Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Anhaaa shida umjini mwingi ndugu yangu , natamani nikuitie kaka Mohamed Said ili adhibitishe haya maana nikimueleza mimi ni nani hatashindwa kukujulisha historia yangu vilivyo .
Mzee wetu huyu Mohamed Said kweli namtambua. Basi sina shaka kweli. Nafurahia kama na wewe ni mzee wetu nakuomba tu ukitulia utupie hata story yako ya maisha yako. Tafadhali tuna mengj ya kujifunza. .
 
Thank you so much, Gily, thank you for the love. We are so relieved to see that you apprehend G in all circumstances. Of course, the Lord will fill you with his blessings. Many thanks, Gily, regards to your family.🙏
 
Anhaa story yangu ya maisha ni vibwanga na vichekesho na uzee huu ndugu yangu , naona aibu kuandika kila kitu japo nishaandika kiasi kidogo huko nyuma nilivyotoswa na bwana Magufuli kwenye uteuzi huku amenipa ahadi kedekede[emoji3][emoji3]
 
Mungu amponye legend wetu

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Anhaa story yangu ya maisha ni vibwanga na vichekesho na uzee huu ndugu yangu , naona aibu kuandika kila kitu japo nishaandika kiasi kidogo huko nyuma nilivyotoswa na bwana Magufuli kwenye uteuzi huku amenipa ahadi kedekede[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Utasikia kila vibibi vinakuambia Giliii kama unambegu uko nje ilete tuichinjie

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Anhaa story yangu ya maisha ni vibwanga na vichekesho na uzee huu ndugu yangu , naona aibu kuandika kila kitu japo nishaandika kiasi kidogo huko nyuma nilivyotoswa na bwana Magufuli kwenye uteuzi huku amenipa ahadi kedekede[emoji3][emoji3]
😀😀 haha hapana huwezi jua kuna mengi tutajifunza kwako. Unatukatili kutotuletea story nzur yenye vimbwanga😀kumbe wewe ndio ulishindwa kuapa🤣

Maisha ni hadithi ndugu yangu ndio maana tuko hapa tunasimuliwa hadithi ya leadermoe. Wewe pia una nafasi ya kusimulia yako. Nasubiri niongeze matukio nisumulie yangu pia 😊😊
 
Dah Gily nimecheka sana , eti niliyeshindwa kuapa [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya mambo wewe acha tu .

Ila umeitengeneza jumapili yangu , nimecheka sana , asante

[emoji120][emoji120]
 
Thank you so much, Gily, thank you for the love. We are so relieved to see that you apprehend G in all circumstances. Of course, the Lord will fill you with his blessings. Many thanks, Gily, regards to your family.🙏
Amina mama mchungaji. Ikawe kheri na shukrani sana mbarikiwa kwa baraka zako. Mkono wa Bwana haujawshi kuwa mfupi wala ukapungukiwa. We have time to be grateful for his Love and kindness. Jina lake pekee ni la kushukuriwa, sifa zi juu ya ukuu wa Bwana. .
 
Dah Gily nimecheka sana , eti niliyeshindwa kuapa [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya mambo wewe acha tu .

Ila umeitengeneza jumapili yangu , nimecheka sana , asante

[emoji120][emoji120]
Kuna siku nilikuwa kwenye Ibada na mapadre wa kizungu. Wakanambia anzisha sana tena kwa kizungu ile siku nilitamani niende hata motoni nikamsaidie kazi shetani🤣🤣🤣 it was so hard. Kuanzisha sala kwa kiswahili tu yenyewe ni kazi halafu unaambiwa uanzishe kwa kizungu. Nilichoweza kukumbuka tu ni pale wanaposema 'brothers and sisters give me ana Ameniiiiii' "Give me a hallelujah "😀

please think about it ukipata mda shush kisa chako. .
 
Ipo siku nitasimulia ndugu
 
haha 😄 wenzako huko wanasema wanapeleka moto wanafia vifuani mwa watu🤣 vijana hawa siku hizi wana moto ishatokea wakati binti anakata kiuno mzee anakata roho😄😀
Dah! Gily 😁Kino Clan na T/Uzuri imeshakuharibu nipo kwenye foleni kumuona Dr nimejikuta nacheka watu washangaa anacheka nini na simu, Mwenyeezi Mungu Akubariki akulinde na akuhifadhi ajalie maisha yako yawe na barka🙏
 
😂😂😂🤣🤣🤣🙌
 
Dah Gily nimecheka sana , eti niliyeshindwa kuapa [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya mambo wewe acha tu .

Ila umeitengeneza jumapili yangu , nimecheka sana , asante

[emoji120][emoji120]
Moja ya watu nao furahia uwepo wao, Gily anachekesha sana 😂halafu nje ya JM unaweza kuta ni bwege flani hata kuongea haliwezi lina aibu lijanja kwenye simu tu.
 
Moja ya watu nao furahia uwepo wao, Gily anachekesha sana 😂halafu nje ya JM unaweza kuta ni bwege flani hata kuongea haliwezi lina aibu lijanja kwenye simu tu.
leadermoe huwa ananipiga majungu haya mnashirikiana

kuna siku nilipewa mzigo na demu Gily mzigo huu hapa wacha nitetemeke🤣🤣 ule mzigo ulikuwa kama ni ufalme wa dahari maana sio kwa mzigo ule. Kwanza lile paja mwili wangu wote😀 alinyoa yule kitumbua kilikuw kipara nikajiona jinsi nilivyotumbua macho, bado kidogo nikiamkie kitumbua shikamoo😊😊

alijuta kunipa maana nilimtoa maji mengi Nikapata mzuka nikampeleka moto akaomba maji nikamsogeza kwenye chupa ya maji huku nimemshikilia na moto unaendelea. Mind you hili sio tangazo. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…