Hako kabinti kabichi kameweka jiti kubwa kama gogo kwenye mkono mbona siku hizo zote uko nao hatuoni matokea ya hako binti kukulea[emoji3] nikajua unakuja kwenye uzi wa
leadermoe kuchukua point tatu za ushindi. Leo umeniacha na mawazo yan uchagan tunavyotafuta watoto natamani nitafute hata mwanamke nimzalishe tu nahisi mbegu zangu sizitendei haki kabisa. Nikipata watoto 23 nitaburudika nafsi. Akitokea mtu hata JF anataka mbegu bure Nampa ila awe na uwezo tu[emoji3]
haha mbona
Analyse anadai mashangazi yana maziwa ya moto mpaka mda wanaunguza[emoji3]. Huyu Analyse ananipoteza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]