya 4 na 2 aliziblock huku yeye akirusha ngumi 3 na ikapenya moja.Jamaa akaanza kuhema sana kurusha ngumi 3 tu, nilimtime nikampa Upper cut 1 ambayo ilimpeleka chini na nikamsubiri ainuke na alipoinuka nili “swing”na Left Jab ya nguvu iliyompeleka chini mara ya 2 na kuanza kuvuja damu puani.
Mlinzi wa Shule ya Mtambani (jirani na tabat shule) alitoka anapiga mayowe kututaka tutoke hapo lasivyo atatuiitia wezi, wakati nahangaika kumjibu yule mlinzi jamaa akaanza kukimbia kuelekea lami kwenye gari lake alilopaki, nikijua anakimbia mazima kumbe kaenda kuchukua Sime kwenye gari na akaanza kuja kuelekea upande wangu kunikata, nilihamaki lakini nikajituliza ili nimzime nalo lasivyo anaweza kunidhuru.
nilimpokonya sime na mbinu ya Sei-Wong mi kwa umaridhawa naikalichukua sime bila yeye kujua namna nilivyolipora halafu nikamzima na Left swing back kick iliyompeleka chini na safar hii hakuinuka na alianza kulia kilio kikubwa akiomba msaada kwa watu.
Walinzi wakaitana wakaanza kuja upande wetu, nikaona jau hii nikachora mpka road na kudaka boda mpka njia panda chang'ombe.
Toka hapo [mention]Medecin [/mention] hajibu PM zangu, kama yumo akome na siku nyingine akirudia niko free kumkanda tena.
* Usiache kupiga pusha ups walau 100 na squats 50 kwa siku kwa mwanaume, siyo unakulakula na kuwa na likitambi la hovyo.
TUJIFUNZE KUHESHIMU WATU, KAMA HUWEZI UGOMVI TULIZANA.
AVOID EXPECTATIONS TO AVOID DISSAPOINTMENTS.
Nshomile,
kwa sasa Dar es Salaam.
Nshomile wa Muleba na Medecin ni mtu mmoja
Mkuu kupigana sio kuzuri mkuu sidhani kama ni best solution usipigane tena mpuuze....Mkuu wewe usipigane nae, kwa ninavyokujua utampiga hata dakika haifiki, huyu niachie mimi nammudu huyu mjinga. Safari ile aliniotea nilikunywa kidogo kukata wenge na aliponipiga na nyundo damu zilitoka nikapatwa kizunguzungu ndio maana niliondoka eneo la tukio.
Mkuu tukutane wapi tuzichape...[emoji4][emoji4][emoji4][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa bibi ushauri wako ni mzuri ila tulishabishana sana na huyu kijana hapahapa jukwaani, akawa hataki kukubali ndio akaja pm na matusi ya kila rangi, nikamwambia sema uko wapi tuonyeshane umwamba, kumbe mwenangu kabeba nyundo na ndiyo aliyinijeruhi nayo.
Cha msingi me nataka marudiano ila kuwe na mashahidi asije safari hii akaja na bunduki.