Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Naelezwa hivyo na mkuu Gily hivyo ni serious ndugu zanguni .

Ndugu Gily tafadhali kama hutojali njoo katika uzi huu uwaeleze wafuatiaji wake wengine maana hawakuipata taarifa kutokana na ule uzi mpya ulioweka asubuhi kufungwa
Ndio taarifa nilizonazo Rosemary kafariki. Mods waliona account yake iko active asubuhi kwa hiyo hizi taarifa wakawa na wasiwasi nazo. Ila nimewajulisha familia itself taarifa uongozi wa JF. Ila asubuh watoto walinitafuta niombe account zifungwe hata ram alinitafuta baada ya kuzungumza na mtoto wa marehemu basi akanipigia simu. Tuwe wavumilivu kidogo. Kila kitu nitaweka sawa msijali ndugu zangu. .
 
Asante ndugu , pole kwa magumu unayopitia maana nauona mtihani mkubwa hasa hapa jamvini ila jipe moyo , ni dunia tuliyokuwepo na ni kawaida kwenye jamii za kiafrica

Zaidi Mungu akuzidishie roho na moyo wa namna uliyonayo.
 

Ooh Aisee!! We plan but Almighty God decide.

Mipango ya M/mungu haina makosa.

Rest easy beautiful souls.
 
Baada ya msiba wa leadermoe kwa kweli nilimtazama mume wangu akiwa kalala nikawaza moyoni ipo siku anaweza nitangulia kuacha Ulimwengu huu au nikamtangulia mume ambae tumekuwa wote kwa miaka 11 nikaapa kuanzia Sasa nitazidisha upendo kwa mume wangu sitotaka hata mifarakano sababu sijui ni muda gani mauti yata tutenganisha maumivu ya kufiwa na mke au mume yanauma sana tuishi kwa wema mapenzi ihsaniπŸ™
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] onhoo Lord hii Familia imepigwa vibaya jamani


Hapa sasa linakuja lile fumbo la kutenda wema
Familia nzima itakuwa chini ya Purple atatunza Familia kama nguzo
Imagine angemuacha kipindi kile [emoji24][emoji24]
 
Ni kweli binti jiandae wakati unaofaa na usiofaa .
 
Kwa hiyo Gily, watoto wake walitumia account ya Rose kukujulisha?? Au hiyo account imekuwaje Active asubuhi??

Mbona kama kuna kitu sikielewi πŸ₯Ί
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] onhoo Lord hii Familia imepigwa vibaya jamani


Hapa sasa linakuja lile fumbo la kutenda wema
Familia nzima itakuwa chini ya Purple atatunza Familia kama nguzo
Imagine angemuacha kipindi kile [emoji24][emoji24]
Ni msiba mzito sana, tuwaombee hao watoto wanapitia katika kipindi kigumu sana
 
Pole sana mkuu@Gily , endelea kutupa updates za mssiba,pole kwa kuumizwa na huu msiba brother.maisha huumiza sana nyakati zingine.
 
Kwa hiyo Gily, watoto wake walitumia account ya Rose kukujulisha?? Au hiyo account imekuwaje Active asubuhi??

Mbona kama kuna kitu sikielewi πŸ₯Ί
Simu ya mama yao wanayo. Huko hospital alikuw na wanae wawili. Mama yake alitoka kumpoteza mama yake mzazi kwa hiyo hakushauriwa kwenda.
Sasa watu wanatuma ujumbe kule wanapata notifications ndipo kwa account ya mama yao wakanijulisha kafariki. Watoto wanajua kuhusu mimi.

hakijaaribuka kitu, mimi ni msemaji tu hapa JF. Watoto nao wako uko nchi ya watu Turkey Sasa nimewaomba ndugu wawatafute JF uongozi wawajulishe kuweni na uvumilivu. .
 
Gily hongera sana kwakuwa jasiri na moyo waupendo
 
Kweli Nilikua Sijui hakiii ndio nimeupitia huo uzi hapo nimeona umefungwa!! Ni huzuni na majonzi yasiyo na mfano!!

Wapumzike kwa amani hakika walijua kupendana!
May their soul rest in Eternal peace!!

😭😭😭😭😭
Pole nyingi ziende kwa watoto na familia iliyobaki. Wanapitia wakati mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…