Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Aise! Mungu amponye amrudishe tena kama ilivyo mawanzo

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya kukosa uzao yana tafakarisha sana.
Omba sana yasikukute ndugu , starehe tunazipenda lakini mwisho wake mbaya aliimba kijana mmoja wa kuitwa Ferooz .

Hakuna kitu kinauma uwe unawatibu wengine ila ya kwako yakushinde doh , mei mosi ni hii siku si nyingi nitatandika daluga kutoka kuwa monthly reciever mpaka mkulima .[emoji848]
 
Najaribu kusoma katikakati ya mstari nipate mantiki ya starehe na ukosefu wa uzao kwamba baadhi ya vijana wanaona bado wapo wapo na kwamba muda bado haitakiwi wawe na uzao.

Wakati mabinti nao wanajitahidi kuzuia uumbaji au kuutoa kabisa ilimradi bata liendelee kuja kushtuka muda hauko upande wao...

Kama niko nje nieleweshwe.
 
Mkuu kaburungu kama umri kuwa na mtoto unakuruhusu basi kuwa naye ila starehe ni nzuri ila ni mbaya sana ngoja ngoja inaumiza matumbo .
 
Thanks darling kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…